Jamila’s Memo | Sio Siku Njema kwa waliokujua Profesa Ken Walibora. Safiri kwema…

  Рет қаралды 38,762

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

4 жыл бұрын

My memo tonight inamhusu mwendazake ken waliaula walibora. Msomi wa lugha ya kiswahili, mhariri, mwandishi, mwanahabari na mwalimu. Walibora aliaga dunia siku ya ijumaa tarehe kumi mwezi aprili mwaka huu baada ya kugongwa na basi. Jambo la kusikitisha ni kuwa, hakuna aliyejua yaliyomfika marehemu walibora hadi baada ya siku tano. Jamaa na marafiki walianza kumtafuta baada ya kutompata kwenye simu na hata nyumbani kwake…na hatimaye siku ya jumatano nduguye aliupata mwili wake katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali kuu ya kenyatta..

Пікірлер: 43
@mahmoudmohamed344
@mahmoudmohamed344 4 жыл бұрын
Mashallah Jamila unaniliza namna unavyotamthilia maisha ya marehemu.Mungu amlaze pema na ampe wepesi ndani ya mwanandani.Mungu akulinde nawe Jamila uzidishe kipaji chako kwani siku njema uonekane mapema.
@garvingilbertkamanda3744
@garvingilbertkamanda3744 4 жыл бұрын
Jamilla makes Citizen TV lovely and lively,She is very articulate...
@mietsanteurer2308
@mietsanteurer2308 4 жыл бұрын
Kwa hakika kaburi ni tumbo lisiloshiba.Asante mwalimu Ken Walibora. Nitaendelea kusoma vitabu vyako na kukienzi kisha hilikiswahili. Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Amen.
@titokamau9007
@titokamau9007 4 жыл бұрын
Mamangu zainabu makame alizaliwa mwanza Tanzania magharibi,alikuwa kitinda mimba Kwa mke wa mwisho wa Mzee mwinyi makame,.........siku njema RIP
@falanqeeye5106
@falanqeeye5106 4 жыл бұрын
I am big fan of jamila
@shahibbaye5945
@shahibbaye5945 4 жыл бұрын
Maa Shaa Allah Kwa upeo wa ufasaha Bi. Jamila 2:38 nadhani unakusudia *mhusika Mkuu ambaye ni Otii wala si Oloo*. Buriani Ken Walibora
@siredwin8153
@siredwin8153 4 жыл бұрын
I first came to know Jamila back in 2003 when we bought our first television. She is a great media personality, no questions. I closely followed News Gang and her memo on the late Prof was emotional, articulate and for those of us who read Ken's books, unforgettable. Good work.
@patrickmunyiva8141
@patrickmunyiva8141 3 ай бұрын
been looking for this
@davidwangai677
@davidwangai677 4 жыл бұрын
Jamila my favorite
@jacklinechahilu6659
@jacklinechahilu6659 4 жыл бұрын
"Kwa kweli kidagaa,kimetuozea."mungu ahirehemu roho yake.😢😞
@PatrickPepela
@PatrickPepela 3 ай бұрын
Buriani Ken Walibora
@josephmwanja5493
@josephmwanja5493 2 жыл бұрын
Big fan
@blancabae6178
@blancabae6178 4 жыл бұрын
Ken Walibora Mungu ailaze roho yake pema peponi!
@andyandre7814
@andyandre7814 4 жыл бұрын
Good memo# Rip Ken
@fridaoronyi2926
@fridaoronyi2926 4 жыл бұрын
😩😭 My heart felt condolences, may God comfort his family.
@st.schogg6772
@st.schogg6772 4 жыл бұрын
Ooooh,,,may he rest in peace,, I have many books from him....
@andrewmaiyo885
@andrewmaiyo885 4 жыл бұрын
Good memo indeed, Rest in perfect peace Walibora.
@mankamohamed277
@mankamohamed277 4 жыл бұрын
Wasomi twamelewa😭
@sophiemuthoni9841
@sophiemuthoni9841 4 жыл бұрын
Siku njema...wah..may he rest in peace.
@hamzahhamza7123
@hamzahhamza7123 4 жыл бұрын
Kazi kuntu
@frashiermwihaki7453
@frashiermwihaki7453 4 жыл бұрын
Beautifully eulogized
@elizabethngige1242
@elizabethngige1242 4 жыл бұрын
Wow,what a tribute to ken.R.I.P
@user-ie1jy9ju3l
@user-ie1jy9ju3l 2 ай бұрын
Nizikeni papa hapa""mungu kwa nini uliyarahusu 😭😭
@abubatv8996
@abubatv8996 4 жыл бұрын
Mungu ailaze roho yake pahali pema peponi
@jacknerrickson2240
@jacknerrickson2240 4 жыл бұрын
Nizikeni papa hapa 😭😭
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 4 жыл бұрын
Rest in perfect peace ken
@salomemukani1627
@salomemukani1627 4 жыл бұрын
R.I.P KEN WALI BORA WALIAULA.
@bestcookingchanel7767
@bestcookingchanel7767 4 жыл бұрын
😭😭😭
@mwanashachambaza6414
@mwanashachambaza6414 4 жыл бұрын
R.I.P we live to remember you
@billaanyango8208
@billaanyango8208 4 жыл бұрын
Rip kenyan hero
@umojaafrika2447
@umojaafrika2447 4 жыл бұрын
Pumzika kwa amani Ken
@mahbubdawood2909
@mahbubdawood2909 4 жыл бұрын
Na vile wakati kama hu wa visangha zinatendeka kwa uwinghi ndipo wanahabari 🎤 wa media wanatuaga 😞
@AhmedHassan-iz3hq
@AhmedHassan-iz3hq 3 жыл бұрын
Rest peace our Ken walipora
@brimzim1967
@brimzim1967 4 жыл бұрын
RIP PROF
@Ash-rc8nd
@Ash-rc8nd 4 жыл бұрын
I feel like Vyone (sp)doesn’t let jamila speak and keeps cutting her off- most of the orthers cut her off as if her opinion isn’t important and she lets herself be cut off
@johnmwangi9574
@johnmwangi9574 4 жыл бұрын
Ivony is a bitch behind the mic
@DAKTARIMBENEKAKENYA
@DAKTARIMBENEKAKENYA 4 жыл бұрын
I agree ☝️. They take for granted her presence and contribution a lot . Madharau
@garvingilbertkamanda3744
@garvingilbertkamanda3744 4 жыл бұрын
Umenena yote.....Manshalla Jamilla..
@stellahnjagiakaemma9057
@stellahnjagiakaemma9057 4 жыл бұрын
Another prophet gone.
@abdifatahduchtholland5473
@abdifatahduchtholland5473 4 жыл бұрын
Kisawahili una juaji wewe ni msomalia
@user-ts8tx9vb6y
@user-ts8tx9vb6y 4 жыл бұрын
Unaweza jua mimi ni msomali bro
@abdifatahduchtholland5473
@abdifatahduchtholland5473 4 жыл бұрын
Praat nederlandse aub geen kenia taal is gek taal
@denonjoka8848
@denonjoka8848 4 жыл бұрын
Pumzika Na Yesu Ken Walibora Na Wewe Ken Walibora Ulikuwa Mwandhishi Mpya Wa Vitabu Hazitawai Saulika Kenya Kama Siku Njema Na Wewe Ken Walibora Hautasaukika Kwa Historia Ya Kenya.
Buriani Ken Walibora Waliaula!
49:44
Habari za UN
Рет қаралды 1,5 М.
CHOZI LA MWANDISHI! INALIZA tukimkumbuka hayati Ken Walibora!
40:30
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 28 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 24 МЛН
Meet & Greet with Aisha Khan: Jamila Mohammed
34:57
HorizonTV Kenya
Рет қаралды 63 М.
Ifahamu riwaya Ya siku njema.
3:14
Ruga Eval✍️
Рет қаралды 2,3 М.
MAHOJIANO NA KEN WALIBORA ( PART I)
28:52
Kauleni TV
Рет қаралды 8 М.
Chief Guest  Prof Ken Walibora
47:54
LORETO CONVENT MOMBASA
Рет қаралды 104 М.
Ken Walibora roots for Kiswahili
1:59
Nation
Рет қаралды 42 М.
KEN WALIBORA ALIVYOKIENZI KISWAHILI!
47:30
Kenya Digital News
Рет қаралды 10 М.
Sabina | Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
9:04
Katuni Za Morowa
Рет қаралды 205 М.
Okulima emboga cabbages part one
17:22
OMULIMI NOMULUNZI
Рет қаралды 4,6 М.
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 28 МЛН