JINSI YA KUTENGENEZA JUICE YA UKWAJU MAHITAJI UKWAJU SUKARI MAJI Juice ya ukwaju nni Juice pendwa sana, rahisi sana pia kutengeneza. Inquiries instagram:miss masao Email:nikkipollo139@gmail.com
Пікірлер: 16
@wilsonmosbey15732 жыл бұрын
Asante, natazama kutoka Kenya
@missmasao2 жыл бұрын
asante sana 🙏🏾
@aphishelupogo3736 Жыл бұрын
Sugar ni vema ikawekwa jikoni wakati ukwaju unachemka kwanza inakolea halaka pili itachemka na yenyewe kuhakikisha iko salama maana inapitia processing industry mambo mengi all in all umefanya poa
@missmasao Жыл бұрын
Asante sana
@wilsonmosbey15732 жыл бұрын
Naomba katika next video, zingatia sauti maana katika video hii sauti ilikuwa chini
@missmasao2 жыл бұрын
ntalifanyia hilo kazi, asante kwa mrejesho.🙏🏾
@rachelgacherimaina-ls2ib Жыл бұрын
I will try
@missmasao Жыл бұрын
Karibu
@cessykenyatta4765 ай бұрын
❤
@missmasao5 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾
@Amy-de3rt Жыл бұрын
Nkieka vanilla inafaa?
@missmasao Жыл бұрын
Hapana dear
@emeldambola1193 Жыл бұрын
Ninaezakupatavimtonpesangapi
@missmasao Жыл бұрын
Hello dear, sijakuelewa
@happyjohn7851 Жыл бұрын
kwanni haiwi nzito juice ya ukwaju
@missmasao Жыл бұрын
Ukitaka kutengeneza nzuto unaweza dear sema juice ya ukwaju napendelea iwe nyepesi kiasi .