Jinsi ya kufanikiwa | Njia za mafanikio | Siri ya mafanikio | Ramani ya Maisha 1| Best ways

  Рет қаралды 21,954

Rakims Spiritual

Rakims Spiritual

Жыл бұрын

Katika video hii utajifunza kuwa kila mtu anaweza kuwa milionea lakini ili kuwa bilionea unahitaji maarifa kutoka katika ramani ya maisha yako,
Vile vile utajifunza kwa nini wengi hufanikiwa kisha mambo kuharibika na pia utatambua ya kwamba mafanikio bila maarifa ni sawa kupandisha maji mlima.
Jiunge na channel hii kuweza kuamka kiakili, kimwili na kiroho na ukatae na ufungue njia zako mbadala za mafanikio na ushangaze watu waliodhani huna uwezo wa kupata mafanikio

Пікірлер: 39
@danieldaudi1283
@danieldaudi1283 Жыл бұрын
Kwenye biblia kitabu cha mithali kinaelezea kuhusu maisha na mustakabali wa kila mmoja ktk maisha
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Asante akiweka comment mwingine mwenye maelezo ya kutosha tutapin ya kwake. Asante.
@emmanuelmusa1061
@emmanuelmusa1061 Жыл бұрын
Na kwakuongezea katika kitabu cha KUMBUKUMBU YA TOLATI 8:18 ) imefafanua kwa kina zaid kama hivi= Bali utamkumbuka Bwana, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo. But thou shalt remember the LORD thy God: for it is he that giveth thee power to get wealth, that he may establish his covenant which he sware unto thy fathers, as it is this day.
@emmanuelmusa1061
@emmanuelmusa1061 Жыл бұрын
KWENYE BIBILIA (WAFILIPI 4:19 INASEMA HIVI) Na Mungu wangu atawajazeni kila mnachokihitaji kwa kadiri ya utajiri wake, katika utukufu, ndani ya Kristo Yesu. But my God shall supply all your need according to his riches in glory by Christ Jesus.
@frankdaud311
@frankdaud311 10 ай бұрын
Nimependa ufafanuzi wako umezungumza ukweli mtupu hongera sana tupo pamoja.
@eminenceboy8386
@eminenceboy8386 Жыл бұрын
Amina 🙏🙏
@OnesmoJumanne
@OnesmoJumanne 3 ай бұрын
Asante sana mwalimu kila siku umezidi kuwa bora zaidi ya jana
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 ай бұрын
asante mwenyezi Mungu azidi kukuongoza pia
@rutatv8358
@rutatv8358 Жыл бұрын
New vision
@user-gs4zg1vv7v
@user-gs4zg1vv7v 5 ай бұрын
asante kwa elimu yako
@emmanuelmusa1061
@emmanuelmusa1061 Жыл бұрын
ZABURI 24:1-2 PSALMS) (Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake. The earth is the LORD's, and the fulness thereof; the world, and they that dwell therein.
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Asante na Ubarikiwe.
@Amina-dn1dr
@Amina-dn1dr Жыл бұрын
Shukrani shukrani kwa elmu kubwa unayo tupatia
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Asante, kushukuru
@josephmutuku9214
@josephmutuku9214 Жыл бұрын
Asante sana kaka kwa elimu yako
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Asante kushukuru
@brightonjohnson
@brightonjohnson Жыл бұрын
Well noted kaka
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Asante mkuu, Tupo pamoja! Ubarikiwe.
@zabronjohn-ec4xr
@zabronjohn-ec4xr 5 ай бұрын
Namba ya simu kaka
@deus-iv2sp
@deus-iv2sp Жыл бұрын
Chanzo utajiri
@user-yl6jz5ek3j
@user-yl6jz5ek3j 4 ай бұрын
Good
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 4 ай бұрын
Welcome
@muranisalim3572
@muranisalim3572 Жыл бұрын
Fact
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Karibu tupo pamoja.
@HeliAdam.-zu9ph
@HeliAdam.-zu9ph 7 ай бұрын
Sawa sawa.
@DENISEVANS-yq1qq
@DENISEVANS-yq1qq 7 ай бұрын
Nitajuaje mwelekeo wangu wa maisha,ambapo mm ni mkulima,na kama nikifaham nitajuaje kazi yangu maalum ya kufanya ili. Inipe mafaniko?pia nashukulu sana kwa elim unayo itoa,mungu azid kukujalia maarifa makubwa zaidi ya hayo unayotupa.
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 7 ай бұрын
Kuna uchambuzi hufanyika private wasiliana nasi kwa whatsapp 0783930601
@naimahhussein8430
@naimahhussein8430 6 ай бұрын
@@rakimsspiritualok
@geoffreymwangi6627
@geoffreymwangi6627 Жыл бұрын
Sasa wewe takupata vipi.Nigependa tuungeee mengi.
@Direct-0000
@Direct-0000 Жыл бұрын
Size of your success will be measured by strength of your desire
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Why don't you start a video for this cc quote? Stop emberrasing yourself. This is a Swahili channel for East African community and those who speaks Swahili around the global. So you better use a language that can help every individual around this planet who speaks swahili to understand your quote and not being like a linguilistic slave..... also we respect your point of view but this channel is not for debates sorry.
@Direct-0000
@Direct-0000 Жыл бұрын
To be a higher performer you have to think big and take big action,if you think small and do nothing you will remain small
@ngongomamy2968
@ngongomamy2968 Жыл бұрын
ni kweli
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Asante.
@rutatv8358
@rutatv8358 Жыл бұрын
Elimu nzuri kaka
@SadockKyokyo-fu2nn
@SadockKyokyo-fu2nn 8 ай бұрын
Ni kweli kabisa
@MajutoShabani-qu1hl
@MajutoShabani-qu1hl 8 ай бұрын
Tuna.shida.na.nanba.ya.sm
@user-re3eu5mr4g
@user-re3eu5mr4g 5 ай бұрын
unafanyafanyaje irikuwona jichorata2
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 5 ай бұрын
Fuatilia kwenye video ya jicho la tatu
JINSI YA KUJENGA MIKONDO MINGI YA KIPATO na Edmund Munyagi
21:18
Edmund Munyagi
Рет қаралды 37 М.
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 22 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 60 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 49 МЛН
Siri (8) za Kufanikiwa Kiuchumi Na Reginald Mengi
11:32
Pesa360
Рет қаралды 67 М.
IKIWA SHIDA YAKO NI MALI SOMA SURA HIZI 2 TU UTATAJIRIKA, MDENI HATOKUDAI
31:13
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 380 М.
Jinsi ya kuita Jini | Kupata utakacho | Dini yoyote | Jinsi ya Kufanikiwa
17:43
Siri ya Mafanikio | hapo kwa hapo | Yasiyo na Shaka 100%
15:02
Rakims Spiritual
Рет қаралды 5 М.
HUWEZI KUFANIKIWA KIMAISHA BILA  MATATU HAYA....
50:09
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 1 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 22 МЛН