Sheikh Othman mm natafta mchumbaa anaeipenda sana dini yetu yakiislam
@rukaiyalema79668 ай бұрын
Shegh osman nakupenda sana unapwenti mzur unajielewa mashallah Allah akuifadhii mungu anipe mwanaumme kama ww upo vizur binadm sote tunamapunguf nakupenda kwaAjil ya Allah. ❤️❤️❤️❤️Napenda sana mwanaume mwenye ikhlass kama wee elove 💯
@user-ep7we8br6r8 ай бұрын
Sheikh Othman Allah akulipe Kila lenye kh'ery,,,mashaalah kwel unajua kutukosha nyoyo unanifurahisha kwel 😂😂🎉🎉🎉
@ummahmed33548 ай бұрын
Sheikh Othman is very sincere...Barakallah fiikum
@khadijaali46578 ай бұрын
Mashallah sheikh hua anipunga huyu mm jamani from kenya 🇰🇪 nakupenda pia sheikh 😂😂😂
@mamakenajma32578 ай бұрын
😂😂😂Hata mm mwenye nampnda
@maisarah68198 ай бұрын
Bi_Dida Fanya istifar Kila kitu chawezekana kwa Allah.
@khadidjasuleiman80068 ай бұрын
Hmh 😂nna mme Wang 😂 mie 😂😂
@user-sx8uf2mb2p3 ай бұрын
Maashallah majaribu nimoja y nguzo shekh hongera
@suleim5058 ай бұрын
Shekh umetuzindua MAISHA ALLAH ALLAH AKULIPE KHERI.
@nuria72238 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh 😂
@SuleiBakari5 ай бұрын
Shekh Allah akuzidishie ilimu
@aisajs830358 ай бұрын
😂😂😂ya Leo kali shekh
@husnaabdlla45082 ай бұрын
hehehehaha 👌👌👌👍👍👍 I❤ sheikh Othman maalim wew ni sheikh si ma sheehani natena wewe ni fani na kupenda aji ya allah 😂😂😂😂 . siri indio hii kabala huja shika simu ya mtu yoyote sema bismillah kisha allahu malladairu illa dairuka wala kheiru ilaa kheiruka hawata ku dhuru kabisa na penda mku wako vile ana chunga mali yake . ni sawa waku pende lakini hata kupata
@ummusalim19918 ай бұрын
Sheikh Othman wanifurahishaa kwelii😂😂😂... Nakufwatilia sanaa from Kenya 🇰🇪 😍.... Mungu akupe afya😅
@monicalaizer75968 ай бұрын
She kweli unavutia tena unamcha Mwenyezi Mungu
@didah4really938 ай бұрын
😂😂😂😂😂 jitahid uolewe sana na sheikh othman 🤣😂🤣
@khadidjasuleiman80068 ай бұрын
😂😂😂😂
@FatumaNdwandwala-ms1sr7 ай бұрын
Sheh naomba kuuliza kwenda kuingia kanisani kumsindikiza mtu zambi
@khadidjasuleiman80068 ай бұрын
😂😂😂😂 tazama usizidishi wa nne tu 😅😅 mahaba watakumiminia 😅😅 Astaghfiru llah 😂😂🤣🙌🤭
@user-xj5vm7ig2d8 ай бұрын
😊
@AsdDsa-fi5qk8 ай бұрын
Hhhhh mashaallah
@aishaz18 ай бұрын
Unaogea ukwel sheikh ndoa za sikuiz ni zamchongo
@khadidjasuleiman80068 ай бұрын
Yangu 🤣 sio ya mchongo Alhamduli llahi 😅
@abdallahamad8552 ай бұрын
Hhhhh
@ThabitKhamis-pm4wi8 ай бұрын
Shekh MDA mwingine unavuluga sifa ya dini tukufu ya uislam, kwasababu unamambo ya kihuni sana punguza polojo, unaanda vipindi Kisha unaongea upuunzi 😢
@khadidjasuleiman80068 ай бұрын
😂😂😂😂
@issamohammednassor86888 ай бұрын
Acha hizi habar ndugu yangu hii dini haina haja kuongea haya mambo hapa kwenye media usivunje hishma yako hio hii si nzur kabisaa
@mrsahmadhajraah15507 ай бұрын
We una matatizo ya Akili
@issamohammednassor86887 ай бұрын
@@mrsahmadhajraah1550 we ndo unamattzo ya akili
@aishaz18 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@AbuuAbdillah-hb8li8 ай бұрын
Kwa unavyojiweka kwa nini usiwe fitina kwa wanawake badilika