Jinsi Ya Kupika Wali Mweupe Uliochambuka Kwenye Jiko La Umeme Bila Kuweka Maji Mengi

  Рет қаралды 3,650

Misosimitamu

Misosimitamu

Жыл бұрын

Mahitaji
Wali vikombe 2
Maji vikombe 2
Chumvi kijiko Cha chai 1
Mafuta kijiko 1 na nusu Cha chakula
Butter ( sio lazima)
Matayarisho
1: Pima vikombe viwili vya mchele. Weka kwenye chombo.
2: Washa jiko, bandika maji jikoni acha yachemke kabisa.
3: Osha Michele ( usiloweke kabisa). Osha kawaida Kutoka starch na uchafu uliopo kwenye mchele.
4: Maji yakishachemka weka chumvi na mafuta. Koroga vizuri. Onja kama chumvi imetosha.
5: Mimina mchele kwenye Maji yaliyopo jikoni. Funika vizuri. Hakikisha mfuniko inatosha vizuri kwenye surufia na mvuke hautoki. Kama mfuniko hautoshi. Funika na foil paper kisha funika na mfuniko juu .
6: Punguza moto acha wali uive taratibu kwa moto mdogo sana. Usigeuze wali.
7: Kama unapenda wali utoke vizuri mmoja mmoja , epuka kugeuza. Hakikisha Maji yamekauka kabisa. Hakuna hâta tone ndio uguze.
8: Ukishaugeuza, kama wali bado una kiini usiongeze maji. Funika vizuri uache. Unapofunika mvuke unaotoka kwenye wali, unapokutana na mfuniko juu au foil unageuka kua maji.
9: Mvuke huo ndio utaivisha chakula. Acha Dakika 5 Kisha epua chakula chako kitakua tayari.
8: Jirambe!
Tips za kutoa wali mmoj mmoja
1.Ujue mchele wako wahitaji maji kiasi gani. kila mchele unakunywa maji kivyake.
2.Jaribu kutokoroga at least zaidi ya mara mbili.
3.Usitumie moto mwingi kufiinikia kama unatumia jiko la mkaa.

Пікірлер: 2
@mariamabdallah-df3zr
@mariamabdallah-df3zr 10 ай бұрын
Masha Allah Kipenzi leo ndo mara ya kwanza nimetoa wali unaochambuka vizuri na mtamu japo skutia butter asante sana kwa recipe yako 😊
@MisosimitamuC
@MisosimitamuC 10 ай бұрын
Salama kipenzi. Asante sana nafurahi sana kama umefata recipe. Butter sio ya lazima sana dear. Nikuongeza harufu tu Nzuri. . Nimefurahi sana
jinsi ya kupika wali mweupe/wa maji ulio chambuka vizuri  🍚 🌾
2:25
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 48 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 42 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН
Mapishi Ya Wali Wa Vitunguu// Toka Nijue Haya Mapishi Napika Kilasiku//Tamu Sana
3:23
Munira Coastal Food & Inspiration
Рет қаралды 36 М.
WALI wa KUKAANGA | Jinsi ya Kupika Wali wa Kukaanga
4:16
BelsFarm Kitchen Swahili
Рет қаралды 15 М.
Wali wa Nazi /Jinsi ya Kupika Wali wa Nazi /How to Cook Rice with Coconut Cream /Rice Recipe
3:45
JINSI YAKUTENGENEZA CHEURO/CHEVDA nyumbani @ikamalle
5:18
Ika Malle
Рет қаралды 29 М.
Jinsi ya kupika wali wa mafuta mtamu
6:28
MAMA D KITCHEN
Рет қаралды 12 М.
Jinsi Ya Kupika Wali mweupe Uliochambuka
3:49
Misosimitamu
Рет қаралды 314