JINSI YA KUBADILI FRIZA (FREEZER) LITUMIKE KAMA FRIJI (FRIDGE) BILA KULIHARIBU

  Рет қаралды 2,323

Joyce Joe’s

Joyce Joe’s

6 ай бұрын

Mambo Vipi?
Kila friza lina mfumo wake wa hizo switchi hapo chini. Ila kwa mafriza ya kisasa, unaset tu ubaridi gani unautaka.
Unazungusha kutokana na mahitaji yako. Kama utahisi kwamba huwezi, zungusha kisha acha kama nusu saa hivi ndio ujue kama vimebadilika au la.
Ukishindwa, tafadhali comment hPo chini na nitafurahi kukujibu maswali yako yote
Jojo 🎉

Пікірлер: 9
@janethjovinal4495
@janethjovinal4495 5 ай бұрын
Minaitaji Niko munduli ila naitaji kulipia kidogokidogo
@BadiBadi-kd4id
@BadiBadi-kd4id 3 ай бұрын
Bei. Gani. Naitaji
@joycejoes
@joycejoes 3 ай бұрын
Nilinunua laki 5 na nusu mwaka 2021
@ChristinaJames-xp2fs
@ChristinaJames-xp2fs Ай бұрын
Jaman mm la kwangu linagandisha taratibu san yan nisaidie dada angu nijue shda ni nn ila ni kampuni ya mr uk
@joycejoes
@joycejoes Ай бұрын
Inaweza kuwa ni settings ulizoweka, angalia kama lina hiko kidude cha kuzungusha
@user-lk4wd3wi9q
@user-lk4wd3wi9q 5 ай бұрын
Nahitaji kama Hilo bei gani
@joycejoes
@joycejoes 5 ай бұрын
Nilinunua kariakoo, maduka ya wahindi mwaka 2021. Laki sita kasoro
@MayimboSinkhala
@MayimboSinkhala Ай бұрын
Kama unataka ugandishe una wap
@joycejoes
@joycejoes Ай бұрын
Unazungusha hadi palipoandikwa deep freeze yani huko ndo balaa😃 ukiweka maji nusu saa nyingi barafu hili hapa
Sababu na jinsi ya kuondoa harufu mbaya kwenye friji
7:01
Jiko Point
Рет қаралды 1 М.
Freezer Horizontal Eletrolux HE200, 199L (UNBOXING)
6:03
Jessy James Fortunato Sabadin
Рет қаралды 60 М.
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 20 МЛН
Best refrigerator in Tanzania | mr UK Refrigerator
1:36
mr Uk Electronics
Рет қаралды 14 М.
FUNGASHA NA MRUK | @BarnabaClassicMusic
1:52
mr Uk Electronics
Рет қаралды 4,7 М.
Thermocool 200 Liters Chest Freezer | HTF-200HAS R6 SLV
1:14
Zit Electronics Store
Рет қаралды 22 М.
JIFUNZE JINSI YA KUTUMIA OVEN KWA MATUMIZI YA NYUMBA..
11:16
Odessa Electrical Technology
Рет қаралды 7 М.
Best quality refrigerator and highly performance from mrUK
3:12
mr Uk Electronics
Рет қаралды 1,6 М.
SINGLE ROOM TOUR/MAISHA YA CHUMBA KIMOJA🌸#singleroom
9:07
SARAH NATURAL
Рет қаралды 14 М.
MAFUNZO KUHUSU VYAKULA VYA JOKOFU/FRIJI.
3:06
Turkana Finest Online Tv
Рет қаралды 19 М.
The Difference between Refrigerators and Freezers
4:28
Dombelo Shopping
Рет қаралды 1,2 М.
ABORDER FRIDGE AB-75 ANALYSIS (MCHANGANUO WA FRIJI/JOKOFU ABORDER AB-75)
16:07