Atleast Eva maskini umepumzika moyo mpira sasa Kwa Bill tuone kama kweli anakupenda🎉🎉
@STUMAIKALELE24 күн бұрын
We kuweza😂
@fatumambaruku96324 күн бұрын
Na juma nae ataiweka was sura yke
@esterester362824 күн бұрын
@@fatumambaruku963 Ela hatakunya kabisaa🤣🤣
@NancyShoo-ce2wx24 күн бұрын
@@fatumambaruku963juma hajaathirika anaogopa tu majibu ila ni mzm
@christinewomanoffaith547923 күн бұрын
@@STUMAIKALELE😂
@user-vk1ph3xv6g23 күн бұрын
Biri naeva nawapenda sana 😢jmn❤❤❤❤❤❤❤
@SaadaHaroun24 күн бұрын
Annah ataend na hlo wigi lake na hatosifiwa kwa ninavomjua davis atamchek kwa kejel😂😂😂😂😂😂😂
@user-qi6jt7rt7t24 күн бұрын
😂😂😂😂
@FunnyHoverboard-ce6zn24 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@ashminaabdulla894624 күн бұрын
Ilo Fumbo la Diva 😂😂😂😂😂😂😂
@AbigailDama24 күн бұрын
Huo ndukweli acha achekwe sasa😂😂😂😂
@HappyNass-mu3lu24 күн бұрын
Uyo ndio Anna
@user-rf8oq1jd6u23 күн бұрын
Anita nmrembo mashalla
@zenamtembezi492124 күн бұрын
Eva pole ht waginjwa nao wanahaki yakumpenda mtu tusiwanyanyapae
@SamiraGodfrey24 күн бұрын
Jua kali bhana unaweza lia na unacheka jamn😂😂😂anna
@user-tp4sn4ko1f21 күн бұрын
Anna master of the game nakupenda inaonyesha hali halisi ya Mapenzi siku hizi pamoja na Maria
@radhiamohamedi931823 күн бұрын
Jamani maria hayo macho na baba kijacho wako wakweli😂😂😂😂😂
@user-kc2vq5gc3g24 күн бұрын
Anna hatukuelewi ujue x unaondoa x watakaawigi upendwe Weye Larkin ujue x maria ana nyota yake
@mwanamisiomari818924 күн бұрын
Hii sauti mbona
@asnathally1824 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣ila anna ni kichwa maji jmn inàmaana keshajiona anapendwa na Davis mungu wangu ngoja naisubri zarau
@sadiyasadiya57124 күн бұрын
Dj hapo sawa
@user-sn6dc9gh8k24 күн бұрын
Sophia sophia sophia mwenzio atakuchoresha pole aisee 😢😂😂
@winnieseba225723 күн бұрын
Asante dj
@hanifahkhamiss848524 күн бұрын
Bill na Eva mnaniumiza sana😢😢
@getrudaleonard832323 күн бұрын
Anitha wa Juakali me hua nakupenda bure
@user-oz9zy5ck1i24 күн бұрын
Mm jaman Eva umetia huruma Bill pls mstiri Eva ila kilanga cha Sofia atajua mwenyewe Fala huyo
@nyamiziramadhani423224 күн бұрын
Kupendwa raha maria weeee😂😂
@HudhaimaYussuf24 күн бұрын
Maria mwenyew sasa atahajali 😂😂😂
@user-bi9zi1ex7t24 күн бұрын
Lakin Viviani Mie sikuwezii😂😂😂
@glorymuro541124 күн бұрын
Anna anamtafuta wa kumlipizia kisasi kwa Diba
@christinewomanoffaith547923 күн бұрын
Itakua Ht mimba sidhani km anayo
@user-iz7vs9my9z24 күн бұрын
😂😂😂Ila anna nimechekaa😅 jmni devis anaenda kukuchukulia wew😢 Eva kanitia huruma na Kaniliza mwwee😢😢😢
@nyamiziramadhani423224 күн бұрын
Sofia nyege mbayaa khaaa unahangaikia nn jmn mbn ulimpenda vzr idi kabla.hajakuoa
@SeriesTz24 күн бұрын
Umeonaeee
@fatmaomary843724 күн бұрын
Yaan apo mwsho wa siku atafumaniwa na talaka yake juu .
@user-hy9pp5rp9i24 күн бұрын
Madevu huo mdomo kama umeramba ukwaju😅
@suzanafromomani297323 күн бұрын
Anna kanunua wigi😅😅😂😂
@chrispinsaumu24 күн бұрын
kwan anti zai shida ako nn kama atadanganywa😅😅😅 wivu mbaya adi kwa mwanao
@user-bc3jg6py2h24 күн бұрын
Roho mbayaa tu ananikela mm na visirani vyake😢
@DayanaPeter-pd9yf24 күн бұрын
Mmenikosha na haka ka wimbo ka kiheheeeee😂😂😂
@NoorynMody24 күн бұрын
😂😂😂
@sameraamiry384924 күн бұрын
Kikubwa nimeona jua Kali mengine me sijui DJ Maua yako❤❤
@user-mx7fq5vc8o23 күн бұрын
Mungu aninusuru na mwanaume aina ya professor ,watu sample hi wanauzi sana hivi huwa wanahisia kweliii!😒 mana jitu gumu halishauriki haliambiliki akaaa!
@user-oe7ui9td3l18 күн бұрын
😂😂
@user-tp4sn4ko1f21 күн бұрын
Ana ndo staring wa hii Tamthilia na Maria watazamaji wengine hamjui burudan tu. Haya ndo mambo halisi Dunian sasa kwa vijana wetu
@glorytarimo278824 күн бұрын
Kimeumana uku ana ameshapenda tena mtoto wamtu kamsahau bobo na dibaaa
@frolaibrahim125724 күн бұрын
Anna nichizi
@rukiahassan700124 күн бұрын
Anna sijui yuataka Nini ndipo.hajui apende nani kwenye maisha yake.mapenzi yanamchanganya
@user-co5nh1rx1t24 күн бұрын
Awe Vivian anajua banaaa
@user-mc5zb3ox9c23 күн бұрын
Hahahahaaaa ana umeyakanyanga
@user-rn8tl6pl4j24 күн бұрын
Eva wangu pôle sana kwa kweli 😢😢
@user-st2ig6ds3f23 күн бұрын
Anna crazy love😂😂
@user-co5ed6xr5c24 күн бұрын
Ann anajichqnganya kweli 😂😂😂
@marryofficial914323 күн бұрын
Yaan sjui kapatwa na nn mm ananikela kwl
@neemamakori615224 күн бұрын
Dah Anna,aibu naona mm 😂
@LatifahKhamis24 күн бұрын
Ata mm nimeona aibu vo watamsemaj mfano
@lucybudeba656124 күн бұрын
Huyu aty zai ingekua mm evaa namjibu natoka kuliwa😂😂😂 kufatilianatu
@deogratiusdominick888222 күн бұрын
😂😂😂
@malkiarosemuhando331024 күн бұрын
Yaani sauti Iko juu kama kwaya !!!
@karembo708223 күн бұрын
😂😂😂😂
@JosephineCharles-d6b22 күн бұрын
hahahahaha
@EsterAidanmadati24 күн бұрын
Jaman ana aibu naona mm
@PuritySalama-yv6to24 күн бұрын
Kwan anah anawivu kiasi,gani😂😂acha tuone kwa ofs itakuaje hpo ni kicheko,tu
@SaraphinaLyelu22 күн бұрын
Pongeze Kwa eva maana wanawake kama Wewe walikufa tangu Enzi za kinjeketile na majina yao yalisombwa na kimbunga Hidaya... Haya na Wewe Anna hiv moyo wako una vyumba vinne kama Sisi mbona napata wasiwasi wamekushinda wanyakyusa utawaweza Hao watoto wa mjini 😂😂😂😂😂
@anithiajohn920924 күн бұрын
Hatimae maria tumesha mzoea 😅😅😅
@user-rs6cs3bs4i24 күн бұрын
Mpak anakela
@rukiahassan700124 күн бұрын
Any way kahaba mxoefu au sio.
@BahatiNjemo-of9lx24 күн бұрын
Nimengi ninayo taka kuongea bt acha niseme jua kali hoyeeeeee❤❤❤❤❤❤❤
@rechalmussa608524 күн бұрын
Mbona ana simuelewi Yani kanunua wigi kama la malia au aliona devidi alivyo msifia Malia kua yeyé uwa anapenda mwana mke anaesuka
@user-lq6mt5ji4l22 күн бұрын
Kumbe jibu unalo😂😂😂😂
@stellayusuph766224 күн бұрын
Tupo na Anna bega kwa bega mpaka pale atakapo aibika kwa devis 😂😂
@pikanaauntzuu146623 күн бұрын
Mi naomba apate ukichaa tena maana Anna na Maria hawana utofauti kbs
@stellayusuph766223 күн бұрын
@@pikanaauntzuu1466 😂😂watakuja kufa vby hawa
@rithakiondo109923 күн бұрын
Jmn Anna hapana kavurugwa hyu dada 😂😂😂😂😂😂😂😂
@rithakiondo109923 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@WahidaHilaly22 күн бұрын
😂😂
@user-gu2zg8lr3m23 күн бұрын
Kazi nzur dj🎉🎉🎉🎉❤❤ <a href="#" class="seekto" data-time="1039">17:19</a>
@user-cc4ky9zo9z24 күн бұрын
Lianti zayi linakera balaaa
@rukiahassan700123 күн бұрын
Anna Anna kujifanya kutompenda devis kumbe ndio likuw umeshampenda hadi kumuonea wivu tyr umeenda hadi kununua mawig kisa kamsifia maria..naona hivi ukijichora nalo hilo wigi lako..mana vivian anakusubir
@FurahafutakazaGloria23 күн бұрын
Ila umalaya unamtasa ana mpaka nacoka ninavyo muangaliya iyi sini ya ana inamtiyani hum
@fhugghi410924 күн бұрын
Ila Ana akili zako unazijua mwenyew 😂😂😂😂😂maan ni mpofu wa mapenzi 😂😂
@user-ph9ds9dm7w21 күн бұрын
Anna kujifanya mgumuu kote kumbe hana lolote keshapenda teari.
@linahwandera463824 күн бұрын
Sasa Anna Mazengo hata miaka yako na akina maria inakataa vitu vingine ni vya aibu Devis alisema ukweli aliposema Wacha kujichanganya nyinyi ni partners si lovers 😅
@user-bf3ij2ie5k23 күн бұрын
Hahaa kma naona wigi la anah litakavyo vumuliwa kazin na kuanguka hili hahaa
@Walden-tb6ic23 күн бұрын
Napenda sana nyumbani kwa iddy nipamoto
@user-sc5gt6gs3s24 күн бұрын
Ya leo ni moto jmn. Moja kwa moja kwa semeni ananyoosha miguu ya mme we akiva suruwari 😂😂