No video

SIFA ZA KIJINGA

  Рет қаралды 281,204

Joti TV

Joti TV

Күн бұрын

Hivi wanaume hizi sifa za kijinga zinawaisha lini? Unajitoa kwa mwanamke asiekupenda kisa akikudanganya tu unalainika...

Пікірлер: 372
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 2 ай бұрын
Tuliopenda joti alivokuwa kapanda kwenye boda tujuane🤣🤣🔥🔥🔥🔥
@fatmamdihiri4164
@fatmamdihiri4164 2 ай бұрын
😂 😂
@GatekaNene
@GatekaNene 2 ай бұрын
Yani nimeceka hapa nilipo naonekana nikama naelekey kuwa punguwani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ericluda
@ericluda 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@EDOSHINE-uc1ft
@EDOSHINE-uc1ft 2 ай бұрын
Tupo pamoja
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 2 ай бұрын
@@ericluda sana babaahh 🤣👊
@GatekaNene
@GatekaNene 2 ай бұрын
Huum Joti ulivyo kaa kwaiyo boda mii hoi na kiceko 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 aki Joti wewe akili zako unazijuwa mwenyew eniweyi mimi nakupenda sana ❤❤❤❤❤
@ALNAVSINKINDOLE-tr9qs
@ALNAVSINKINDOLE-tr9qs 2 ай бұрын
Naombeni Likes Ndugu zangu na mungu atawabariki nimekaa nikisubiri hii video tangu saa kumi pongezi kwangu kwa kuwa ni msubirivu.🎉
@kelvinimwandala7284
@kelvinimwandala7284 2 ай бұрын
Mnafanyia nn hizo like nanyie kha
@homeboy2307
@homeboy2307 2 ай бұрын
Unatatizo gani
@cipladapretty8617
@cipladapretty8617 2 ай бұрын
​@@homeboy2307😂😂😂😂😂😂 et una tatzo gan
@pendogwisu
@pendogwisu 2 ай бұрын
Eti Mungu atawabariki..
@Fahimbisanga
@Fahimbisanga 2 ай бұрын
We mjinga
@markmwaluanda7552
@markmwaluanda7552 2 ай бұрын
Haha 😄 nishai mtomba..ngile wa kitwango leo umepata chance 🤣 ya kutoa dozi unaitumia nafasi vzr ngojea ifike zam ako haha 😄
@lewimontaz1373
@lewimontaz1373 2 ай бұрын
Leo nilijua, mm ndio ndakuwa,wa kwanza,ila kuna watu ,wanarauka kweli 😂😂😂😂😂
@latwibujuma
@latwibujuma 2 ай бұрын
Joti hujawahi kuferi kaka kila siku kitu kipya hongera sana kaka Mungu aendelee kukupa uhai uendelee kutuburudisha😂😂😂
@jamesluckson2367
@jamesluckson2367 2 ай бұрын
😂😂😂
@bestsvin182
@bestsvin182 2 ай бұрын
Sio kwa ubaya Kwa mtazamo wangu I think huyo boss asinge vaa sendo mguuni kwakuwa kawekwa nafasi ya uboss. Next time itabeba uhalisia wa cheo kama boss atavaa kiboss zaidi. 💪🏾kazi nzuri guys. We love it🎉
@avocadomatala2883
@avocadomatala2883 2 ай бұрын
Mabosi Huwa hawavaagi Sana wewe
@lvanyDaniel_pw7kk
@lvanyDaniel_pw7kk 2 ай бұрын
Matajiri hawana muda na mavazi masikini ndo tuna sifa hao matajiri wamesha tokaga uko tembea uone
@Basagamp4
@Basagamp4 2 ай бұрын
Nishai Mtombangile Kitwango Mikazo miguno leo umeyatimbaa😊😊😊😊😊😊
@mouricegodfrey1971
@mouricegodfrey1971 2 ай бұрын
Misuguano 😅
@frankbujiku9496
@frankbujiku9496 2 ай бұрын
Hii ya muuza madafu nilikuwa nimeisubiria sana kwa hamu hatimae umeigiza 😂😂😂
@giselemauwa4477
@giselemauwa4477 2 ай бұрын
Wakwanza from Canada ❤❤
@Chrm-sindano
@Chrm-sindano 2 ай бұрын
Upo kanada sehemu gani nataka tuongee
@daudiniyonsaba1113
@daudiniyonsaba1113 2 ай бұрын
Nimeivizia mwamba hapa. Yanga bingwa, dadeki!
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 2 ай бұрын
Simba Bingwa
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 2 ай бұрын
Wangapi tumemic joti aigize kama mapema🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 2 ай бұрын
Kata nyonga joti ita mvua 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤mkwala mingi kumbe toi 😘🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 2 ай бұрын
Babahhh mlewa sheweleeeee tunakukubare sana🔥🔥🔥🔥🔥
@mlewazitotv
@mlewazitotv 2 ай бұрын
Asanteeee
@ErickmidoMsodock
@ErickmidoMsodock 2 ай бұрын
From Japan Kuma I love u YANGA bingwa 24/25 😊😊😊
@user-ov7ge3ci6f
@user-ov7ge3ci6f 2 ай бұрын
Which opportunity occur Japan bro
@Charleskulwa-hp5ow
@Charleskulwa-hp5ow 2 ай бұрын
Hongera sana joti kazinzuri 🔥🔥
@MhinaKulewa
@MhinaKulewa 2 ай бұрын
Joti ukaaji gani huo kwenye boda utadhani mbwa anayekojoa😂😂😂
@chrismuganwa8634
@chrismuganwa8634 2 ай бұрын
Thank you Mr Joti!! Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮!!
@Chido.sharbaz
@Chido.sharbaz 2 ай бұрын
Nishaiii the king of comedy
@user-eu1tr8qq7y
@user-eu1tr8qq7y 2 ай бұрын
Naomba like zang jmn
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 2 ай бұрын
Nawapenda sana Joti TV❤❤❤❤❤❤❤❤
@joeldaniel3348
@joeldaniel3348 2 ай бұрын
Kwan izo like mnafanyiaga ñn
@Alpha-6666
@Alpha-6666 2 ай бұрын
Legend mweyewe joti
@IssaHamisi-tf1bf
@IssaHamisi-tf1bf 2 ай бұрын
❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas jotii88iiiiii babaaaaaas
@turiangolo9397
@turiangolo9397 Ай бұрын
Binafsi joti nakubari Sana kazi yako mungu akusimamie
@BundalaShija-yb4vo
@BundalaShija-yb4vo 2 ай бұрын
😂😂 mlewa kaunguza nyumba 😂😂😂😂😂😂😂
@mlewazitotv
@mlewazitotv 2 ай бұрын
Hahahhahaha
@lucasbatano333
@lucasbatano333 2 ай бұрын
Kazi nzuri
@besteva499
@besteva499 2 ай бұрын
Joti ivi wewe kwel una stress kichwani mwako sio kwakuchekesha❤❤❤
@Taloba_og1
@Taloba_og1 2 ай бұрын
Leo namm nimewahi nipeni like
@Mr.BrokeGuy
@Mr.BrokeGuy 2 ай бұрын
Hawakuezi Nishai Mtombangwile mkali wao
@HamisMshana-rc4mc
@HamisMshana-rc4mc 2 ай бұрын
Respect comedian
@mwambiretv165
@mwambiretv165 2 ай бұрын
Wa noma sana
@shabanijuma4887
@shabanijuma4887 2 ай бұрын
Mlewa umemuuza mwenzako😂😂😂
@mlewazitotv
@mlewazitotv 2 ай бұрын
Hhhhh
@zarafimnyamafitv
@zarafimnyamafitv 2 ай бұрын
nomaa
@abangaabanga4677
@abangaabanga4677 2 ай бұрын
Joti ana mikwala....eti ntakumwaga! 🤣🤣🤣
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 2 ай бұрын
Ivi mwanamke unaitwaje unaenda tu bila taarifa maalum na wala hujui unaenda wapi😂😂😂😂😂😂
@AlexSarota
@AlexSarota 17 сағат бұрын
Anajua sana apewee maua yake🎉
@user-et9je5vw3l
@user-et9je5vw3l 2 ай бұрын
You are thé best Mr jotti
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 2 ай бұрын
Joti numbar one comedy❣️🥰
@michilita2959
@michilita2959 2 ай бұрын
Mlewa wapenda kuchoma kweli
@mlewazitotv
@mlewazitotv 2 ай бұрын
Hhhhhh
@amanchuphichuphi4725
@amanchuphichuphi4725 2 ай бұрын
Hahaha at sijui chanzo
@leonardmhagama5828
@leonardmhagama5828 2 ай бұрын
😅😂😂😂sikijui chanzooo daaah🙌🙌
@alexjohnson3814
@alexjohnson3814 2 ай бұрын
Hawa watu wa mikopo bana eti apikesheni yan wao walivo ndo wanahitaji mkopo na wasidaiwe ila sasa
@perezkive1493
@perezkive1493 2 ай бұрын
💥💥🔥🔥NISHAI ninja.....haunaga kazi mbovu😅😅
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 2 ай бұрын
Jotiiiiiiiiii😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅mapenz mapenz c ukaeeeeee khaaaa
@hassansammy1076
@hassansammy1076 25 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka adi sasa bado na cheka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 joti unatisha sana weye noma 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Alanshaamusic
@Alanshaamusic 2 ай бұрын
mission ya nishai haijawahi kuishaa kikamilifu lazima azingue😂😂😂
@abdallahturula4223
@abdallahturula4223 2 ай бұрын
Ila Joti Nafurahi Sana
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 ай бұрын
Leo umeshindwa kukimbia... hahahaa halafu? Mbona Zitto ametamani? teh teh teh!
@divanamines5516
@divanamines5516 2 ай бұрын
Ninaangalia huku na soma comment, usiulize nafanyia nn? Likee zangu na jotii
@mohamedsheealom8745
@mohamedsheealom8745 2 ай бұрын
Badala watu kulike hii video kumpa motisha joti mijinga inaomba wao mi wakwanza mi wapili sasa zakusaidia nini hebu like hio video na subscribe ili joti apate haki yake ...
@yusuphmdoe5451
@yusuphmdoe5451 2 ай бұрын
Mtaa mapenzi hahahaaaa wee jamaa ww hatali sana hahahahahaaaa unakuzimkazi leo hahahahaaaa nahapa ipo
@kayjuma2629
@kayjuma2629 2 ай бұрын
Ukija bila guard nagawa wastani kwa idadi 😂😂😂
@user-mo7iq2fd8g
@user-mo7iq2fd8g 2 ай бұрын
nataman sku moja nione clip ina title ya "The Don" alafu unyama uwe mwingi... pale #MlewaGodyMwambaZitoBaunsa na hku mzee Mbembe
@AnnaKilugya
@AnnaKilugya 2 ай бұрын
Nishai Mimi Anna kilungya from Kenya your follower..uniwacha hoyii kumbe wache na toy bastola
@harrymakongwa1147
@harrymakongwa1147 2 ай бұрын
Joti na style mpya ya kupanda boda ni nomaa😅😅
@deusdeditmajeshi5394
@deusdeditmajeshi5394 2 ай бұрын
First one 🎉
@matanobaya619
@matanobaya619 2 ай бұрын
Mlewa (waiter) umemponza mwenzako broo 😂 . We ungekaba tu mwenzako nishai achukue point😂.ila nyote mumetisha na nawakubali nyote 😅.
@mlewazitotv
@mlewazitotv 2 ай бұрын
Asanteeeee nduguu
@matanobaya619
@matanobaya619 2 ай бұрын
@@mlewazitotv 👏😀
@azizayassin3623
@azizayassin3623 2 ай бұрын
Kumekuchaaaa 😂😂😂😂😂😂 wnazengo mpooo
@JamesReuben-gt8up
@JamesReuben-gt8up 2 ай бұрын
King of comedy tanzania joti official
@boazygodfrey9371
@boazygodfrey9371 27 күн бұрын
Ila Joti Huna Show Mbovu, Et Mguu Juu Unaenda Kwenye Tukio😂😂
@JacobIsmail-gx7wb
@JacobIsmail-gx7wb 2 ай бұрын
nishaaaai 🔥
@danielmwakalinga6049
@danielmwakalinga6049 2 ай бұрын
Yaani Mlelwa namkubali sanaaaa
@mlewazitotv
@mlewazitotv 2 ай бұрын
Asanteeeeee
@richardmtangi8803
@richardmtangi8803 2 ай бұрын
nmber 1
@bennylove6021
@bennylove6021 2 ай бұрын
Kama binduki😂
@user-bm2wo9jl4f
@user-bm2wo9jl4f 2 ай бұрын
Huyu nileeteni ghetto!!
@omariamiri5556
@omariamiri5556 2 ай бұрын
nice Friday
@rajabusaidi6692
@rajabusaidi6692 2 ай бұрын
Joti mzinguaji sana😂😂😂😂😂
@markmwaluanda7552
@markmwaluanda7552 2 ай бұрын
Hahah 😅 nishai nishai kila clip we ni kupigwa haha 😅 Team mtombangile haha 😄 tutambuane unabastora kwel ww
@KingCyrus-iw9yx
@KingCyrus-iw9yx 2 ай бұрын
😂😂😂 team Dubai all the way from 🇰🇪
@user-ov7ge3ci6f
@user-ov7ge3ci6f 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 iz jot ndo unanfulaishagaaaa
@user-hg4yy1qs7g
@user-hg4yy1qs7g 2 ай бұрын
mlewa ndio kila kitu yuko vizul sana
@mlewazitotv
@mlewazitotv 2 ай бұрын
Assntee
@ashasaid6985
@ashasaid6985 2 ай бұрын
mlewa sitakusamehe kwa hilo ulofabya😂😂😂😂
@user-mo7iq2fd8g
@user-mo7iq2fd8g 2 ай бұрын
ita mvua hku unakata nyonga😂😂😂...shabbashhhhh
@muddyaforeal1145
@muddyaforeal1145 2 ай бұрын
Nani aliesikia huo mtusi hapo. 😂😂😂😂😂 Halafu director sijui Nan kafanya yake😂😂😂
@CarbonProject-yh6ln
@CarbonProject-yh6ln 2 ай бұрын
Joti😅😅😅😅you are the best
@abdallahrajab866
@abdallahrajab866 2 ай бұрын
rudia dakika ya 2:10 usikilze kwa makini
@SDM2024-z4s
@SDM2024-z4s 2 ай бұрын
😂😂😂 leo wa kwnz
@markmwaluanda7552
@markmwaluanda7552 2 ай бұрын
Dalali afu chawa haha 😄 umekwisha mchawi ndugu mlewa kakuuza haha 😄 mimi sio yuda eeg usaliti sio vitu vyangu aya yuda kafanya yake kwishaa sas ni zamu ya pirato umeona moto haha 😄 kata nyonga
@mlewazitotv
@mlewazitotv 2 ай бұрын
Hhhhh
@markmwaluanda7552
@markmwaluanda7552 2 ай бұрын
@@mlewazitotv kaka mkubwa umenifurahisha kwakwel umenikumbusha sifa ya askari yote 😅🤣 mchawi ndugu ona zito nae baada ya kujua mtombangila hana bastola ya kweli alivo mshughulikia vzr kwakwel nimefurah sana kak mlewa shewere sijui ndio hivyo waitwa au nimepuyanga haha 😄
@petrochengula9480
@petrochengula9480 2 ай бұрын
Wa pili leo
@producerjm3314
@producerjm3314 2 ай бұрын
Teama nishai team kiboga hapa
@user-mo7iq2fd8g
@user-mo7iq2fd8g 2 ай бұрын
ila Kanyinyi kapata shida na abiria hyo😂😅😅
@asifiwefungo163
@asifiwefungo163 19 күн бұрын
Nishai kaah😂😂😂.ana Mbwembwe
@kilifinewsonlinetvkntv7701
@kilifinewsonlinetvkntv7701 2 ай бұрын
Huyo mwamba wa pikipiki ashaanza kujichubua😂😂amekua mweupe kama paipai achaneni namikorogo wanaume mtapakatwa
@user-it2tr7ny8d
@user-it2tr7ny8d 2 ай бұрын
Wa kwanza Leo nipen 🎉
@BEASTMASTERCorrector
@BEASTMASTERCorrector 2 ай бұрын
Ilimradi umelikombia pochi.
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 2 ай бұрын
Muacheni amfuate😂😂😂😂😂😂😂😂chawa vipi lakini😂😂😂😂
@obedisaitoti3678
@obedisaitoti3678 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Nishai leo kimekuramba
@davidjoseph1143
@davidjoseph1143 7 күн бұрын
Nawaz hiv joti anavyochekesha nikiwaangalia na akina steve n ndaro wenye views kumzidi yni wanamzidi vipi aise
@jumabulongo4673
@jumabulongo4673 2 ай бұрын
Siga zaujiga🤣🤣
@destroyerban7364
@destroyerban7364 2 ай бұрын
Wamwisho jmn naomben likes znu
@emmanuelmakindi4409
@emmanuelmakindi4409 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 joti ana mikwara sana, et lazima itike na haja
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 2 ай бұрын
Kamanda😅😅😅😅😅
@peterchanzenze8103
@peterchanzenze8103 Ай бұрын
Huyu dada ni kweli alitukana
@noahnzelu-yp7ky
@noahnzelu-yp7ky 2 ай бұрын
NAMTAFUTA SANA KIPANDE YUPO WAPI????
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki 2 ай бұрын
Mimi pia naulizia kila siku lakini sijibiwi,,,alikua mkali akiwa na sopa
@SamsonTanzania
@SamsonTanzania 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂joti noma sana😂😂😂😂
@HAWAMAULIDI-zl5xd
@HAWAMAULIDI-zl5xd 2 ай бұрын
Yani Mimi uniite urgence nikubali kweliiii labda mimi sio mimi
@sanciroandrea8826
@sanciroandrea8826 2 ай бұрын
Nagawa wastani kwa idadi😊😊😅😅😅😅😮😮😢
@panchobway3245
@panchobway3245 2 ай бұрын
Ukija bila ya Guard...? 😂😂😂
@angelicaflorian8189
@angelicaflorian8189 2 ай бұрын
Wanaume watatu wamekutanishwa 😂😂😂 eti akabidhiwe upandee
@joshualazaro1641
@joshualazaro1641 2 ай бұрын
Mlewa fala sana kila siku anamchoma Nishai 😂😂😂😂
@jilardinbenamurihassan1764
@jilardinbenamurihassan1764 2 ай бұрын
Kinondoni gani,kinondoni hii? Kinondoni yangu?😂😂😂😂😂
MAJUNGU PLESI
10:19
Joti TV
Рет қаралды 264 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode/15/ #love
50:40
BabaJoan
Рет қаралды 1,1 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 29 МЛН
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 33 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 21 МЛН
MKE WA KIPOFU
10:37
Joti TV
Рет қаралды 301 М.
NAMLOGA
10:31
Joti TV
Рет қаралды 275 М.
MASANJA MGOSI KAENDA KUPANGA KWA MPOKI
9:59
CHEKESHA TV
Рет қаралды 31 М.
KAUNGANISHA
10:00
Joti TV
Рет қаралды 359 М.
MUUZA KUKU
11:13
Joti TV
Рет қаралды 162 М.
MWIZI WA KUKU PART 1A (MZEE MAJUTO) Official Bongo Movie
34:01
Zuuh Ally
Рет қаралды 424 М.
NALOGA SHULE
10:38
Joti TV
Рет қаралды 156 М.
CHEKESHA : MTANGA YAMEMKUTA NA WATOTO WA MJINI
14:17
CHEKESHA TV
Рет қаралды 149 М.
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 29 МЛН