Jinsi ya kuyeyusha chocolate ya kufanya dripping kwneye keki

  Рет қаралды 6,296

Neema Shaaban

Neema Shaaban

8 ай бұрын

Пікірлер: 38
@Hollombisa1259
@Hollombisa1259 2 ай бұрын
Dada neema nakupenda Bure mungu akubariki,,naomba kujua bei ya keki kama hiyo ni sh.ngapi
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Ай бұрын
35000
@IreneMaope
@IreneMaope 3 ай бұрын
Mamy dah inanisaidia sana cz najifunz kupika cake kwahy natumia sana video zak kujifunza zaid asantee🙏🙏
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 3 ай бұрын
❤️❤️❤️
@AMINAJOHN-oe9hy
@AMINAJOHN-oe9hy 3 ай бұрын
Njema upo vizili sana dadaa nitakutafuta
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 2 ай бұрын
Karibu sana
@vailethamutasingwa2809
@vailethamutasingwa2809 7 ай бұрын
Asante Sana Dada nashukuru Kwa kujifunza
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 7 ай бұрын
Karibu
@neemakiliani8588
@neemakiliani8588 8 ай бұрын
🔥🔥🔥🥰mwajina
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 8 ай бұрын
Mwajina
@happynesswallace9000
@happynesswallace9000 7 ай бұрын
Da neema kama sina mizan ya kupimia kimbo kwaajili ya butter cream napimaje labda vijiko vingap?
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 7 ай бұрын
Nunua mzani
@hamidamsofe4627
@hamidamsofe4627 7 ай бұрын
ᴰᵃᵈᵃ ʰⁱⁱ ⁿᵃᵐᵇᵃ ʸᵃᵏᵒ ⁱᵖᵒ ʷʰᵃᵗ'ˢ ˢᵃᵖ
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 6 ай бұрын
Ee
@user-su5oi5wb6c
@user-su5oi5wb6c 7 ай бұрын
Nice 😢😢❤
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 6 ай бұрын
❤️
@Magemria
@Magemria 4 ай бұрын
Unafundisha mpka burudani ubarikiwe sana
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 4 ай бұрын
❤️❤️
@aeshisikanyika5664
@aeshisikanyika5664 4 ай бұрын
Da neema iyo standing mixer yako bei gan umenunua na ni kilo ngapi😊
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 4 ай бұрын
Lita kumi nilinunua laki tatu na nusu
@user-xx8rl1nl2m
@user-xx8rl1nl2m 8 ай бұрын
Na kama ukishamuwekea chocolate mteja na Bei inaongezeka km hiyo itakua 30
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 8 ай бұрын
Bei unatakiwa upange wewe unaeuza ili upate faida
@hellenamwakitalima2416
@hellenamwakitalima2416 4 ай бұрын
Dada ivo vpp vnaliwa?
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 4 ай бұрын
Ee
@Florentina-t9u
@Florentina-t9u 7 күн бұрын
Dada Nnema me naitaji jinsi ya kutengeneza aicing ya mayai
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Күн бұрын
Nimeweka andika royal icing
@WardDaud
@WardDaud 21 күн бұрын
Umetumia icing box mbili au moja
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Күн бұрын
Kupambia au
@judithmaganga6707
@judithmaganga6707 23 күн бұрын
Da neema unaweza ugaongeza maziwa badala ya maji kwenye chocolate??
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Күн бұрын
Unasema
@ruhimohd-kx5fk
@ruhimohd-kx5fk 5 ай бұрын
Ivo vifaa vya cake vinaitwaje ukienda kununua
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 5 ай бұрын
Vifaa gani
@zayumar2955
@zayumar2955 5 ай бұрын
Nadhani anamaanisha mfuko na vile vichuma vya kupambia​@@neemashaabancakes
@user-xx8rl1nl2m
@user-xx8rl1nl2m 8 ай бұрын
Zinaitwaje ukienda kununua
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 8 ай бұрын
Chocolate za keki
@ElizabethLyakurwa
@ElizabethLyakurwa 6 ай бұрын
Dada neema je unaweza kuyeyushia kwenye microwave
@mapishi_chemchem5752
@mapishi_chemchem5752 6 ай бұрын
Yeah tena ni vzur pia
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 6 ай бұрын
Ee unaweza
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 53 МЛН
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 12 МЛН
Jinsi Ya Kupika Chocolate Fudge Keki/Simple Chocolate Fudge Cake Recipe
10:37
Jifunze Jinsi ya kuandika kwenye keki hatua kwa hatua
10:15
Sade dimples
Рет қаралды 3,6 М.
NAMNA YA KUTENGENEZA CHCOLATE FUDGE CAKE, UNAWEZA KUUZA NA KUFAIDIKA
3:56
Jinsi ya kupamba keki rangi mbili kama hii #neemashaaban
9:44
Neema Shaaban
Рет қаралды 2,4 М.
Jinsi ya kupamba chocolate cake #neemashaaban
10:58
Neema Shaaban
Рет қаралды 3,5 М.
Vifaa vya Keki 1
16:15
Lawra's Bakeshop
Рет қаралды 134 М.