Dogo pambana wewe ni mwanaume Achana nao hao wanao kukataa wewe jiamini Mungu atakusaidia,hata ukimpata mboso hatakusaidia chochote,
@piccokikongwe54372 жыл бұрын
Naitwa Picco kikongwe ni mwana music wa bongo flavor, niliimba kikongwe, swagga na nyinginezo, hizo chini Ni platfom ambazo music wangu unapatikana za zamani andika Picco kikongwe Album utapata ngoma zote za kitambo, na ukitaka mpalya andika Picco ameshushwa utapata music mzuri mkali wa kijanja na wa kisasa, sapoti music wa nyumbani msapoti mtanzania mwenzio 1. Boomplay 2. Audiomack 3. Spotify 4. Apple Music 5. Shazam 6. Deezer 7. KZfaq Music 8. Notjustic 9. Soundcloud 10.Tidal 11. Amazon 12. Facebook Etc
@rahmaothman7369 Жыл бұрын
T
@halimashaib91022 жыл бұрын
Mambo ya family yafika hadi huku. Sio kila kitu kinasimuliwa jamani
@evanusder84932 жыл бұрын
Hiyo ni ngumu wazazi wakiwa ni tofauti hasa kwa familia nyingi hili hufanyika.
@jumaamartin79292 жыл бұрын
Minamshauri amtafute baba yake kwanza baba ndio atakae wakutanisha watoto wake atamuita tu mboso aonane na nduguye
@Wastara0012 жыл бұрын
Tatizo vijana wengi wanapenda dezo. Fanya kazi ya halali....acha kusuka nywele wewe ni muislamu
@abiboseleman16492 жыл бұрын
Mangapi unayoyafanya weee ambayo hayako sawa na uislam na jee hebu jiulize wewe mwisho kufanya ibada lini??????
@Wastara0012 жыл бұрын
@@abiboseleman1649 rudi uisome dini kwanza. Acha kiherehere. Kwa hiyo watu wasikataze madhambi????
@minskbelarus72552 жыл бұрын
@@abiboseleman1649 unakurupuka na kusapoti anachokatazwa MUISLAM. Mwenzako ametimiza tulivoamrishwa WAISLAM, kukatazana MABAYA na kulinganiana katika KUMCHA ALLAH ( swt). Unachukuwa mzigo wa Madhambi BUREEEEE. Kama ulivo shauriwa... KASOME.
@bekabakari73942 жыл бұрын
Wewe ulipokua na umri Huo ulikua he?
@hamidusibye52412 жыл бұрын
SIKU ZOTE SHETANI HAKOSI WAFUASI WA KUMPINGA MWENYE MAONYO YA MWEMYEZIMUNGU,SAID ACHANA NA HAO MATAIRA WANAOKUJIBU KIFARA MAPAKA SHUME KABISA.
@kubulizuberikubulizuberihu58962 жыл бұрын
Cha msingi mdogo wangu unachotakiwa uanze kumtafuta baba yako ili muyamalize na baba yako ili akuunganishe na kaka yako
@wiseman62762 жыл бұрын
Point
@yadidiahblack27312 жыл бұрын
kabisa
@kasembomasele59182 жыл бұрын
Pole sanaa dogo, mmefanana Sanaa. Pambana wewe utatonoa kinnomaaa usihofu
@rahmasamson44272 жыл бұрын
Maskini 😭😭😭😭😭 hivi huyu mbosso haoni hizi interview jamani
@samwelenjuma33122 жыл бұрын
😭😭😭very painful hawa wasanii basi hawaendi popote the story hurt me 😭😭😭
@khebbetydikson41952 жыл бұрын
Shida sio mboso shida inakuja kwa mzazi kutowafahamisha watoto kujuana toka wakiwa wadogo
@nindymuruga47982 жыл бұрын
Sasa si amtafute babake jamani mbosso anausika nanini...elewana kwanza na mzee
@amanikarisa97592 жыл бұрын
Mbosso take this,this is really your brother and never crusfie him for nothing kama mwenyewe binafs hajakukosea usimlenge labda kwa makosano ya wazazi wenu apana sio poa bro tomorrow is always dark..
@pichunakichuna21112 жыл бұрын
Sauti ya mboso kabisa sura pia
@abuusahya61302 жыл бұрын
Sauti ya mboso kabisaaaáa
@blueberrypotatogames79502 жыл бұрын
Mkoshi!!! Watangazaji na uyo rofa. Mmetafuta kitu cha chakudangashiya mboso mmekosa. Wivu. Kila mtu akisonga mbele nyinyi mnapatwa na wivu. Kila mtu yuko na bienye mungu amemuaidi
@nahyamateru36452 жыл бұрын
Jaman msaidie wmpate kakaake ivi mbosso aoni mdogo wake anavyo pata shida ebu ajitokeze jaman🙄🙄
@erickelia98262 жыл бұрын
Mbosso kwa jinsi mnavyo fanan na huyu dogo hakika ni ndugu kabisa
@richardmayugu5152 жыл бұрын
kwani kasema katelekezwa c kasema mwenyewe hawajakaa pamoja mda mrefu toka utotoni sasa mngekuwa nyie mngemfahamu
@joyokumu67912 жыл бұрын
Pesa zisizo za halali huezi wasaidia ndugu na dada wa damu lazima pia wajiunge na uharamu huo ndo waendane.
@deboraezekiel7842 жыл бұрын
Sio kwamba sio za halali nikwamba huyo nikijana afanye kazi
@edwardgistave26442 жыл бұрын
Kabisaaaa nakubali
@mzalendoonlinemedia71702 жыл бұрын
Kama nakuelewa hivi
@peninahwambui38672 жыл бұрын
True
@ianmasiba11552 жыл бұрын
True bro
@TwalibuMsharaba-xh5xz10 ай бұрын
Never give up pambana usikate Tamaa dogo muombe mungu napia mbosso mdogo wng najua mtakutana tyu atakusaidia
@OnePATCHO4 ай бұрын
Pambana pekeyako mungu ata kuseidia,ata mbosso kuna siku yeye mwenyewe hata kutafuta tu hukitoboa❤
@khadijas42012 жыл бұрын
Background music is annoying!!
@rayanaabdallah65802 жыл бұрын
Pambana mdogo wangu siku hizi damu si nzito tena kama zamani
@mwantumjaff25892 жыл бұрын
Umenenepa mzee baba J, kwel hkun mwembamba 😂
@aliamirbakar55802 жыл бұрын
Huyu ni mboso damu
@rukiaomar33692 жыл бұрын
Nenda wasafi onana na dida utafanikiwa iwenda yeye akakusaidia
@saidmduma9706 Жыл бұрын
siwez kumtafuta mtu hana mcgango wala msaada na mimi pamba ongeza juhuni ya kazi zako nzuri utafanikiwa
@ezekielsimon10662 жыл бұрын
Dogo ana sauti Kali sana akihimba
@mwanatummohammed69672 жыл бұрын
Wamefanana saana MashaAllah adi sauti utathani mapacha❤️😇
@emmanuelmasse62192 жыл бұрын
Kumbe baba mmoja mama tofauti hapo kusema ukweli kukusadia inahitaji moyo Sana Tena usikute hapo huyo baba yenu alimuacha mama yake na mboso anateseka na wanae ndio akaanza mahusiano na mama yako Hivyo nawewe haso kijana Kama yeye alivyo haso mtegemea Cha ndugue hufa masikini
@zuleikhakhamis33032 жыл бұрын
kabisa ndugu upande wa baba hawana nguvu kama mulozaliwa tumbo 1 mama hapa msaada kwa mbosso ata simlaumu mbosso atulie tuu dogo
@larickmtui28522 жыл бұрын
Nyie mnaemtukana mboso akil zenu fupi sana huyu dogo anatakiwa amtafute baba mzazi na sio mboso maana mboso sie aliezaa na mama wahuyu kijana
@fadhilsamwel39652 жыл бұрын
exactly bro big point
@zuleikhakhamis33032 жыл бұрын
nashangaa kabisa mbosso halaumiki haswaa amlaumu mama ake alotembea na baba wa mbosso machizi wote wanaomtupia lawama mbosso angekua mbosso hana umaarufu angemtafuta wamuache ndugu wa baba 1 kupendana kumsaidia ndugu ni mulozaliwa mama 1 tuu
@fatumakassim642 жыл бұрын
Ata wew chizi unae sapont boss utakuja kujua tu badae
@vveronicamakori22972 жыл бұрын
Ooh my God mbosso unamlenga ur brother, 😭so painful Sana. Ukipata ur brother akikutafuta take interest on it u never know tomorrow
@isaacelijah65162 жыл бұрын
Uc chargi wa2 wakati hujui kinachoendelea sio.
@Pratnumzsimba2 жыл бұрын
Muda wote alikua wap?
@zuleikhakhamis33032 жыл бұрын
kabisa 19yrs alikua wapi
@puyapotiger47322 жыл бұрын
Kama kwel mboso kwel kamsahau ndugu bas mung atampotezea leng ata kumchukuabt kuish nae ad dog anapata tabu hv
@sakinaabdallah77132 жыл бұрын
Wewe mtangazaji wacha uchonganishi ugomvi wa wazazi unawahusu Nini watoto
@kevooulemsee56732 жыл бұрын
Pata pesa ujue madugu na mabraza
@mupassalaurent11712 жыл бұрын
Ana fanana naye
@angelageofrey97562 жыл бұрын
Kiki nyingi si rahisi kumfikia mboso je kama unaenda kumzuru ungeenda taratibu tuonyeshe kithibitisho basi kama ni braza ako
@richardmayugu5152 жыл бұрын
jamani sikilizeni burudani mengine waachieni mambo ya kifamilia hayo acheni UMBEYA
@rezegerezege6912 жыл бұрын
😆😆
@stevenruhunga36772 жыл бұрын
Wachafu wote kweli wachafu kabisa. Ukishazama wachafuni kilakitu hakiendi unakata idi ndugu wa dam
@azizakombo3762 жыл бұрын
Daa kweli bwana ukiingia uchafuni lazima na wwe uchafuke tu maana huyu mboso ni ndugu yke kabisa yaani
@alainnduwimana5442 жыл бұрын
Punguzeni mdomo mimi tangu n'a zaliwa wanasema n'a fanana n'a Davido je nijiite ndugu yake nendeni taratibu
@balakajolam32112 жыл бұрын
Dogo sasa unamtafuta mtu umempata kakufungia vioo ww kaendelee kuosha tu magari mungu atabless tu kazi yako achana na misuko iyo pesa ya kusikia inatosha kununua homo ili utimize ndoto zako napia acha kitonga Maana apo unamtafuta mbosso ili upate kitonga tu
@alumonkisinda45742 жыл бұрын
Dogo nakujua Kuna siku nilikutania kuwa kuosha Prado na ist Bei sawa ukacheka Sana
@aminangombe8815 Жыл бұрын
Daah! Kumbe mama tofauti! Kukusaidia inataka moyo Xana
@ffaa47442 жыл бұрын
Hujaupata umbosso umeanza na ww kusuka yebo loooh 😀 kazi ipo
@asmotz33272 жыл бұрын
Kwa kweli inaskitisha kijana kama mm 2 bado mdog sana ila asichoke mungu yupo pamja na yeye
@khalmudodoma62712 жыл бұрын
Nipeni namba za huyo dogo
@mohamedoman93442 жыл бұрын
Mm naitwa Mohamed natokea nchi Oman anapenda sana kipindi chako
@AsmaAsma-gd3mv2 жыл бұрын
Mambo
@sixtussperatus7112 жыл бұрын
Tutafute pesa wadau naamini ata Mimi nina pacha wangu 🙄🙄
@user-qn1yq1pi7p8 ай бұрын
Suzy nikiwa Kenya too mach ❤️❤️
@rukiaomar33692 жыл бұрын
Kweli kafanana na mboso
@aminamohamed39162 жыл бұрын
salàm alekum mashallaah munafanana sàna bila kuliza
@dison.mnyamwezi2 жыл бұрын
tafut pesa dogo saiv ndug yako si mwezako tena huwo mda wa interview ungeutumia kutafuta chochote kama anajua saman yako yeye atakuatafuta
@shroerascomedy86752 жыл бұрын
Akikukataa we kuja Kenya tupige mjengo bro😅😅😅
@festolemsmuhindo47002 жыл бұрын
Kabisa wanafanana sana, asiofu kakake mboso ni mtu mzuri sana, te bwana mboso
@Best_tz2 жыл бұрын
Inasikitisha lakinn uskonde bwana mdogo ipo siku mungu atakufanyia wepesi
@mlolabooy90742 жыл бұрын
Ndug yke huyu 😜😜😜
@pichunakichuna21112 жыл бұрын
Mboso please tafuta brother ako
@mdadif52252 жыл бұрын
Sahii mbosso tajiri hata hakumbuki family 😲😱inauma sana 😢mbosso mchukuwe broo please 🙏#kenya
@margarethpolepole74382 жыл бұрын
Md adif kuna tatizo ndani ya familia hiyo ya mboso kuchangia baba mama tofauti japo wanafanana sura
@eppiemodest2 жыл бұрын
Copy right Khan Mbosso. Dah. Mboso uko wapi mdogo wakoanakutafuta.
@valenakomba92182 жыл бұрын
Muulizeni vizuri. Subiri ukaribishwe.
@julietnamayega2525 Жыл бұрын
Kwa mtazamo wangu ni wazazi hawakuleta watoto pamoja kujuana so so makosa yo mbosso by the time huyu mdogo wake akuae mtu mzima tayari mbosso alikua ashaenda kuhangaika mjini but asikufe moyo watapatana tu
@splanevanuelguyms72542 жыл бұрын
Uyo jama ni mbosso tu, na sasa ni video nyingi sasa, kwa nini mbosso ajali kuja kuangalia pacha mgodo wake, sasa uyo jama ajikaze sana ....🙏🙏🙏
@marthabura22662 жыл бұрын
Mboso usifanye hivyo ndugu yako huyu mnafanana naye jamani pesa usikupe jeuri please .
@mohammedali-yj6wv2 жыл бұрын
Maskini Pole sanaa wasani hadi ndugu muna watelekeza mhhh kwani mboso hajui kma ako n ndugu
@zuleikhakhamis33032 жыл бұрын
katelekezwa na baba ake mbona hamsemi wkt baba ake yuko hai na hataki kumtafuta ujinga huu
@misapinamiswi57512 жыл бұрын
Sauti pia yake
@cheupestefano54242 жыл бұрын
Unamtafuta MBOSSO akufanyie nini kama babako mwenyewe hakushughulikii
@@hamisimohamedhamisi3241 kwani mbosso ndo baba alolala na mama ake aende uko hujielewi na ww wamtafute baba ake uko
@elishakishiwa5992 жыл бұрын
dogo ana haki ya kumtafuta kka yake maana ndugu ni kubebana so anaamin akimpata kka anaweza kumwezesha kwa chochote akajikwamua kimaisha hii ndo big up kwa wachaga maana akiwin mmoja atawawezesha na ndugu zake so dogo akipata nafas ya kuonana na mbosso naamini mbosso atafrah sana the way dogo anavyosema mbosso yuko pekeake so atakuwa hapy sana kuonana na ndugu yake wa dam
@elishakishiwa5992 жыл бұрын
@@zuleikhakhamis3303 kwan kumtafta kka ni vibaya kama unaonyesha chuki kwa ndugu wasiokuhusu itakuwaje mmeo akiwa na mtto wa nje si patachimbika isitoshe dini yako inaluhusu so kusema kwamba kwan mbosso katembea na mama wa dogo ni kujizalilisha wewe na jamii yako acha roho mbaya
di hadi huyo mboso awe anamjua babaake na aweko naye ktk maisha?
@geffdepoet59742 жыл бұрын
Mboso kuwa na roho ya utu umsaidie ndugu yako
@rehematawalani7332 жыл бұрын
Oh kafanana na kakae hadi sauti mashallah
@doublej56882 жыл бұрын
Good work
@shreemwanakombo67942 жыл бұрын
Kwani uyu mbosso haendagi kwao jamanii.....atakama pia yeye alipitia hard life bt sio poa vile anafanya he has to be with his family bwana ......kama vipi mbosso anafail
Iyo yote m2 akiwa xehemu flan me cwez kujipendekeza kabsa kabxa
@hawaomary27822 жыл бұрын
Cheupe babao sinimoja jamn
@pillyolsen83772 жыл бұрын
Kwakweli wamefanana
@ayoayoo12222 жыл бұрын
Mwambie aende kwa producer mocco genius atapata number ya mbosso
@sharifusadiki23482 жыл бұрын
Duuh kweli ndugu yake mpaka sauti wanafanana
@hajratmohamed87572 жыл бұрын
Kama hamna yakucoment fungeni mikono yenu nyie mapaka wote mnaotoa tu maneno ya shombo
@naimanimo49252 жыл бұрын
He should go to the family first go to the mother of mbosso if the dad is there get not looking for mbosso it's not right
@lydiathomas29052 жыл бұрын
Maisha ni kupambana mdogo angu, usitegemee ngudu.
@minskbelarus72552 жыл бұрын
Lydia kumbe kwenu ni NGUDU !!!!!😀😁😂🤣😃😄😅
@assanisefu70802 жыл бұрын
Kwanini mbosso anafanya hivo kwandugu yake?
@mcharmo25442 жыл бұрын
Dah jamani sauti kabisa ni ya Mbosso Khan
@sadayusuf8872 жыл бұрын
Ila wababa nyie ndio mnayaleta haya yote pole pambana achana na wanao kukwepa mola atakupa mafanikio InshaAllah
@obrigadoofficial15062 жыл бұрын
Sauti inafanania mboso tutafaya uchunguz wa kina
@saudasaleh56942 жыл бұрын
Hata sauti ni moja wanafanana sana
@kbaleofficial30402 жыл бұрын
duh jamn hatakam mama tofauti sio kwaukatili huu jamn
@benjaminahadi59262 жыл бұрын
Njo utizame njisi diamond amekubali ngoma ya harmonize 🔥🔥🔥🔥🔥🔥kzfaq.info/get/bejne/esiJocWQusWtqGg.html
@richgambi66942 жыл бұрын
Ndege mzuri hutua penye mti mzuri
@brianorenge74232 жыл бұрын
N ngumu dana hyo historian mandugu
@magamatorignal28792 жыл бұрын
Kwani mbosso Hataka kusema Ajuwi kama ana mdogo wanke
@tedymdee99952 жыл бұрын
Mhhh jaman awenahuruma huyo mbosso
@mfaumealphani35542 жыл бұрын
Basi kama nikweli mungu a tamlipa kwa kukataliwa yeye mboso siye msani WA kwanza
@semanimasere71262 жыл бұрын
Mungu apendi
@rehematawalani7332 жыл бұрын
Wewe angalia maisha Yako achana name kutafutana km ni kweli yeye anajua anamdogo wake atakutafuta tyu lkn km ni kweli km ni kiki basi acha tuendelee na comment zetu
Kweli kama hawa njuani sini kazi ya wazazi kuinganisha, bona huyu hange tafuta babake ili awaunganishe, lkn kama mbosso hana umaarufu hangetautwa 😏😏step brother tafuta kakako kiutaratibu sio kwa mitandao, pia siwezi shughulika na wewe uko nifuata hivi.
@rahmankaran72872 жыл бұрын
Kafanana nae kweli 😍
@j-platnumztz49332 жыл бұрын
Duh!! Sauti ya mboso kabisa
@bishazomimah_love38522 жыл бұрын
Sasa apo mbosso anakosa gan mshaurini dogo akamtafute baba yao kwanza then baba yao atawaita atawakutanisha kama ni ndugu