KABABU za NYAMA | Jinsi ya Kupika KABABU za NYAMA kwa Njia Rahisi

  Рет қаралды 7,413

BelsFarm Kitchen Swahili

BelsFarm Kitchen Swahili

Жыл бұрын

Kababu za nyama. Mapishi rahisi ya kababu za nyama. Jifunze jinsi ya kupika kababu za nyama kwa njia rahisi Sana. Mahitaji yake Ni rahisi kwa Kila familia.
MAHITAJI;-
Nyama ya kusaga (500g / nusu kilo)
Chumvi (vijiko 2 vya chai)
Pilipili manga (nusu Kijiko Cha chai)
Manjano (Kijiko 1 Cha chai)
Tangawizi (Kijiko 1 Cha chakula)
Kitunguu swaumu (Kijiko 1 Cha chakula)
Pilipili kali 1
Kitunguu maji (2 vikubwa)
Mafuta ya kupikia (Kijiko 1 Cha chakula)
Viazi vipivyopondwa (2-3)
Mdalasini (Kijiko 1-2 vya chai)
Royco (vijiko 2 vya chakula)
Soy sauce (vijiko 2 vya chakula)
Yai 3
Chenga za mkate (Kikombe 1 Cha chai)
Unga wa ngano

Пікірлер: 2
@cookingwithmimmo
@cookingwithmimmo Жыл бұрын
Kichocheo hiki ni cha kushangaza, ninapata njaa ninapoiona
@BelsFarmKitchenSwahili
@BelsFarmKitchenSwahili Жыл бұрын
😀😀😀
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 25 МЛН
JINSI YA KUPIKA CRIPS ZA NDIZI TAMU NA KAVU
5:43
Godaya Kitchen- Mapishi ya Nyumbani
Рет қаралды 2,2 М.
BEEF KEBABS //JINSI YA KUPIKA KABABU ZA NYAMA
4:48
Faith's Happy Kitchen
Рет қаралды 58 М.
Fish sticks - Tuna sticks kebab
3:46
Shuna's Kitchen
Рет қаралды 131 М.
KABABU za NYAMA ya KUSAGA | Pika KABAB Hivi Ni Tamu Sana
5:23
BelsFarm Kitchen Swahili
Рет қаралды 128