JINSI YA KUVUKA VIZUIZI ULIVYOWEKEWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 56,078

Pastor Sunbella Kyando

Pastor Sunbella Kyando

2 жыл бұрын

Sio mara zote shetani hufanya kazi ndani ya mtu, kuna wakati humuweka kwenye eneo fulani. Mtu anaweza kuwa na bidii sana kwenye maisha yake lakini hata akijitahidi vipi hapigi hatua, hii ni kwa sababu kuna eneo ambalo unafanya kazi ukiwa hapo(chini ya madhabahu za giza. Ndio maana Mungu anapokuja kumfungua mtu huhusika sana na madhabahu zinazomshikilia.
Gideon alikuwa anafanya kazi kwa bidii lakini akiwa chini ya madhabahu ya Ofra, hata Mungu anapotuma malaika wake na kumwambia Gideon kuwa ni shujaa bado Gideon haoni,anachoona yeye ni changamoto wanazopitia na sio ukuu uliopo ndani yake, na ndio maana ndani yako unajua kabisa kuwa una uwezo fulani lakini hata ukiweka bidii vipi bado husogei.
Mungu akufungue na akuvushe.#PastorSunbella#Tambua#Kinachokukwamisha

Пікірлер: 65
@elishasoka6692
@elishasoka6692 2 жыл бұрын
naunganisha maisha yangu na ile madhabahu ya Kimungu kwajina la yesu ile hatma yangu iliyopo katika madhabahu Ya Kimungu juu yangu yakaambatane na mm kwa Jina la YESU.
@salomemueni100
@salomemueni100 2 жыл бұрын
Kwetu Kenya.. Malaika wa bwana ashugulikie na kenya pia...naaminia kupitia neno unaloifunua kwetu. AMEN
@NdihokubwayoEmmah
@NdihokubwayoEmmah 23 күн бұрын
Amen Amen Amen
@matrugnawangaeli4815
@matrugnawangaeli4815 2 жыл бұрын
Namshikuru Mi gu kusikiliza neno la Mungu kupitia kwako Paster. Mani ninahali hiyo kwa muda mrefu sana. Ninahitaji msaada kwa maana sielewi kinacho endelea. Katika maisha yangu. Mjisikia Kama Gedeon. Mungu akubariki Mchungaji.
@collinslyimo448
@collinslyimo448 Жыл бұрын
Ameeeen 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@jaclinejoseph4618
@jaclinejoseph4618 2 жыл бұрын
Amen baba
@lucasmwandu7616
@lucasmwandu7616 Жыл бұрын
Amina
@glorymgonja981
@glorymgonja981 Ай бұрын
hallelujah
@officialjemimahowiti
@officialjemimahowiti 2 жыл бұрын
You are ablessing to the kingdom
@PerisiperisiKingi
@PerisiperisiKingi 10 ай бұрын
Amen
@mariamsospeter9518
@mariamsospeter9518 2 жыл бұрын
Amen mtumimishi🙏🙏
@masprintventures7646
@masprintventures7646 2 жыл бұрын
Pastor sunbella ubarikiwe baba wa kiroho, ninapotuma comment, huwa ninafanikiwa Kwa kuamini mahubiri yako asenteni sana
@jeanmariebakundimana5471
@jeanmariebakundimana5471 Жыл бұрын
I like the way you preach!be blessed pastor
@monicamagesa8571
@monicamagesa8571 2 жыл бұрын
Ameen
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
🙏
@kayitarecharles6993
@kayitarecharles6993 Жыл бұрын
Amen 🙏 napokea kufunga madhabahu za Familia kwajina la YESU 🙏🙏
@faidhamoses8149
@faidhamoses8149 2 жыл бұрын
Amen Amen, Pastor.
@robzroyah6919
@robzroyah6919 2 жыл бұрын
Amen amen pastor
@janembalinga7074
@janembalinga7074 2 жыл бұрын
Imiss you pastor
@ambelemwaitebele6131
@ambelemwaitebele6131 Жыл бұрын
Hongera sana mtumishi wa MUNGU barikiwa
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi🙏
@emmanuelwith1812
@emmanuelwith1812 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumish wa Bwana Nakupenda Karibu Bukoba
@zalukeaganzerodriguez7554
@zalukeaganzerodriguez7554 Жыл бұрын
Mchungaji umenibariki sana na nilishajaribu kukutumia ujumbe ili tuzungumze ila bado hujanijibia naendeleya kuteseka na hamu yakuzungumza na wewe. Mungu akubariki
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Alléluia jina la YESU litukuzwe 🙌🙌🙌🙌🙌 kwa neno lake zur blessed pastor sanbella
@erycahkiwale8757
@erycahkiwale8757 Жыл бұрын
Mungu akujaze maisha marefu
@joantitus8538
@joantitus8538 2 жыл бұрын
Ameeeeeen
@AnnaMwanandenje
@AnnaMwanandenje 7 күн бұрын
👏🙏
@emmasidi9446
@emmasidi9446 2 жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@newtonwawesh..1631
@newtonwawesh..1631 Жыл бұрын
Amen from kenya
@jenniferowoya7393
@jenniferowoya7393 2 жыл бұрын
AMEN
@florahnguma1458
@florahnguma1458 2 жыл бұрын
Hakika nimebarikiwa
@vicentkilonzo924
@vicentkilonzo924 8 ай бұрын
🙏🙏🙏
@restinamtawa7888
@restinamtawa7888 2 жыл бұрын
Dah kwakweli Mungu atusaidie
@imaniswillah3637
@imaniswillah3637 2 жыл бұрын
Blessed be the name of Jesus Christ, Ahsante sana kwa neno la kufungua.
@rizikiebonge9631
@rizikiebonge9631 2 жыл бұрын
God bless you pastor
@jonassyimon6250
@jonassyimon6250 2 жыл бұрын
Somo muruwa sana hili kwangu nimejifunza zaidi ya nilivyozoea
@aloycejoseph22
@aloycejoseph22 2 жыл бұрын
Amen sana
@rickanreality7748
@rickanreality7748 2 жыл бұрын
AMEN AMEN 🙏🙏🙏
@jacintalugusa7549
@jacintalugusa7549 2 жыл бұрын
Amen
@andrewabdalah1141
@andrewabdalah1141 2 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe mchungaji kwanini mambo meng yalitumia siku 40 kama kujenga safina,mvua kunyesha,na hata Yesu kupaaa
@jacintalugusa7549
@jacintalugusa7549 2 жыл бұрын
Amen and amen
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Daddy wangu 💕
@davidmarumbu496
@davidmarumbu496 2 жыл бұрын
Preyse for me🖐️ 🇰🇪
@belindakennedy2343
@belindakennedy2343 Жыл бұрын
Amen
@janettheis3749
@janettheis3749 2 жыл бұрын
Amen ,That is true Mann of God
@neemajaphet8674
@neemajaphet8674 2 жыл бұрын
Amen 🙏🏼
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Watu wanaamini Aliyeokoka Halogwi sasa Atawekewa kizuizi kipi??
@chance_dairlysports
@chance_dairlysports 8 ай бұрын
😢
@ioniced247
@ioniced247 2 жыл бұрын
Amen Amen All the Glory to God Thank You Pastor
@tysonmilimu4017
@tysonmilimu4017 2 жыл бұрын
Naomba namba yako yawabu
@tysonmilimu4017
@tysonmilimu4017 2 жыл бұрын
Mutumishi naomba maombi
@judithshoo4323
@judithshoo4323 2 жыл бұрын
Jina la Sermon hii linaitwaje? Natamani kusikiliza yote
@cecilibachwenkizi4528
@cecilibachwenkizi4528 2 жыл бұрын
Mateso ya familia (VI)
@judithshoo4323
@judithshoo4323 2 жыл бұрын
@@cecilibachwenkizi4528 nashukuru
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 11 ай бұрын
Amen
@cutemamy9602
@cutemamy9602 2 жыл бұрын
Amen baba
@gemakaremela489
@gemakaremela489 2 жыл бұрын
Ameen
@jamesromano5679
@jamesromano5679 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@Miriam84Akizimana
@Miriam84Akizimana 2 жыл бұрын
🙏
@jacklineakinyiwerewere2781
@jacklineakinyiwerewere2781 2 жыл бұрын
AMEN
@neemasaidisaid1791
@neemasaidisaid1791 2 жыл бұрын
Amen
@mosengogubaja7433
@mosengogubaja7433 2 жыл бұрын
Amen
@unionpourlechangementducon1164
@unionpourlechangementducon1164 2 жыл бұрын
Amen
@sifaelkitabi4077
@sifaelkitabi4077 Жыл бұрын
Nashukuru kwahii huduma .napenda kumnba tuuunganish watu was mikoani na tv ya kanisa
@julianammbaga6769
@julianammbaga6769 2 жыл бұрын
Amen
UMETEGWA KWAAJILI YA KUSUDI LA MUNGU - PASTOR SUBELLA KYANDO
25:03
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 1,1 М.
MWISHO WA UCHAWI BY PASTOR SUNBELLA KYANDO
56:45
Reality of Christ Mwanza
Рет қаралды 5 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 76 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
ROHO YA UMASIKINI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
30:52
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 75 М.
FUNGULAKUMI LIMEPITWA NA WAKATI ?
40:21
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 31 М.
KANUNI ZA KUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
23:25
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 30 М.
JIFUNZE KUACHILIA WATU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
34:04
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 69 М.
NDOTO KATIKA UHALISIA  -  PASTOR SUNBELLA KYANDO
47:27
Reality of Christ Church
Рет қаралды 21 М.
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 22 МЛН
FIKICHA MACHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
18:57
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 4,6 М.
MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris
42:03
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 14 М.