Maaskofu Watembelea na Kujionea Ujenzi wa Kanisa Kuu Jipya la Jimbo Kuu Mwanza Linalojengwa Mlimani

  Рет қаралды 16,949

Jugo Media

Jugo Media

2 жыл бұрын

Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
Jumuika nasi katika mitandao mingine ya Kijamii:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
Mawasiliano:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

Пікірлер: 22
@bonifacejohanes895
@bonifacejohanes895 2 жыл бұрын
Baba Askofu Nkwande, tunakuombea, ww ni mchungaji mwema, baba usiye na makuu, mnyenyekevu na uanyeishi maisha ya ufukara. Nakumbuka nikiwa seminary wewe ukiwa Rector wangu ulikuwa na kiatu pair moja tu (rangi ya brown). Ulikarabati majengo ya seminary Nyegezi na Kanisa nami kushiriki ktk kupaka rangi wakati wa likizo. Mungu azidi kukubariki katika utume wako.
@helentelemla5623
@helentelemla5623 2 жыл бұрын
Namshukuru Mungu sana kwa hili.Hongera askofu kwa kulisimamia hili.
@johnboniventure6814
@johnboniventure6814 2 жыл бұрын
Hongereni Sana Wana Jimbo kuu la Mwanza ,, Mwenyezi mungu azidi kuwabariki ktk kazi za mikono yenu na awape afya njema,pia hongera Sana baba askofu mkuu wa Jimbo la Mwanza pamoja na kamati yako yote kwa kazi nzuri. Mungu awabariki.....
@janethmayanja
@janethmayanja
Hongeren
@thomasjohn2016
@thomasjohn2016 2 жыл бұрын
Kazi hiyo ni ngumu, ila kwa kumtegemea yy atutiaye nguvu hugeuka na kuwa rahisi. Hakuna lililo gumu tukimtegemea mwenyezi Mungu. Hongereni sana wana-Mwanza
@fatumahassan9758
@fatumahassan9758 2 жыл бұрын
Mungu tusaidie tulimalize tumeanza mbali mno🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@innocentludovick4724
@innocentludovick4724 2 жыл бұрын
Mungu awalinde kiafya , kiroho na kiakili mababa zetu
@basmm1094
@basmm1094 2 жыл бұрын
Mungu azidi kuibariki kazi ya mikono yetu
@csato9415
@csato9415 2 жыл бұрын
Ni jambo jema sana wana Mwanza kumjengea Mungu hekalu zuri la kukusanyika na kuabudu kwa pamoja.
@francisngonyani469
@francisngonyani469 2 жыл бұрын
Hongera sana Baba Askofu mkuu kwa usimamizi wako mazubuti
@petermwembezi5976
@petermwembezi5976 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Awabariki na kuwatangulia katika utumishi .wema.
@peterbutage484
@peterbutage484 2 жыл бұрын
Safi Sana na hongera kwa majitoleo ya waumini, lakini pia hongera kwa usimamizi makini wa baba mhashamu R. Nkwande Askofu MKUU Jimbo kuu la Mwanza na timu Yale yote bila kuwasahau ma paroko wote Jimbo kuu la Mwanza.
@anastaziashilole2436
@anastaziashilole2436 2 жыл бұрын
Hongeren wana mwanza wenzangu Mungu awasaidie kumaliza kanisa hili
@frankmunale5364
@frankmunale5364 2 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii Documentary
@juliusmushobozi2564
@juliusmushobozi2564 2 жыл бұрын
Inapendeza sana
@reubenedwinnditi9979
@reubenedwinnditi9979 2 жыл бұрын
👏👏👏🙌🙌🙌Mwanza
@primimassawe6381
@primimassawe6381 2 жыл бұрын
MUNGU atubariki Wote tuweze kuimaliza nyumba ya BWANA
@feristabenedictor7729
@feristabenedictor7729 2 жыл бұрын
Mungu baba endelee kutuku nzwa milele, pia tunawaombea baba zetu afya njema
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 2 жыл бұрын
Kazi kubwa Ni kumwomba MUNGU ili kanisa likamilike mapema.
@sylvestrengwelu2012
@sylvestrengwelu2012 Жыл бұрын
Tuko pamoja
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 18 МЛН
HALI YA UJENZI WA BASILIKA PAROKIA YA KIZOTA, JIMBO KUU KATOLIKI  LA DODOMA
11:09
SHANGWE ZA WAAMINI ARUSHA WAKIMSIKILIZA ASK.LEBULU AKIZUNGUMZA KWA MBWEMBWE NYINGI
8:27
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 4,5 М.
"SIMU YA UTEUZI ILINIKUTA ITALIA NAKULA" ASKOFU MTEULE MWASEKAGA ASIMULIA ILIVYOKUA..
4:06
Maendeleo ya Ujenzi wa Kanisa Kuu Kawekamo Sasa Ukamilishaji wa Ndani "Interior Designing"
10:09
Archdiocese of Mwanza - Jimbo Kuu la Mwanza
Рет қаралды 1,7 М.
MISA TAKATIFU YA USHEMASI JIMBO KUU DAR ES SALAAM
56:43
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 16 М.
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН