KADINALI PROTASE RUGAMBWA AZUNGUMZA MARA BAADA YA KUPOKEA SALAMU ZA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

  Рет қаралды 27,831

Torontotv Tabora

Torontotv Tabora

Жыл бұрын

Saa chache mara baada ya Watanzania kupokea taarifa njema naya Baraka kutoka Vatican kwa Papa Fransis ya uteuzi wa Askofu Mwandamizi Protase Rugambwa kuwa Kadinali wa Kanisa Katoliki Nchini Tanzania kupitia ardhi ya mkoa wa Tabora, Mkuu wa Mkoa huu Balozi batilda salha Burian anafika katika ofisi za Kadinali zilizopo Kanisa Katoliki Jimbo kuu tabora kwa lengo la kuwasilisha salumu za Pongezi kutoka kwa Mheshimiwa Rais, Daktari Samia Suluhu Hassan.
Kadinali Rugambwa kwa unyenyekevu mkubwa amepokea salamu hizi za Mheshimiwa Rais zilizoletwa kwake kwa niaba na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mheshimiwa Balozi Daktari Batilda Salha Burian,
Kupitia uteuzi huu uliofanywa Jumapili Julai 9, 2023, Kadianali Protase Rugambwa anakuwa Kadinali wa tatu (03) Nchini Tanzania akitanguliwa na Kadinali Laurean Rugambwa aliyefariki dunia Disemba 9, mwaka 1997 na kisha Kadinali Polycarp Pengo aliyestaafu mwaka 2019.
Uteuzi huu uliofanywa na Papa Fransis unaoendelea kuandika historia njema kwa Nchi ya Tanzania, umekuja ikiwa ni takribani miezi mitatu tangu alipomteua Kadinali Rugambwa kuwa askofu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki Tabora.
Kwa habari na Matukio yote Muhimu yenye Maslahi mapana kwa UMMA, wasiliana nasi kwa +255 764 736 372, +255 787 721 965 Barua pepe, toronto21onlinetv@gmail.com, Tufuatilie katika Mitandao yetu ya Kijamii, KZfaq, Twitter, Facebook na Instagram kwa jina la Torontotv Tabora. "Toronto Online Tv - habari na matukio tumekufikia"

Пікірлер
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 2,4 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
Why Starbucks Is Struggling
12:06
CNBC
Рет қаралды 617 М.
The Swahili Language
13:18
Langfocus
Рет қаралды 1,2 МЛН
Mwadhama Kardinali Protase Rugambwa Ashindwa kujizuia aamua kucheza NGOMA ya Asili.
5:25
FULL SPEECH: Donald Trump speaks before the NABJ in Chicago
36:28
FOX 32 Chicago
Рет қаралды 394 М.
FULL INTERVIEW: Donald Trump takes questions from NABJ panel
35:47
ABC News
Рет қаралды 1,2 МЛН