Idris nilivyokuwa namchukulia tofauti Sana Mungu Ni samehe .Toka Leo jamaa nampenda Sana. Sultani uko kawaida Sana.Big up brooo.This world siyo yetu Mungu anataka tuwe hivyo ulivyo Idris.
@belak9992 жыл бұрын
Bora hata umetoa chuki, unachukia mtu ambae hakujui 😆😆😆 kwn wewe ALISHAKUAMBIA ANAKUPENDA? mshamba wewe
@sakinamixpambe26022 жыл бұрын
Mm mwenyewe natamani Idris amuoe Wema
@shuweikhaabdallah5862 жыл бұрын
ndio kawaida ya wanaume wakisha haribu hujidai kujuta wema wema usipokuwa makini utatumika bure mpk utakufa
@adetonahsounkoura80382 жыл бұрын
I wish that you marry her because she is strong and tolerant woman.
@Matiherbalist2 жыл бұрын
Mashallah 🥰 tabasam is the best thing in life
@mwanahawasaid15612 жыл бұрын
Mashallah kwa kucheka hajambo
@nguzofamily28962 жыл бұрын
Kila achekae anapendeza.mashallah kwa kupenda kucheka ndgu
@zuhuraothman619 Жыл бұрын
Maaaashallah
@yayeissa41282 жыл бұрын
Idris anapenda kucheka sana. Maa sha Allah
@mariamsalum60292 жыл бұрын
Saan yani
@nasraabdallah8502 жыл бұрын
Uwa nampend kweli kununa hajui mashaallah adi raha 👌👌💕💕👌
@universitylink2 жыл бұрын
Inshaallah Allah awakutanishe
@Farajahelene230312 жыл бұрын
sultan sepetu love you and wema so much mr handsome
@frorenceetoile30162 жыл бұрын
Apa nimetega sikio kama ataseme kuwa anamupenda Wema waongo tu
@rizobabe20822 жыл бұрын
Aki kweli🤣
@rahmamsonjorahma97852 жыл бұрын
Kama mm na ajasema yani wa zt wema ndio kio Chao sasa bila kuandika ivo nikam atunge angalia ila waache urongo coz kunamda watAndika kitu chakweli na tupite tukijaliwa niurongo wao
@irenejane4213 Жыл бұрын
Watisha Idris..umenona kama balloon
@janethjoseph1502 жыл бұрын
Nampenda sana Idris jamaniii
@shalimwile92782 жыл бұрын
😍awwwwwwwwwwww
@mwanashagladys45812 жыл бұрын
Idris💪
@tausihasheem51692 жыл бұрын
Idriss kafanana na Terry jmn mtoto wa shamsa ford.
@tumainimwakyaka27752 жыл бұрын
Nampenda sna huyu kaka
@imanidaraja82752 жыл бұрын
Sasa mbona kichwa cha Habari kipo nje kbs na mazungumzo yenu, jifunzeni kuwa waaandishi wenye kunyoosha maneno
@binthkhamisi10972 жыл бұрын
Nice
@mwahijasuleiman50622 жыл бұрын
Kunenepa kumemharibia sura jmn....punguza mwili broo
@pettyjosephmahano3122 жыл бұрын
kaka kama uwezekano upo wa wewe kuwa na dada wema pls ongeeni tu jamani mnaendana bwana
@abdallahasmine12802 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 bangi we mtoto
@renildevenerand94732 жыл бұрын
Amenenepa
@rizikiomar53932 жыл бұрын
Mashallah
@zainaalute62132 жыл бұрын
Shemejii
@tamashakigwinya64862 жыл бұрын
Atuachie wema wetu
@rizikiomar53932 жыл бұрын
Kweli kabisa
@maryamtanzania97432 жыл бұрын
Idrisa yuko vizuri ils nauliza kwa nini mastaa hawaowagu
@zuweinaally24132 жыл бұрын
Kiki hizoooo zinaanza
@universitylink2 жыл бұрын
Kwenye bajaji ikipigwa zip kama hamna mvua kuna msanii
@ZawadiBirya2 жыл бұрын
Mbona hajamtaja Wema?
@maimonatalal89942 жыл бұрын
Hawa wambea wanapenda kuzusha
@wennceslausmushi23562 жыл бұрын
Maji yalishamwagika hayazoleki
@suzysam60022 жыл бұрын
Jaman achen dhambi kichwa cha habari kingine na kinachoongelewa kingine ,sio lazima ukipata umaarufu kupitia water wengine