Mimi ni mtanzania kwa sasa nipo Lubumbashi DRC.napenda sana kula nyingi ya kupika kwako.aksante
@mapishifoodlife5 ай бұрын
karibu sana
@KeziaIssa2 ай бұрын
Nimependa Sana mapishi ya tambi❤ naitwa kezia Niko Dodoma
@mapishifoodlifeАй бұрын
karibu sana
@AgnesMrimaАй бұрын
Naitwa Agnes kutoka Mombasa napenda sana kupika chakula mbalimbali
@mapishifoodlifeАй бұрын
karibu sana
@user-nd3gi5px5rАй бұрын
Naitwa Queen kutoka kigoma nakipenda sana chakula hicho
@mapishifoodlifeАй бұрын
karibu sana
@user-dq1ju5wi6qАй бұрын
Hongera mapishi ni mazurii sana
@mapishifoodlife23 күн бұрын
karibu sana
@robathkomanya808Ай бұрын
Naitwa Suzana timoteo napenda Sana mapishi yako dah❤
@mapishifoodlifeАй бұрын
karibu sana kipenzi
@Agora-yu7pwАй бұрын
Penda sana❤❤
@mapishifoodlife23 күн бұрын
karibu sana
@TatuJumma2 ай бұрын
🎉
@mapishifoodlifeАй бұрын
karibu sana
@user-zv3md6hh6m5 ай бұрын
Naitwa saidath tokea masasi mtwara napenda San mapishi yenu
@mapishifoodlife5 ай бұрын
karibu sana
@sandracharles46353 ай бұрын
South Africa ❤❤❤
@mapishifoodlife3 ай бұрын
karibu sana
@user-nu7db2lm3x3 ай бұрын
Naitwa zai niko zanzibar
@mapishifoodlife3 ай бұрын
karibu sana
@RehemaKoroboyАй бұрын
❤❤
@mapishifoodlife23 күн бұрын
karibu sana
@lovenessgodfrey9631Ай бұрын
Loveness from arusha
@mapishifoodlifeАй бұрын
karibu sana
@TatuJumma2 ай бұрын
Nimependa Sana mpishi yako
@mapishifoodlifeАй бұрын
karibu sana
@DoreenStephen-eu8fqАй бұрын
Waooh
@mapishifoodlifeАй бұрын
karibu sana
@user-jf6lr2wp6e4 ай бұрын
Anaitwa mary kutoka dar nimependa sana mapishi ya mbogamboga na tambi
@mapishifoodlife4 ай бұрын
karibu sana
@user-uu3hv2uy9wАй бұрын
Mary kutoka geita
@mapishifoodlifeАй бұрын
karibu sana
@UwimanaMariam-wy4eg7 ай бұрын
Uwaaa najaribuuu asante 🙏 mimi kutoka Bujumbura Burundi 🇧🇮
@mapishifoodlife7 ай бұрын
karibu sana endelea kutufatilia
@UwimanaMariam-wy4eg7 ай бұрын
Ok
@rechosagumo89714 ай бұрын
Naitw rech kutoka. Morogor napenda San mapishi yak❤
@mapishifoodlife4 ай бұрын
karibu sana
@user-oi2vo5tn3y6 ай бұрын
Naitwa Jacob salu natokea lushoto Tanga karibuni sana
@mapishifoodlife6 ай бұрын
Karibu sana
@Ashaally-wz7nm2 ай бұрын
Kutoka mbeya
@mapishifoodlife2 ай бұрын
karibu sana
@elizabethkibona64375 ай бұрын
❤❤ nimeyapenda mapish yako mama
@mapishifoodlife4 ай бұрын
karibu sana
@VickMwaleАй бұрын
Naitwa Vick nipo Lindi napenda mno
@mapishifoodlife23 күн бұрын
karibu sana
@zakiaslim52683 ай бұрын
Zakia kutoka manyoni nimejifunza mapishi unaelekeza vzur na upo fasta ahsante
@mapishifoodlife3 ай бұрын
karibu sana
@HusnaSwediy-mp1wb7 ай бұрын
Mapishi mazur san mm kutoka bujumbura😍
@mapishifoodlife7 ай бұрын
karibu sana
@user-ze3fm4se7s5 ай бұрын
Aisha kutoka oman
@mapishifoodlife5 ай бұрын
karibu sana
@eyshwaria1002 ай бұрын
Za maya Unachemsha tambi unachuja maji unakoraga yai tatu kwenye bakuli, kitungu, karot na hoho. Kisha chukua tambizako weka kwenye bakuli la mayai kiasi cha mayaiulopiga. Kaanga kama chips zege done and dusted
@mapishifoodlife2 ай бұрын
wow asante kwa kushare na sisi pika karibu sana
@givenessmitengo78912 күн бұрын
Mama p kutoka shinyanga asante kiukweli napenda kupika
@mapishifoodlife8 күн бұрын
karibu sana
@DEVOTHAURASSAАй бұрын
Nipo Tanzania kahama
@mapishifoodlifeАй бұрын
karibu sana
@elizabethgasper51122 ай бұрын
Naitwa Elizabeth kutoka morogoro nimependa mapishi yako
@mapishifoodlife2 ай бұрын
karibu sana
@user-xl8xr2mo4e5 ай бұрын
Napenda vile uko fast kuanda inakuwa rahisi kuku follow.aksante
@mapishifoodlife5 ай бұрын
karibu sana
@user-iz9ci4rs3d2 ай бұрын
Kutoka Mwanza Tanzanian 🎉🎉🎉🎉
@mapishifoodlife2 ай бұрын
karibu sana
@AnethSeverine18 күн бұрын
aneth kutoka geitseverine
@mapishifoodlife13 күн бұрын
karibu sana
@ANNLAGAT2 ай бұрын
iam Ann lagat from kabsabet yummy
@mapishifoodlife2 ай бұрын
karibu sana
@user-ou7ye6xu4i2 ай бұрын
Sophia natkea Dar madam mie sambusa za nyama bapenda kujua kupika
@mapishifoodlife2 ай бұрын
karibu sana pia endelea kutufatilia tutakufundisha
@user-oi2vo5tn3y6 ай бұрын
Nimependa
@mapishifoodlife6 ай бұрын
KARIBU SANA
@user-ib1mt2zp9y8 ай бұрын
wow, so nice! gabby from mbeya
@mapishifoodlife8 ай бұрын
karibu sana
@user-qi2hd4tw3y7 ай бұрын
Naitwa janeth nipo zanzibar nimependa sana mapishi haya na nimejifunza sana❤❤❤
Naitwa bakari nipo dodoma jaman nimepend hizo tambi nataka nimpikie make wang
@mapishifoodlife23 күн бұрын
karibu sana
@evalinemalole670926 күн бұрын
Me huwa naweka kidg kidg ili kupata rangi mbali mbali, yaan zile za kwanza nilizoweka zikibadilika rangi naweka nyingine, pemben nabakisha zingine ambazo naweka mwishon baada ya kuweka maji.. but all in all zote ziko poa sana
@mapishifoodlife23 күн бұрын
asante sana kwa kushare na sisi, pia karibu sana kipenzi