JAMAA CHIEF GODLOVE ANAEJISIFIA KUWA NA HELA INASEMEKANA ANAWEKA VIBAO ILI AONEKANE ANA HELA NYINGI

  Рет қаралды 85,770

Rick Media

Rick Media

9 ай бұрын

Mambo yamezidi kuwaka huko mtandaoni watu wanazidi kuweka ushaidi kuwa ChiefGodlove hana Pesa.
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------

Пікірлер: 122
@adambunduki4524
@adambunduki4524 9 ай бұрын
Daaa! Ukiangalia kwa haraka huwez gungua da! Ila watu kwa kuchunguza noma
@allykhalfan9513
@allykhalfan9513 9 ай бұрын
Duhhhhh sio poa Hongera ndugu mtangazaji kwa kutujuza kitu ambacho tulikuwa hatukijui
@chachamarwa7286
@chachamarwa7286 8 ай бұрын
wabongo kwa kuchunguza tuko makini aisee
@NdayishimiyeAmissi-el4vr
@NdayishimiyeAmissi-el4vr Күн бұрын
Matajiri wana pitiya wakati mgumu ki noma, wew unae sem ni mbao katu tengenezey na wey tuone, ao kiki izo?
@omarkioko3602
@omarkioko3602 9 ай бұрын
Hebu jiulizeni ...mshawahi ona Bakhresa ama mtoto wake akipanga Hela namna hio !? Na akiamua kupanga Hela zake ....bunge la Tanzania litajaa noti na Bado zikose za pa kuwekwa
@Shuugan
@Shuugan 9 ай бұрын
Amna kitu apo ila ata kuji brandi ivo ni moyo na niviji senti pia 😂😂😂
@FastpayMauzo
@FastpayMauzo 9 ай бұрын
Sauti ya mtangazaji mbaya. Kama sio pesa sinatuhusu nini na ww igiza Kama nae anaigiza
@hermanarron5341
@hermanarron5341 9 ай бұрын
Michezo ya kwetu Tunduma hiyo 😅
@faidhacute
@faidhacute 9 ай бұрын
Hakuna cha kuona wivu ukwel kuwa huyu jamaa hana pesa na mwenyew kasema
@YusterTitus-vz1cq
@YusterTitus-vz1cq 9 ай бұрын
Kwani watu wameona kuwa pesa ni nini labda kama tunakufa tunaziacha unazitambia nini ni upuuzi tu
@hermanarron5341
@hermanarron5341 9 ай бұрын
Michezo ya kwetu Tunduma hiyo 😅 hatari sana
@kichbosanga2188
@kichbosanga2188 9 ай бұрын
Wanatunduma wote tukutane hapa
@wozanawewoz979
@wozanawewoz979 9 ай бұрын
Pamoja na Nakonde😂 nilipita uko nimekumbuka mbali nikabadilisha na vipaundi vyanguu😂
@KhadijaMussa-wf9up
@KhadijaMussa-wf9up 9 ай бұрын
Mtangazaji punguza mbwembwe kwenye habari, unachefua yaan m2 anakosa ham ya kuendelea kusikiliza
@omarkioko3602
@omarkioko3602 9 ай бұрын
Huyo fala tuu ...Hana Hela zozote maskini mlala hoi ...pesa haioneshwi ...pesa inajotoa yenyewe ...na ukiona mtu anijisifu Yuko na pesa jua huyo ni panya wa kanisani ama bangunangu
@bobchillax8300
@bobchillax8300 9 ай бұрын
mwamba anmuonea wivu mwana...mwana ana vumba bhanaa
@showejikinjekitile5942
@showejikinjekitile5942 9 ай бұрын
Oya rick kausha izi mambo zitakukata KWA sababu hazita kuongezea wafatiliaji ivi awe anahela ama hana hela nyinyi kinapungua nini ama kinaongezeka nini
@saidkanji9882
@saidkanji9882 9 ай бұрын
Wajinga Kuna vingi vya kufanya
@jeffyjerry8129
@jeffyjerry8129 9 ай бұрын
Jamaa pesa anayo sema watu wivu tu
@adambunduki4524
@adambunduki4524 9 ай бұрын
Ndio pesa anayo ila angalia vizur upande wa kushoto kwako kwenye hilo burungutu elfu 10 imejikunja kibao kimeonekana
@ricklandennis
@ricklandennis 9 ай бұрын
Hana hela bro wenye hela hawana mbwembwe hizo na kwann anatumia nguvu kubwa mpaka vibao
@fabian1212
@fabian1212 9 ай бұрын
Dada unaongea sana unabore na kiingereza chako cha mchongo
@jeffyjerry8129
@jeffyjerry8129 9 ай бұрын
Kweli ana zingua
@manajr9155
@manajr9155 9 ай бұрын
Anakera hasa, mm nikimsikia yeye kwenye habari zao Tyr najuwa hapa hamna kitu. Dada mbona wenzako hawabwabwaji hivyo
@user-mk6vm8ub2u
@user-mk6vm8ub2u 9 ай бұрын
Huyo jamaa anapesa kweli
@aswaneliphas2271
@aswaneliphas2271 9 ай бұрын
Asawan Elphas from KENYA acheni wivu hizo ni pesabana
@youngchoppa-ik9uo
@youngchoppa-ik9uo 3 ай бұрын
devo king nampendasana
@RichimondEliaUgwego
@RichimondEliaUgwego 3 ай бұрын
Maskini mbwa takataka, Wana Wivu, lakini Mimi ninachojua Chief Ana pesa nyingi Sana, Sasa Acheni wivu nyie maskini,kenge,😔✌️
@iamk2me
@iamk2me 9 ай бұрын
Amna ukiwa na pesa nyingi ukizirekod Hua zinagoma Wakati mwengine 😂😂😂
@user-ub2sm5vy2z
@user-ub2sm5vy2z 9 ай бұрын
Naijua iyo
@mrsinia3064
@mrsinia3064 9 ай бұрын
ila jamaa anatupiga kwakwer mweny hela hajitangazi kwanz ili iweje kwa mfano 🙄🙄
@user-tp2mw3kn1s
@user-tp2mw3kn1s 9 ай бұрын
Nipesa izo
@mussa4413
@mussa4413 9 ай бұрын
Kweli Siyo Hela.
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 8 ай бұрын
Mwenye Pesa uwa hajionyeshiii huyo ana mawazo ya kimasikin
@3venture180
@3venture180 8 ай бұрын
Iringa mpaka dar sio safari rahisi acha awatishie mbao za kwao😂
@Mtazyinstrumental
@Mtazyinstrumental 9 ай бұрын
Usikute anawatapel watu
@ZackyFlavour-po3os
@ZackyFlavour-po3os 9 ай бұрын
Jamaa anahela kweli ila anazidishaga mbwembwe anapesa ya kawaida sio kama anavyo aminisha watu
@akimanaarlene851
@akimanaarlene851 9 ай бұрын
Hana pesa ni fake za attetion😅😅😅
@user-dk2we4yj3z
@user-dk2we4yj3z 9 ай бұрын
Kama hujuiii kaaa kmyaa bhax mwandixh wa habari cjui nyingi utafungwa
@rayt984
@rayt984 9 ай бұрын
FAKE IT UNTIL YOU MAKE IT🎉🎉🎉
@user-gw7qs2zx2i
@user-gw7qs2zx2i 8 ай бұрын
Dr kweli atamimi nimeamini siyo zenyewe
@emmanulvictory507
@emmanulvictory507 8 ай бұрын
Sas wew kama hujui kama ni kweli. unatangaza nin ??
@_pr2yq
@_pr2yq 8 ай бұрын
Hizo pesa bwana watyu wanawivu sana ukipata pesa mchawi ukiwa maskini ugishugulishi sasa afanye nn kila mmoja anautafutaji wake sasa kaweka vibao ajaweka ayawahusu acheni ushamba😂😂😂😂😂
@karimjuma4019
@karimjuma4019 9 ай бұрын
Ela mchezo kwan
@HamzaSaid-qc1mu
@HamzaSaid-qc1mu 9 ай бұрын
Acha ushirikina Kuna kufa
@dallahone2274
@dallahone2274 26 күн бұрын
Wazee wa ku zooom😳😳😳😳🤣🤣🤣🤣
@mohamedsheikh6618
@mohamedsheikh6618 9 ай бұрын
Amekosa adabu Magu amekufa, angekuwepo nidhamu ingepatikana meenyepesa tangu lini kujitangaza, ana Bank nyumbani kwao? Serikali iko likizo au? Huu ni ujinga na hila za utapeli, kwa kazi gani yaliyo nayo?
@fidembembela3010
@fidembembela3010 5 ай бұрын
Ela anazoo
@Janja20b-o-y
@Janja20b-o-y 6 ай бұрын
Kweli kama ni Pesa mbona Sisi atupatiye anipe kwanza njo nijuwe ni Pesa
@ChescoMwakipesile
@ChescoMwakipesile 6 ай бұрын
Bas itakuw ata izo stalee sizakwer
@timothntanwa1990
@timothntanwa1990 4 ай бұрын
Hizo ni pesa JAMA anaheha
@saxannjo6173
@saxannjo6173 9 ай бұрын
ACHEN UVIVU NA WIVU.... TAFUTEN HELA.. UPUUZ
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 6 ай бұрын
Nyie vp tafuteni pesa hizo ni pesa kwani pesa haziwezi milikiwa na binadam?
@zahororashid-tw3hz
@zahororashid-tw3hz 9 ай бұрын
Huna hela mzee acha kuvimba na kiini macho kibao kinaonekana kbsa icho umeweka rangi ya waridi
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 8 ай бұрын
Jamaa pesa anayo si izo kazidondosha tumeona kuna wengine ata mia hawana
@andersonruhenda9081
@andersonruhenda9081 8 ай бұрын
Pesa kidogo hizo ukitakakujua geuza kwenye dollar ndiyo utajua hunapesa kijana
@user-nx1jz6ox2b
@user-nx1jz6ox2b 9 ай бұрын
Je hatakama vbao unaweza rngana nae
@omarmwabege
@omarmwabege 9 ай бұрын
Yote yanini kujitafutia husuda za bure?!
@alisakasukulu1784
@alisakasukulu1784 9 ай бұрын
😂😂😂
@vicentmapunda3146
@vicentmapunda3146 9 ай бұрын
Anatak kumuiga tekash 😂😂😂 utachanip msamba
@user-tr6gd1sj5w
@user-tr6gd1sj5w 9 ай бұрын
Izo pesa bhana
@jameskilasa759
@jameskilasa759 9 ай бұрын
Na hayo magar anayotumia yote ni fek ya kuzungusha subir tra waone
@erastomgimba4176
@erastomgimba4176 6 ай бұрын
Oi amna k2 apo
@djscobo8381
@djscobo8381 9 ай бұрын
Cretivity dooh pink manilla paper
@mafuja1991
@mafuja1991 8 ай бұрын
Huyu ana ndangu,pesa za majini au ana jini ambaye anampatia hizo pesa
@user-ie1cw1yo8k
@user-ie1cw1yo8k 9 ай бұрын
Hela Freemason
@HamisMagazi-nn7bd
@HamisMagazi-nn7bd 9 ай бұрын
Huyu mchizi kumbe boya 2. Tulijua huwa ananoti kumbe tapeli nyoooo
@boyfalao6594
@boyfalao6594 9 ай бұрын
Kumbe wasenge mko wengi ivi mnashindwa kufanya yenu mnabaki na majungu acheni usenge taftenk zenu
@user-fh5on7bb7z
@user-fh5on7bb7z 8 ай бұрын
Nyinyi kama hamna hela bakieni namajungu yenu kenge nyee mwachani kijana atambe fanyeni kama anavo fanya yeye mbaa nyiee tokeni magetoni mkatafute hela tafuteni hela musitafute umbeya
@farajamelchior4578
@farajamelchior4578 9 ай бұрын
Hahaha jamaa muongo uyo
@showejikinjekitile5942
@showejikinjekitile5942 9 ай бұрын
Apa akili ndio inatakiwa tumia akili zako zote. Ila weka akiba ya akili ivi inawezekana mutu atumie bibao pesa kudanganya watu ili apate nini kaonyesha malangapi anatoa msada KWA watu na watoto yatima. Ivi ile full track shinga nakatoa KWA watu wangapia acheni kuchafuafua watu nyie media
@basekekasusu3186
@basekekasusu3186 9 ай бұрын
Ww huna akili angalia hela OG kaifunga mara moja na hayo mambao kafunga marangap
@FastpayMauzo
@FastpayMauzo 9 ай бұрын
Kama Anaigiza na wao si waigize??? Achen kukatisha watu tamaa mbwa Ninyi
@kwisa4899
@kwisa4899 9 ай бұрын
Muongo usipoteze muda wako kumfatilia
@ricklandennis
@ricklandennis 9 ай бұрын
Kwann ww akili yako haifanyi kazi, huoni katika ya hizo hela Kuna ranga ya pink nyingi hakuna maandishi. Nyie ndio maboya mnauziwaga sabuni badala ya simu huwezi hata kushughulisha ubongo wako kutambua kitu unachokiona kwa macho
@geraldbajile7564
@geraldbajile7564 8 ай бұрын
Yeye kaona hii ndio stahiri ya kujipatia kipato kwa kuwadanganya wajinga mwisho wa siku maisha yake yanamuendea
@Mtazyinstrumental
@Mtazyinstrumental 9 ай бұрын
Si ndo content hela anaga kila cku uwaga nacoment kwao
@saidipara4134
@saidipara4134 9 ай бұрын
Kulia kupokezana.😅😅
@seiffakir8694
@seiffakir8694 9 ай бұрын
Pesa ya Tanzania ovyoo
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 9 ай бұрын
Nanyie tafuten sio nyoko nyoko tu
@mkutiamani
@mkutiamani 9 ай бұрын
Sema asaiv dadaangu unaweka vionjo vya kuongea mpka unakela duuuh
@alphanlukombe3774
@alphanlukombe3774 5 ай бұрын
Sio za kweli anaweka vibao
@kichbosanga2188
@kichbosanga2188 9 ай бұрын
Aisee watu wanachunguza
@robertkigelulye9717
@robertkigelulye9717 9 ай бұрын
Mshamba tu uyo wenye huwa hajitapi km yeye !
@WeremaSagati-ft7ez
@WeremaSagati-ft7ez 9 ай бұрын
😅😂😂😂😂😂
@fredricksabick-hi1fl
@fredricksabick-hi1fl 9 ай бұрын
Wenye pesa hawaoneshi😂
@elizabethmasitsa6537
@elizabethmasitsa6537 9 ай бұрын
Hakuna siku wataonyesha kabisa pesa zao ni vile wata hawajui
@user-mx3eg1qj1e
@user-mx3eg1qj1e 9 ай бұрын
Ana kipi cha kumuingizia pesa
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 3 ай бұрын
Pesa anayo mabwege nyie
@bienvenukichambaomar5067
@bienvenukichambaomar5067 9 ай бұрын
Unaongeya saaana dada
@youngchoppa-ik9uo
@youngchoppa-ik9uo 3 ай бұрын
nataka ku joinfreemason
@taipaali4669
@taipaali4669 9 ай бұрын
bhn anapesa gan akajisif mbona wakina mond wananyqmaza tunaona tu bila kuambiwa
@zamidually744
@zamidually744 9 ай бұрын
Chief umemtoa mond trending
@Nalitumpaboy-dm4tk
@Nalitumpaboy-dm4tk 9 ай бұрын
Acha ufala mwenye hela ajitangazi kma kwl why aifute video
@samwelmarty6759
@samwelmarty6759 9 ай бұрын
Hela hiyo acha ujinga
@ChrisMwambeje
@ChrisMwambeje 9 ай бұрын
Vibao aiseee
@chibudenga8977
@chibudenga8977 9 ай бұрын
Uyoo mAku tu
@pedeize4987
@pedeize4987 9 ай бұрын
Jama kawa maarufu sasa
@mordeetz
@mordeetz 8 ай бұрын
Popa tunduma apa
@user-vc5wo3sn7r
@user-vc5wo3sn7r 9 ай бұрын
Huyo jamaha Hela anazotu😝
@mjumbewakristo8677
@mjumbewakristo8677 9 ай бұрын
Hamna hela humo
@user-jz7bu5ps1j
@user-jz7bu5ps1j 9 ай бұрын
Acheni ujinga uwowivi zile pesa
@meckiphasonmorewa2944
@meckiphasonmorewa2944 9 ай бұрын
Mnazingua jamaa anapesa kwel
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg 9 ай бұрын
We Mkewe mpaka utusibitishie" Sisi watoto tuliozaliwa mjini tunaijua hiyo michezo.
@liboriusbabile1197
@liboriusbabile1197 8 ай бұрын
Ginimbi 😂😂😂😂😂
@kanukanute1514
@kanukanute1514 9 ай бұрын
Utawala w magufur akuna upumbavu Kama hu,but pia hy jamaa anatkiw apimwe akil
@Caston_kayaka
@Caston_kayaka 8 ай бұрын
Anafanya kazi gani yeye
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 9 ай бұрын
Wivu hujielewi
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 9 ай бұрын
Umekuwa sio mtu wa kujiamini cku hiz wakat unasimulia kitu then acha hizo I don't know ni Bora kuacha kurusha hizo story girl
@Rajabu56
@Rajabu56 5 ай бұрын
Niunge
@user-gc3zj4rf3m
@user-gc3zj4rf3m 9 ай бұрын
Iyo sio hela k😊weli jamsa muongo😅😅😅😅😅😅😅
@user-ex7iy5rt6i
@user-ex7iy5rt6i 8 ай бұрын
The problem you speak a lot
@allysinge7096
@allysinge7096 9 ай бұрын
LKN KAMA KWNY KILA KIBAO KUNA SH ELFU 10, BADO PESA NYINGI MNOOO, WE UNAZANI IVYO VIBAO VIPO VINGAPI
@visionally975
@visionally975 9 ай бұрын
😅 mil 4 laki 5
@alikidungura9419
@alikidungura9419 9 ай бұрын
Huy kma anapesa hasa anazo ziharibu bas Watu wa serekali weshaingilia kati
@hermanarron5341
@hermanarron5341 9 ай бұрын
Michezo ya kwetu Tunduma hiyo 😅
@Saaa235
@Saaa235 9 ай бұрын
Jama pesa anayoila sioiyo anayotuonesha mitandaoni naongezea vitu bana anatupigaaaaa
@user-xu9mg8zr8x
@user-xu9mg8zr8x 8 ай бұрын
Izo ni pesa sema ni wivu tu
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 12 МЛН
CHIEF GODLOVE AKUTANA NA WATOTO WAMJINI WALITAKA WAMTAPELI ONZ
19:01
Chief_Godlove
Рет қаралды 4,1 М.
HII NDIO SABABU CHIEF HANA MKE INATISHA SANA TIZAMA HII
5:08
Chief_Godlove
Рет қаралды 24 М.
Jua kali leo usiku jumapili 21-7-2024         4k
19:14
JOKAJOKA
Рет қаралды 37 М.
МИША ПЛИТОЧНИК
0:19
KINO KAIF
Рет қаралды 10 МЛН
I meet Mr.Beast
0:15
ARGEN
Рет қаралды 8 МЛН