IBADA YA JUMATANO- NGUVU YA MSALABA 07

  Рет қаралды 430

Mch. Raphael Joshua

Mch. Raphael Joshua

2 жыл бұрын

1Wakorintho 1: 18
“Msalaba kwao wapoteao ni upuuzi bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu”
Msalaba ni alama ya mamlaka ya Mungu hapa duniani.
Lengo la msalaba ni kuwaacha huru wale ambao kwa hofu ya mauti walikuwa watumwa.
Yesu alivaa mwili akawa na damu na lengo lilikuwa ni kumuharibu yule aliyekuwa na nguvu ya mauti (Ibilisi)
Kabla ya msalaba Nguvu ya Mungu ilikuwa inakuja na kuondoka lakini baada ya Yesu alikuja Roho mtakatifu ambaye tunakaa naye wakati wote.
Mathayo 28: 16 - 20
Yesu akawaambia wanafunzi wake “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na Duniani”
Marko 16: 9, 14 - 18
Enendeni kote ulimwenguni mkaihubiri injili kwa kila kiumbe na kila aaminiye ataokoka.
Wanafunzi wa Yesu walipewa mamlaka baada ya Yesu kufufuka.
Mathayo 17: 14 - 17, 21
Mtu aliwapelekea mtoto wanafunzi wa Yesu wamuombee wakashindwa kwasababu walikuwa bado hawajapewa mamlaka na Yesu.
“Wataweka mikono ya juu ya wagonjwa watapata afya. Na hata wakila kitu cha kufisha hakitawadhuru”.
Hawakuweza kumtoa pepo kwasababu ya upungufu wa Imani.
“Hawakuweza kumtoa pepo kwasababu mamlaka ilikuwa haijaachiliwa juu yao”
Walipokuwa wakifanya miujiza wakati Yesu yuko hai, walikuwa wanatumia nguvu ambayo Yesu alikuwa anaiachilia juu yao.
Baada ya Yesu kufufuka walijazwa roho mtakatifu sawasawa na neon waliloambiwa (Matendo 1: 1-12)
Matendo 1: 1- 8
Msalaba ndio siri ya mamlaka na nguvu ya Mungu hapa duniani.
Matendo 2: 3 - 4
Wakati huo lilikuwa linatumika jina la Yesu. Hakukuwepo na Damu ya Yesu bado. Ilianza kutumika baada ya Yesu kufufuka.
Kufunga na kuomba bila wokovu (msalaba) haiwezi kutoa pepo.
Lazima uwe na hazina ya maombi na Neno la Mungu.
Mamlaka ya Mungu inapatikana kwa njia ya msalaba kupitia wokovu.
Isaya 58: 1 - 6
Kufunga ni sadaka. Unautoa mwili wako kuwa sadaka.Mwili uumie kwaajili ya Mungu.
Kufunga ni kujinyenyekeza mbele za Mungu.
Ukifunga na nia tofauti na nia ya kufunga unakuwa umefanya mgomo wa kula. Haujafunga.
Lakini sio guarantee ya Mungu kujibu ombi lako kwa siku hiyo na wala isikupe shida. Unakuwa umejitengenezea nguvu katika ulimwengu wa roho.
Unakuwa umetengeneza upenyo ili siku ukiomba Mungu aweze kukuonekania.
Wakati Mungu anawatoa Israel Misri wakati wa kuuwa mzaliwa wa kwanza, Musa hakufunga lakuni alipoenda mlimani kwaajili ya kupokea amri za Mungu ilimlazimu kufunga kwa siku 40.
Ukifunga shughulikia vifungo vya uovu vinavyokutenga na Mungu na kulegeza au kuvunja kamba za kila Nira.
Matendo 3: 1
Petro na Yohana baada kujazwa Roho mtakatifu walimwona yule kiwete aliyekuwa mbele ya hekaru wakamwambia tutizame sisi, Tulichonacho ndicho tukupacho. Wakamuamulu asimame na kuondoka.
Swali: Ni kwanamna gani unaweza kujua kuwa hapa umemkufuru Roho mtakatifu. Mathayo 12:32
Jibu: Warumi 8: 26 - 28. Anayeomba ni roho mtakatifu. Roho mtakatifu ndio huwaombe watakatifu kama apendavyo Mungu. Kwasababu sisi hatujui kuomba jinsi itupasavyo. Ukigombana na roho mtakatifu, Hauwezi kupata upatanisho.
Tunamkufuruje Roho mtakatifu ni kuonge vibaya juu ya watumishi wa Mungu.
Mathayo 12: 18, 24 - 32

Пікірлер: 3
@paulrhema1782
@paulrhema1782 2 жыл бұрын
Duh! Mkate wa uzima hakika
@tadeymdota8480
@tadeymdota8480 2 жыл бұрын
Hallelujah tunainama mbele zako
@winfridakitenje7497
@winfridakitenje7497 2 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na mafundisho haya
IBADA YA JUMATANO- NGUVU YA MSALABA - 02
1:10:34
Mch. Raphael Joshua
Рет қаралды 645
NGUVU YA MSALABA WA KRISTO MAISHANI || PR. DAVID MBAGA
51:52
Pizzo Online TV
Рет қаралды 15 М.
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 33 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
БИМ БАМ БУМ💥
00:14
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 3,1 МЛН
Quiet Night: Deep Sleep Music with Black Screen - Fall Asleep with Ambient Music
3:05:46
1. KUONDOA MAZUIO KATIKA MIFUMO YANAYOZUIA  KUFANIKIWA KWAKO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE
2:35:11
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 36 М.
"We Ask Allah" Tafsir of Last Two Verses of Surah al-Baqarah - Nouman Ali Khan - Gulf Tour 2015
2:07:32
Nouman Ali Khan - Official - Bayyinah
Рет қаралды 2,4 МЛН
PLAY THIS MIDNIGHT BATTLE PRAYER EVERY NIGHT AS YOU SLEEP | APOSTLE JOSHUA SELMAN
3:57:37
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 33 МЛН