No video

KADUGUDA-SIMBA HAIWEZI KUFIKA POPOTE/TATIZO KUBWA LA SIMBA SIO MANGUNGU /AWATAJA WANACHAMA SIMBA.

  Рет қаралды 59,773

Kalunduka Online

Kalunduka Online

Ай бұрын

Aliye wai kuwa mwenyekiti wa simba Muhina Seif Kaduguda amesema tatito kubwa linalo ikabili simba kwa sasa ni wanachama wa simba.

Пікірлер: 244
@MpoleJuta
@MpoleJuta Ай бұрын
naitwa Mudrick !!! napenda sana kumsikiliza Mzee kaduguda maana anaongea point sana mungu akupe afya njema na maalifa makubwa
@MICHEZODAIMATV
@MICHEZODAIMATV Ай бұрын
Uyu sio mangungu ni kaduguda
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv Ай бұрын
fire 🔥 ukweli hautakuwi kwenye mpira wa bongo..big up brother
@user-xf3lv5xp1i
@user-xf3lv5xp1i Ай бұрын
Kaduguda uko sahihi kabisa
@AlliyFaki-vv5ys
@AlliyFaki-vv5ys Ай бұрын
Hatutaki maneno tujenge Simba yeti
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 Ай бұрын
Mzee ana hoja nzito sana.Anafaa kutangazwa kuwa mtakatifu
@zuberikupaza1184
@zuberikupaza1184 Ай бұрын
Kaduguda shida haiko kwa mangungu bali kwa Mo kwa sababu haja kamilisha uwekezaji wake kwa simba. Kifupi Mo hadi leo ni mfadhili sio mwekezaji!!
@barnabasmalima4823
@barnabasmalima4823 Ай бұрын
na MO anawekaje pesa wakati mchakato haujakkamilika?
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
​@@barnabasmalima4823sasa mbona Kaunda bodi wakati mchakato bado ? C akae pembeni akihitajika ataitwa 😂😂 .... Mbona mwenzake anatoka pesa ila hajanza kuunda bodi ?
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
​@@barnabasmalima4823mo na madunduka wanaviziana tu 😂😂 ... Mchakato bado haujakamilika mtu ameshaunda bodi ...akatimua then akateuwa, Mara rais wa heshima kesho mwenyekiti wa bodi upande wa mwekezaji then mwekazaji ni mudi tea vyeo vyote vyake
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
​@@mwanangusanaTOPOLOOOOOOO 😂😂😂😂 MACHOGO FC WEWE
@abdallahmdiliko8088
@abdallahmdiliko8088 Ай бұрын
Mwamba upo sahii sanaaa
@mosesregnald7117
@mosesregnald7117 Ай бұрын
Namkubali sana huyu Mzee
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 Ай бұрын
Safi sana Mzee kaduguda
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb Ай бұрын
Safi sana kaka
@nurumigeyo4625
@nurumigeyo4625 Ай бұрын
Nimekuelewa vizuri mzee uko sahihi
@josephsabuni795
@josephsabuni795 Ай бұрын
Mzee kaduguda ulikia unapiga sana hela za MO sasa wamekutoa kwenye mfumo unaongea ujinga mitandaoni, kubali kukaa pembeni huwezi kua kiongozi wa Simba milele.
@user-bl1tx8fc9v
@user-bl1tx8fc9v Ай бұрын
Kwani kaomba kuwa kiongozi? Acha umbumbuuuu. Mfano kasema wanachama wanasema wao wanataka furaha tu sa huo ni nn si ubumbumbu? Haya wanachama hawajui katiba wanakurupuka tu,,
@yusufukim8439
@yusufukim8439 Ай бұрын
Uko vizuri Mzee sasa tunauwekezaji lakini malengo sahihi bado hayafanyiki kabisa,
@user-bn8xs8zd7i
@user-bn8xs8zd7i Ай бұрын
Safi sana kaduguda waambie hao wanachama na mashabiki ni mbumbumbu na njaa😂😂😂
@HabasuFamily
@HabasuFamily Ай бұрын
Akili zako na zake zinafanana maana nyote vigeugeu
@user-jn3nf7uw1w
@user-jn3nf7uw1w Ай бұрын
Simba wa Yuda waambie sambusa na nlopokaji unwell Nguvu nyingi kupambana na watani badala ya kucheza boli uwanjani
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Ай бұрын
Mashabiki wwengi ni njaa mjaa pigia mstari hapo
@ericraphael9653
@ericraphael9653 Ай бұрын
Uyo mzee anaongea kweli sana na mwuelewa sana
@BakariBakari-sf4ld
@BakariBakari-sf4ld Ай бұрын
Umesema sahihi sana Mzee wangu wanasimba kunachakujifunsa
@namtingakassim5529
@namtingakassim5529 Ай бұрын
Kwa mantiki hiyo wanachama wa simba ndio tatizo hawaijui katiba yao.ndio maana wamekuwa bendera hufuata upepo na ndio maana wamechagua mtu ambae hana sifa za uongozi wa mpira
@hajikalanje5439
@hajikalanje5439 Ай бұрын
Hayo kaongee kwenye vikao, tatizo wewe mzee unapenda kusifiwa kwa kuiponda simba
@dicksondotto958
@dicksondotto958 Ай бұрын
Mwanafunzi mwenzangu Udsm ,mzee anapiga kitabu cha michezo hana mzaha na yuko full time tuko nae Mabibo hostel, anaishi Simba mda wote.
@raymondsekabigwa5907
@raymondsekabigwa5907 Ай бұрын
Hamkuwa na wachezaji wenye uwezo wa kuwavusha robo we mzee. Mlikuwa wa kuwavfikisha robo tu
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Ай бұрын
Huyu ndio kadugiguda wa mashabik Sema sisi nao Tunazingua kweli
@SimonSamson-wp5ik
@SimonSamson-wp5ik Ай бұрын
Mo anawaburuza 😂😂
@HabasuFamily
@HabasuFamily Ай бұрын
Kuna wanaoburuzwa na gsm lkn cc kimyaaa walifanya uchaguzi mtu na ukuta lkn cc kimyaa
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 Ай бұрын
Ulivyosema hati inamlikiwa na mpangaji ni sawa na ccm seriali inaiwajibisha ccm
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Ай бұрын
Sasa mlimpaje upngozi jamani nanyie sindio mpiga lira kadugida
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Ай бұрын
We mtangazaji mjinga hujui maswali huna
@jicholafursa7058
@jicholafursa7058 Ай бұрын
Acha wivu amejitahidi
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 Ай бұрын
Kajula , Mangungu hawafai
@vaxminja9053
@vaxminja9053 Ай бұрын
Kaduguda anajua mpira sanaaaaa na anaongea mpira. Hivi huo ukubwa wa Simba Africa uko wapi? Hawajachukua kombe lolote la Africa.
@allymtunge5530
@allymtunge5530 Ай бұрын
Simba wa yuda
@kennedjohn5785
@kennedjohn5785 Ай бұрын
Hiyo Simba aliyoitaja Mwina ilikuwa sio poa
@salvatorydotto8987
@salvatorydotto8987 Ай бұрын
Kumhoji mtu mwenye Elimu kubwa kuna kazi sana,unafanya nn hicho mwandishi wa Habari 😮😮
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Ай бұрын
Simba wa yyuda
@bakarimakalo7128
@bakarimakalo7128 Ай бұрын
Kaduguda acha Kusumbua Wanasimba. Juhudi kila siku zinahitajika, kushindwa kufikia Lengo sio Hoja ya kulala. Wanachama na mashabiki hawana lawama. Hata Kaduguda ni Wanachama na pia ni Shabiki. Aache Upuuzu wake!
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 Ай бұрын
Mwandishi hujui kuuliza maswali.
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Ай бұрын
Shida ni tajiri,umsajiri vizuri,halafu unauza wachezaji fedha kibindoni tajiri hamna hapo
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig Ай бұрын
Yeye mwenyewe alikuwemu humo ni mkundu tu huyo ana lolote Kuma huyo
@user-tb4gh1sm9k
@user-tb4gh1sm9k Ай бұрын
KADUGUDA UKO SAHIHI PIA USIACHE KUSEMA SAID IS KUIOKOA SIMBA MO DEWIJI NI TATIZO SIMBA
@user-le3wy6ug7m
@user-le3wy6ug7m Ай бұрын
🙏🙏🙏
@nadulabudodi1816
@nadulabudodi1816 Ай бұрын
Mzee mwenyewe amekaa jujuu TU kama kabanwa na mavi😂😂
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 Ай бұрын
Kweli baba tunaomba utusaidie kuling'oa lile lizee
@filbertntibasiga8093
@filbertntibasiga8093 Ай бұрын
Tuachia yanga yetu sisi viongozi na timu wakizingua wote nje sisi ni taasisi kama hawalijui hili yanga tunataka ubingwa wa afrika na uwanja mengine watajua wao
@mtumeananiasjohachim8760
@mtumeananiasjohachim8760 Ай бұрын
Mimi siyo mbumbumbu mzeee, wanangu wanakula kupitia mimi, hao unaotuita mbumbumbu inawezekana tukawa tumekupita maisha palefu Sana na umbumbumbu wote.
@asasiame500
@asasiame500 Ай бұрын
Shida hujaelewa kile ambacho anazungumza, wameelewa waliosoma cuba
@tonyelshabbaz
@tonyelshabbaz Ай бұрын
Hii inaonyesha jinsi gani ulivyo mbumbumbu
@salvatorydotto8987
@salvatorydotto8987 Ай бұрын
Hujamwelewa mzee, unaweza ukawa una elimu kubwa ila kweny mpira ukawa zero yaaan mbumbumbu hajasemea maisha
@jumandangu9909
@jumandangu9909 Ай бұрын
Hizi Tim Za Simba na Yanga Mpaka Ziachiwe na Serekari Ndio Zitafanya Vizuri huo uwekezaji Unacheleweshwa na Serikari
@abdallahomaryabdallah
@abdallahomaryabdallah Ай бұрын
Kweli.kaduguda.mangungu.hana.uwezo.
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 Ай бұрын
Kwl mzee wanachama wengi ni mambumbumbu ndio maan tuliletew Manzoki kwenye uchaguzi halaf wakawachagua leo wanaanza kulialia
@AliAli-uv5gw
@AliAli-uv5gw Ай бұрын
"Mbumbumbu inaendelea"
@abdulhamidnjovu6031
@abdulhamidnjovu6031 Ай бұрын
Mtangazaji ana 'bore' sana...anaidharirisha taaluma kwa kutojipanga wala kuelewa mantiki ya hoja za anayemuhoji!
@KayembaRashid
@KayembaRashid Ай бұрын
Tatizola. Simba. Wanachama. Hanapesa. Ndiyo. Sababu. Wanachama. Wanamtaka. Moo
@charlesmtitu5606
@charlesmtitu5606 Ай бұрын
Mzee anapita kila siku media anataka nin , hii timu ni ya public, anapita kila media anataka nin mi hata sielewi
@HabasuFamily
@HabasuFamily Ай бұрын
C anapewa chochote kitu na gsm ili avuruge makusudi sbb kakoseshwa kula
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
😂😂😂 kwani yeye sio sehem ya iyo public au wewe unaelewa Nini kuhusu iyo public ?? Au ni makosa kuwa na mtazamo tofautiii tofautiii?
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
​@@HabasuFamily... Kwa mitazamo ya namna hii yanga Bingwa 😂😂😂 ..... Hiv madunduka wakat miaka 4 ya ubuntuu ile ya moto 🔥 pale juu kagere chama miquissone bwalya , kotei , wawa , joash ... Okwi ndo hii ya akina jobe , Fred na sawadogo 🤣 😂🤣... Halaf Rudi yanga ya yikpe , Molinga , sibomana , kindoki ... Halaf Rudi sasa pale Paccome Zouzoua, Aziz ki , Diarra , Max halaf bado mnakuja na mawazo barafu kweli ?? Mwambie muamed arudishe watu wa mpira pale msimbazi punguzen janja janja ndugu zanguni bhana Enzi zile unamkuta Hans Pope Evance Aveva Geoffrey Nyange Kaburu Mwamba mkubwa magori Sued Mkwabi ...... Halafu kule yanga kipindi Wana manji Alikuepo Bin kleb Seif magari David mosha
@sinemazakorea
@sinemazakorea Ай бұрын
Mzee unazunguka zunguka lkn point yako ni mangungu sio mtu wa mpira, ukija kwa wanachama wameshaelewa mtu waliomkabidhi hawezi kuwafikisha popote ndio maana wanataka ajitoe..sasa we tuambie mwanachama anatumia kipimo gani kujua huyu mtu atafanya hiki au hiki zaidi ya ahadi za mgombea wanachama wapo sahihi waliishi kwenye ahadi za mangungu ila ahadi hazijaenda kama walivyotaka sasa wanachama unawalaumu kwa kipi
@BensonKelvin-tr7ul
@BensonKelvin-tr7ul Ай бұрын
Hii ndimu anayo isema 😂😂😂😂 bila D mbili utoboi 😊
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 Ай бұрын
Toka wee
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 Ай бұрын
Tumkuelewaaa
@saxannjo6173
@saxannjo6173 Ай бұрын
Mashabiki NJAA na kina MZARAMO,,,,KISUGU,,,😂😂
@mack_vita_onyango8409
@mack_vita_onyango8409 Ай бұрын
Anadhani kuingia nusu ninkazi nyepesi, nenda ulaya arsenal mpaka leo hana kombe la champions league
@davidfelician2903
@davidfelician2903 Ай бұрын
simba wamekosa watu wa mpira walifeli hata kusajili watu .nashauri body iondoe viongozi hao wote wasiokuwa watu wa mpira.
@MashakaMpuruti-di9dc
@MashakaMpuruti-di9dc Ай бұрын
Huyo alikua kiongozi alifell zaidi mpaka ka fukuzwa akosa ubunifu amebaki kutamani nafasi yakazi hawezi pata
@SaidaYakub
@SaidaYakub Ай бұрын
Yanga mpeni Kadugida kibarua huyo, kelele zote hizo anatafuta sifa mumuone! Mzee mzim asiyekaa akashaurina na wenzake badala ya kuzunguka kwenye vyombo vya habari!
@nimlambangu2771
@nimlambangu2771 Ай бұрын
Kawekeze katika kutuelimisha maarifa uliyonayo wape basi na wengine
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m Ай бұрын
Kilomoni mwingine huyu hapa
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 Ай бұрын
Huyu mzee siku hizi mimi simuelewi
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
​@@fredrickipembe8188😂😂😂 kama alivyokuwa hawaelewi mashabiki oya oya
@MohamediOmari-nz4vv
@MohamediOmari-nz4vv Ай бұрын
Anasema ukweli mashabiki awajielewi
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Ай бұрын
Duuuu kwwelii ni mambumbu
@chemstry409
@chemstry409 Ай бұрын
Mashabiki MBUMBUMBU....😂😂😂
@gordiansoko9113
@gordiansoko9113 Ай бұрын
Huyu mzee njaa inamsumbua sasa anaweweseka anatembea kwenye vituo vya redio kuichafua Simba.
@LowasaSanare
@LowasaSanare Ай бұрын
Huu ndio kiongozi Sasa anaona mbali sanaa lkn pumbupumbu hawatawez kuelewa huyu mwamba
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd Ай бұрын
Hiyo aya alieitoa inaingiaje hapo? 😊😊😊😊😊😊
@velxempire8995
@velxempire8995 Ай бұрын
mzee umeongea point mpira unahitaj ueled
@shaurichapote1138
@shaurichapote1138 Ай бұрын
Mzee wangu kwa heshima yako ayo mambo ungeachana nayo tu wew kwenye uongozi wako umefanya nini?
@chemstry409
@chemstry409 Ай бұрын
KADUGUDA ANAONGEA KWELI TUPU....
@chemstry409
@chemstry409 Ай бұрын
BLAHH BLAHH...MASHABIKI NJAA.......😂😂😂😂😂
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot Ай бұрын
Una mpila wa making wakat wew Ni kiongoz uliipeleka WAP ximba
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Ай бұрын
MO Mangungo Tray again wote wapigaji
@babycandycharles7816
@babycandycharles7816 Ай бұрын
Kweli mzee mashabiki wa Simba mbumbu wanafuraiya kitu chakijinga mo kaongea mtandaoni wao wanafuraiya mwiteni mo aje mkae kikaopamoja siokuongea mitandaoni mnajifanyamnajuwa hamjuilolote ndiomaana mnapingwa namtapigwa kilasiku Sasa mo kaludisha viongozi walewale mnafuraiya ligi ikianza hatumtaki furani hamuoni hapo mashabiki mnashida kazi mnakaa kwenyemidia mnatukana viongozi huu Sasa ndiowakati wakukutana na viongozi kwapamoja nakuongea ukweli
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot Ай бұрын
We mzee huna akil
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Ай бұрын
Kaduguda ww mwenyewe mwanachama kwa hiyo na ww ni mbuumbuu tuu si mwanachama
@fadhilisule
@fadhilisule Ай бұрын
Tafadhali sana kaduguda mbumbumbu ni hao Simba usichanganye hapo,
@mussampagama3065
@mussampagama3065 Ай бұрын
Kweli kabisa, anyooshe maelezo huyo mbumbumbu
@hashimsadiki4389
@hashimsadiki4389 Ай бұрын
Tatizo ni project. Club inaendeshwa kama mali ya mtu binafsi
@lusajomwasumbwe2735
@lusajomwasumbwe2735 Ай бұрын
Huyu mzee mwanzoni sikumuelewa ila kaongea point sana
@abiolasereman2575
@abiolasereman2575 Ай бұрын
Wewe mzee wivu wewe ushawai kua bingwa tatizo wewe mzee umeferi
@user-ne5ff1lj1o
@user-ne5ff1lj1o Ай бұрын
Human jipya
@gaudinamosnchobe4909
@gaudinamosnchobe4909 Ай бұрын
Sasa kwani Kaduguda si aliwai kuwa kiongozi pale Simba alifanya nini cha maana
@user-ht5tc5yv5t
@user-ht5tc5yv5t Ай бұрын
Wanasimba mtaendelea kuporomoka kila siku mkiendelea kukaza fuvu, na saiv mnafurah et mwakan mtabeba kombe kisa moo karud lkn mwakan baada ya msimu kuisha mtagombana hivhiv make hamjielew
@Kabeya410
@Kabeya410 Ай бұрын
KWELI ENYIMBA YA JUZI IMEBEBA UBINGWA
@babycandycharles7816
@babycandycharles7816 Ай бұрын
Hapa shabiki muelewa mchome pekeake kapinga maneno ya mo lakini waliobaki kilamtu anakwambia kafuraiya maneno yamo haya ngojainyeshe tuone panapovuja
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 Ай бұрын
Mwandishi mjinga hujui kitu
@danielelikana2615
@danielelikana2615 Ай бұрын
Hakika Kaduguda unaongea ukweli kabisa!! Wanachama wa Simba ndo Mapoyoyo kabisa!..mgombea anawaletea Manzoki na kulishwa pilau bila hata kufikiria, mnampa uongozi...upuuz kabisa!!
@mtegemeemungusiomwanadamu6618
@mtegemeemungusiomwanadamu6618 Ай бұрын
Huyu mzee ana akili sana
@shukurually8769
@shukurually8769 Ай бұрын
Kiukweli hata mimi nasema tatizo la simba ni wanachama na mashabiki
@MohamedMshiti
@MohamedMshiti Ай бұрын
Wewe Mzee mbumbumbu mama yako Kuma mamaako!
@marwawilliam3648
@marwawilliam3648 Ай бұрын
Haichukui nafasi ya Jobe😂
@makamelila
@makamelila Ай бұрын
Ama kweli kila mtu haoni kisogo chake huyujamaa kaongoza tff kafeli kaja simba kafeli leo anawafuja wenziwe hahahaaaaaa balaa hili
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot Ай бұрын
Mbna Kuna Tim kubwa zinaixhia robo acha njaa
@abdallahomaryabdallah
@abdallahomaryabdallah Ай бұрын
Mo.hana.tatizo.si.anatowa.hela.zake
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Ай бұрын
KADUGUDA UKO VIZURI NAKUFAHAMU
@richardkwayson7202
@richardkwayson7202 Ай бұрын
Huyu mzee ananzaa anatafuta pakula...
@chemstry409
@chemstry409 Ай бұрын
RAGE ALIKUWA RIGHT KUWAITA WANACHAMA WETU MAMBUMBUMBU...KADUGUDA.
@songombingo108
@songombingo108 Ай бұрын
Yanga hawapo kama Madunduka. Mpaka majuzi wamefanya kikao kwa amani na ubingwa mara 3. Madunduka nendeni mkajifunze kwa Injinia Hersi.
@HabasuFamily
@HabasuFamily Ай бұрын
Injinia aliiga kwa waliochukua ubingwa Mara nne
@yassinchuwa8824
@yassinchuwa8824 Ай бұрын
Mtamuelewa mchome tuu. Mchome popote ulipo.... Here hoa!!
@user-sq4sz5jj2g
@user-sq4sz5jj2g Ай бұрын
Mamelod wamecheza robo ngap na ni wakubwa kuliko ss mzee unataka ugal hy ni footbal tu
@abumuhammad9615
@abumuhammad9615 Ай бұрын
Kaduguda rudi kigoma ukauze dagaa na migebuka
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Ай бұрын
MBUMBUMBU 😂 TENA OYAA OYAA😂😂
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 72 МЛН
CHEKESHA: FUNDI CHEREANI | NAPIMA T TATU
9:10
CHEKESHA
Рет қаралды 78 М.
Salama Na KADUGUDA Ep 40 | SIMBA WA YUDA Part 2
20:32
YahStoneTown
Рет қаралды 9 М.
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН