No video

JAMAA WATATU WALIVYOANGUKA NA KUUMIA VIBAYA WAKIONESHA UFUNDI WA PIKIPIKI ARUSHA "HAWAJAOMBA MAJI"

  Рет қаралды 58,613

Millard Ayo

Millard Ayo

Ай бұрын

Пікірлер: 111
@MariamKileo-mu8rv
@MariamKileo-mu8rv Ай бұрын
Hv Arusha haipo kenya kweli
@realmeamyna30
@realmeamyna30 Ай бұрын
Ahahahahahahaaha 😂hii ni kenya
@bobelichi7721
@bobelichi7721 Ай бұрын
😂😂😂😂😂 hom sweet hom
@user-ty2kc5jy7s
@user-ty2kc5jy7s 8 күн бұрын
Mfaiba elezea vzr bana brother nikirudi Arusha ntakuja ofisini kukucheka 😂😂
@dorcasassenga2005
@dorcasassenga2005 Ай бұрын
Ila Mtangazaji hujatuelewesha vizuri sisi wasomaji ajali imetokea Maeneo Gani. Umeishia kusema Eneo hii😢 Mungu awape uponyaji manusura hao.
@JosephMchomvu
@JosephMchomvu Ай бұрын
Imetokea Arusha-
@godfreymillardayoripota3002
@godfreymillardayoripota3002 Ай бұрын
Imetokea Arusha pembeni ya uwanja wa Lakilaki Kisongo
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Ай бұрын
Hawajaomba hata maji kwahyo wamekufa au
@khamisihussein8777
@khamisihussein8777 Ай бұрын
Arusha kisongo
@lindacharles998
@lindacharles998 Ай бұрын
​@@user-xk7vy4gb6gndiyoooo
@nesielias9493
@nesielias9493 Ай бұрын
Haya maisha huwezi pewa pesa hivi hivi mpaka ufe mbio za pikipiki ni kazi kweli😢
@LamarOmary
@LamarOmary Ай бұрын
Mungu bariki arusha yetu imekua ni kamzozo kila kukicha kipengele iamishiwe ata dar milad ayo apumzike
@user-lb8rd6tf5z
@user-lb8rd6tf5z Ай бұрын
Wew mwandishi taarifa Yako haijakaa sawa
@NorbethJosphath-hm1zb
@NorbethJosphath-hm1zb Ай бұрын
Haya mashindano bwana viongozi sijuwe kafara hata huku kuliwa kuna mashindano ya mpira baada kisha niligongwa na pikiki sijuwe nikafara na mshukuru Mungu naenderea vizuri sijuwe huwa wanatowa sadaka sisi tunajuwa mashindano kumbe kitu kingine baada ya hapo nilienda kumuomba Mungu alicho niambia Mungu atusaidie ukiona watu wakufa kwenye kusanyiko fulani juwa kafara Watu Mungu epuka mikusanyiko isiyo yalazima nenda kuzarisha
@HusseniHassan
@HusseniHassan Ай бұрын
Kiukweli niko mkoa wa Arusha ila katika mkoa unavizazi hovyo nimkoa wa arusha
@hassan-sarumbo
@hassan-sarumbo Ай бұрын
arusha ni kenya ase hawa watu me siwaelewagi kila mtu lazima ukute kichwa kimejaa kujiamini😂
@user-ve2nd6yw1s
@user-ve2nd6yw1s Ай бұрын
Yan Arusha
@boscokikoti
@boscokikoti Ай бұрын
Eneo hili gani???lipi,?haujatuhabarisha vzr thomasa
@ruthjapheth174
@ruthjapheth174 Ай бұрын
Mungu awasaidie sana.vijna vingine wanajitakia
@MichelJoseph-kz2lu
@MichelJoseph-kz2lu Ай бұрын
wajiga sana wanavuta magi wanakula mirung wamelewa alafu wanaenda kuagaiki barabarani kwajula hawjielewi mbaya said wanahumia hawausiki na rali jana mimi nimejinie kitu chajabu vijana wa arusha
@glorypetro2204
@glorypetro2204 Ай бұрын
Arusha ni kwetu ila punguzen bangi hii ni ongea gan sasa
@abednego3876
@abednego3876 Ай бұрын
Mbwa hao, wezao wanavaaga safety
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw Ай бұрын
Kweli awa machoko wamevulungwa yaan awaelew😂😂😂
@nuhhumwakanyamale4771
@nuhhumwakanyamale4771 Ай бұрын
Nimegara na Burungu😂😂😂😂 Unamaana gani Nilikuwa na jiless lkn ndio hvyo😅😅😅😅
@MathewLeonard-n2b
@MathewLeonard-n2b Ай бұрын
Chombo Cha moto hakizoeleki alafu jifinzeni aliyetengeneza hawezi muona anafanya ujinga huo poleni sana
@neemansasu9761
@neemansasu9761 Ай бұрын
Vijana wa kiume Arusha ni shida hivi wazazi wenzetu huko mwalionaje daa
@RosemaryShilla-dr6kp
@RosemaryShilla-dr6kp Ай бұрын
Jamani, inaumiza hii yote niajira eti sasa vijana bodaboda wafanye kazi zipi sasa. Makonda anawapenda sana vijana kweli.
@ayoubshoo
@ayoubshoo Ай бұрын
Jana nko town na machalii nkaongea kama utani tuu kwamba hili Rali lazima iende na sadaka, matokeo ndo haya hapa sa
@user-nd8gg4ig7m
@user-nd8gg4ig7m Ай бұрын
Yaani wenzao wamekufa wao wanacheza mziki😢😢😢😢
@richytarimo4656
@richytarimo4656 Ай бұрын
hapa hamna watu hapa
@user-ji1mq4sk1n
@user-ji1mq4sk1n Ай бұрын
poleni majeluhi
@allymwilu8089
@allymwilu8089 Ай бұрын
Hawa waboda wa arushq nao sometimes ni wasenge kupitiliza ujuaji ukiwa mwingi ndo tatizo😊
@AbdillahSalimu
@AbdillahSalimu Ай бұрын
This is big problem
@comfort-rjtv3291
@comfort-rjtv3291 Ай бұрын
Kwan police kuning'inia kwenye gari ni sifa maana kwa sababu za kiusalama ni makosa hata wao wakikuta umekaa hivyo kwenye gari wanadeal na wewe iv me nikiingia kwenye gari nikae bila kufunga mkanda wananipiga faini ila wao ruksa kushikilia gari.
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 Ай бұрын
hawa polisi wameshinda tangu asubuhi kwenye mashindano wako hoi hapo wakomaa lifti yakwenda nyumbani
@IddySimba-fp2cc
@IddySimba-fp2cc Ай бұрын
Ukikaza unaelewa
@rahmarajabu2585
@rahmarajabu2585 Ай бұрын
Ila jana nlijua maana walikua na fujo sana za pikipiki kuanzia asubuh barabaran ni kelele tuu za pikipik wamebebana mshikak
@MadilishaSimon-sb9kk
@MadilishaSimon-sb9kk Ай бұрын
Arusha ukweni mna mambo sana
@dativamajaliwa5809
@dativamajaliwa5809 Ай бұрын
Nilijua tu haya yatatokea Arusha maana jana wadudu wameraruka na kuweuka
@joachimsironga1560
@joachimsironga1560 Ай бұрын
Akili metiii akili kumkichwa hakuna hawafikiriiii sio Mara ya kwanza wala ya pili so hata siwazi ni kawaida
@Allybinamour
@Allybinamour Ай бұрын
hao watatu ndo washindi wapewe kombe lao
@JamesNdyabawe
@JamesNdyabawe Ай бұрын
Juice je?
@ignasmjie4413
@ignasmjie4413 Ай бұрын
hawajaomba maji means wamekata moto??????
@AgnessOlariph
@AgnessOlariph Ай бұрын
mtngazaji haijakaa sawa taarif yako
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li Ай бұрын
Nani alaumiwe hapo aliye ruhusu. Hayo mashindano. Ndiyo wakulaumiwa nasikia yalikuwa ya kumpongeza mama Samia Sasa watu wamepoteza maisha baada ya faraja ni huzuni
@waziriadam1022
@waziriadam1022 Ай бұрын
Basi kama vipi tufanye arusha siyo tanzania 😂😂
@thadeylyimo9772
@thadeylyimo9772 Ай бұрын
dk 7:08 chalii wanacheza mziki wa sauiti ya pikipik...Angalia mdomoni walivyojaza mirungi. wanatafuna tu... uategemea akiendesha atakuwa na akili ya kuchukua tahadhari kweli..
@studio..07
@studio..07 Ай бұрын
Kwa hiyo miti ni barabara ya KISONGO tu hiyo
@ZhukuJunior
@ZhukuJunior Ай бұрын
Matatizo matupu kufata mkumbo usio kuwa na mantiki
@CharlesWeston-tc2mt
@CharlesWeston-tc2mt Ай бұрын
Bangi hizo
@allymanyika3502
@allymanyika3502 Ай бұрын
Wamepewa mafuta ya bure na makonda wakaanza masifa yao ona sasa kilichowatokea ni mauti tu
@user-kx4wd5vb4j
@user-kx4wd5vb4j Ай бұрын
Usela mafi
@AishaNdinadyo
@AishaNdinadyo Ай бұрын
Shida ya tz wajinga wengi sana wanapenda kuona sehemu ye milusi mingi ndio sehemu ya kufuata tuache ujinga leo makonda anawapa nini kuamasisha mcheze na vitu vya moto mbona ajaenda kumchukua mwanae aje aunge mkono mama aduli tuache ujinga watanzwnia ujinga wetu ndio mtaji wao
@emmanuelmasatu
@emmanuelmasatu Ай бұрын
"Nimegara na burungu" kujiress. Misamiati juu ya misamiati.
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 Ай бұрын
Nimegara (nimeanguka) burungu (pikipiki) Kujiresi ni kula (ganja tungi na mirungi) unakua speed kila saa
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 Ай бұрын
Hiki ni kizazi au taka ngumu hizi?!
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 Ай бұрын
😂😂😂kwel Arusha kwa moto
@issaissa1361
@issaissa1361 Ай бұрын
Taifa la chuga
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Ай бұрын
TATIZO 2ENGINE BANGI NYINGI HII MICHEZO I AHITAJ WATU AMBAO WAKO TIMAM OHOOO INAHITAJ AKIR IWE SAWA SAWA
@JumaShabani-u4f
@JumaShabani-u4f Ай бұрын
Nikwer
@aminamripa1596
@aminamripa1596 Ай бұрын
Ila makonda Ana kazi na Hawa watu walah
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Ай бұрын
Kwani hayo nashindano yalichangamana na magari??
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 Ай бұрын
Makonda tunaomba uangalie Hawa vjana wa pkpk ni bangi tupu
@HenryCastuli-jz3cx
@HenryCastuli-jz3cx Ай бұрын
Lema kashatuambia nilaana
@husseinmaingo5009
@husseinmaingo5009 Ай бұрын
Kwendraaaa mshamba wew
@hamidkololeki5009
@hamidkololeki5009 Ай бұрын
Acha upumbavu Lema nan
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 Ай бұрын
Ni mbaya tu enyewe
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
Arusha hakuna Cha Mzee wala kijana, Mzee anadai "alikuwa kajipumzisha kichakani"
@FreyNetwork
@FreyNetwork Ай бұрын
Daaah,,,umenchekesha kifala😅😅🤣🤣,,,,eti Mzee anadai yupo kichakani
@user-uu7pv6ps6g
@user-uu7pv6ps6g Ай бұрын
Arusha matukio yamezid
@stanastana3199
@stanastana3199 Ай бұрын
Jamaa wanacheza sauti ya pikipiki ama naona nn
@lindacharles998
@lindacharles998 Ай бұрын
😂😂😂ndiyooo Yani Apo kwao ni shangweeee
@stanastana3199
@stanastana3199 Ай бұрын
@@lindacharles998 daah sio mchezo
@nolascomashelle6838
@nolascomashelle6838 Ай бұрын
Nilijua yatatokea iyo inaitwa punguza wadudi
@user-rs6ot2hx5g
@user-rs6ot2hx5g Ай бұрын
Ila wadudu
@surusuru1994
@surusuru1994 Ай бұрын
Sifa nibaya chuga
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Ай бұрын
Huu mkoa 😂
@godfreynyarata7450eeeeyyy
@godfreynyarata7450eeeeyyy Ай бұрын
Nikujiresii
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh Ай бұрын
Acha wadedi wanakasi ya kuzaliwa
@waziriadam1022
@waziriadam1022 Ай бұрын
Kwani piki piki ni arusha tuu
@ramsdenjames9782
@ramsdenjames9782 Ай бұрын
Hawa nao walizaliwa dah
@user-zg4yz7je8d
@user-zg4yz7je8d Ай бұрын
Aya sasa makonda ni michezo yako unauwa vijana wa watu
@ryansawee3952
@ryansawee3952 Ай бұрын
nani kadandia PT
@JumaShabani-u4f
@JumaShabani-u4f Ай бұрын
Ni mzozo atowon
@johnmike6059
@johnmike6059 Ай бұрын
Eti Samia motorcycle mnatolewa kafala wajinga nyie hichi kipindi cha uchaguzi eti walikatazwa wameshawaluka
@user-iv4hh2ow5g
@user-iv4hh2ow5g Ай бұрын
Hii ndy nchi ya chuga
@neemansasu9761
@neemansasu9761 Ай бұрын
Ya ovyo kabisa
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Ай бұрын
Arusha ni TANZANIA au maana lugha Yao siwaelewi
@love98910
@love98910 Ай бұрын
Njoo nikufundishe lugha yetu
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
Washenzi tu
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
Washenzi tu
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 Ай бұрын
​@@israelkisaila8401washenzi kivipi. Kausha ilikua ni mchezo sema Ndio km ivyo imekataa imekua mbaya
@KhadijumaKhadijq
@KhadijumaKhadijq Ай бұрын
Utaelewa tu kaishi huko😂
@judithfrancey7068
@judithfrancey7068 Ай бұрын
Kumbe kuna kuombaga maji
@user-sg7tr9fl5q
@user-sg7tr9fl5q Ай бұрын
😁😁😁😁😁😁😁
@worldnews1400
@worldnews1400 Ай бұрын
Arusha bhn😅
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Ай бұрын
Haya sasa mbona hii hamjaandika baada ya mwamposa kuja kuomba kwenye mashindano wafa wawili ni yule alietoka kawe ndo mliandika kikuda kafariki baada ya kutoka kwa mwamposa 😏😏
@emmanuelbenedicto589
@emmanuelbenedicto589 Ай бұрын
Hawa ni wahuni na hawakuwa kwenye mashindano acha kupotosha umaa kwa ushabiki wako.
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Ай бұрын
Arusha hiyo, husikii kiswahili chetu
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Ай бұрын
@@emmanuelbenedicto589 unachangia usichojua km hujui mtu amemanisha nn uwe unanyamaza haita kupunguzia kitu
@gabrielmwasapi5779
@gabrielmwasapi5779 Ай бұрын
Biashara imekata
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 Ай бұрын
Kujiresi ni ( kula shada. Tungi. Mirungi) ni mbaya tu enyewe bablinse
@simonsadala2386
@simonsadala2386 Ай бұрын
Chugga meshindikana nyie ma chaliiiii
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 Ай бұрын
Kujiresi
@JumaShabani-u4f
@JumaShabani-u4f Ай бұрын
Ni mzozo atowon
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 28 МЛН
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 12 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 46 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 14 МЛН
Vijana wa Bodaboda waufunga Mji wa ARUSHA kwa fujo
11:54
Habari Digital
Рет қаралды 7 М.
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 28 МЛН