Mimi mlasi napenda kujiunga nanyi ni jifuze kusuka Niko apa marekani ningepeda munijimbiye
@NoellaNzeba-o5g5 күн бұрын
Good
@eunicegechemba1709 Жыл бұрын
Naitwa Eunice mm kile ningependa kujua ni jinsi ya kutengeneza style wakati na shuka yebo yebo alafu upande wa kushoto nina changamoto ninaposhuka yebo hulengea harafu huwa hazifanani na upande wa kulia sijui naweza fanya nn ziendane ni hayo tu naomba maelezo ili niweze kusuka yebo sambamba
@user-fk9dv3uy8o6 ай бұрын
Safi sana
@EshaHemed-wp9dl4 ай бұрын
Nimependa mafunzo yen dada
@fatumapedersen193 Жыл бұрын
Vizuri sana
@user-qq9km8fz9n Жыл бұрын
Ningependa pia nami kujifunza
@nchangwajoseph35462 жыл бұрын
Hongera sn mpo vizuri nimependa
@nakatopauline82672 жыл бұрын
Oyina my baana boyigiriza nga manyi .
@kinunoomary9122 жыл бұрын
Naitaji kujifunza
@user-sc7nl1zk8x11 ай бұрын
Samahani naomba mnifundishe kusuka nywere Aina zote
@julianakaloli94052 жыл бұрын
Amependezs💞💞💞
@GraceMarwa-jl7rs Жыл бұрын
Dada Mambo mm naindwa grcs naitaji kuwa kusuka mtindo yote
@ziadamgen34862 жыл бұрын
Napenda kujifunza kusuka mitindo ya aina nyingi inawezekana
@selinalanta6275 Жыл бұрын
Nashukuru jamani na Mimi ninatamani kujua kusuka sijui mtanisaidiaje
@scholastiquemuhindo60192 жыл бұрын
Kazi njema mdogo wangu
@annamosses55882 жыл бұрын
Naomba kuuliza swal kuna ile yebo ya njia mbil na njia tatu ip ndo zur
@suzanajohn7375 Жыл бұрын
Mm natamn San nijue kusuk hi nywele
@pendoamosi7923 Жыл бұрын
Mm napenda sans kusuka lakni changsmoto ni mistar mnanidhauri nni
@magingamalegesi13282 жыл бұрын
Naitaj kujua kusuk Kuna baaz nazijua
@JoyJoy-zc5qc2 жыл бұрын
Tight and neat hi cornrows
@NuruMsangawale-ji8th9 ай бұрын
Nimependa sana
@user-sb3hc5gl9m11 ай бұрын
Inapendeza sana
@maedamustafa51032 жыл бұрын
Asante dada nielekeza kupasua mitindo
@MarryMkwawaАй бұрын
Namba kifuza yebo
@SaraBukuku-cw1rn Жыл бұрын
Nimeipenda hiyo
@victoriaevod67702 жыл бұрын
Nimeipenda kwakweli
@NancyNjoroge-er9ke Жыл бұрын
Very nice
@naithalovii1887 Жыл бұрын
Mamdog nauliza ada ni Bei g and kwako mwezi
@mamdogotraining6873 Жыл бұрын
0719 569 760
@farajaflorence16902 жыл бұрын
Napenda kujua yebo na notres
@THERESIANDIMI-te6rm Жыл бұрын
Napenda sana
@salhathomas6161 Жыл бұрын
Mm najua kusuka ila siwez kuweka mbere staili
@felistahaaly22902 жыл бұрын
Kaz nzuri jmn nakupenda sana hyo kazi🙏🙏
@mariumkiswaga19002 жыл бұрын
Mimi taka kujifunza ada beigani
@mossyswedy2578 Жыл бұрын
Nice👌👌👌👌
@zumosalim6351 Жыл бұрын
nataka nje kujifunza kusuka yeboyebo
@ElfumojamiatisatisininambiliMa2 ай бұрын
Nixaidie kusuka nywele ya utumbo
@user-lv3sd7jf5q22 күн бұрын
Stichi jmn naomba unifundishe
@claudiasaragu3182 жыл бұрын
jaman nashindwa kuongeza nywele
@mercyshigi10359 ай бұрын
Nataka kusuka hiyo yebo yebo
@nusurambaluku-kd4oc Жыл бұрын
Samahani dâda minasuka yebo ila shida haing'ai kama navotaka jee nifanyaje iliing'ae
@user-in3fq1eh5z8 ай бұрын
Unapatikana wapi dada na ada yako nishingp
@alexchakupewa57662 жыл бұрын
Nataka kujifunza mitind mbali mbal ya rasta
@josephinnersimon19242 жыл бұрын
mm Nina ahidia ya kusuka yebo lkn nahitaji kukua kabisa sijui mtanisaidiaje npo morogoro
@merrykimaro86472 жыл бұрын
Yebo achia
@patrickkasule6438 Жыл бұрын
Mnapatikana wapi
@martinmdoe38482 жыл бұрын
Nzuri
@jamesobe6731 Жыл бұрын
How to apply style jelly
@veronicamnico47732 жыл бұрын
Haya
@dayanadavid8773 Жыл бұрын
Jin'si ya kumake up
@sharonwanjiku428 Жыл бұрын
Nataka kufundishwa kushuka Rasta
@mamdogotraining6873 Жыл бұрын
Karibu ujifunze
@leonardowino77642 жыл бұрын
Very nice 👍
@samwelcosmas20672 жыл бұрын
Kweli Ni nzuri Sana amependeza sana
@samwelcosmas20672 жыл бұрын
Na ada yenu Ni shingapi Dada🤔🤔🤔
@rehemamtangi65552 жыл бұрын
Yebo
@puritynanjala34602 жыл бұрын
Yeboyebo
@mariaaloyce48322 жыл бұрын
Anawez
@glorymuro51352 жыл бұрын
Ni vyema ukawa unadesplay no yako hapo ikaonekana ungetusaidia sana ata kwa anaehitaj kuja kujifunza
@puritymwende94752 жыл бұрын
Nilienda sule rakini najisuku
@happynessbulaya68692 жыл бұрын
Naomba kujifunza jinsi ya kutengeneza rasi
@merryhabib76232 жыл бұрын
Hlw
@lovekissambua27552 жыл бұрын
nice
@damaclinenyakerario23472 жыл бұрын
Nataka mnifunze
@mamdogotraining68732 жыл бұрын
Karibu sana 0719 569 760
@merianaajida45382 жыл бұрын
Naomb namb y'ako natak nijifunze kusuka
@glorymuro51352 жыл бұрын
Napataje namba zako mamy nina shida na msichana wa saloo
@pricillabrian37492 жыл бұрын
Munapatikana wp
@mamdogotraining68732 жыл бұрын
Kimara mwisho
@priskilamichael75032 жыл бұрын
Mko mkoa gani mamy
@mamdogotraining68732 жыл бұрын
Tupo dar
@sumaiyahamadi77162 жыл бұрын
Naomba namba yako yasimu
@mamdogotraining68732 жыл бұрын
0719 569 760
@furahaoisso92142 жыл бұрын
Kwani huko kwenye mkia kunakuwa kunene hakui kwembamba
@anasitaziamlungu34092 жыл бұрын
Nzuli
@neemajacob57842 жыл бұрын
Katumia bunda ngapi
@faubene96082 жыл бұрын
ili nywele ya mteja isionekane wakati namsuka yebo nifanye nn ili isionekane