Nice interview! Depression is real, which often leads to mental illness. Watu wanatakiwa kupewa elimu hii muhimu sana kuhusu Mental health haswa Tanzania ambako resources are limited.
@FAVI23 Жыл бұрын
Escape matrix
@ChoroTesla Жыл бұрын
Wabongo watakwambia ww depression ndo nn ww utakua una mawazo ya kimapenz tu.
@mackjr5291 Жыл бұрын
Depression its a mental illness, sasa unasema it can lead to mental illness
@ChoroTesla Жыл бұрын
@@mackjr5291 ni sawa yuko perfect
@alphaigogo787 Жыл бұрын
@@mackjr5291 Najua wengi tunadhani kuwa kila mwenye depression ana mental illness! Hapana! Kuna aina za depression ambazo haziingii kwenye mental illness. Na ndio maana wanasema depression ni "disorder". Mpaka iingie kwenye mental illness inamaana inaweza kuthibitishwa clinically. Lakini pale Dr. Anaposema nahisi unaweza ukawa na depression kwa kukuangalia tu haitoshi kusema una mental illness. Japo wengi wanaokua na depression wanakuwa na other mental health issues. ..... Hivyo ndivyo nielewavyo mimi, na mie sio expert wa medical field. Hivyo, kama unautaalamu wa afya haswa afya ya akili basi nitashukuru ukituelimisha zaidi.
@News6Tz Жыл бұрын
Jaribuni kuweka hata ziwe camera mbili asee hii ni media kubwa sana video ziwe cinematic
@abtdelightTV Жыл бұрын
First to watch
@dostovan5142 Жыл бұрын
Sio maamuzi ya Mwenyezi hayo, acheni kusingizia
@user-wk1ix1gm1p Жыл бұрын
Idriss Na billnas matani yenu tunayapenda , Na tunawapenda pia
@mohdmohd8428 Жыл бұрын
Second to watch
@godsson5954 Жыл бұрын
so marehem alikua ni girlfrnd wa ommy dimpoz na idris huku alikua tena mke wa mtu aise msije mkawa huenda mlimchangia hyo depression
@halimakanik8789 Жыл бұрын
@god son kwan uyo dada kama.alijua anamume siangetulia zake namumewe
@nigerian_4736 Жыл бұрын
#ILoveYoutubing😂
@kanghanhankang1440 Жыл бұрын
Mwanichanganya maya mpend wa omarydimp alfu idirs au masikio yngu