Рет қаралды 41
Wapendwa wakulima na wafugaji ni Takribani miaka mitano sasa tokea SHAMBA UJUZI IMETOWEKA HEWANI SASA TUMERUDI NA NGUVU MPYA LENGO NI KUTOA ELIMU,KUHAMASISHA PAMOJA NA KUONESHA MBINU MPYA ZA KILIMO NA MASOKO KWA UJUMLA
Endelea kutega sikio kwa kulike,share ili uweze kuwa member wa chanel hii Aksanteni