JE KUNA MUNGU WATATU?

  Рет қаралды 3,255

Testimony Tv

6 күн бұрын

Ni swali linaloulizwa na kujadiliwa na watu mbalimbali Duniani leo, Katika majadiliano haya kati ya Fransis Ndacha na Fabiani utaweza kuongeza kitu kipya katika ufahamu wako juu ya Nafsi tatu za Mungu yaani Mungu mmoja kujifunua katika nafsi tatu (TRINITY), Mungu Baba, Mwana wa Mungu na Mungu Roho. Pia utajifunza juu ya Mungu mmoja yaani BABA, kisha mwana wa Mungu na Roho wa Mungu.
Karibu kwa Maswali na hoja zilizonamizizi ya neno la Mungu.

Пікірлер: 70
@alonmusse4729
@alonmusse4729 2 күн бұрын
Hakuna miungu mitatu.bali Kuna Mungu mmoja katika nafsi tatu
@stephensena7195
@stephensena7195 Күн бұрын
Barikiwa Sana Mwalimu Ndacha
@donaldmwahalende4841
@donaldmwahalende4841 5 күн бұрын
Amen
@YoungAslam11
@YoungAslam11 4 күн бұрын
Sawa mungu amemuita yesu mwanae. Wewe ndacha je mwanao anayomamlaka yako .na je mtu ukiwa mfalme je mwanao nae mfalme ataitwa mwanawa mfalme. Yesu sio mungu. Kutumia jina haimaanixh kuwa mungu .umejb vyema yesu sio mungu
@SuzanKonya
@SuzanKonya 5 күн бұрын
MUNGU Awabariki kwa ujumbe na ufafanuzi makini.
@DanielErnest-nn2zj
@DanielErnest-nn2zj 6 күн бұрын
Asante kwa maelezo yako mazuri , baeikiwa sana mtumishi wa Mungu
@msemakweli243
@msemakweli243 6 күн бұрын
Unaelezea vyema ndacha
@iddyhassan7666
@iddyhassan7666 6 күн бұрын
Mwalimu upo Sawa kabisa
@user-dt5wp5qo4n
@user-dt5wp5qo4n 5 күн бұрын
Elimu yako nzuri,umenifanya sasa ninaelewa bible vizuri
@YoungAslam11
@YoungAslam11 4 күн бұрын
Yesu sio mungu mwenyewe unajikanyaga umetoa andko umesema uzima wa milele ni huu then ukasema kumjua mungu wa kwel na yesu uliemtuma. Sasa kama yesu ndomungu vipi ajitume mwenyewe
@annanjoki6826
@annanjoki6826 3 күн бұрын
Yesu alipo kufa pale msalaba ni mamlaka yote alipewa na Baba yake na jina lake kikapewa nguvu kwa kina lake tutoa pepo kwa jina lake tutaponya wagonjwa na kwa kina lake tutafanya miujiza na maajabu lakini atakapo rudi kutuchukua kutupeleka kwa Baba yake ndipo atakapo regesha mamlaka yote kwa Baba yake ndipo akamwambia Baba kazi ulio nyuma nimemaliza hawa ndio nilio wapata duniani lakini kwa sasa tunamuita Mungu hata yeye mwenyewe anasema ukiniona mimi umemuona Baba yangu kwasababu mimi na Baba yangu ni kitu kimoja
@GunduaTV-et4nb
@GunduaTV-et4nb 3 күн бұрын
Umetoa wapi hii?
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 5 күн бұрын
Hoja za ndacha ziko Sawa kabisa
@YoungAslam11
@YoungAslam11 4 күн бұрын
Hoja hanaa mada anayozungumzia inabedhi kuwa yesu n mwanawamungu
@user-eu8jz4jl3u
@user-eu8jz4jl3u 6 күн бұрын
Mnakata kata sana mahojiano, mmevuruga wenyewe waandaaji, ila mchungaji anaeleza vzr mungempa mda awasomee maandiko
@annanjoki6826
@annanjoki6826 3 күн бұрын
Neno la Mungu ni Mungu mwenyewe tena neno la Mungu ni Biblia na hiyo Biblia kwa wasio amini ni ujinga lakini kwa hao wanao kuamini ni hekima na akili za Mungu kwa hivyo hili Biblia kama huna roho mtakatifu imefungwa utaisoma tu kama kitabu cha historia ya Yesu na haitakufanyia kazi
@adam-sr9jk
@adam-sr9jk 5 күн бұрын
Hueleweki juu mara unasema utatu hauukubali na yesu unamwita mungu,sasa ukweli upi unachanganya,
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 5 күн бұрын
Yani hata kama huelew mandiko ndacha amefundisha vzuri sana barikiwa Sana mtumishi
@EmmanuelMoses-pb1zh
@EmmanuelMoses-pb1zh 6 күн бұрын
Mimi hii hoja ya utatu inanitatiza tu sehem moja pale kwa Roho Mtakatifu
@pastoralexanderofficial6023
@pastoralexanderofficial6023 5 күн бұрын
Ninacho hoona mungu nimmoja watu nimajina wamemjumuisha ilamungu nimmoja majina ndio walitaka kutumia kwajili wautukufu waliotaka kumuita basi
@YoungAslam11
@YoungAslam11 4 күн бұрын
Saut imetoka mawingun na sio mbinguni .na je hyo sauti ilikuwa ya nan?
@janejoseph561
@janejoseph561 5 күн бұрын
Alisema pia mumuombapo baba yangu neno lolote kwa jina langu nae atawapatia
@kiarienjire5595
@kiarienjire5595 5 күн бұрын
Yesu kazaliwa lini Kawa Mungu lini
@user-dw5hs9if6n
@user-dw5hs9if6n 2 күн бұрын
Mie huyo mungu mwingine simuhitaji aisee alishindwa kujitoa kuja kufa kwa aajili yangu mpaka Yesu ndo akajitoa kwa ajiili yangu.Yesu ndo Mungu wangu mmoja ambaye aliumba kilakitu
@opujejoshmahjoshmah1432
@opujejoshmahjoshmah1432 2 күн бұрын
Upungufu wa Uwelewa Upendo aliyo kuwa nayo Baba kwetu ndio akamtoa mwanae kutufia hata huna haya unless wewe ,ni mwislaam wezi elewa Jhn3:16
@user-dw5hs9if6n
@user-dw5hs9if6n 2 күн бұрын
@@opujejoshmahjoshmah1432 hakuna kitu kama hiko,mie nachojua Yesu anaitwa mwana kwasababu TU alizaliwa ila ni Mungu mwenyewe alifanyika mwili akaja kukaa kwetu
@user-fu3cg3gv9g
@user-fu3cg3gv9g Күн бұрын
Ndacha kanisa lako wapi baba staki kuburuzwa huku mimi
@benardsonga6597
@benardsonga6597 6 күн бұрын
ndugu Ndacha hili somo la utatu linakutatiza sana.
@user-zp5oo9gf1r
@user-zp5oo9gf1r 6 күн бұрын
Wewe ndo linakutatiza,,,hiyo ni doctrine,, Soma 1corintian 8:6
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u 5 күн бұрын
pia NAMI simuelewi kaka
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u 5 күн бұрын
Tunaona anaongozwa na roho wamungu alipokuwa katika majaribu hapo Hilo somo limekupika Jenga kubwa sana
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u 5 күн бұрын
​@@user-zp5oo9gf1rKwa Hilo linamtatiza sana
@user-dt5wp5qo4n
@user-dt5wp5qo4n 5 күн бұрын
Unaeza toa aya ambayo inaashiria utatu wa mungu,haiko na haitawahi patikana toka mpaka mwisho haimo
@franciscomtambakuluca2830
@franciscomtambakuluca2830 5 күн бұрын
Ndacha wew ni kiboko
@user-bh5cu2jy6c
@user-bh5cu2jy6c 5 күн бұрын
Kwenye miti Kuna jinsia mbili ya kike na kiume
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 күн бұрын
✌️🙏
@user-zp5oo9gf1r
@user-zp5oo9gf1r 6 күн бұрын
Kumwelewa ndacha hd uiache biblia iongee
@BarakaZabron-py2fz
@BarakaZabron-py2fz 5 күн бұрын
Absolutely true
@patrickwasesa4495
@patrickwasesa4495 6 күн бұрын
mimi nilikua namtegemea ndacha kuamtetezi mzuri waumungu wayesu-kristo kumbe sivyo! imani yandacha njo ileyakiislamu
@Ayyub_Semtawa
@Ayyub_Semtawa 6 күн бұрын
Jaribu kumsikiliza tena ukiwa na "fikra huru" na sio kimapokeo uliambiwa na viongozi wako wa dini...,utamuelewa
@user-zp5oo9gf1r
@user-zp5oo9gf1r 6 күн бұрын
Umemjibu vzurii huyu mjolii,,,ili umwelewe ndacha inabidi utoee fikra ulizokuwa nazo za dini yako
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 5 күн бұрын
Ndacha akosawa niww huelewi
@user-qo2xd3hb8l
@user-qo2xd3hb8l 5 күн бұрын
Je waebrania ni injili ya yesu?
@user-ry9gi9rx6y
@user-ry9gi9rx6y 5 күн бұрын
Kama Nyoka huza Nyoka basi yesu naye mungu.hivo msikwepeshikwepeshi mmebaki na waungu wawili mwana na babake kama mnavo Dai. Ivi mkisema mungu ni mmoja na yesu ni mjumbe wake shida iko wapi?
@YoungAslam11
@YoungAslam11 4 күн бұрын
Swali je mtoto wa rais ni rais? Ujaona mbuz anazaa mbwaa
@GunduaTV-et4nb
@GunduaTV-et4nb 4 күн бұрын
Dacha ukae na mtagazaji huyo visuri ndiyo ameweka amejua kuweka maneno msuri na kiswahili yake ni mnono
@salimobeid1470
@salimobeid1470 4 күн бұрын
Ndugu zanguni wakirusto kaeni chini mtafakari hii dini ya mchongo mnapoyea jamani bibilia haitambuliki kabisa ni maandiko ya wanaadamu kwa matamanio yao ya dunia sikilizeni maelezo mnaambiwa yupo mungu mmoja amabe pia ni mungu wa yesu jamani someni quran mjie ukweli
@BarakaZabron-py2fz
@BarakaZabron-py2fz 3 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@williams979
@williams979 5 күн бұрын
Amri inasema "Usiwe na miungu mingine ila mimi," Kutoka 20:3. Sasa je, utajuaje kuwa Mungu wako ndiye sahihi? Jibu ni Yohana 8:54. Katika Aya hii Yesu aliwaambia Wayahudi kuwa wanenaye wao kuwa ni Mungu wao, huyo ni Baba yake, yaani ni aitwaye Baba (soma pia Yohana 3:16; Waefeso 4:6). Hapa Wayahudi hawakujua kuwa Mungu wao waliyeelekezwa, kupitia Musa, katika Kutoka 20:2-3 ana Mwana, Yesu ndiye aliyewafahamisha. Baba ndiye Mungu wa pekee wa kweli (Yohana 17:1,3; 1 Wakorintho 8:6). Hata hivyo, kinyume na Mungu wa Wayahudi aliyeelezwa na Yesu, wanautatu hunena kuwa Mungu wao mmoja ni Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu, umoja wa nafsi tatu za milele. Je, Mungu watatu (Mungu Baba, Mungu Mwana, Mungu Roho Mtakatifu) wanawezaje kuwa mmoja! Umoja unawezaje kuwa Mungu!
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u 5 күн бұрын
Mr ndacha nikutokuelewa hapo mbona tunasema wako katika utatu
@opujejoshmahjoshmah1432
@opujejoshmahjoshmah1432 2 күн бұрын
Andiko
@pastoralexanderofficial6023
@pastoralexanderofficial6023 5 күн бұрын
Yesu alitumwa kama mtume na anajielenza mwenyewe kua nimwana wa andamu alietumwa nayesu sijui kwanini mnakosa kumuelewa
@DrUno-kp8go
@DrUno-kp8go 5 күн бұрын
Hujui chochote kuhusu biblia kma yesu n mwana wacadamu kwann zaburi 110:1 daudi anamuita bwana?
@user-dw5hs9if6n
@user-dw5hs9if6n 2 күн бұрын
Pastor hao kondoo zako unawambia kuwa Yesu ni mtume tu😢
@pastoralexanderofficial6023
@pastoralexanderofficial6023 5 күн бұрын
Mi kwangu akuna kinachonzunguka akuna
@opujejoshmahjoshmah1432
@opujejoshmahjoshmah1432 2 күн бұрын
Ukiwa wewe ni mkristo au pstr kula kibano Isiah56:10-11
@fredkamau
@fredkamau 5 күн бұрын
the transition is totally different 1 John 5:7-8 New International Version 7 For there are three that testify: 8 the[a] Spirit, the water and the blood; and the three are in agreement. King James Version (1611) 7For there are three that bear record in heaven, the Father, the Word, and the Holy Ghost: and these three are one. 8And there are three that bear witness in earth, the Spirit, and the water, and the blood: and these three agree in one. (1 John 7-8 KJV)
@fredkamau
@fredkamau 5 күн бұрын
1 Yohana 5:7-8 Neno: Bibilia Takatifu 7 Wapo mashahidi watatu: 8 Roho, maji na damu; na hawa watatu wanakubaliana.
@BaruMasimango-zo2se
@BaruMasimango-zo2se 5 күн бұрын
Ndacha we ni muongo saana Utakufa kafiri
@user-dt5wp5qo4n
@user-dt5wp5qo4n 5 күн бұрын
Ww ndio muongo juu majini ndugu zenu walisilimu mtu yeyote ambae amesilimu ni ndugu na jini,ww utakufa tu na ukafiri wako wa Islam na majini
@user-dt5wp5qo4n
@user-dt5wp5qo4n 5 күн бұрын
Utachomwa fanya uokoe nafsi yako mapema
@BarakaZabron-py2fz
@BarakaZabron-py2fz 5 күн бұрын
Na moyon mwako unaamini kabisa unamtete Mungu kumbe sio
@HellenLemilya
@HellenLemilya 6 күн бұрын
Mzee wa upako anasema yesu sio Mungu ni binadamu mtume kama alivyo kua akina Paulo vipi ww yesu ni mtu kama akina Paulo?
@opujejoshmahjoshmah1432
@opujejoshmahjoshmah1432 2 күн бұрын
Anamuunga mkono kwa kukataa Utatu sio katika kukataa Yesu ni Mungu kwa kuwa ni mwana Wa Mungu
@HellenLemilya
@HellenLemilya 6 күн бұрын
Lakini kama Yesu anatumia jina baba ake basi Mungu baba ni Yesu maana jina la Yesu ni la Mungu baba according to your explanation
@whajavfsb5154
@whajavfsb5154 6 күн бұрын
Wewe unatumia jina la baba yako ...je umekua baba yako?😅
@user-zp5oo9gf1r
@user-zp5oo9gf1r 6 күн бұрын
Umemjibu vzuriii😂😂
@user-dw5hs9if6n
@user-dw5hs9if6n 2 күн бұрын
Wewe ndo umeelewa.Mungu jina lake ni Yesu
@pastoralexanderofficial6023
@pastoralexanderofficial6023 5 күн бұрын
Ninacho hoona mungu nimmoja watu nimajina wamemjumuisha ilamungu nimmoja majina ndio walitaka kutumia kwajili wautukufu waliotaka kumuita basi
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 3,5 МЛН
OMG🤪 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:50
Potapova_blog
Рет қаралды 18 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 4,9 МЛН
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 3,5 МЛН