Amen barikiwa sana mutumishi kwa kusimama mwito wako hakika unaogozwa na ROHO wa MUNGU
@user-yh4hb7nn7x3 ай бұрын
Ninazidi kukua kiroho kupitia mafundisho yako, Mtumishi wa Mungu, Mungu azidi kukupa mafunuo mengi ili ufalme wake ujengwe hapa Duniani, nafurahi watoto wangu wanapata kitu kw kuwa Wana abudia hapo, Pastor hupigi ngumi hewani, Kuna mahali ngumi yako inagusa si Bure kazi yako, Barikiwa sana.
@ufooshuma2047Ай бұрын
p00😅
@user-fr1nj2hf5z13 күн бұрын
Nabarikiwa sana jaman nataman angekuja kutufundisha kanisan kwetu siku moja
@user-kf6ox4pe5b5 ай бұрын
I'm just blessed with your prayers 🙏 pastor umenifunza a lot of things God bless you sir na familia wako 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-rh7sb4lo9k2 ай бұрын
Thank-you man of God for the word
@diananaswa48427 ай бұрын
Ameeeeeeeen......nmejua namna roha atapatkana ndani yangu pst
@emmanuelpeter19982 ай бұрын
Amen mtumishi wa mungu,nimebarikiwa kwa kiwango kingine.
@ndealimbiekileo9652 ай бұрын
Asante mtumishi Mungu aendelee kukupa neno la kutuambia hakika nimejifunza mengi toka lwako
@IsayaJumannemkumbo4 ай бұрын
Ubarikiwe mch
@giftmollel7788 Жыл бұрын
Haya ni Madinii ya Hatarii sanaa Glory Hallelujah Glory to Jesus
@kissamwamunyange10189 ай бұрын
Yaani Acha kabisa. 😢😢😢
@winfridamahali63492 жыл бұрын
Asante sana nabarikiwa sana na haya masomo
@bahatimwangoka6761Ай бұрын
Ameni. Postor
@justinayohana6136 Жыл бұрын
Asante Sana mtumishi unanibaliki sana
@florencekwamboka971711 ай бұрын
Amen 🙏
@Fina-862 ай бұрын
Amen
@lucypangahela56033 ай бұрын
Asante sana Mt wa BWANA umenitoa gizani 🙏
@susumakomanya97624 ай бұрын
Ameen
@maicofidelix354911 ай бұрын
Mungu ninjanze roho mtakatifu
@user-fu9sn1yr4x11 ай бұрын
Nabarikiwa sana na Mchungaji hana tawi DSM
@kissamwamunyange10189 ай бұрын
Natakiwa kuwa makini sana na moyo wangu. Kuongea, kuwaza na kutenda
@winifridabilali8120 Жыл бұрын
Amina jaman ,nataman kuja kwa hilo kansan ,hongera mtumish uko vizur sana
@victoryagency6679 Жыл бұрын
Mungu nijaze NGUVU
@florencekwamboka971711 ай бұрын
I get the point, God bless you 🙏
@derickcowly6681 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe sana ili kanisa lipo wapi Tanzania lovely lovely
@apostlecospeter Жыл бұрын
Zidi kubarikiwa namungu
@sarahluvai65802 жыл бұрын
Amen Amen 🙏
@gilbertwanje10 ай бұрын
Amen 🇰🇪🇰🇪
@paulostephano9221 Жыл бұрын
Napokea nguvu ya roho mtakatifu
@Fred-jd9ws Жыл бұрын
Kweli
@geoffreylwambi87303 ай бұрын
I need your contact pastor, watching you from Kenya
@mercymsanzu6944 Жыл бұрын
Amen ak mchungaji si unilee ak na mimi nkue please 🙏🙏😭