Si tu Mungu anibariki na hiyo pesa nione vile nitakuwa,saa hizi siwezi sema eti sitafanya au nitafanya juu sina
@ericknkonya56825 жыл бұрын
Ukweli ni kwamba ukipata pesa bila kuhustle chances are you will lose it fast too. But if you went through bits and pieces to get your money, you will be smart enough to work around it
@mohammemoh73555 жыл бұрын
Ur right Jalas ,kunao wengi wana pesa lkn huwezi jua very humble.
@richardfrank27304 жыл бұрын
Mwakideu & jalas hawajamaa nawaelewa sana ila kiswahili ya Jalas inachekesha sana
@nzisakasau82345 жыл бұрын
pesa ninzuri ukiwa na akili,hekima,na maarifa...watu ndio wana fanya pesa owe shetani...
@mosesitem67565 жыл бұрын
Nzisa Kasau true missed this duo been away missed you too dearest #Nzisa
@nzisakasau82345 жыл бұрын
@@mosesitem6756 welcome back😁
@nikwandukaphilipo79234 жыл бұрын
Mamy nikwel
@samamussakibwana57034 жыл бұрын
It is true
@moseswairegi16895 жыл бұрын
One of the owners of Tusky does not even own a car so Jalas is right some people are very humble
@callistuscallistus42455 жыл бұрын
Humility , not to brag, Jallas is right
@naomimukami63665 жыл бұрын
He must be very mean to himself
@LenTowett5 жыл бұрын
Kuna humility na kuna ujinga....hiyo ya huyo ni ujinga
@dicksongitonga64095 жыл бұрын
@@LenTowett kabisa
@jessekinoti63973 жыл бұрын
😂
@nancypretty75765 жыл бұрын
Hehehehe matako inatutuma kununua nyumba 8 athiriver kwa siku moja am on the floor somebody help
@maureennyadenge36195 жыл бұрын
Ati being shaved with Baba's barber😅😅😅
@sweetmumwake97295 жыл бұрын
Yank Jalasi unasema mtu bila akili akipata anachomeka kwa matako😅😅😅😂😂
@alverztv62725 жыл бұрын
Very true... In kilifi kuna Mzee by the name saidi Keti ... The top richest man but wears champali za rangi mbili, very dirty clothes Yani you can't accept that
@bonifacemaeke68165 жыл бұрын
Hio ni conditions alipewa na wazee....
@beckahbeckam83835 жыл бұрын
He was reckless with the money because he didn't EARN IT.
@jayjayperez85055 жыл бұрын
Hio yake Ni ya masharti ya babuu
@steventhomas6725 жыл бұрын
@@jayjayperez8505 jamaa ni shylock mbaya sana,come see him. Ako na pesa,nyumba iko top,watoto wako ligi ingine,he z just humble
@frankleperes27925 жыл бұрын
Jalasss u make my day
@mwamengele5 жыл бұрын
Wachaga wa Tz wanavaa sandalz na wanaendesha single cabin Toyota huku wana several million dollars worth of assets
@leilaogutu49095 жыл бұрын
Mbwatatata😂...Jalas amenena ukweli
@jymietv6555 жыл бұрын
Wasapere wako.ako na ploti mzima ata gari hana.unakaa kwake na anakuomba lift.mwingine ako na mguu kumi na utampata akitoa waruu kwa lori
@gladyshuegli30554 жыл бұрын
Asante. Sijacheka hivyo for a long time
@thoyawehu80785 жыл бұрын
Watu kamahao afadhali pesa amupe Malaya lkn kununua kiatu ama nguo yakuvaa mwenyewe sumu.
@jacobogidi92595 жыл бұрын
Jalas limbwata libwata I like that brother
@nabwilelinet70275 жыл бұрын
😂😂😂😂😂aki nyinyi mko na mambo yawa
@kevinkidambi76925 жыл бұрын
Very true Jalas
@winnieodhiambo35115 жыл бұрын
Wisdom is the principle thing.
@King-Jack-ryan5 жыл бұрын
Haki ni ukweli kabisa
@mwalimumike75795 жыл бұрын
I agree with you jalas
@stevenndesh40145 жыл бұрын
Very true jalas
@kanabiliki5 жыл бұрын
Yangu inaeza lia mbwatatalasmbatatas!!
@kenyataa74935 жыл бұрын
Jalas is always a goof
@dogoharmo82115 жыл бұрын
aii uyu jamaa n fala sana atawai tajirika
@ngiradevies11725 жыл бұрын
He could have invested in Uganda
@nancypretty75765 жыл бұрын
Hehehe alafu mseveni hamfukuze arudi na mkono mbili hehehehe
@sirwycliffe48485 жыл бұрын
Till now sijawaielewa wahenga walikuwa wanafanya nini kwa matako ya watu ndio wakaskia ikilia mbwata
@celestineayush40125 жыл бұрын
😆😆😆😆
@conceptahimbezi99795 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nakufaa woii
@sirwycliffe48485 жыл бұрын
@@conceptahimbezi9979 hahaha
@billjames12165 жыл бұрын
Ngono
@carolinemwangi76175 жыл бұрын
Kweli kabisa
@bethuelnatembeya8695 жыл бұрын
Ukweli xana wakweh
@dianagerllesey18025 жыл бұрын
Matako ulia mbwata 😂😂😂😂
@wanjiruwalucy81165 жыл бұрын
mimi nikaweza jipata na 800m ill just take the 10% frist to my church..Then Build a children's home and i live it under my mummy care 🙏🙏
@mwaikadu74745 жыл бұрын
Wanjiru tiga maheni
@wanjiruwalucy81165 жыл бұрын
si maheni that definitely what i can do.. i wish i can have them right now
@sharikharib5 жыл бұрын
Hio 10% yako unadhani ni ngapi itafikia mungu..... Funny Christians
@antoinettedjumapili25225 жыл бұрын
wanjiru wa Lucy Yesu alimwaga damu yake ili usamehewe ma mbo ya 10% na manjiwa na unga yaliishia Golgota
@eliudmisoi96335 жыл бұрын
It's very true guys
@cirukarago72515 жыл бұрын
😂😂😂😂Kweli Jalas
@dundosaid22975 жыл бұрын
mbona mapastor wanapenda pesa
@evansonnguku99715 жыл бұрын
hio salary yake angeishi maisha mzuri sana bila taabu, tamaa ni mbaya