No video

Jinsi ya kupika keki ya chocolate tamu balaa kwa njia rahisi / how to make fluffy chocolate cake

  Рет қаралды 134,496

Warda Khalid

Warda Khalid

Күн бұрын

Mahitaji
Siagi 125g
Sunkari 125g
Mayai matatu
Unga wa ngano 125g
Vanilla extract kijiko kimoja
Baking powder kijiko kimoja
Hot chochote powder vijiko vitano au zaidi
Kahawa kiji kimoja tu
Maji ya moto nusu kikombe
Frosting
Double cream
Na chochote
...
Cake mixer
amzn.to/38BHMiy

Пікірлер: 313
@nyanjilaneke4931
@nyanjilaneke4931 Жыл бұрын
aisee recipe yko kiboko nmetumia za wengi ila hii salute hongera sana my dear
@husnaarajab1505
@husnaarajab1505 9 ай бұрын
Mashaallah nimejaribu imetoka nzri na tamu sanaaa Allah akuweke mbali na jicho la husda nilikua nauliza mfano ukitaka kupika kama ya nusu unaweka mayai mangapi
@badriaahmed2475
@badriaahmed2475 4 жыл бұрын
Nimependa unavo famisha unafamisha hadi mtu analewa wallah Allah atakupa kila la kheri besty
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Badria Ahmed Aamin yarab 🙏 shukran
@badriaahmed2475
@badriaahmed2475 4 жыл бұрын
@@wardakhalid292 Kama siagi robo na sukari pia tobo ile ile na unga je vp robo au uzidi kidogo kama umetia na maziwa inakua nusu kikombe au
@PaskariNicolas
@PaskariNicolas Ай бұрын
Mashaallah
@emmychristopherndelwa1683
@emmychristopherndelwa1683 Жыл бұрын
Warranty nimejaribu cake ya chocolate kutumia recipe yko kwa mara y 1 imetoka vzr kma nimebobea what ndo mara yngu ya kwanza kuipika. Ubarikiwe sana. Nataman ungeona pcha ya cake yngu aisee. Ill always follow ure recipes
@salamamana5796
@salamamana5796 3 жыл бұрын
Umetishaa cake hii tamuuu sanaaaa
@borahhassan35
@borahhassan35 Жыл бұрын
Asante nitajaribu maana watoto wangu wanapenda Sana chocolate cakes
@meykipokile101
@meykipokile101 Жыл бұрын
Hongera dada recip yako ni nzuri naomba tufundishe kupamba keki Kwa foundant Kwa njia rahis
@user-ib4pu6fo1r
@user-ib4pu6fo1r Жыл бұрын
Mashallah Allah akuhifadhi nimependa unavyofundisha nitajaribu
@rehemaoyier5587
@rehemaoyier5587 2 жыл бұрын
Nimejaribu ni nzuri sana tamu hatarii imeishia tu hapa kitchen na watoto hadi wakubwa
@wardakhalid292
@wardakhalid292 2 жыл бұрын
MashaAllah 💕, thank you for lovely feedback 💕
@aishasaid2294
@aishasaid2294 3 жыл бұрын
Nmependa sna hbbty ufundishaj wako aina nyngne za vykula zipo💕💕❤ mshllah my dear
@wardakhalid292
@wardakhalid292 3 жыл бұрын
Shukran habibty ❤️
@aishasaid2294
@aishasaid2294 3 жыл бұрын
Thnx🙏🏻💋💋
@badriaahmed4373
@badriaahmed4373 3 жыл бұрын
Mm dada kama upo tazania naomba uje kwangu unifundishe nione haswa mwenyewe mashaaAllah dada unajua haswa kufundisha
@wardakhalid292
@wardakhalid292 3 жыл бұрын
Hahhaha, Asante💕, sipo Tanzania
@badriaahmed4373
@badriaahmed4373 3 жыл бұрын
Njoo tanzania pls Allah atakupa ujira wako ksa kutufundisha mapishi ili ndoa zetu zidumu njooo
@zahrahaidar5264
@zahrahaidar5264 2 жыл бұрын
Mashaalah very nice too much cake
@husnamsigara4124
@husnamsigara4124 2 жыл бұрын
Mashallah kpnz nimeongez kitu kipya
@radhiahamdoun9584
@radhiahamdoun9584 3 жыл бұрын
Maashallah shukraan habibty جزاك الله خيرا 💝
@wardakhalid292
@wardakhalid292 3 жыл бұрын
Shukran 💕💕
@cookingwithmimmo
@cookingwithmimmo Жыл бұрын
Hiyo hakika ina ladha nzuri sana
@yusufsalim3545
@yusufsalim3545 4 жыл бұрын
Shukran sana mungu akupe kila lakheri
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Yusuf Salim Aamin
@sehammbarak6170
@sehammbarak6170 3 жыл бұрын
Ur cake is so simple I made it on eid so delicious MashaAllah❤❤❤
@wardakhalid292
@wardakhalid292 3 жыл бұрын
Thank you for the lovely feedback 💕🌺🙏
@edenty1716
@edenty1716 3 жыл бұрын
you prolly dont care but does anybody know of a tool to log back into an instagram account? I somehow forgot my login password. I appreciate any help you can offer me
@lukebeckham3424
@lukebeckham3424 3 жыл бұрын
@Eden Ty Instablaster =)
@edenty1716
@edenty1716 3 жыл бұрын
@Luke Beckham I really appreciate your reply. I found the site through google and I'm in the hacking process now. I see it takes a while so I will get back to you later with my results.
@edenty1716
@edenty1716 3 жыл бұрын
@Luke Beckham it did the trick and I now got access to my account again. I am so happy:D Thanks so much, you saved my ass!
@yusufsalim3545
@yusufsalim3545 4 жыл бұрын
Shukran mungu akupe kila lakheri
@LuqmanHabibu-ye5uw
@LuqmanHabibu-ye5uw Жыл бұрын
Mashallah .. Nitaomba Mungu
@hariritv982
@hariritv982 8 күн бұрын
Nitaaaaam jman nimejaribu
@nuwayraseif9457
@nuwayraseif9457 Жыл бұрын
Mashaallah.. ni simple
@zenaahmed6824
@zenaahmed6824 3 жыл бұрын
Maashallah shukraan hbbty your the best
@wardakhalid292
@wardakhalid292 3 жыл бұрын
Thank you 💕🌺
@yusufsalim3545
@yusufsalim3545 4 жыл бұрын
Ukitaka mayai 6 vipi unafanya vipimo shukran habbtiiy mungu akupe pepo yarabiy
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Yusuf Salim Unga kikombe kimoja na nusu Siagi kikombe kimoja Sukari kikombe kimoja na robo Mayai sita Vanilla kijiko kimoja Baking powder kijiko kimoja Hot chochote powder saba mpaka nane Kahawa kimoja Maji ya moto robo kikombe
@faizaamour8478
@faizaamour8478 4 жыл бұрын
Hello, hio ya kueka juu ni lazima niweke double cream? Naeza eka maziwa?
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Faiza Amour hi Yeah unaweza lakini unatakiwa uchanganye na siagi kidogo Kwa mfano kama maziwa nusu na robo kikombe na siagi robo kikombe uliyoiyayusha.
@stunninglula4455
@stunninglula4455 5 жыл бұрын
Wow... Masha Allah
@wardakhalid292
@wardakhalid292 5 жыл бұрын
Stunning Lula shukran sana
@noorayaqoot1294
@noorayaqoot1294 4 жыл бұрын
Mashaallah nzuri sana
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Asante 💕
@kajoli7682
@kajoli7682 Жыл бұрын
Nimekupenda umeifafaunua vyema kwacc wazito tumeielewa fasta
@merianmsengi1091
@merianmsengi1091 4 жыл бұрын
Ahsanteeee❤
@juliethabel6425
@juliethabel6425 4 жыл бұрын
thx wardah,hapo umetumia vipimo vya 125g....naomba vya 250g....unaposema maji nusu glass unapima kwa measuring cups or
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
julieth abel yeah nimetumia measuring cup Na kuhusu vipimo vya robo hivyohivyo zidisha mara mbili isipokuwa baking powder na vanilla extract
@NarjuAli-ni5lm
@NarjuAli-ni5lm 4 ай бұрын
Nitajaribu na mm😅😅😅❤❤❤
@maryammarjan4015
@maryammarjan4015 3 жыл бұрын
nitajaribu nzuri sana
@faizasaid8262
@faizasaid8262 4 жыл бұрын
Mashallah
@samiraalhabsi3697
@samiraalhabsi3697 4 жыл бұрын
Mashaallah nzuri sn 💯
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Samira Alhabsi shukran
@rehemaoyier5587
@rehemaoyier5587 2 жыл бұрын
Ni tamuu!! Swali langu ni hiyo double cream ni kitu gani? Naweza kutumia butter cream kuchanganyia hii chocolate badala ya hiyo double cream?
@wardakhalid292
@wardakhalid292 2 жыл бұрын
Double cream jina jingine inaitwa heavy cream / whipping cream Yes unaweza ukachanganya buttercream na chocolate ambayo umeiyayusha tayari
@aishasaid2294
@aishasaid2294 3 жыл бұрын
Mshallah nzur
@dallatode8295
@dallatode8295 11 ай бұрын
Ma sha Allah warda
@Zahra-xq8qi
@Zahra-xq8qi Жыл бұрын
Mashallah ❤️
@lutfiamohammed806
@lutfiamohammed806 Жыл бұрын
Assalamu alaykum warahmatullah wabarakatuh siagi zipi ni nzur zaid Kwa cake ukhty
@kelvinnyonyi9082
@kelvinnyonyi9082 Жыл бұрын
Tamuuu iy nimependa
@alawimohamedothman7564
@alawimohamedothman7564 Ай бұрын
Naomba kujuwa niyarobo
@AmarahFashion
@AmarahFashion 5 жыл бұрын
Hataree
@wardakhalid292
@wardakhalid292 5 жыл бұрын
Amarah Fashion thank you
@sarahmusa680
@sarahmusa680 3 жыл бұрын
Its so delicious
@suzybultazary950
@suzybultazary950 4 жыл бұрын
Ahsante sana
@carolyndarius1065
@carolyndarius1065 3 жыл бұрын
hi...hv ukichanganya yogurt tena ya strawberry na hyo chocolate ukachemsha ni sawa?
@wardakhalid292
@wardakhalid292 3 жыл бұрын
Sijawahi kujaribu , ila najisi itakatika nakuwa na madongedonge💕
@mwanaidimnyamisi5790
@mwanaidimnyamisi5790 4 жыл бұрын
Shukran
@a.856
@a.856 4 жыл бұрын
Thx
@alialali8799
@alialali8799 3 жыл бұрын
Mashaallah nzuri
@badriaahmed4373
@badriaahmed4373 3 жыл бұрын
Asalam aleykum hbbty tupe picha la keki ya maziwa kama ipo mpz wetu wa mapishi unajua kabisa kazi
@wardakhalid292
@wardakhalid292 3 жыл бұрын
Nitawawekea soon InshaAllah
@mariamsalum3616
@mariamsalum3616 10 ай бұрын
Mashaallah ❤
@NarjuAli-ni5lm
@NarjuAli-ni5lm 4 ай бұрын
Je Una weza kuchanganya na colour nyengine
@doreenketegwe7220
@doreenketegwe7220 3 жыл бұрын
hello, naomba nisaidie kwa keki ya nusu kilo vipimo inakuaje?
@wardakhalid292
@wardakhalid292 3 жыл бұрын
Hi Fanya mara tatu ya vipo hivi kasoro kahawa usionheze na baking powder weka kijiko kimoja au kimoja na nusu cha kulia chakula
@badriaahmed4373
@badriaahmed4373 3 жыл бұрын
Mm naomba kuliza mpenzi kama una chocolate ulo fanya nyumbani ulo fanya cocoa sukari na maziwa na unga wa mgano na siangi kidogo jee kama unaiyo haina tatizo kumwangia kwenye keki kama ivo au badi ufanye chocolate kama ulofanya ww
@wardakhalid292
@wardakhalid292 3 жыл бұрын
Mimi binafsi sijawahi kufanya hivyo ila nishawahi sikia inafaa haina neno lakini sinahakika💕
@badriaahmed4373
@badriaahmed4373 3 жыл бұрын
Oky habibty
@salimanassoro552
@salimanassoro552 4 жыл бұрын
Masha Allah nzuri sana
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Salima Nassoro shukran
@salimanassoro552
@salimanassoro552 4 жыл бұрын
Mie nikifanya haichambuki so nataka kujua vipimo vyako ulivyo tumia hiyo blue band sukar na vyengine
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Salima Nassoro Sukari robo kilo Unga wa ngano robo Mayai sita Siagi robo Baking powder kijoko kimoja Vanilla extract kijiko kimoja Hot chocolate powder vijiko vitano Kahawa kijiko kimoja Maji ya moto nusu au robo kikombe
@badriaahmed2475
@badriaahmed2475 4 жыл бұрын
Badria Ahmed hii keki kuna vitu sina vielewa mayai 6 kwa siagi robo na hii dabo krim ni nn naomba nijue shukran
@badriaahmed2475
@badriaahmed2475 4 жыл бұрын
Naomba vipimo nimafiche siagi nusu kwa mayai 12 vp vipimo vyake naomba nijue pls
@winnieelphas7471
@winnieelphas7471 3 жыл бұрын
Hello..nashukuru sana mamy kwa darasa..lkn nimejarib kupika keki kwa muda rasmi lkn haikukauka vizuri (mbichi) ni nini shida? Au kuna kitu nilikosea kukiweka?
@wardakhalid292
@wardakhalid292 3 жыл бұрын
Sana sana ikitokea hvyo inakuwa ni moto wa oven unakuwa mkali kiasi kwamba keki inaiva kwa nje ndani bado mbichi au chombo unachookea ni chepesi sana kinapitisha moto kwa haraka na kufanya keki nje iive zaidi ndani iwe mbichi. Kwa hiyo angalia kwenye upande wa moto na chombo cha kuokea.💕
@mansourmtumweni3486
@mansourmtumweni3486 2 жыл бұрын
Yummy😋😋🥰🥰
@suhaahmeid2412
@suhaahmeid2412 Жыл бұрын
Cocoa unaweka vijiko vya chai na kahawa pia vijiko vya chai ?
@yusufsalim3545
@yusufsalim3545 4 жыл бұрын
Niletee vipimo kwa vikombe3 nataka kupika hii keki mungu akupe kila la kheri
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Yusuf Salim Yusuf Salim Unga wa ngano vikombe vitatu Mayai tisa Siagi kikombe kimoja na nusu Sukari vikombe viwili Baking powder kijiko kimoja Vanilla extract kijiko kimoja Hot chochote powder vijiko kumi Kahawa kijiko kimoja
@user-km4bk6dz3d
@user-km4bk6dz3d 11 ай бұрын
A.alykum mependa keki yako vp ukiutaka kupika ya mayai 6 unga unatikiwa uweje
@aishasaid2294
@aishasaid2294 3 жыл бұрын
Ila habbty nlikuwa leo ntka nipike hii gram 125 ni robo??? Na kwanni utumie mayai ma3 tu ningependa kupata vipimo nikitaka keki ya robo nifanye vip au ya nusu plz hbbty💋🙏🏻
@wardakhalid292
@wardakhalid292 3 жыл бұрын
Hii 125 sio robo dear. Keki ya robo inakuwa mara mbili ya vipimo hivi kasoro kahawa kipimo hichohicho. Na baking powder ni kijiko kimoja cha chakula au 1 na robo.
@aishasaid2294
@aishasaid2294 3 жыл бұрын
Aaa owky thanx🙏🏻💋 ntajaribu leo hbbty santee sana npenda recipe zako nkufaham sana 🙏🏻
@wardakhalid292
@wardakhalid292 3 жыл бұрын
AISHA SAID you’re welcome, All the best InshaAllah 💕
@aishasaid2294
@aishasaid2294 3 жыл бұрын
@@wardakhalid292 tnx hbbty🙏🏻
@glorybenedict4894
@glorybenedict4894 5 жыл бұрын
Thanks
@wardakhalid292
@wardakhalid292 5 жыл бұрын
glory benedict your welcome dear
@rukialada661
@rukialada661 3 жыл бұрын
Nice
@user-nl8ov5xz9t
@user-nl8ov5xz9t Жыл бұрын
Samahani cheif ni kijiko gani chai au chakula?
@pendoiszrael4825
@pendoiszrael4825 3 жыл бұрын
Asantevsana
@fatmaahmed5355
@fatmaahmed5355 Жыл бұрын
Kwenye frosting unaweza ukatumia chocolate ya aina yo yote
@badriaahmed4373
@badriaahmed4373 3 жыл бұрын
Kwani warda upo wapi tuje au je kutufundisha zaidi upo wapi kwani
@nunurama6957
@nunurama6957 3 жыл бұрын
Mashallah ni nzur sn nilikua naomb namb yk ili nij ktk kujifunz uk
@wardakhalid292
@wardakhalid292 3 жыл бұрын
Hey dear , nicheki kwenye page yangu ya instagram kwa mawasiliano💕. instagram.com/eastafricanfood_?igshid=g5nhp9tqz0am
@nanaahmed4017
@nanaahmed4017 Жыл бұрын
Masha Allah masha Allah Allah azidi kukupa ujuzi na kheir zake pamoja na baraka .upo vizuri kwenye kufahamisha nimependaa sana .upo nomoo hushobokii wallah
@fatmakhalfan-wq4hz
@fatmakhalfan-wq4hz Жыл бұрын
Mashallah nimeipenda nipe no yako
@gladnessmachange9460
@gladnessmachange9460 2 жыл бұрын
Dada nilikua nauliza je sweetened chocolate bar kama hyo ulitumia kwaajili ya topping naweza ipata wapi Niko Dar es salaam?
@wardakhalid292
@wardakhalid292 2 жыл бұрын
Me siko dar, ila wanasema ukienda kwenye supermarket zinapatikana.
@bint_yussaim8447
@bint_yussaim8447 2 жыл бұрын
Ni lazima unsalted butter?
@wardakhalid292
@wardakhalid292 2 жыл бұрын
Sio lazima ila ukiweka salted butter ziki inakuwa na ladha ya chumvi kwa mbali
@badriaahmed2475
@badriaahmed2475 4 жыл бұрын
Siangi vijiko vingapi na unga vingapi na sukari vingapi
@salimanassoro552
@salimanassoro552 4 жыл бұрын
Tuwekee hivo vipimo
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Salima Nassoro Vipimo gani ?
@chumemarehema8328
@chumemarehema8328 4 жыл бұрын
Kama huna double cream maziwa unatumia ya kawaida?
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Yes unaweza . Unaweka maziwa kikombe 3/4 na siagi uliyoiyeyusha 1/4 then unachanganya pamoja.
@kawtharsayed1730
@kawtharsayed1730 2 жыл бұрын
Ikiwa huna double cream unaweza kutumia whipping cream ya maji
@BS-vk9ls
@BS-vk9ls 2 жыл бұрын
Hit chocolate ni ipi ama ni ile ya kuweka kwenye milk and u drink??
@wardakhalid292
@wardakhalid292 2 жыл бұрын
Hii ni ya kuweka maji ya moto the unakunywa
@nuruamer5341
@nuruamer5341 4 жыл бұрын
Hizo vitu unatia juu yke naeza kuvipata supermarket navinaitwaje.?
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Nuru Amer Inaitwa shimmer sugar , yes unaweza kupata supermarkets
@salmatwalib145
@salmatwalib145 3 жыл бұрын
Sprinkles
@typhahbae7502
@typhahbae7502 4 жыл бұрын
Vp nkitumia salted butter itakuaje?
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Hakuna tatizo ni test tu inaweza keki yako ikataste chumvichumvi kwa mbali inategemea pecent ya chumvi kwenye butter utakayotumia.
@neymamark5063
@neymamark5063 4 жыл бұрын
Me nataka kujua y cake yng haiwi sponge nikitumia sufuria
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Pole dear, sijui itakuwa ni nini kinasababisha. Me nishapikia sana na sufuria haijawai nitokea kama unavyosema. Nitafatilia na nikipata jibu nitakujuza. Shukran 💕
@tedomazingira
@tedomazingira 2 жыл бұрын
Very delicious
@joycemosses8669
@joycemosses8669 Жыл бұрын
Nice
@sameeraimaan1789
@sameeraimaan1789 4 жыл бұрын
Je naweza kuchanganya choklet na Sona badala ya double cream
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Ndio unaweza dear
@sameeraimaan1789
@sameeraimaan1789 4 жыл бұрын
Mm nataka nifanye hii kwa ajili ya biashara je unaweza kunifundisha hii syrup yake ya dizain nyengine ili nipate faida maana naona hii inatumia choklet nyingi
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
sameera imaan ok, unaweza kuweka chochote chache ila rangi haitakuwa dark kama hio, au labda uweke Darkchocolate ndio utatumia chache sana na frosting yako itakuwa kama hivyo.
@fatimasaid4855
@fatimasaid4855 2 жыл бұрын
🥰
@aminachingwalu2850
@aminachingwalu2850 3 жыл бұрын
Kama hauna hio liquid ya maziwa ulichanganya na chocolate unaweza kuchanganya na Maziwa fresh
@wardakhalid292
@wardakhalid292 3 жыл бұрын
Sorry dear, sijawahi jaribu lakini inaweza pia ikawa kimiminika chepesi sana.
@raudhatrashid4325
@raudhatrashid4325 4 жыл бұрын
Asante dear unapatikana wapi
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Mimi niko UK dear
@raudhatrashid4325
@raudhatrashid4325 4 жыл бұрын
Kipenz mm nipo Tanzania Zanzibar napatika
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Ok , InshaAllah nitakuja kutembea siku moja.
@sweetyjumaa4006
@sweetyjumaa4006 4 жыл бұрын
Hi...nilkwa nauliza 125g of sugar ni sawa na how many cups? Maana kma butter ni 1/2 cup na flour ni 1cup... kwenye sugar ndo nakosa uhakika.
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Ni sawa na 5/8 ya kikombe. Au pia ni sawa na vijiko kumi vya kulia chakula
@sweetyjumaa4006
@sweetyjumaa4006 4 жыл бұрын
Warda Khalid niliona but i wasnt sure im glad umnjb thank u lods😘
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Sweety jumaa you’re welcome
@sweetyjumaa4006
@sweetyjumaa4006 4 жыл бұрын
Warda Khalid hey i tried ur recipe and it came out amazing MashaAllah thank u Waa😘
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Wow I’m happy to hear that, thank you for the feedback 💕
@paulineokaka1789
@paulineokaka1789 Жыл бұрын
Hiyo cream nitapata wapi?
@mercykombe
@mercykombe 3 жыл бұрын
Hot chocolate ni tofauti na drinking chocolate?
@wardakhalid292
@wardakhalid292 3 жыл бұрын
Hapana dear sio tofauti, ni hiyohiyo ni majina tu.
@badriaahmed2475
@badriaahmed2475 4 жыл бұрын
Naomba vipimo vya hii keki kwa kupima na mijiko kwa robo
@badriaahmed2475
@badriaahmed2475 4 жыл бұрын
Asalam aleykum naomba vipimo hivi kwa kupimia kwa kikopo cha rombo vipino vyote naomba unifanishe
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Badria Ahmed Waalykum salaam , sorry me sina hicho kikopo kwa huku niliko
@badriaahmed2475
@badriaahmed2475 4 жыл бұрын
@@wardakhalid292 noo si madukani inakua ipo siangi ya rombo au nusu
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Badria Ahmed yeah inakuwepo
@evelenkalinjuna7521
@evelenkalinjuna7521 4 жыл бұрын
Iyo double cream waweza tumia yogurt?
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Unaweza kutumia greek yoghurt ambayo ina high percentage in fat. But unapiga tu na mix na chocolate iliyo yeyushwa , haina haja ya kuipika.
@khalifaahmed5322
@khalifaahmed5322 6 ай бұрын
O m 1:07
@aishaissa2539
@aishaissa2539 3 жыл бұрын
nimependa san u upishi naweza kupika kweny jiko lamkaa???
@wardakhalid292
@wardakhalid292 3 жыл бұрын
Yes unaweza mpenzi , unatakiwa uwe makini na nakaa usiweke mengi keki ika ungua bila kuiva na usiweke machache sana keki ika iva 💕
@princessmakame6512
@princessmakame6512 4 жыл бұрын
Kama huna chocolate powder unaweza kutumia chocolate iliyoyayushwa?
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
princess Makame yes unaweza lakini angalia chocolate utakayo tumia iwe cocoa powder iwe high percentage Na uhakikishe umeiyayusha ipoe ndio uweke kwenye mchanganyiko
@princessmakame6512
@princessmakame6512 4 жыл бұрын
@@wardakhalid292 asante mpendwa
@hythumyusuph176
@hythumyusuph176 5 жыл бұрын
Da waordah this jmn uwiii mbona mi haitokagi ivi nakosea nin
@wardakhalid292
@wardakhalid292 5 жыл бұрын
Hythum Yusuph why dear, unaweka same ingredients au kuna kitu unaweka extra hakikubali?
@abullefetoriginal3442
@abullefetoriginal3442 4 жыл бұрын
Coffee ipi nzuri ya kueka katika kaki
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Abullefet Original kahawa yoyote hata africafe
@ayshaseaf3430
@ayshaseaf3430 3 жыл бұрын
Asalam alaikum Double cream ni cream gan nimetafuta sana dukan
@wardakhalid292
@wardakhalid292 3 жыл бұрын
Unaweza kuikuta kwa jina jingine kama whipping cream au heavy cream au double cream 💕
@badriaahmed2475
@badriaahmed2475 4 жыл бұрын
mayai 6 kwa siyangi robo ?
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Badria Ahmed yes dear
@ameuaali7349
@ameuaali7349 3 жыл бұрын
Badria upo
@annebybenjamin8558
@annebybenjamin8558 4 жыл бұрын
Umesema ukiweka cocopowder unatakiwa uongeze sukari au hapo cjaelewa
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Anneby Benjamin Yeah kwasababu me nimeweka hot chochote powder ambayo ndani ina sukari tayari na maziwa Lakini ukitumia cocoa powder ambayo haina sukari wala maziwa ni lazima ungeze sukari kidogo kama keki ya saizi hii ongeza sukari kama gram 25 ambayo utaiweka pamoja na ile ya mwanza unavyoanza kuchanganya
@luciaisaac2066
@luciaisaac2066 3 жыл бұрын
Hivi hivyo ulivyomimina juu vinaitwaje ukiuliza dukan?
@wardakhalid292
@wardakhalid292 3 жыл бұрын
Sugar strands au sprinkle strands
@asyaomar8757
@asyaomar8757 3 жыл бұрын
Ukiweka ile drinking chocolate jee inafaa?
@wardakhalid292
@wardakhalid292 3 жыл бұрын
Yes , inafaa💕
@badriaahmed4373
@badriaahmed4373 2 жыл бұрын
Jee kama unataka kubwa keki vipimo viwe kwa mara 2 kama kahawa ilikua kikombe 1 viwe 2 sio na mayai 6 yani kila kitu kiwe mara 2 yake
@wardakhalid292
@wardakhalid292 2 жыл бұрын
Sorry kwa kuchelewa kukujibu. Kwa kipimbo cha nusu kilo Siagi 500g Mayai 12 Sukari 500g Vanilla kijiko kimoja na nusu au viwili Unga 500g Hot chocolate powder weka 10vijiko Kahawa weka kijiko kimoja tu au kimoja na nusu ukiweka kahawa nyingi itakuwa chungu Maji ya moto nusu kikombe au nusu na robo Baking powder Kijiko 1 na 1/2 au kimoja ukikijaza vizuri
@badriaahmed4373
@badriaahmed4373 2 жыл бұрын
@@wardakhalid292 ok shukran
@badria5771
@badria5771 Жыл бұрын
Naomba vipimo vya robo plz
@najmasalim6272
@najmasalim6272 4 жыл бұрын
125 g ni sawa na kiasi gan kweny measuring cups?
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Kikombe kimoja
@najmasalim6272
@najmasalim6272 4 жыл бұрын
@@wardakhalid292 shukran habibty kwahiy hapo siag kikomb kimoja sukar kikomb kimoja na unga kikomb kimoja au sio
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Hapana , Unga wa ngano kikombe kimoja, siagi nusu kikombe na sukari 5/8 ya kikombe au vijiko vyakulia chakula 10 vya sukari.
@najmasalim6272
@najmasalim6272 4 жыл бұрын
@@wardakhalid292 shukran habibty
@wardakhalid292
@wardakhalid292 4 жыл бұрын
Afwan 💕
Jinsi Ya Kupika Chocolate Fudge Keki/Simple Chocolate Fudge Cake Recipe
10:37
The Best Chocolate Cake Recipe
14:28
Preppy Kitchen
Рет қаралды 1,4 МЛН
what will you choose? #tiktok
00:14
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 6 МЛН
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 15 МЛН
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 12 МЛН
Jinsi ya kutengeneza Keki ya Chocolate | Chocolate cake recipe
10:05
Shuna's Kitchen
Рет қаралды 87 М.
Making the Best Soft Chocolate Cake Recipe with Only One Egg!
6:02
Taste with TJ
Рет қаралды 45 М.
Homemade Moist Chocolate Cake Recipe | How to make Moist Chocolate Cake?
6:16
Chocolate Fudge Sauce/Rojo La Chocolate
8:41
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 38 М.
Jifunze kupika moist chocolate/Mahanjumati
27:29
Mahanjumati Online
Рет қаралды 2,3 М.