No video

JOKATE SEKONDARI KUVUNJA REKODI KIDATO CHA SITA

  Рет қаралды 2,439

MalemaSportsHub TV

MalemaSportsHub TV

Жыл бұрын

Wakati wanafunzi wa kidato cha sita nchini wakiwa katika maandalizi ya mwisho mwisho wa kufanya mitihani ya kuhitimu masomo yao May 2 mwaka huu, walimu na wanafunzi wa shule ya sekondari JOKATE MWEGELO iliyopo Kisarawe Pwani wamesema wameajindaa vyema kuhakikisha shule yao inapata ufaulu mkubwa kwa wanafunzi wote watakaofanya mitihani huo ili kutimiza adhma ya uanzishwaji wa shule hiyo iliyokua na lengo la kutokomeza zero wilayani Kisarawe.
Akizungumza ofisini kwake mara baada ya kumalizika kwa mahafali ya kidato cha sita Mkuu wa shule ya sekondari JOKATE MWEGELO Bi. MARIAM MPUNGA amesema kutokana na maandalizi mazuri waliyoyafanya ukilinganisha na mitihani ya majaribio shuleni hapo, majaribio waliyofanya kwa kushikrikiana na shule marafiki na hata ile mitihani ya kujipima ya kiwilaya kimkoa na kitaifa maarufu moku inatoa taswira kwamba wanafunzi wake watakwenda kufanya maajabu katika mtihani wao wa mwisho.

Пікірлер
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 35 МЛН
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 10 МЛН
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
Risala Kidato cha Sita Shule ya wasichana Joketi Mwegelo Kisarawe
5:21
Why "pop-up" restaurants are everywhere now
6:05
Vox
Рет қаралды 673 М.
TRIFONIYA ACADEMY MAHAFALI YAO HATARI SANA 2022
5:23
MONTELA Tz online
Рет қаралды 19 М.
Dakika mbili za Mkuu wa Wilaya Kisarawe kabla ya kumkabidhi Jokate
2:52
Tazama Shule ya Sekondari ya Msalato Ilivyokarabatiwa, Kama Ulaya!
4:28
Global TV Online
Рет қаралды 13 М.
Why Banks Bet Big on Risky Credit Card Partnerships | WSJ
8:04
The Wall Street Journal
Рет қаралды 280 М.
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 35 МЛН