JIONEE MPAKA NDANI MJENGO ALIOJINUNULIA ZARI KAMA ZAWADI YA BIRTHDAY YAKE

  Рет қаралды 187,909

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

Пікірлер: 395
@iddiking6963
@iddiking6963 4 жыл бұрын
Km unaamini na ww ipo siku utakuwa km zari💚 twende kazi🔙✔
@RynlizzyTheBoss
@RynlizzyTheBoss 4 жыл бұрын
Iddi King zaid ya zarii
@iddiking6963
@iddiking6963 4 жыл бұрын
Worldwide Vibes 👉🙏🙏🙏
@ashaathman4355
@ashaathman4355 4 жыл бұрын
Ingia freemason basi ss wengine twategemea pepo ya Allah
@allyderossi9742
@allyderossi9742 4 жыл бұрын
Iddi King Ndoto kila ukiamka chuma kinazd kubana mana sio kukaza tena!?.
@naimasaid7763
@naimasaid7763 4 жыл бұрын
Mh mm natamani kuipata pepo tu hivi vingine wala sina tamaa navyo
@lizbethimanuel8139
@lizbethimanuel8139 4 жыл бұрын
Hongera zari nami iko siku ntamiliki jumba kama hilo mungu ni wetu sote no kukata tamaa
@kanyamboarexander6689
@kanyamboarexander6689 4 жыл бұрын
Amen
@adriennebalenba117
@adriennebalenba117 4 жыл бұрын
Amen
@zaituniamoki6092
@zaituniamoki6092 4 жыл бұрын
Lizbeth Imanuel kivideo kifuupi mpk mnakera kama hamuwez bora mkaushe tu
@marrionwatima797
@marrionwatima797 4 жыл бұрын
Amen
@HalimaHalima-wd2bt
@HalimaHalima-wd2bt 4 жыл бұрын
Inshaallah
@dianamalingumu4516
@dianamalingumu4516 4 жыл бұрын
majira kama haya hata mimi nitamiliki mjengo japo hautalingana na Zar Mungu ni wetu sote
@ameenaameena3324
@ameenaameena3324 4 жыл бұрын
Vizuri ni kufanya kitu sawa uwezo uliinao Wengi hufata kumbo baadae wanaishia njiani
@raheemahongeramashaallah1443
@raheemahongeramashaallah1443 4 жыл бұрын
uwongo tu
@maryammadafa9962
@maryammadafa9962 4 жыл бұрын
Kuna watu wanaamini ukizaa watot wengi huwezi kupata maendeleo ama maisha mazuri basis naomba wajionee kwa macho
@selungwieryka449
@selungwieryka449 4 жыл бұрын
Kama na wewe una kubaliana na mm diamond kachemka kumuacha zari kaenda kuchukua mashaka ya roho gonga like hapa 😍
@biancaomari6918
@biancaomari6918 4 жыл бұрын
@Zeinab Farah 🤣🤣🤣
@elizsita5278
@elizsita5278 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂💃💃💃💃💃
@ceciliabahati1388
@ceciliabahati1388 4 жыл бұрын
i like the FACT that she's WISE n STRONG
@violetmunuo5053
@violetmunuo5053 4 жыл бұрын
yaani zari ni mwanamke wa shoka i hope mange utakuwa hospital buy now sweet
@zuwenaali4873
@zuwenaali4873 4 жыл бұрын
Hhahah
@klaragreen7999
@klaragreen7999 4 жыл бұрын
😆😆😆wanaishia kuonyesha vyoo vya restaurant...
@sarahwangari8196
@sarahwangari8196 4 жыл бұрын
Kabsaaa🙄🙄
@marrionwatima797
@marrionwatima797 4 жыл бұрын
😅😅😅😅
@kjgaming9715
@kjgaming9715 4 жыл бұрын
@@klaragreen7999 hahaha..
@ellyreuben1998
@ellyreuben1998 4 жыл бұрын
Zari huyoooo, sura nzuri na akili nyingi kichwani.
@nancyranji2290
@nancyranji2290 4 жыл бұрын
Kabisaaaaaaaa!
@jaffaryhassany9832
@jaffaryhassany9832 4 жыл бұрын
Mbuz wote shut up 🤐 this iz the qeen of AFRIKA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💰💰💰💰💰💰💰💰love you my cc 🥰🥰🥰🥰yo inspireng me alot 🙏
@francissamson7594
@francissamson7594 4 жыл бұрын
Ahamie kwake ili awe huru, maana sinema ni nyingi sana.
@roseshanyisa9175
@roseshanyisa9175 4 жыл бұрын
African Beauty Queen Zarri ,hakika wewe mwaka huu umefanya BD yako kitofaundi sana, nimependa sanaaa .
@mwazansaid1491
@mwazansaid1491 4 жыл бұрын
Mimi namuomba mwenyezi mungu anijaalie nyumba akhera in shaallah nyumba za dunia ni hatariii
@lollol-xi3oy
@lollol-xi3oy 4 жыл бұрын
Mpaka utoke mtandoni ndio utapata ya akhera
@mwazansaid1491
@mwazansaid1491 4 жыл бұрын
Kwani wanaomba wana wapo nje ya mtandao
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 4 жыл бұрын
Amiin Yarabiallamina Allah atujalie huko Inshallah
@mawndiswalhi9192
@mawndiswalhi9192 4 жыл бұрын
Aamyn Dunia hasanatan wafil Aakherat Hasanatan Qur-an
@saidatkhamis4633
@saidatkhamis4633 4 жыл бұрын
Ukishindwa kumiliki vya dunia vya akhera utaweza ?
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 4 жыл бұрын
Congratulations there’s is always a reason for everything 👨‍❤️‍👨
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
Mpk raha,hongera sana,Mungu akujalie na vingine zaidi
@risperkemunto8081
@risperkemunto8081 4 жыл бұрын
Mmmhh mama tee..kiboko yao...yaani wewe ni kiboko yao..show them in bidii yako mama tee.wow God is good
@user-pn3de3bl9p
@user-pn3de3bl9p 4 жыл бұрын
Akufanyiaye madharau mungu anakuinua hu mme ameshikwa na kifumwanishi kikubwa mwanaume akipata pahati uichezea tazama hiyo nyumba ghai usikunie sahani ambayo umeishi kukulia maana kesho utaikumbuka kuzaa watoto wawili ata kumi c mwisho kuna wenye awana watoto jipe moyo mum waume acheni mchezo na wanadada
@nightwishisthegreatestband6355
@nightwishisthegreatestband6355 4 жыл бұрын
Wabongo wengine mnatakiwa mfahamu kwamba kukodi nyumba sio dhambi. Na simuongelei tu zari ambaye mnakazana kusema amekodi, wakati kashakwambia nyumba imenunuliwa na stori yake haijabadilika. Naongea kwa ujumla. Watu wakienda kusoma au kufanya kazi nchi zingine au hata mikoa mengine wanakodi kulingana na uwezo wao na maisha yanaenda. Lakini ikija kwa watanzania wengine mtu akikodi nyumba kubwa tayari ni habari ya mjini tena habari za kipumbavu ambayo haina msingi katika faida yao. Kwanini mtu lazima akuelezee kila kitu na kukupa ushahidi wakati hata senti tano hujawahi kumpa na hakujui? Documents mnahitaji za nini. Mbona chibu kila siku anasema nyumba ole nyeupe ni yake lakini siwaoni ukidai makaratasi. Mkipenda kafanye utafiti land registry ya SA manaake sielewi kwanini kitu cha kawaida tu ya mtu kupenda kuonyesha nyumba yake tayari mapovu yamewatoka. Mtania aibu bara nzima. Account zenu za benki hazitaongezeka, maisha yenu hayatabadilika. Sasa itakusaidia wapi? Loh, jamani tumieni akili.
@rosemarykatogomusanga1619
@rosemarykatogomusanga1619 4 жыл бұрын
Margarethe Bagile.....hawa watu Ni wivu tuu but. let me. tell you Zari ako na uezo wa kununua nyumba hata zaidi ya hiyo.. Kwani hawaoni izo schule anamiliki....tangu. lini Mtu uonyeonyesha documents hadharani...thats private.. Zari juu juu sanaa.
@nightwishisthegreatestband6355
@nightwishisthegreatestband6355 4 жыл бұрын
@@rosemarykatogomusanga1619 exactly
@donathaayaga527
@donathaayaga527 4 жыл бұрын
ww mwenzetu upo upande gani kati ya hizo mbili account yako kutoongezeka au Maisha kutobadilika???
@anastaziadakho1161
@anastaziadakho1161 4 жыл бұрын
margareth bagile Na kwann atuoneshe
@chichidaniels9616
@chichidaniels9616 4 жыл бұрын
Very hardworking woman.
@Susanwanjiru1989
@Susanwanjiru1989 4 жыл бұрын
This woman is sharp...alidanganya watu nyumba ni ya king bae...wana mitandao mtapata taabu sana😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 жыл бұрын
+mind + Beautiful= MNEY💰💼
@suleimanshaban2140
@suleimanshaban2140 4 жыл бұрын
NICE,,, Allah akupe zaidi,,,, na akuongize ktk njia ilionyooka,,,,
@hellenmwayole8715
@hellenmwayole8715 4 жыл бұрын
Go on zarii, na Mungu aenendeleee kukutunza
@bratin5735
@bratin5735 4 жыл бұрын
I just love her lifestyle,
@xmain8950
@xmain8950 4 жыл бұрын
I agree
@jenambarikiwa4554
@jenambarikiwa4554 4 жыл бұрын
Wow very nice
@princesstriza1589
@princesstriza1589 4 жыл бұрын
Mmmmm my mentor my mommy big up I wanna have it because am following your steps
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 4 жыл бұрын
Hivi mond kwann umemuacha huyu manz anamaendeleo ya hatari na ana akili balaa
@ashashabani4210
@ashashabani4210 4 жыл бұрын
hongera sana zari wangu
@florahmbala3047
@florahmbala3047 4 жыл бұрын
Strong woman..i love what am seeing
@janetlamb9018
@janetlamb9018 4 жыл бұрын
Big up zari 🙌🙌🙌🙌😘😘😘😘
@janetcharo1543
@janetcharo1543 3 жыл бұрын
MashaAllah,soo beautiful
@bjzee1981
@bjzee1981 4 жыл бұрын
Ninavyo jua mtu hununuliwa zawadi . Unaweza kua mzuri, tajiri lakini usiwe na furaha ya maisha
@nantongojane5410
@nantongojane5410 4 жыл бұрын
Congratulations zari
@lydiahbhoke2284
@lydiahbhoke2284 4 жыл бұрын
I wish you happiness always
@ashaherzog4488
@ashaherzog4488 4 жыл бұрын
Go.. go Mama Nee hardwork pays💪🏾 👏🏾👏🏾👏🏾💕💕
@ebiswajustin186
@ebiswajustin186 4 жыл бұрын
Beautiful house through
@foscakblessed3648
@foscakblessed3648 4 жыл бұрын
Congrats Queen 👑 always motivated
@joanndors9043
@joanndors9043 4 жыл бұрын
I like the way you do. And that helps me tobe strong. 😘😘😘
@joharinaz5007
@joharinaz5007 4 жыл бұрын
😍😍😍ipo siku na mm in sha Allah
@allyderossi9742
@allyderossi9742 4 жыл бұрын
johari naz IN SHA ALLAH.
@hemedibabu977
@hemedibabu977 4 жыл бұрын
Mambo
@joharinaz5007
@joharinaz5007 4 жыл бұрын
@@hemedibabu977 poa
@sophierayc
@sophierayc 4 жыл бұрын
She deserve every thing bcoz she is so hand working 💖💖
@ebiswajustin186
@ebiswajustin186 4 жыл бұрын
Hard or hand
@MsAggie5
@MsAggie5 4 жыл бұрын
Sophie Rayc I attract money easily very true she is working very hard
@umutoni-roussel5233
@umutoni-roussel5233 4 жыл бұрын
You so blessed mama T 😍
@sand4946
@sand4946 4 жыл бұрын
Beautiful😘😘😘😘
@alhandroraj8009
@alhandroraj8009 4 жыл бұрын
Nice house mummy. Enjoy yrself if God has given you chance to
@teamsheilablessings.6076
@teamsheilablessings.6076 4 жыл бұрын
Amazing 😍 Madam 👋 Boss Lady 🤴. Congrats!!!!
@issanassor2336
@issanassor2336 4 жыл бұрын
Good
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 4 жыл бұрын
hongera mwanamke mwenzetu tuwakilishe
@DhudhulaDhudhula
@DhudhulaDhudhula 4 жыл бұрын
Masha Allah
@triciapwele1747
@triciapwele1747 4 жыл бұрын
Congrats 🎉 boss Lady 😍
@adamabangura9956
@adamabangura9956 4 жыл бұрын
Well love dae home
@mariamhaidari3377
@mariamhaidari3377 4 жыл бұрын
My one and only boss lady in thise world Zari 😘😘😘
@roseshanyisa9175
@roseshanyisa9175 4 жыл бұрын
Mariam Haidari African Beauty Queen hakika ameingia katika kitabu cha kumbukumbu duniani.
@mariamhaidari3377
@mariamhaidari3377 4 жыл бұрын
@@roseshanyisa9175 kabisaa 😚
@gama254
@gama254 4 жыл бұрын
I admire your life Zari
@ellysilwani9287
@ellysilwani9287 4 жыл бұрын
Hongera mamii...
@malayamtamu6899
@malayamtamu6899 4 жыл бұрын
hongera mwaya
@jacquelinerayamu3187
@jacquelinerayamu3187 4 жыл бұрын
Mashallah
@kilungodionizi1865
@kilungodionizi1865 4 жыл бұрын
congrations mama Tee
@charlesmushi7934
@charlesmushi7934 4 жыл бұрын
Mjengo mkali mbaya
@sulaimanafrican8134
@sulaimanafrican8134 3 жыл бұрын
Mashaallah 😍
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 4 жыл бұрын
Wow hongela kwake namie Ipo siku nitajinunulia in jesus Name ,
@Theraldylaniscool
@Theraldylaniscool 4 жыл бұрын
Amen
@saidaayoubtunatakapichaien5244
@saidaayoubtunatakapichaien5244 4 жыл бұрын
hongera sana
@joselynesango6546
@joselynesango6546 4 жыл бұрын
♥️♥️♥️♥️♥️🇺🇸zarithebosslady
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 4 жыл бұрын
Hongera sana Zariiiiiiiii
@onanarosse9657
@onanarosse9657 4 жыл бұрын
Wooooow congratulation zari nice house be blessed more.
@roseshanyisa9175
@roseshanyisa9175 4 жыл бұрын
onana rosse lioness Zarri The Boss Lady ashabarikiwa natunaomba ili asidi kubarikiwa saidi ya hapo I love you sooo much Zarri.
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 4 жыл бұрын
Huyu dem si wamchezomchezo
@yasmenoozm8094
@yasmenoozm8094 4 жыл бұрын
Ur blessed mama tee
@salmarashidi8206
@salmarashidi8206 4 жыл бұрын
ongera sana
@sheilahsheilah5834
@sheilahsheilah5834 4 жыл бұрын
MashaAllah
@florambwambombwambo1322
@florambwambombwambo1322 4 жыл бұрын
Hongera sana
@elizabethmwalo8424
@elizabethmwalo8424 3 жыл бұрын
Mungu twakuomba utubariki na hata Sisi na jumba Kama hii. Mungu ni wetu sote. Amin
@faisalrashid4213
@faisalrashid4213 4 жыл бұрын
Dah pesa ndo kila kitu ila yote hayo yanamalizwa na kifo
@bujsaudaselemani5562
@bujsaudaselemani5562 4 жыл бұрын
Ongera sana mama
@neemawambawa3476
@neemawambawa3476 4 жыл бұрын
Ongela zari boss ledy mungu ni mwema kwako
@subiramohd885
@subiramohd885 4 жыл бұрын
Hongera yke ila mimi sikat tamaa na Rehma ya Mungu.lnsha aallah ntamilik tuu nyumba yangu
@shakira1301
@shakira1301 4 жыл бұрын
Bosslady but wengine wataleta uwivu zao love mama tiffa😘😘
@aminasalum1042
@aminasalum1042 4 жыл бұрын
Hongera zari .hata mm mwenyew huku Zanzibar naishi ndani ya mjengo mkaliiii lkn naona sio kitu ni kawaida sana mana ipo siku nitakufa na mali zote nitaacha.
@sellyeenallyeen7118
@sellyeenallyeen7118 4 жыл бұрын
Hii sio alinunuliwa kingbae?Nways congss
@tiffahgwandumi4606
@tiffahgwandumi4606 4 жыл бұрын
❤❤
@linahchrissy7574
@linahchrissy7574 4 жыл бұрын
Hongera kipenzi changu
@rosemutisya2073
@rosemutisya2073 4 жыл бұрын
God hear ma prayers
@keagleeagle821
@keagleeagle821 4 жыл бұрын
Yaani interview za Zari mnaachia kama dozi ya dawa .Kwa mwezi mara moja
@graceglory3038
@graceglory3038 4 жыл бұрын
Hongera Sana ZARI wangu naamini ipo siku ntakuwa kama ww Maan na mm napambana
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 3 жыл бұрын
Naic
@dominickbugerula352
@dominickbugerula352 4 жыл бұрын
Nice house
@sharutztv9481
@sharutztv9481 4 жыл бұрын
Mmh sisi wengine hatuja wahi kuota kuwa na mjengo kama huwo ila naimani mwenyez mungu pekee atanipa nguvu na ujasili wa kutafuta na kufanya kazi na mm nikawa na maisha mzuli zaid kama unaamini basi mungu yupo basi usipite bila ya like comment yangu na kama ukipata mda pitia chanel yangu SHARUTZ TV pia subscrabe pale kuna simuliz na comed mbali mbali asante
@zenaotman5734
@zenaotman5734 4 жыл бұрын
hahahaha haya bhan mm sisemi acha tupambane nasi tuta fika t eshima uhai ongera mama t
@remiomar7154
@remiomar7154 4 жыл бұрын
Hii tuliskia n ya king bae kanunua ili ahamie huku leo mbona imekundio birthday gift yk mmmmh
@susanruo8087
@susanruo8087 4 жыл бұрын
Yah I remember that, mbona watu wamesahau? It's not birthday present....
@peterkyese4516
@peterkyese4516 4 жыл бұрын
Here jomonii 🙄🙄🙄hamisa kweli hawezi kushindana na zari
@rehemaalphonce3882
@rehemaalphonce3882 4 жыл бұрын
mond ana maendeleo ya kubadilisha wanawake
@wardadanda6322
@wardadanda6322 4 жыл бұрын
wabongo kaz kupeana magari tu ya kifahari uku nyumba mtu kapanga ongera zari wew
@MsAggie5
@MsAggie5 4 жыл бұрын
Warda Danda Yaani Hata mimi nashindwa kuwaelewa hawa mastaa wetu Mbona hawana mijengo mikubwa kama hii au ya wasanii wa Nigeria?? Ushaoona nyumba ya Davido? Ni hatari tupu
@douceuretivya6039
@douceuretivya6039 4 жыл бұрын
Weee Mange kimavii Yako nyumba ata geto IKO wapii ongea tena Zari ni Wi-Fi kiboko yao
@neemalulonga5177
@neemalulonga5177 4 жыл бұрын
😀😀🥂
@MsAggie5
@MsAggie5 4 жыл бұрын
Douceure Tivya 😂
@fredylucas2484
@fredylucas2484 4 жыл бұрын
Mange Kimambi anaishi council house mwacheni jameni
@ashnaomi2385
@ashnaomi2385 4 жыл бұрын
Hongera
@benithabuberwa1553
@benithabuberwa1553 2 жыл бұрын
UK vizuri
@saudashaaban8633
@saudashaaban8633 4 жыл бұрын
kama mliyona zari alivyokuw na mond alikuw hana maendeleo yoyote nipe like
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 жыл бұрын
Honger
@damslandscapeworksadams6793
@damslandscapeworksadams6793 4 жыл бұрын
Naona kama Ile ya d" unayo kaa bado Kali Sana kuliko iyo ....Bora ubaki Kule iyo pangisha ....utazixi kuwa juuu ...domo ana nyotaa ....note: ushauli Tu lakini.
@Sanyah-le1od
@Sanyah-le1od 4 жыл бұрын
Mondi's is really really nice Congrats to Zari too.
@rajabuhashimu3220
@rajabuhashimu3220 4 жыл бұрын
Mjini heshima kod mamaeee
@raphaelgadau2783
@raphaelgadau2783 4 жыл бұрын
Amen
@judnesstemba7252
@judnesstemba7252 4 жыл бұрын
Wa kwanza kuicheki like hapa
@mariaserafini6562
@mariaserafini6562 4 жыл бұрын
Kama.kweli.yake hongera zakee
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
Mumewe si inasemekana alimuachia nyumba nyingi mhhh na bado ananunua tu kila siku kuna jipya hongera zake kama kweli au ni komesho ?
@wardasalehe6501
@wardasalehe6501 4 жыл бұрын
😘😘
@joanndors9043
@joanndors9043 4 жыл бұрын
I wish to know you beter❤️❤️❤️
@songabaluku4153
@songabaluku4153 4 жыл бұрын
Show off huwa sio nzuri.....unakaribisha hata waizi
@advocatekarama4917
@advocatekarama4917 4 жыл бұрын
Songa Baluku ndo maana ya social media, and katafuta kwa jasho lake muache tu ashow off 💪💪
@daimavlog
@daimavlog 4 жыл бұрын
Songa Baluku yeye ni star na ndo Maana tuko hapa
@songabaluku4153
@songabaluku4153 4 жыл бұрын
Ni maoni yangu tu....lakn hata Mo Dewj sini billionea lakn sjaona akionesha nyumba yake mpka ndani.....si poa kwa upande wa security...
@ashaherzog4488
@ashaherzog4488 4 жыл бұрын
Her hardworking money her rules, let her show off and everyone else should show their own, life is too short
@jumannemfaume
@jumannemfaume 4 жыл бұрын
Kabisa kulikuwa na haja gan ya hiz mambo sasa
@ebbymbao1736
@ebbymbao1736 4 жыл бұрын
👍👍👍👍👍👍
@deogratiasmichael7463
@deogratiasmichael7463 4 жыл бұрын
Zali huo niushamba kwani katika nyumba zilizoko sauzi unaona Hiyonayo nyumba acha ushamba sakama ume nunua si inatuhusunn
@syndyritah4872
@syndyritah4872 4 жыл бұрын
Shoga wewe huna hata hela
@suzanamushi4567
@suzanamushi4567 4 жыл бұрын
So brave
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 4 жыл бұрын
Tokea tulivyosikia nyumba yake siku nyingi sana kuhamia kwenyewe ahamii kutwa kuonyeshwa tu na bado yupo kwa Diamond
@nightwishisthegreatestband6355
@nightwishisthegreatestband6355 4 жыл бұрын
Sasa tatiza kwako ni nini?
@happymaiko5121
@happymaiko5121 4 жыл бұрын
Kwan unateseka
@wacmber2131
@wacmber2131 4 жыл бұрын
Wanawake cjui tulikosea wapi yaani tunahasad mpaka kwenye mitandao omba mungu nawe akupe si kukejeli wengine kununua nyumba na kujenga mwenyewe huwa ni process mbili tofauti sana kitambo ukabidhiwe nyumba ilojengwa tayari lazima use na hati zote b4 uhamie ndani yake
@MsAggie5
@MsAggie5 4 жыл бұрын
Fatuma Hengo kwa nn wanawake hatupendani? Yote yanakutoka ya nn? Anaishi kwa Mondi kwa sababu ana watoto wa Mondi period!
@happymaiko5121
@happymaiko5121 4 жыл бұрын
@@MsAggie5 Yan wtu Wana roho mbaya San Ni wivu tu anamwonea alaf anajifanya hafwatilii life ya watu kumbe ndo wakwanza
EXCLUSIVE: NYUMBA ZA ZARI SOUTH AFRICA, MAGARI NA MAISHA
14:47
Millard Ayo
Рет қаралды 1,3 МЛН
MZUNGU KANIZALISHA KISHA KAKIMBIA KISA DAWA ZA KULEVYA NAJUTA SANA
35:17
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 18 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 14 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 20 МЛН
Dkt. Hussen Mwinyi. ona jinsi alivyo ondoka bada ya swala ya Ijumaa Mkwajuni
1:50
Maahadishifaa Kivunge Tv
Рет қаралды 34 М.
TAZAMA MWANZO HADI MWISHO NDOA YA DULLA MAKABILA
58:47
ZamaradiTV
Рет қаралды 32 М.
KUTANA NA ZARI AKIWA KWENYE CHUO ANACHOKISIMAMIA AFRIKA KUSINI
18:59
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 18 МЛН