Kwani si nyinyi mnamfanyaga hivo. Bona mkasilike?? Teresa tuko team moja.😅😅
@bettymwende-mo2diАй бұрын
The falling part got me😂😂😂
@user-iv3us4if5zАй бұрын
Hii prank imeweza congrats Teresiah
@user-ep3jh1bg2nАй бұрын
Nakupenda vile huwa unaweka Mungu mbele
@user-cg3vf2bl6bАй бұрын
Atii ukunni rental,sibkama kule easted,
@MaryMmm233-yh3hfАй бұрын
😂😂😂😂😂 angie utakoma sasa ulimfunza wewe hizi prank
@gloriakadzo6500Ай бұрын
Riz p muoga mbaya 😅😅😅😅 Angie sema umezama katika roho kimaombi😅😅😅hii nayo n mbaya wallai
@user-gd7wu5jq8jАй бұрын
Rizzy 😮😮😮, si ushaambiwa ni prank😂😂😂 unaboo na hiyo makasiriko mama😢😢😢, kwani pranks zako huwa hazikasirishi ama🤗🤗🤗
@user-yy8pv4bc9vАй бұрын
Mnaongea vibaya na ni prunk tu,,kwendeni huku
@user-jz7zx4mc9t28 күн бұрын
😂😂😂niuweni mimi
@jennifernyambeki2560Ай бұрын
Tena mmeanza na house maneger 😢aaah wah
@LilianCute-Ай бұрын
Hii umeeda class ❤ team kupitiana tupitiane tukisonga pamoja please 🙏
@GatherineMuchiteАй бұрын
Aki nyinyi watu na nko serious 😂😂😂😂😂 anyway ❤ you Angie
@Mommy4147Ай бұрын
OMG😢😢😢
@DamacklikeruboАй бұрын
Haki dunia Na mambo zake hizi prank sitawamalis😅😅😅
@miketush-uc8sqАй бұрын
😂😂😂😂😂akh nyinyi
@rabeccawakoli7250Ай бұрын
Next time mkiomba tafadhali tafuteni nguo wacheni kuomba mkiwa uchi😂😂😂😂
@mashiassenga8849Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@conniekerubo8325Ай бұрын
Hawakujua kama wako kwa camera
@nolayasopiatoАй бұрын
@@conniekerubo8325Eti camera 😂😂wanafaa kujistili vizuri hata bila hiyo camera
@SolomeKutoАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@maryatieno9130Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@divinahmachuka1859Ай бұрын
Team teresia hooiiyeeee😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@user-se5xj2up4iАй бұрын
Angie I hope umelearn lesson huyo mtoto anapenda house manage sana mission just passed very well ww ulianzisha wacha Teresia amalize team Teresia mikono juu
@DianaMuhonja-oi9coАй бұрын
😂😂😂😂 nimecheka yangu yote😂😂😂😂😂😂
@sheilahchepzofficial6966Ай бұрын
Vile Avii anafurahia😂😂😂😂😂ako qwa lift ya bure😅
@Elizabeth-hy4gr4 сағат бұрын
Hahaha Tue sasa vile mlikwa mnataka😂😂😂😂😂
@Joannekesa-cc2ibАй бұрын
Sasa makasiriko ni ya nn😂😂😂😂😂
@silviawanjiru3960Ай бұрын
Mm nko team Teresia
@BettyLizz78Ай бұрын
😂😂😂Wacha nicheke😂
@FaithNyandiekaАй бұрын
Mkona mambo nyinyi 😂😂😂😂😂
@user-vf2wd3dq6pАй бұрын
😂😂😂😂c pia nyinyi mnafanyaga prank yaawa mbna mumkasirikie yeye 😮😮😮
@abigaelmoraa9698Ай бұрын
hahaha izi content zaa agie noma Team gen z Nipitienii
@hessaalrumaih7919Ай бұрын
Yaani mko unji n mnajifanya mnatoa mapepo mapepo see kitu mnajezea pia izo neckless siko kwa singo toeni mzije mkaumia bure
@DoriskaprettyАй бұрын
Sasa nacheka nn😂😂
@DoriskaprettyАй бұрын
Aaah we kwendeni uko mumepatikana😂😂
@feizkАй бұрын
Acheni kukasirikia Teresiah pliz ci hata nyinyi huwa mnamprank kama mmepatikana kubalini
@MERCYmercy-rl3luАй бұрын
SIni nyinyi ndio mnamuonyesha
@LucyOnyango-uj6vgАй бұрын
Uwezii approach mungu ukiwa uko uchiii
@emilywilly2306Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@joyleenivayo369917 күн бұрын
True
@Faiththeboss24FaithАй бұрын
Aki nyinyi mko Na Mambo zii nyinyi mlimfunza teresh uko Sawa n
@user-sd5rl9kr8kАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂msijifnye hamjaona avyie akikimbilia teresia😂hii prank naisha na kicheko
@cate8976Ай бұрын
Wewe ulimfundisha mambo ya pranks tulia upangwe 😂😂
@user-hq2et5cb4y28 күн бұрын
Kumbe people can turn into intercessors haraka ivo
@Headgirl254Ай бұрын
Za makaziliko ya nini mnakua nayo na nyi ndio mlimuonyesha🥺🥺
@LYNOFFICIAL254Ай бұрын
Huyu rizy p anapenda kucommand watu sana anaboingi pu!!
@LatifahRajab-mb4vmАй бұрын
😂😂😂😂😂imebid ncheke 😂😂sasa mnaomba na mko uchi😂😂😂
@CindyKatila-fc5zwАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂aky
@KelvinDeche-mp8uqАй бұрын
😂😂😂😂yawa
@JosephinelatinАй бұрын
Vaaeni poa yy watu pia vitu zenu mnafanyanga aifai housegirl kujingiza kazi yake ni nyumba sio kujichanganya nayenu coz ata vingine mnamuchezea mungu sitawafwatatu tena vipaya saindi basi chungeni sana sawa
@shannynyabs29 күн бұрын
Mmeniboo nkt !!😏😏jifunze kuongelesha watu😥🫵a prank is a prank 😢n nyinyi ndio mlifunza style up😭😭😭
@selinaingado1523Ай бұрын
What?????🙆🙆🙆🙆
@user-iz5tu1qo6cАй бұрын
Sasa wew unamukasirikia teresia kwanini na mulimufunza wenyewe
@beckyKasmallАй бұрын
Sasa mnacatch nn na nyinyi ndo mlimwonyesha hii mambo
@mildredndinda2160Ай бұрын
😂😂
@user-hp2rd2md3gАй бұрын
Aachen sasa achunge mtoi
@user-jp5le7cn3iАй бұрын
Wow team teresia tumewaget leo 😂😂😂😂
@amoskariuki6107Ай бұрын
Sasa mnakasirika kwa nn ww Angie ndo ulimuonyesha mambo na prank mkubali mmekamatika
@BRENDAHMOMANYI-mb9ebАй бұрын
the way the kid ako innocent anashinda akikwamilia Teressia
@jovenahobutu-dh4hmАй бұрын
😂😂😂
@edithwere21Ай бұрын
😂😂😂😂
@aplokimo405Ай бұрын
Saaa angie unajua hii spirit inaweza ingia kwa mtoto ??
@user-fs8vd6oi2dАй бұрын
😂😂😂😂😂😂 eiiiish
@MiltretShinjilaАй бұрын
Aviana nye anampenda teresia good ❤❤❤
@OBEDMACHOGU18 күн бұрын
Uongoooo 😅
@marynabwile4086Ай бұрын
Wakupali wameshikwa team teresia hoyee 😂😂😂😂
@JudithMaweu-ky2pmАй бұрын
Draaama😅😅😅
@marionongala429618 күн бұрын
Mkipatikana mnajam kwendeni uko muache makasiriko
@susanmukami6669Ай бұрын
😅😅😅ako na sprit ya snake na unamwachia mtoto acha kutupima
@derylnyawira1864Ай бұрын
Utakoma Angie
@OfficialkeznashАй бұрын
😅
@fridahkarimi5510Ай бұрын
Apandacho mtu ndicho huvuna next time atakuwa mganga ni vile anasoma kwenu it's your influence😂😅. Aggy vile anaomba na the other day alikuwa kwa mganga,which Alter do you serve,mungu hajachanganyikiwa😒😏🤷♀️. Light and darkness doesn't go together,Tangaza msimamo ueleweke vyema.
@nolayasopiatoАй бұрын
🤣also praying necked 😢
@user-hp2rd2md3gАй бұрын
Hii ni kitu wamekaa wakapanga
@Maryann-ch8gmАй бұрын
Huyu dame ni mjinga hii ni content Tu wanajiganya 😂😂😂huyu dame wacha Tu na vile Ako uji😢😢
@Allynguluba726Ай бұрын
Kwendeni na ufala aty possessed ama mnataka likes
@user-rc4ph3et6cАй бұрын
Mutahamishwa skyline nyinyi aya 😅😅
@topisterkodia2022Ай бұрын
Na Rizzy p amevaa skin tight ya black ama🙈
@SolomeKutoАй бұрын
😂😂😂😂
@topisterkodia2022Ай бұрын
@@SolomeKuto 😂😂Until I saw her running towards the camera ndo nikaona kumbe hajavaa🙈🙈
Msipo chunga mtakalibisha sheten kwa manyumba zenyu
@nolayasopiatoАй бұрын
Already washa karibisha juu hawakosi kwa mganga
@silviachibwayi7676Ай бұрын
Nakumbuka Kuna demu alifanyia mamake prank ya kumtoa sacrifice do you know that her mum aligongwa na ngombe n akakufa,yule Dem alifukuzwa kwao .These pranks are not good at all
@nancyoside1846Ай бұрын
Huyu mwanamke anaongea aje,
@VivianLove-vq1ykАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@KemmyPk.Ай бұрын
Rizy p wacha kutishia mwingine ivo mmh😒😒😏😏 na mbona mnaipost kama haikuwapamba
@user-hp2rd2md3gАй бұрын
Kujifanya teresi wacha ujinga fanya kilichokuleta hakuna mahali msichana wa nyumba ukuanga na say ona vyenye umeokotwa😢
@KemmyPk.Ай бұрын
@user-hp2rd2md3g yes Teresia pia asikue ivo aheshimu bosslady ata kama she's younger... but they don't have to post the video with those vibes..ama waaeccept is a prank na wamalize video vizuri
@user-hp2rd2md3gАй бұрын
@@KemmyPk. rizy p ndiye anakaa bro yake roho mbaya mbona asomee mwingine time walikuja mbio akijifanya ako sick mbona heresies hakukasirika..ni madharau
@FaithNjoki-qi2efАй бұрын
Aki riziki wewe.
@DMORAA125Ай бұрын
Angie B waja kubebenga watu ufala mtoi anaenda for two weeks unarudi kunyonyesha 🙄🙄🙄 ujinga ukanayo utawacha clout chasing to ndio mnajua nkt
@mwangisalimАй бұрын
Waambie tena
@loboi1042Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@jamillahmussa3775Ай бұрын
Mumama hajui kulea mwanae, ona mtoto anavyopenda maid,,,,
@Jane-ru2utАй бұрын
Haki true
@ChristineAkinyi-jo5jwАй бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@user-iu6tt2oc6sАй бұрын
Riz p hi😂😂😂😂😂😂
@user-hh3go5om5eАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@tabithamulwa3629Ай бұрын
Angie is the the one who you call friend,she is not.angie you tld her those prank the ones which you worse than those dont complained,who is the boss of tere you or your friend,she talks as lf she is the boss
@aplokimo405Ай бұрын
Jesu
@user-bn6px5fz9kАй бұрын
Nipitieni plz
@eunicecliffАй бұрын
Done nipitie pia please
@Meghan_wairimuАй бұрын
Hizi false pranks are too much now Hadi zinabore Sasa....guess I have to unsubscribe
@eversweedakemoАй бұрын
Hii maombi ungekua unaombea bwana yako angekuacha😂
@MaryWesonga7 күн бұрын
😂😂😂😂
@JoanDiego23 күн бұрын
N😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Shiko768Ай бұрын
Hey guys nipitieni ❤
@francynmalobaАй бұрын
Done nipitie pia thanks ❤❤❤
@EverlyneNdunge-mx6bpАй бұрын
Rizy p mmeshikwa
@abdulasiz7822Ай бұрын
Haki si mnaboooooo
@EvelynNatasha-yj5vgАй бұрын
Icant follow you again
@ivinechepkemoi8167Ай бұрын
Si uite daktari mbna unaomba na umezoea daktari 😅
@NancyAmanya-s2y28 күн бұрын
Na si unamsomea off camera
@user-cg3vf2bl6bАй бұрын
😂zile nyoka zenu na dactari sasa zimeanza kuingia ,bt wacheni kuchezea mungu
@PhannyKerush-zk4ji23 күн бұрын
Nan mwingine ameomba na angie akilia akh 😂😂😂😢😢hii nayo imeweza walai
@Rastfamily763Ай бұрын
😂😂😂
@ChristineNaliaka-ns5siАй бұрын
😂😂😂😂
@peninamsuko4858Ай бұрын
Sleiqween Mliuungana Sio Sai bado Banga Aftr Banga 😆😆😆Mtatii simlimfunza sai Kinawaramba Halafu mungu Ashuke sasa Mkiwa hivi Nusu uchi Nani ataenda mbinguni Si ni Teresia ndio Ataingia mbinguni shually