No video

INAUZWA MILIONI 👉🏻43,000,000👈🏻IPO DAR ES SALAAM WILAYA TEMEKE JIMBO LA MBAGALA MANISPA YA TEMEKE

  Рет қаралды 13,261

DALALI HAKWEA HAKWEYA 666

DALALI HAKWEA HAKWEYA 666

Күн бұрын

Tangazo nyumba hihapa inauzwa milioni👉🏻43,000,000👈🏻 ina vyumba vitatu ina flemu moja ya duka ina master ina sitingi room ina dainingi room ina pakingi ya gar maji umeme nipigie cm kwa maelezo zaidi mdau wangu
===================================
👉🏻0787 96 62 96 👈🏻👉🏻 0737 61 43 71 👈🏻
👉🏻0765 50 70 40 👈🏻👉🏻 0713 96 62 96 👈🏻

Пікірлер: 33
@emmymotaungmotaung6365
@emmymotaungmotaung6365 3 жыл бұрын
Jamani hao wanawake wana Gossip kwani vibaya mtu baba akiwa mweusi na mama mweusi Mungu wangu
@dalalihakweahakweya6662
@dalalihakweahakweya6662 3 жыл бұрын
😍😍😍😍😍😍😍
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 3 жыл бұрын
Nyumba mzuri mashallha
@dalalihakweahakweya6662
@dalalihakweahakweya6662 3 жыл бұрын
Sante boss
@alisaid4380
@alisaid4380 3 жыл бұрын
Nataka demu mkali nimnunuliye hiyo nyumba tuanzie maisha hapo
@eliashagai7920
@eliashagai7920 3 жыл бұрын
Uko Temeke sehem gani, weka no. 35M cash nikirifhiks nayo baada yakuiona na kuithibitisha live
@dalalihakweahakweya6662
@dalalihakweahakweya6662 3 жыл бұрын
Zichange change kwanza ukisha pata utanijuza
@fatumamwantumu4081
@fatumamwantumu4081 2 жыл бұрын
Mbona hiyo nyumba bei powa hivyo inashida au inamatatizo
@dalalihakweahakweya6662
@dalalihakweahakweya6662 2 жыл бұрын
Haina shidah kabisa
@janeobure3006
@janeobure3006 3 жыл бұрын
Bado hipo hii nyumba?
@dalalihakweahakweya6662
@dalalihakweahakweya6662 3 жыл бұрын
Uje kwa nyumba nyingine boss hiyo tayar
@hamidahassan1282
@hamidahassan1282 3 жыл бұрын
Nyumba imetuliya
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 3 жыл бұрын
Naomba namba yenye what'sup kama bado ipo
@dalalihakweahakweya6662
@dalalihakweahakweya6662 3 жыл бұрын
0765507040,,,,,,0787966296
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 3 жыл бұрын
😆😆SIYO CHA KUPIMA NINA WASIWASI NI USWAZI HASA
@dalalihakweahakweya6662
@dalalihakweahakweya6662 3 жыл бұрын
Uguwa pole
@adamkisheta8439
@adamkisheta8439 3 жыл бұрын
Bado upo hii hakweya
@dalalihakweahakweya6662
@dalalihakweahakweya6662 3 жыл бұрын
Yah boss bado ipo ndugu inapatikana karibu sana ndugu
@kennedyombewa7974
@kennedyombewa7974 3 жыл бұрын
Weka contacts
@dalalihakweahakweya6662
@dalalihakweahakweya6662 3 жыл бұрын
Tatizo ume kulupuka ndomani namba huja ziona pitia tangazo hadi mwisho soma maelezo namba zipo hapo
@hamidahassan1282
@hamidahassan1282 3 жыл бұрын
Tuache umbea tutafute kazi tufanye tungekuwa tunakazi hata hizo gossip zingepunguwa
@hamidahassan1282
@hamidahassan1282 3 жыл бұрын
Kutwa kukaa kwenye vibaraza kusema watu na Dalali na wewe umewaricodi hata habari hawana umbea di Mzuri
@dalalihakweahakweya6662
@dalalihakweahakweya6662 3 жыл бұрын
Wana zungumza hawa pigi umbea
@ibrahimhodabaksh3939
@ibrahimhodabaksh3939 3 жыл бұрын
PESA IKOWAPI
@dalalihakweahakweya6662
@dalalihakweahakweya6662 3 жыл бұрын
Ndugu usikate tamaa mapema mnoo mungu yupo ipo siku utafanikisha ndoto yako
@dalalihakweahakweya6662
@dalalihakweahakweya6662 3 жыл бұрын
@travelstylish nurse MARI INAYO UZWA NA BENK MM SITANGAZI JUWA HIVYO BOSS
@chimumaziku3186
@chimumaziku3186 3 жыл бұрын
Nitumie namba chapu ya huyo muuuza nyumba
@dalalihakweahakweya6662
@dalalihakweahakweya6662 3 жыл бұрын
Batimbaya mwenye nyumba ame kufa nimebaki mimi hapa
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
@@dalalihakweahakweya6662 kaaaaa nimecheka
@dalalihakweahakweya6662
@dalalihakweahakweya6662 3 жыл бұрын
@@m.mmarckus6298 kwa nn tena kikuchekeshacho
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
@@dalalihakweahakweya6662 hilo jibu ulilotoa
@dalalihakweahakweya6662
@dalalihakweahakweya6662 3 жыл бұрын
@@m.mmarckus6298 daaaaah weachatu changa moto katika utafutaji ninyingi sana wakati mwingine yabidi ujichetue
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 883 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 38 МЛН
Hii nyumba haina kasoro
3:34
DALALI WA TAIFA
Рет қаралды 24 М.
Nyumba Ya Kisasa (Location KIGAMBONI DSM) Jenga nasi +255747608053
2:10
Sedec Builders Ltd
Рет қаралды 13 М.