Ni tamu sana, kweli Benedicto na baba wa ustaarabu huko Ulaya. Kazi na Sala
@Jifunze10024 жыл бұрын
Kila mara napoona masifu haya nabarikiwa sana....Mungu awabariki watawa wote wa Mvimwa Mungu mbariki Abate Martin Pambo Mkorwe OSB SIKU ZOTE TUDUMU KATIKA MAISHA YA SALA TUKIKUMBUKA KUWA MAISHA YETU HAPA DUNIANI NI YA KUPITA TU HAKUNA ATAKAYE ISHI MILELE KWA VIZAZI VYOTE...MUNGU WEWE NDIWE TUNAYEKUTUMAINIA!
@erastogerionitembo80323 күн бұрын
Mungu awabariki sana ndugu zangu kazeni buti mtuombee na sisi wenzenu ambao tulikuwa wote shetani akatupia
@lydiakaiza44544 жыл бұрын
Roho yang imesali kwa ibada kuu. Ibada yenye uchaji. Unyenyekevu wa hali ya juu sana.
@tarlasilamyula17874 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kuwaongoza katika utume wenu mababa na awaimarishe daima
@paschallihumbo20555 жыл бұрын
nafurahi kuwaona schoolmates wangu wa seminari ya Hanga. nawapenda na nimewakumbuka sana. frt penson kihaka. ulikuwa nami hanga na ndanda pia. Natamani kurudia njia hii lakini nahisi nimechelewa. namuona brother chikole pia. Mubarikiwe milele. ipo siku mtanikuta na mimi Hanga.
@robbie01lutambi603 жыл бұрын
Amen
@marynjeje61945 жыл бұрын
Iko vizur be blessed
@stevenmwenda30052 жыл бұрын
Jamani tusome na uislam japo kidogo tutajifunza mengi na tutaijua njia sahihi ya kumjua mungu wa kweli
@Jifunze10025 жыл бұрын
nzuri hii
@joshuabaracky23505 жыл бұрын
atukuzwe mungu
@eliasbanka82923 жыл бұрын
Hakika hamsali pekee yenu nasi kupitia ninyi Amini tunabarikiwa
@joshuabaracky23504 жыл бұрын
nzuri xana
@piussambi2195 жыл бұрын
Hongera sana My Brother Frt Gregory Kwa upigaji kinanda vizuri katika masifu ya jioni
@greyhilary49865 жыл бұрын
Asante sana
@lydiakaiza44544 жыл бұрын
@@greyhilary4986 Kristo, wewe ni Frtr. Gregory?
@greyhilary49864 жыл бұрын
@@lydiakaiza4454 ndio
@happymsaki17205 жыл бұрын
MUNGU awatunze na atunze.kanisa letu Takatifu katoliki pote ULIMWENGU Mama Maria Mama Yetu Utuombe
@andreaa.nyundo83335 жыл бұрын
Sala na kazi, Abasia ya mvimwa inapendeza sana
@johnpetrokundya21365 жыл бұрын
Naomba mniambie mnajiunga na shirika Kwa vigezo gani?
@andreaa.nyundo83335 жыл бұрын
@@johnpetrokundya2136 unaandika barua kwa Mkurugenzi wa miito au Abate kisha unaomba kujiunga na shirika kadiri ulivyoguswa.
@johnpetrokundya21365 жыл бұрын
Ok,Naomba Anwani yake au namber yake ya siku.
@johnpetrokundya21365 жыл бұрын
Naomba namba Kwa Mkurugenzi wa miito na Kwa Abate.
@charleseduard81163 жыл бұрын
Umri kwa wanawake na wanaume ni miaka mingapi?
@felisterligwa4 жыл бұрын
Utume mwema
@jamesmichael97054 жыл бұрын
Ora et pax
@beatusidama62335 жыл бұрын
Nzuri! Nzurisimo! Nzurisissimo!
@morisichonanga78544 жыл бұрын
Mbalikiwe saaana Mvimwa
@salomesinkonde73303 жыл бұрын
Hakika mungu anatukuzwa
@Jifunze10024 жыл бұрын
Hakika kuna watu wa ajabu ulimwenguni...yaani kuna mtu haipendi video hii maajabu