Рет қаралды 20,829
Mwananchi Digital
Mke wa rais mama Janeth Magufuli leo amemwaga machozi wakati alipokuwa akiagana na walimu wa shule ya Msingi Mbuyuni, iliyoko jiji ni Dar es Salaam shule ambayo alikuwa akifundisha kabla ya kuwa Fist lady