No video

JOL MASTER - KINYOZI / UNATAKA STYLE GANI / MASHINE YANGU INAUMIZA? | CHEKA TU

  Рет қаралды 137,225

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

JOL MASTER - KINYOZI / UNATAKA STYLE GANI / MASHINE YANGU INAUMIZA? | CHEKA TU
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 161
@highvoltages4169
@highvoltages4169 2 жыл бұрын
Huyu kijana ana uwezo wa kutawala jukwaa na kushirikisha hadhira yake Changamoto: ame focus kwa vijana zaidi (lugha anazotumia zimewalenga vijana lk sio na wazee) USHAUERI: Anaoojiandaa awe anawaza kwamba ucheshi wake *utatazamwa na wazazi na vijana wakiwa pamoja* Hapo atajua jinsi ya kuji tune
@chrystiankagasheckjr.5287
@chrystiankagasheckjr.5287 2 жыл бұрын
Kwel kabsa apo ndipo anapokosea Ukijarbu ku campare na zaman wakati anaanza alikuwa na content nzur sana
@mossesgadiye2200
@mossesgadiye2200 2 жыл бұрын
Huyu jamaa hajui kuchekesha,,,matusi mengi 🤯🤯
@saahtinnoh6421
@saahtinnoh6421 2 жыл бұрын
REAL JOH
@reganuisso1256
@reganuisso1256 2 жыл бұрын
Unajua sema punguza matusi..jarbu kufuata nyendo za Leonardo..harudii mara mbilimbili neno na inapendeza...ww unakazia neno sana
@wilsonedger1298
@wilsonedger1298 2 жыл бұрын
kaz nzuri👏....shida moja tu.. hizii sanaa kwingine zinafuatiliwa na familia yaaani wazazi na watoto wao kwa pamoja....jaribu kubalance ujumbe wako kwa rika zote kwa wakati mmja
@daveme9180
@daveme9180 2 жыл бұрын
Upo sahihi mkuu
@kenedymwamagemo1066
@kenedymwamagemo1066 2 жыл бұрын
He is my favourate tanzanian comedian. Ila hii show for the first time amefanya chini ya kiwango chake i know he can do better than this
@martineemmanuel1613
@martineemmanuel1613 2 жыл бұрын
Mshkaji simkubali hata siku moja,kwanza the way anaigiza as if anatuchamba bhana...anatubania sauti mara nyingi
@cloneltv
@cloneltv 2 жыл бұрын
Matusi Mnoo, huwez angalia ukiwa na wazaz. Au watoto
@naitwachilipo892
@naitwachilipo892 2 жыл бұрын
Jol Master unajua saaana.. Keep goin bro
@munasaid1429
@munasaid1429 2 жыл бұрын
Kinachosaidia kwake ni kumiliki jukwaa hachoshi
@boniphaceantony4807
@boniphaceantony4807 2 жыл бұрын
Huyuu jamaa simuelewagii anatumia nguvuu nyingii Sana kuwachekesha watu .... yaaan halilax
@lusekelocharles8066
@lusekelocharles8066 2 жыл бұрын
Mmmmmh uongoooo yuko frexbal
@mungatanamedia5157
@mungatanamedia5157 2 жыл бұрын
Kabisa,,ana force sana
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 2 жыл бұрын
Acha wivu mwehu weye nenda weye kama waweza chekesha watu nyooo roho mbaya iyo mbona siye tumecheka
@mastermwakyembe1093
@mastermwakyembe1093 2 жыл бұрын
Sawa kabisa anajichosha Sana hawezi kuchekesha
@joellameck2110
@joellameck2110 2 жыл бұрын
Kachekeshe wewe
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
Uyu mwamba hajui kiivo knachomsaidia ana confidence mno lakn material ajitahd sana idea mpya naona kama n mzito kuzipata
@mahuvesebastian1916
@mahuvesebastian1916 2 жыл бұрын
Upo vizuri sana kaka,ila soma vitu vya kutosha njoo kwa steji,maana ukitumia uzoefu tu Muda utakutupa.
@ilomogold1715
@ilomogold1715 2 жыл бұрын
Fact
@daveme9180
@daveme9180 2 жыл бұрын
Sure
@angelangelica5342
@angelangelica5342 2 жыл бұрын
Jol master Big Big Biiiiiiiig Up!
@EliakimuCharles
@EliakimuCharles 2 жыл бұрын
Huyo kijana hana adabu anafosi tu kuwa mchekeshaji lakini uwezo wa kuchekesha watu kwa maneno matamu ambayo unaweza kumsikiliza hata ukiwa na familia hana! Ajifunze kwa wadogo zake akina dogo Sele; Sele na utoto wake anaongeaga point watu wote wanacheka bila kulazimishwa sio huyo.
@frankkalanda872
@frankkalanda872 2 жыл бұрын
Anajua sana yupo vzr!
@sumaiyamunisi5228
@sumaiyamunisi5228 2 жыл бұрын
Ndo dunia ilivo saiv
@georgeigogo9259
@georgeigogo9259 2 жыл бұрын
Nikweli hajui kuchesha
@boniphaceantony4807
@boniphaceantony4807 2 жыл бұрын
Sipinganii na wew man anatumia nguvuu nyingii Sana koforce wachekeee
@superherotv1750
@superherotv1750 2 жыл бұрын
Smat umenunua Jana ee
@user-eo1qy1zh7r
@user-eo1qy1zh7r 3 ай бұрын
Uwakika sana kumbe ushaona eeeh 🎉🎉🎉
@vestinathobias1698
@vestinathobias1698 2 жыл бұрын
Show nzur matus meng
@exarakimay8490
@exarakimay8490 2 жыл бұрын
hawa wasenge wanao kukatisha tamaa hapa me siwasapoti kabisa kitu unacho kifanya ni kikubwa sana mwnangu jol
@mastermwakyembe1093
@mastermwakyembe1093 2 жыл бұрын
Katika watu wasiojua kuchekesha wewenambari one HUJUI JOMASTER TAFUTA KAZI NYINGINE
@mackmtata8277
@mackmtata8277 2 жыл бұрын
Joe respect unajua sanaaa
@iemsunnah5517
@iemsunnah5517 2 жыл бұрын
tishaa shaana jol master lakin upangiliaji wako wa kudeliver inakua changamoto kidogo kwa sisi tunaongalia tv seblen tukiwa na familia..! Sanaaa ni pana ila usiipanue hadi ikapanuka
@jevuofficial5266
@jevuofficial5266 2 жыл бұрын
Jol master 😎 umetisha kinoma
@realymg545
@realymg545 2 жыл бұрын
Umeua sana mwanang
@winndelule2302
@winndelule2302 2 жыл бұрын
Jol master nakukubali but sikuhiz unaongelea matusi tu dah
@moureennasrah5327
@moureennasrah5327 2 жыл бұрын
sanaaaaa
@shakaramoskeone1087
@shakaramoskeone1087 2 жыл бұрын
Kw cheka two huyu kijanah ndie namkubali sanah
@eliudkwesigabo9321
@eliudkwesigabo9321 2 жыл бұрын
Matusi mengi
@edsonjrtz7676
@edsonjrtz7676 2 жыл бұрын
Unatisha bro big ap oyoooooo
@kweturaha439
@kweturaha439 2 жыл бұрын
Leo nilikwa na stress but iyi moja imeniondolea udhaufu wote
@mwljei.k3094
@mwljei.k3094 2 жыл бұрын
so creative
@ramaalmas8118
@ramaalmas8118 2 жыл бұрын
Big up sana wewe ni hatariii sana.....
@user-wr6lc3jz6g
@user-wr6lc3jz6g 2 жыл бұрын
Umeua😂😂😂👏👏
@mswanawamswana3129
@mswanawamswana3129 2 жыл бұрын
Huwa simwelewi huyu kijana....mara nyingi lazima ainame au kutoa mifano ya kishoga...namfuatilia sana lkn kubong'oa kwake nilazima
@moseshandsam1865
@moseshandsam1865 2 жыл бұрын
Yukoooo juuuu sana
@chingychingy2066
@chingychingy2066 2 жыл бұрын
Daaah nilisha wai muuliza mtu ivo mashine inaumiza afu kumbe alikua shoga nilipata tabu sana iyo cku
@njoroboihustla125
@njoroboihustla125 2 жыл бұрын
Tunajua jol anajua ila anatumia nguvu sana tofaut na Leonardo anatumia akili sana japo stand up comedy sio easy✌✌✌✌
@azibossladykenny2455
@azibossladykenny2455 2 жыл бұрын
Ila uyu kaka anajuw kwel😂😂😂🥰🥰🥰
@johnsaidy1677
@johnsaidy1677 2 жыл бұрын
Daaaaaah
@Young9John
@Young9John 2 жыл бұрын
Jol master kanipa confidence kumbe ata mie nikikaza naweza imba singeli 😂😂😂
@tuesdaymeli8458
@tuesdaymeli8458 2 жыл бұрын
Unazinguwa tu matusi kibao Kama wasafi tu
@snashbwaii170
@snashbwaii170 2 жыл бұрын
Nomaaa san jol hatar
@marrymwalongo
@marrymwalongo 5 ай бұрын
iko pw san
@ibrahimabdallah2874
@ibrahimabdallah2874 2 жыл бұрын
Namuona deo ndani yako yani
@davisonlema538
@davisonlema538 2 жыл бұрын
Mbwembwe nyingi sana huyu kijana😂😂
@deusdeodavid5360
@deusdeodavid5360 2 жыл бұрын
Punguza Matusi bro, ila big up sana
@lewismpangala927
@lewismpangala927 2 жыл бұрын
Sema kukata miuno miuno anazinguaga
@chybuwagwantaz8054
@chybuwagwantaz8054 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@elizabethopere2784
@elizabethopere2784 2 жыл бұрын
Dah umeua
@lusekelocharles8066
@lusekelocharles8066 2 жыл бұрын
Kaumiza sana jana sikucheka nilianzia hapa
@dismasjumanne4646
@dismasjumanne4646 2 жыл бұрын
Mwanangu sana ✌✌✌
@edwardmdee2002
@edwardmdee2002 2 жыл бұрын
King
@mboyamwamba2591
@mboyamwamba2591 2 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sina neno na hichi kipaji
@Donebyresbees
@Donebyresbees 2 жыл бұрын
Dah namkbl xana mwamb
@kadegashibani5934
@kadegashibani5934 2 жыл бұрын
Nampenda huyu kk jmn😂😂😂😂
@malickkasuga4805
@malickkasuga4805 2 жыл бұрын
Ubunifu mdogo
@davido-scooper9471
@davido-scooper9471 2 жыл бұрын
Unajua saan
@kingmicky1002
@kingmicky1002 2 жыл бұрын
Comedy za matusi sana ,hata familia inakua ngumu kusikiliza au kuangalia nayo pamoja
@complexjackal2782
@complexjackal2782 2 жыл бұрын
Ili mradi watu wanacheka...na hakuna tusi hapo ni eewe ndo unawaza matusi
@khadifayna4093
@khadifayna4093 2 жыл бұрын
Ww ndio umeelewa ivo ila sisi tumecheka bala 💯
@alverztv6272
@alverztv6272 2 жыл бұрын
Matusi ndio mengi tu hapa
@gaudencekanut902
@gaudencekanut902 Жыл бұрын
kipaji kizur shdaaaa lughaa ni ya matusi kila clip nnayoiona ya kwakoo ikooo hvooo
@mkadinali_ent.
@mkadinali_ent. 2 жыл бұрын
Nakubali
@hasnajuma5567
@hasnajuma5567 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣hiv ana nini huyu kaka 😂😂😂
@sultanprime6840
@sultanprime6840 2 жыл бұрын
Amazing comedian
@ibrahimzuberi1029
@ibrahimzuberi1029 2 жыл бұрын
GENIOUS
@spensa86djtz61
@spensa86djtz61 2 жыл бұрын
Naomba like zangu ahaaaaaa
@smilemediatz
@smilemediatz 2 жыл бұрын
unazingua badirika
@piusphilip307
@piusphilip307 2 жыл бұрын
Amesha ishiwa huyu.
@godfreyathumani9912
@godfreyathumani9912 2 жыл бұрын
Doh kwishney. Amna kitu
@ferouzfernandes3162
@ferouzfernandes3162 2 жыл бұрын
Leonardo wakawaid snaa kw huyu kichaa Jol kanitoa mpk machozi sjy coz ni shabiki yke
@edsonjrtz7676
@edsonjrtz7676 2 жыл бұрын
Umeua
@JninjaH2R
@JninjaH2R Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 ni entertainer
@sizonitvtz1028
@sizonitvtz1028 2 жыл бұрын
daah nimecheka leo
@trumptz6821
@trumptz6821 2 жыл бұрын
😁unajua sana
@davido-scooper9471
@davido-scooper9471 2 жыл бұрын
Vinyoz ndo zet
@Nassprince
@Nassprince 2 жыл бұрын
noma huyu
@mussamussa8181
@mussamussa8181 2 жыл бұрын
Kuna uchesh na kuna upumbavu uyu anaongea upumbavu
@boniphaceantony4807
@boniphaceantony4807 2 жыл бұрын
Hamna kitu hapoooooo kuvuu nyingii akili kijikoo
@richardkonzo5717
@richardkonzo5717 2 жыл бұрын
Uchafu tupu hakuna mtu hapa!
@msukuma1
@msukuma1 2 жыл бұрын
huyu kaishiwa siku hizi
@dansonnjile6010
@dansonnjile6010 2 жыл бұрын
Hamnaga comedian hapa ni chupri chupri tu
@pettersongrouptz8419
@pettersongrouptz8419 2 жыл бұрын
jamaa anatumia sana nguvu kuchekesha kipaji hana
@mwljuliuskiwovele
@mwljuliuskiwovele 2 жыл бұрын
Tik tok
@issackmaduhu3737
@issackmaduhu3737 2 жыл бұрын
Ushaishiwa unaparfom matusi😭😭
@hassansozigwa3475
@hassansozigwa3475 2 жыл бұрын
Kipaji
@zou7470
@zou7470 2 жыл бұрын
Juma saizi yako ni naila mim sikuwezi🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
@yessekindi4625
@yessekindi4625 2 жыл бұрын
Levels, umeua mbaya hahahahahah
@frans_dede
@frans_dede 2 жыл бұрын
haka kajamaa me skaelewg Kwanz pgo zake kam xhog vile
@meshack3266
@meshack3266 2 жыл бұрын
🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈
@mwljuliuskiwovele
@mwljuliuskiwovele 2 жыл бұрын
daaH ila Utumie tafsida
@rizoibrahimovich8297
@rizoibrahimovich8297 2 жыл бұрын
Joel master chizi hahahahahhahaa
@shabaniramadhani8891
@shabaniramadhani8891 2 жыл бұрын
Sipend kupotezewa muda
@naimunaimu2312
@naimunaimu2312 2 жыл бұрын
Used hii
@abuuabdul1792
@abuuabdul1792 2 жыл бұрын
Yuko poa
@aishayosuf3531
@aishayosuf3531 2 жыл бұрын
Mhm wewe jamani
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
😅
@zaynabiddy3843
@zaynabiddy3843 2 жыл бұрын
Hahahahaha😂😂😂😂
@john.jonijoo8808
@john.jonijoo8808 2 жыл бұрын
mashine yangu ina umiza aua kzfaq.info/get/bejne/hsiqnbSI3qynfoU.html
@msalikemedia
@msalikemedia 2 жыл бұрын
Hahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@khadijanakimana4227
@khadijanakimana4227 2 жыл бұрын
😂😂😂😂yan nimechek nusu kufa
@chybuwagwantaz8054
@chybuwagwantaz8054 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@yohanajoseph6948
@yohanajoseph6948 2 жыл бұрын
Nouma mzee😂😂😂😂
@mariellerashidi4649
@mariellerashidi4649 2 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
@glorysabanito6163
@glorysabanito6163 2 жыл бұрын
Mjnga huyu🤣🤣🤣
CHEKA TU: MC MADEVU - MIMI NI BABY WA MTU / NAFANANA NA MUISRAEL...
7:00
CHEKA TU: JOL MASTER - RAHA YA GARI UMPE LIFTI MTOTO MZURI😂
5:55
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 11 МЛН
Revolutionary Uses for Leftover Styrofoam
00:19
Делай сам
Рет қаралды 6 МЛН
Logo Matching Challenge with Alfredo Larin Family! 👍
00:36
BigSchool
Рет қаралды 21 МЛН
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН
JOL MASTER | Demu akija geto | Kipindi cha Mvua
14:14
Cheka tu
Рет қаралды 199 М.
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
Visit Tanzania
Рет қаралды 292 М.
JOL MASTER AFUNDISHWA UCHAWI LIVE NA BOOM | CHEKA TU
6:34
Boom Tz
Рет қаралды 32 М.
KATAPELIWA
9:40
Joti TV
Рет қаралды 678 М.
JOL MASTER/CHEKA TU/VIATU
7:43
ZEGUY Network
Рет қаралды 31 М.
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 11 МЛН