Рет қаралды 1,662
Performance aliyofanya ibra wa kondegang konde music world wide kwenye tamasha la maadhimisho ya siku ya waalimu duniani yaliyofanyika kitaifa Bukombe Tanzania chini ya naibu waziri, waziri wa nishati na mbunge wa Bukombe mheshimiwa Dotto Biteko, mgeni rasimi akiwa waziri mkuu mstaafu mheshimiwa Mizengo kayanda Pita pinda. @Harmonize255 @Ibraah