No video

JIONEE UZURI WA JIJI LA DAR, PICHA ZA JUU MUONEKANO WA BARABARA YA BAGAMOYO

  Рет қаралды 31,268

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 177
@seifusengondo9170
@seifusengondo9170 3 жыл бұрын
kama watanzania hamtasema mawe yatasema
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 3 жыл бұрын
Tutajifanya atuoni uku tunapita kwenye hiyoo barabala hooi
@jamesthomas390jj
@jamesthomas390jj 3 жыл бұрын
Haswaaa
@mavuzijiwe6805
@mavuzijiwe6805 3 жыл бұрын
Safi sana Tanzania Yetu JMP 4life
@ParodyTv_
@ParodyTv_ 3 жыл бұрын
Ukisikia Tanzania Jua moja kwa moja ni Dar Es Salaam.....
@johnmlay4759
@johnmlay4759 3 жыл бұрын
Ndugu saivi sio dar tyuu ni kwamba dodoma inakuja, mwanza inaendelea vizuli pia arusha ado ado na tanga coz na yenyewe bandari inarudi kwa matengenezo yanayofanyika na mikoa mingine yote usiseme mambo ni mazuli mabadiliko Kila pahala God bless our president God bless tanzanians, amen
@benjaminikimisha7195
@benjaminikimisha7195 3 жыл бұрын
Achana na majengo na uchangamfu wa Dar. Kwa sasa Dodoma ndio Tanzania. Kwasababu ndio Capital City ya Tz. Ukiizungumzia Tanzania direct utakuwa umeigusa Serikali kwa namna moja ama nyingine, kama tunavyo fahamu kwa sasa karibia shughuli zote za kiserikali zinafanyikia Dodoma. Dar itabaki kuwa Jiji la Biashara hiyo haina ubishi. Namba ya watu wanao ingia na kutoka Dodoma inazidi kukua kwa kasi siku hadi siku hii ni kutokana na Serikali kuweka kambi Dodoma hivyo basi kuhusu masuala yote yanayo gusa Serikali kwa sasa ni lazima utakanyaga Dodoma.
@johnmlay4759
@johnmlay4759 3 жыл бұрын
@@benjaminikimisha7195 hiyo ni Sawa coz shughuli zote za serikali zimehamia dodoma so mwenye kutaka huduma hizo lazma afike dodoma ndo maana iko hivi dodoma kwa Sasa ni mji mkuu wa shughuli za serikali na dar ni mji mkuu wa kibiashara, ndugu hii ni tanzania yetu iwe dodoma, mwanza, dar, arusha na mikoa yote mingine ni tz yetu so dodoma inakua coz ina miradi mingi mikubwa ya kimkakati iliyokamilika na inayoendelea kama soko na bus terminal za kimkakati, ujenzi wa ikulu kubwa zaidi Africa na hata kidunia ni yakipekee, ujenzi wa ring road ndefu zaidi sub saharan countries ukiiondoa South yenye ndefu kuliko yetu inayojengwa dodoma pia msalato international Airport na mingine ambayo tunajivunia coz tanzania inakua
@benjaminikimisha7195
@benjaminikimisha7195 3 жыл бұрын
@@johnmlay4759 Daah ndio naiona hii now. Well said Bro 🙌🏾
@barakawilson2664
@barakawilson2664 3 жыл бұрын
Dar ndyo mambo yote apa tz
@ngwalesma3681
@ngwalesma3681 3 жыл бұрын
Nilichogundua kunguru wanafaidi sana maisha ya juu😁
@eischerschwederm7876
@eischerschwederm7876 3 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa..mitaro ifunikwe tafadhali na pedestrian road ZIWE identified, tatu miti na majani na maua ni wachache mno ..hata kama barabara na majengo ni mazuri without miti hapapendezi..pandeni minazi au palm trees..itapendeza sana
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 3 жыл бұрын
Wazo zuri sana
@jamesthomas390jj
@jamesthomas390jj 3 жыл бұрын
Wazo zuri ila nenda kwenye website ya halmashauri ya jiji utoe maoni watayaona kwa haraka kuliko huku
@johnmlay4759
@johnmlay4759 3 жыл бұрын
@@jamesthomas390jj kweli kabisa
@mavuzijiwe6805
@mavuzijiwe6805 3 жыл бұрын
Tanzania lnajengwa na Watanzania wenyewe
@jovinathasavoie8018
@jovinathasavoie8018 3 жыл бұрын
Wengine tukirudi tutaitaji tour guides☺
@msemasungura5651
@msemasungura5651 2 жыл бұрын
Bado sanaaaaaa Nyumba nyingi hazikupangiliwa Dar imahitaji mapinduzi makubwa
@michaelsiweya6500
@michaelsiweya6500 3 жыл бұрын
Hii barabara wangewapa straburg...wangesha maliza zaamani...Huyu mkandarasi hamna kitu kabisa...km nne na nusu bado yupo kwenye kujenga lami...Vitendea kazi sivioni..watu ( personnel ) ni wachache mno ...kazi haiendi..ni mwaka na ushehe sasa unakatika
@david_ottoman
@david_ottoman 3 жыл бұрын
Siku moja mje Kijichi Vikunai basiii 💯
@cutelady7410
@cutelady7410 3 жыл бұрын
Ni mda ss inaendelea dar tu wakati miji mingi tz haiendelei km tanga tupo tu barabara ya pangani mbovu xan mvua ikinyesha bac watu tupo hoi
@isayaezekiel2867
@isayaezekiel2867 3 жыл бұрын
Bado Sana dar es salaam sio nzuri kabisa bar abara nyingi Ni mbovu na hata majengo mazuri Ni machache mnoo tuko nyuma sanass Happ kwetu hata kujifananisha na Nairobi au Kigali Ni ujinga mji mbayaa Hadi KARIAKOO ilala mnixi mmoja barabara mbovu mno barabara ndani ndo usiseme tunachekesha ss mtu mmoja anakuja na kusifia eti huyu juha wetu anafanya vizuri Sana haaa!!! tumerogwa feel no changes in dar es salaam vumbi michanga barabarani kwenyewe hata usafi hafifu kabisa alafu mnafananisha na Nairobi nyie acheni Mambo hayo wametuzidi Sana ata Ethiopia and is Ababa wako juu Sana sisi bado Sana barabara za ndani asilimia nyingi mbovu za vumbi maeneo Kama ilala no aibu pana magorofa mengi barabara chafu za vumbi Hadi Leo karia Koo bado eti kunabara za vumbi ujinga huu was serikali eti aijui viupaumbele juiacha KARIAKOO na barabara za vumbi ndo city center ya dar es salaam Ni ushamba tu tunafanya na Hawa viongozi juha wapenda kusifiwa muheshimiwa lakini hawatambui vitu sahihi kabisa na Bora makonda kutiko mkuu was mkoa wa Sasa hivi Hana lolote hata kujiereza hawezi na sio mtendaji ulimfaa mji Kama songea sio Happ hafai kabisa wakuhamishwa kabisa usafi finyuu kabisa barabara nyembamba sana maeneo mengi I'm
@ezekielkazingo890
@ezekielkazingo890 Жыл бұрын
1
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 3 жыл бұрын
Ungeweka sound track ya Tazama .ramani, Ushauri kwa mainjinia wanaojenga barabara jaribuni kuwa mnafunika mitaro Tengenezeni njia za waenda kwa miguu Wekeni zebra nimeona ata sehemu ya ubungo interchange mahali ile njia ya juu inaishia hakuna zebra watu wanakimbia kuvuka barabara utadhani mashindano Fanyeni kazi kama watu zenye viwango Kwanini mitaro mnaiacha wazi wakati mnajua upepo ukija vumbi likiingia umo muda si mwingi mitaro itaziba hivyo kusababisha maji kusambaa barabarani au kwenye makazi ya watu mkandarasi yeyote atakayekuwa anakabidhi barabara bila kuziba mitaro au kuweka njia ya waenda kwa miguu au zebra kazi yake isikubaliwe na arudie kwa pesa yake wasituchezee tunawalipa alafu wanacheza na kodi zetu.
@allyhassan2136
@allyhassan2136 3 жыл бұрын
Kwa hivyo watu ndo wanachukuaga video au picha namna hiyo? Hiyo barabara ni Nzuri kuliko ulivyochukuwa wew hiyo video.Hongera kwa kujaribu hata hivyo.
@KaziDepartment
@KaziDepartment 3 жыл бұрын
Viberiti vya Jakaya hivi.
@hassanimshanguzo7595
@hassanimshanguzo7595 3 жыл бұрын
Nchi inabadilika kweli
@davidmagundu2285
@davidmagundu2285 3 жыл бұрын
Kwa hiyo ndo mkashindwa hata kuweka soundtrack kusindikiza muonekano mzuri wa video? Mmefanya documentary nzima iwe 🚮
@rogermiller165
@rogermiller165 Жыл бұрын
Yes ni ovyo na trash. Makelele tu ya wapiga debe, yaani hakuna hata ile mpangilio, noise pollution. Poleni sana, bado mpo wachafu sana.
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 3 жыл бұрын
Kazi ya JPM hiyoo mitano tenaa
@glorydenis5111
@glorydenis5111 3 жыл бұрын
Hiyo barabara ya bagamoyo inapeza saaaaana ukiwa unatokea Morocco kwenda mwenge kama mbeleeee
@thomasraiton7760
@thomasraiton7760 3 жыл бұрын
yaani hadi raha barabara nzuri magari hayakatiki muda wote, lakini mimi sina hata ya kizamani
@idrisaseiph3499
@idrisaseiph3499 3 жыл бұрын
Ucjali utapata t
@johnmlay4759
@johnmlay4759 3 жыл бұрын
Ndugu tupambane nasi tutaendesha kwa zamu zetu, keep struggling and don't give up no matter what and remember to pray to God as he's our saviour once you pray he always listen and answer our prayers
@harounernest1516
@harounernest1516 3 жыл бұрын
Victoria to Morocco
@rogermiller165
@rogermiller165 Жыл бұрын
BADO SANA DAR ES SALAAM, NI UCHAFU MTUPU, MAJENGO MABOVU NA YA OVYO, NYUMBA ZIMEBANANA NA BARABARA NI FINYU SANA. HAKUNA CHA KUONA HAPO, UJENZI NI MBOVU SANA, UMEPINDAPINDA, MAJENGO YA OVYO ISIYO NA MIPANGILIO. HIVI NINYI AYO TV HAKUNA JINGINE LA KUONESHA?? EBU ACHENI UTANI NINYI WATU
@irenewile
@irenewile 3 жыл бұрын
Nimeondoka miaka nne imepita 🤦🏿‍♀️😭😭😭😭😭I miss home,,fuck corona
@manikamanika5487
@manikamanika5487 3 жыл бұрын
hiii video ungeweka kanyimbo asa unaweka sauti za magari we Millard na crew yako ya washamba
@alisele5299
@alisele5299 3 жыл бұрын
Umetuonesha mtaa tu mmoja
@kamanda007
@kamanda007 3 жыл бұрын
Great but we can do better... designer wa barabara waache kutuwekea mitaro ya wazi, na wenye majengo design hizo parking lot vizuri ziwe na mvuto maana naona michanga tuu na matope wakati wa mvua, watengeneze side walks na kuongeza majani na miti pataonekana pazuri sana
@triplea3463
@triplea3463 3 жыл бұрын
Zinatengenezwa njia nane wameshaweka side walk na kutoka morocco mpaka bamaga kuna mitaro iliyofunikwa ila kutoka bamaga mpaka mwenge mtato uko wazi labda walifanya vile kwa sababu wamepitisha mtaro mkubwa sana chini ya barabara juu ukapitishwa huu wa wazi
@johnmlay4759
@johnmlay4759 3 жыл бұрын
@@triplea3463 yes
@MwarabuTz
@MwarabuTz 3 жыл бұрын
Bado maboresho yanahitajika sana
@piusnkwale
@piusnkwale 3 жыл бұрын
Jamaa unanenepa tu vido vidox
@stewartstepgen3831
@stewartstepgen3831 3 жыл бұрын
Ondoa hizo background noises zimeharibu kazi.
@faisalanuary7033
@faisalanuary7033 3 жыл бұрын
Ndo uhalisia sasa! 😅 sio mambo ya background music kila clip!
@dotosalim5090
@dotosalim5090 3 жыл бұрын
Kwel mm sipo daa miaka minne sasa
@frankmwacha8702
@frankmwacha8702 3 жыл бұрын
Kweli Tanzania bado tupo chini sana kama hapo ndo pazuri zaidi Tanzania nzima bass tupo nyuma sana
@kulwasimwinga5723
@kulwasimwinga5723 3 жыл бұрын
We ni mtanzania kweli mbona hupendi maendeleoo
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
We ndo huko nyuma
@frankmwacha8702
@frankmwacha8702 3 жыл бұрын
@@kulwasimwinga5723 nayapenda sema hayaonekan
@frankmwacha8702
@frankmwacha8702 3 жыл бұрын
@@onesmojustice2348 😂😂😂we ujui ki2
@emelecianandolomi7086
@emelecianandolomi7086 3 жыл бұрын
Eti mijitu mingine inakashifu raisi wetu hajafanya kituu. Jamani natamani hata niwang'ate
@kizumwana16
@kizumwana16 3 жыл бұрын
Hii barabara nakumbuka ilikuwaga ovyo sana foleni hatari hapa tusipo sifia hayo maghorofa yatasifu
@triplea3463
@triplea3463 3 жыл бұрын
Now zinajengwa njia nane hapo Hio iliyokuwepo na mbili mbili kila upande
@barikiandrew3819
@barikiandrew3819 3 жыл бұрын
Tz bado sana yani tupo nyuma mybe 2100 ndo patakuwa kama Pretoria south Africa for now bado sana
@benjaminikimisha7195
@benjaminikimisha7195 3 жыл бұрын
Bro tumepata uhuru 1960s na S.A imepata kwenye 1990s and that makes us Lone survivors we built this country all by ourselves compared na S.A ambayo by 90% imekuwa built na mabeberu.
@ndwatanchullah4013
@ndwatanchullah4013 3 жыл бұрын
Sio Pretoria labda ungesema Capetown Mimi naijua Pretoria na pia naishi Capetown
@samweljasson4029
@samweljasson4029 3 жыл бұрын
Yaaan bado Sanaa,,tumekalia ushamba na ushabiki wa kisiasa..,kila kukicha kumsifia mfalume Juha wa nchi ya ahadii.
@ndwatanchullah4013
@ndwatanchullah4013 3 жыл бұрын
@@samweljasson4029 Usiwe mtumwa jivunie kwenu.
@ndwatanchullah4013
@ndwatanchullah4013 3 жыл бұрын
@@samweljasson4029 South imebaki jina..Maraba stad ,Bosman, sunside kote napapata..Johns burg ,small street,Mayfair nk.
@shaadenshaduni7755
@shaadenshaduni7755 3 жыл бұрын
Sasa mi nkajua mna onyesha jiji lote!
@erickriyoba2837
@erickriyoba2837 3 жыл бұрын
mbona unaonyesha sehemu moja tyuu
@gabrieldenicc4502
@gabrieldenicc4502 3 жыл бұрын
Umeskia hoonii nilioipiigaa
@johnmlay4759
@johnmlay4759 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@vber2010
@vber2010 3 жыл бұрын
Waoooh!! 1st to comment
@johnmlay4759
@johnmlay4759 3 жыл бұрын
Congrats
@vber2010
@vber2010 3 жыл бұрын
John Mlay thanks
@markoyohana5900
@markoyohana5900 3 жыл бұрын
Hamna kitu
@officialgivenjacksonngalla
@officialgivenjacksonngalla 3 жыл бұрын
Hamkosekani Watu kama ninyi
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 3 жыл бұрын
Mchawi
@natureworld295
@natureworld295 3 жыл бұрын
This city needs much of infrastructure upgrade , it is far much behind time
@eliasaismail6135
@eliasaismail6135 3 жыл бұрын
Acha kuteseka hiyo ni bagamoyo road just direction tu, dar ina mpaka 9 lane bro hua hazioneshi tu
@natureworld295
@natureworld295 3 жыл бұрын
@@eliasaismail6135 niko dar ata SAA ii 😂😂😂 Barabarara kubwa zaidi ni 4 lane( one way ) na bado inajengwa . Naishi oysters bay for a few years , you can come for a visit 🤗
@eliasaismail6135
@eliasaismail6135 3 жыл бұрын
Naishi uswazi unakaribishwa pia
@eliasaismail6135
@eliasaismail6135 3 жыл бұрын
Usijali na aleji na hilo neno kenya but thats personal though
@natureworld295
@natureworld295 3 жыл бұрын
@@eliasaismail6135 leta namba we link up on WhatsApp
@natureworld295
@natureworld295 3 жыл бұрын
So this 3 lane road is the best in Tanzania
@triplea3463
@triplea3463 3 жыл бұрын
Kwanza hio sio 3 lane labda kama macho yako yanamatege pili hio sio best road nakuna sehem waliposema wala walipo andika tatu hio barabara sasahivi inajengwa 8-10 lane tena lami aina ya concrete asphalt sio double Nne Nai kuna cbd moja sisi hii ni ya pili baada ya posta ya tatu tunaenda ku jenga mbezi luis bus terminal best bus station in the continet 💯
@johnmlay4759
@johnmlay4759 3 жыл бұрын
@@triplea3463 fact, huwa napendaga pale unamjibu mtyu fact, unampa soft copy ya material akatoe hadi copy awe anajikumbusha
@triplea3463
@triplea3463 3 жыл бұрын
@@johnmlay4759 😆 Wakenya wazinguaji sana utasema hawana macho
@johnmlay4759
@johnmlay4759 3 жыл бұрын
@@triplea3463 kabisa ndugu but tuendelee kuwajibu fact wafunge midomo yao wasione tz bado ni Ile nchi iliyolala utasikia eti dar iko nyuma Miaka 100 kwa dar nakuwa naumiza kichwa kuwaza ni nai ninayoijua ama Kuna nai nyingine imeletwa ikapandikizwa juu ya hii ya sasa
@natureworld295
@natureworld295 3 жыл бұрын
@@johnmlay4759 wewe ni ngombe sana . Barabara za Nairobi ndio hizo kwenye link jionee mwenyewe kzfaq.info/get/bejne/eclljcRmp9C4nWQ.html
LIVE: MBOWE ANATOA TAMKO LA CHADEMA MUDA HUU DAR ES SALAAM
2:03:09
Millard Ayo
Рет қаралды 15 М.
Revolutionary Uses for Leftover Styrofoam
00:19
Делай сам
Рет қаралды 6 МЛН
Нашли чужие сети в озере..💁🏼‍♀️🕸️🎣
00:34
Connoisseur BLIND420
Рет қаралды 3,5 МЛН
Top 10 most developed cities in Africa (UPDATE 2024)
5:46
AFRICA DIARY
Рет қаралды 824
Lijue Jiji La Nampula Nchini Msumbiji
18:31
Kekenwa Tech
Рет қаралды 2,8 М.