Click Here: bit.ly/3aLVBZZ JINSI YA KUSHINDA ROHO YA UZINZI NA UASHERATI - kipindi cha 2 (Na. Askofu Dr. Fredrick Simon) #mahubiri #fredricksimon #pcct #uzinzi #uasherati
Пікірлер: 19
@tobiasbarasa33897 ай бұрын
Amen 🙏
@faustinelugandya746410 ай бұрын
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa MUNGU.
@FatimahAlshehri-gt1gj8 ай бұрын
Amen mtumishi wa mungu umesema ukweli mungu akubariki
@user-dj4xz3bb7x11 ай бұрын
Asante mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri...ni wahubiri wachache sana wenye ujasiri wa kufundisha juu ya Habari ya Uzinzi na Uasherati
@JonesShake11 ай бұрын
Ukweli wa uwokovu,Askofu Mungu akubariki
@user-gd5ge7oj9f11 ай бұрын
Baba MUNGU akubariki Kwa ufunuo huu maana ni somo adimu sana, siku hizi watu wanafundishwa kupokea na kukanyaga mafuta ya upako n,k ambavyo mbele za MUNGU sivyo alivyo tuiitia, kwani. MUNGU anataka tuwe watakatifu zabur 16.3🙏🙏🙏🙏
@user-lw9vf2jg2p Жыл бұрын
Ujumbe mzuri mnooo
@FurahaKyakimwa-ij8tf11 ай бұрын
MUNGU aendelee kukupaka mafuta yake ya kimbingu kabisa.asanti sana kwani révélation mtulishi wa mungu
@venelymo9091 Жыл бұрын
Hongera sana Mtu wa Mungu, ujumbe mzuri sana sana. Mi umnifumdisha sana.🔥🔥🔥🔥