KAKOBE Kuhusu VIDEO ya GWAJIMA, Amtaja MAKONDA Hadharani

  Рет қаралды 100,516

Global TV  Online

Global TV Online

5 жыл бұрын

KAKOBE Kuhusu VIDEO ya GWAJIMA, Amtaja MAKONDA Hadharani
Ni ibada maalum inafanyika Jumapili ya leo ya Mei 12, katika kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima, lililopo Ubungo jijini Dar...
Katika ibada ya leo Askofu Gwajima amewaalika wachungaji na maaskofu wengine akiwemo Askofu Zakaria Kakobe, Komando Mashimo na wengine wengi...
#ASKOFUGWAJIMA #KAKOBE
www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 269
@godfreymwanga113
@godfreymwanga113 5 жыл бұрын
Leo nimempenda bure Kakobe,wewe ni zaidi ya mchungaji,ndio maana kila siku nasemaga kakobe ni mmoja Wa watumishi Wa Mungu hapa duniani.Mzee Gwajima piga kazi, umetumwa kipiga kazi ya bwana keep on working,usiangalie nyuma,anayemjua binadamu ni .Mungu na si binadamu mwenzie so keep on preaching the word of God,wanaofurahia usanii huu ni wazinzi,washerati,na wahunj,wezi na wa jinga Wa kila aina,wewe usiangalie nyuma,tupo pamoja na wewe siku zote,keep on preaching na sasa speed iwe kubwa than mwanzo.I know you very well,na najua vita kwako ni kubwa,lakini mind you ,ata Yesu,alipigwa vita,mitume wote walipgwa vita so hii inatupa nguvu zaidi
@wolframchikomo8873
@wolframchikomo8873 5 жыл бұрын
Apige Kazi ya Bwana eee? Ni kazi ipi hiyo ya Bwana na ni Bwana gani?? Mashallah! Et PIGA kazi ya bwana!!! he, he, he! Na BADO! Ataendelea kuipiga kazi ya bwana huyo!
@aishaomari1881
@aishaomari1881 5 жыл бұрын
Aendelee kupiga k za wanawake huku akimfuja mkewe mpaka uso unakataa roshen
@ednajohan4289
@ednajohan4289 5 жыл бұрын
Askofu kakobe Mungu akubariki kukuona tu nahis kubarikiwa, Askofu Gwajima injili isonge mbele
@gibsonmtweve1022
@gibsonmtweve1022 5 жыл бұрын
Hivi ndiyo mwili wa Kristo unavyojengwa haijalishi ni namna gani shetani anapambana Yesu atabaki kuwa juu.
@barutiabuu294
@barutiabuu294 5 жыл бұрын
Da kweli mmechelewa mmefungwa mpaka macho hamuoni maskini wamung sijui wanawapa nini mpaka hamuoni nafkir akili zenu zote wanazo wao mnatia huruma sana mung awasamee sana kwakuwa mnajitia hamjui mlitendalo
@janethpaul5555
@janethpaul5555 5 жыл бұрын
Wewe ndo hujui ulitendalo, na shetani amekuteka fikra zako unabubuja tu maneno yako ushindwe kwa jina la yesu.
@barutiabuu294
@barutiabuu294 5 жыл бұрын
@@janethpaul5555 nitashindwa kwajina la mung nasio yesu ambae mnachuma zambi kwake bure nakumkufuru mung nishindwa kwabinaadam mwenzang
@japhetdaud3781
@japhetdaud3781 5 жыл бұрын
Bishop kakobe umeongea point kubwa kuliko shetani hapendi watu wakae kwa umoja na kwa upendo (Bishop Gwajima na Mkuu wa mkoa walipokumbatiana wakionyesha nia moja kuna watu wliumia, sana shetani) Hapo shetani apigwee
@antujahkimo520
@antujahkimo520 5 жыл бұрын
Linda saana moyo wako kulikoni vyote ulindavyo.mhukumu WA haki ni Mungu pekee.huenda tukajipalia makaa wenyewe .Naamini Mungu huwa habadilishwi na chochote
@lukakyauke9716
@lukakyauke9716 5 жыл бұрын
Kwa pamoja umoja wa Roho Kuondoa tofauti zetu na kuwa kitu kimoja Amina Axant Baba Zackary Kakobe Mungu awainue kwa kulitambua hilo
@alfredrogathe5522
@alfredrogathe5522 5 жыл бұрын
Hongera sana mtumishi wa Mungu Kakobe kwa kusimama na mpakwa mafuta mwenzako na kuendelea kuujenga ufalme wa Mungu na mwili wa Kristo
@gracenyangusi6230
@gracenyangusi6230 3 жыл бұрын
Watashindana lkn hawatashinda. Yeye ni jiwe lililotoka mlimani. Halijatengenezwa kwa mikono ya wanadamu. M/kondoo ni mshindi 🙌🙌🙌🙌🙌
@claralassonn8833
@claralassonn8833 5 жыл бұрын
Baba kakobe asante kwa kututia moyo mungu azidi kukubariki
@wilbroadsiyonga5889
@wilbroadsiyonga5889 5 жыл бұрын
Zimwi limeanza kuwatafuna mtapiga kelele! Simamieni Injili kama Askofu. Shoo.
@atfgmmasanga1361
@atfgmmasanga1361 5 жыл бұрын
Sure. Wanaofurahia matengano wanatawaliwa na shetani. Sote ni wana wa Baba mmoja, tupendane.
@al-bashirclinic3326
@al-bashirclinic3326 5 жыл бұрын
nice speech
@janethkimaro3410
@janethkimaro3410 5 жыл бұрын
Asante mtumishi. Kila mtu atengeneze mambo yake na Muumbaji wake, sii lazima kila mtu ajue Mchungaji Gwajima katubu saa ngapi na hakuna biblia ilioandika ukianguka usisimame tena itakuwa sii biblia takatifu ninayoijua Mimi. Mungu akutunzeni watumishi Mungu mwenyewe atawalipa kwa kizikana nafsi zenu kumtumikia yeye. Mnajitahidi sana naamini hili pito nalo litapita, namuombea sana baba Askofu Gwajima kwa kazi nzuri anayoifanya kukemea uovu bila kujutia sii kazi ndogo ni mojawapo ya vita. Usirudi nyuma songa mbele zaidi kwa kazi ya Mungu kwa maana imeandikwa tuonyane usisite kuonya kwa kuwa ndio wito wako. Ubarikiwe
@catherinemhapa4594
@catherinemhapa4594 5 жыл бұрын
Iwe kweli au ckweli haituhusu tunachojua yesu kirsto ndiye kichwa cha kanisa, kituo mbinguni iwe watu watashuka njiani haijalishi,wakaristo kaza mwendo watumishi wakisoea tunamwambia mungu wasamehe mana tunawapenda
@lawmarcusmwakagenda355
@lawmarcusmwakagenda355 5 жыл бұрын
Wafanye wafanyavyo INJILI inasonga mbele shetani atakoma
@mariamsaid5655
@mariamsaid5655 5 жыл бұрын
Nimekupenda bure ijiri itabaki kua juuuuuu
@sarahwanjala6601
@sarahwanjala6601 5 жыл бұрын
Kabisa kwani walipo muuwa Yesu walindani kwisha lakini mubabe wa wababe alishinda kaburi..nataka kusema nini Wafuwasi wa YESU wanapigwa vita sana ila tutavishinda ijili itazidi kusonga mbele tena kwasana Jina la YESU linanguvu Bwana wacheni mtachoka tu YESU juuu sana
@ausontiibo5971
@ausontiibo5971 5 жыл бұрын
Law Marcus Mwakagenda umeona ehee!
@reubenbusanji2904
@reubenbusanji2904 5 жыл бұрын
mawazo ya kakobe hayatofautiani na yangu
@de-solenza5218
@de-solenza5218 5 жыл бұрын
UBARIKIWE kwa ufahamu huu Mkuu
@dinahbasemera4672
@dinahbasemera4672 5 жыл бұрын
@@de-solenza5218 ya kisengeee...unashida...
@zahaljamal4520
@zahaljamal4520 5 жыл бұрын
God always be with you stand as a Christian don't give up blessed are they which are persecuted for righteousness sake for thers is the kingdom of Heaven
@billgussy6099
@billgussy6099 5 жыл бұрын
Makonda ana mapungufu yake lakin kwahili mna muonea bure. Kuna dhambi nyingine hata shetan anaziogopa hasa hizi za mchungaji kutafuna kondoo wake. Anae ujua ukweli ni Mungu na Gwajima na mwanamke aliye tafunwa. Kupiga kelele hakufuti ukweli.
@kisuguruchesco5155
@kisuguruchesco5155 5 жыл бұрын
Chapeni kazi watumishi wa mungu, maana bila nyie mambo huwa constipation katika taifa letu.
@josephbonday8510
@josephbonday8510 5 жыл бұрын
Jamila Huseni wewe unayo akili sana ya kuchambua mambo 👏👏👏
@johnsonjusto9564
@johnsonjusto9564 5 жыл бұрын
kakobe ni zaidi ya mchungaji utabaki juu
@laurenciamushi8727
@laurenciamushi8727 5 жыл бұрын
Yesu atabak kuwa juu hata wafanye nn Maandko yanasema majarbu hayana bud kutokea lkn ole wake yy anayeyasababsha, pga injl baba yule alyeyasababsha ataibka kwa jna la Yesu
@abednego3876
@abednego3876 5 жыл бұрын
Makamanda wa kuzimu wanaochafua UKRISTO ndio hawa sasa,, itafika mahali kwa sababu ya ufuska wa hawa utaona aibu kusema ww ni mkristo.
@mwilesimbeye9486
@mwilesimbeye9486 5 жыл бұрын
Hata Kama hajafanya hiyo fedheha lakini huwezi kumthibitisha mtu Kwa mambo ya rohoni ni ngumu sana mana watumishi wengi wa Mungu siku hizi wanavaa ngozi za kondoo nje ndani ni mbwa mwitu. Najiamini mwenyewe tu, Mungu ndie anaenithibitisha kama nasitahili uzima wa milele. Ingawa nimesikitishwa na hao waliotuma video mana hawatabaki salama kwani wamechafua sura ya kanisa kwa kiasi fulani.
@godrickernestngoda5521
@godrickernestngoda5521 5 жыл бұрын
Wapagani wanamshambulia gwajima
@pendogesase237
@pendogesase237 5 жыл бұрын
Kanisa LA mungu liko salama
@leilainnocent6532
@leilainnocent6532 5 жыл бұрын
Manabii wa uongo utawajua tu
@prisladavis3198
@prisladavis3198 5 жыл бұрын
Siyo lazima mtu awaamini mungu ndiye anyejua halafu kazi ya mungu ina vita kubwa shetani hana shida na walio wake utaijua kweli nayo itakuweka huru watu warohoni wanajua kinachotokea Ila wamwilini watabaki kuhukumu tu
@mwanadamtz1298
@mwanadamtz1298 5 жыл бұрын
MTU MZIMA AKIVULIWA NGUO HUCHUTAMA. NASEMA HIVI HATAKAMA NIKWELI AU SIYO KWELI HAKUNA CHA KUBADILISHWAA.
@mozejcs9160
@mozejcs9160 5 жыл бұрын
Kwa kweli sir God is so angry with what you are doing to hiz people! Yan hawa matapeli wametumia neno na mung kuwaraghai watu na kuwatapeli one day you will answer all these you people devil
@josephatkichanilo3802
@josephatkichanilo3802 5 жыл бұрын
Bas saw maaskofu wa
@masimilianajoseph3234
@masimilianajoseph3234 5 жыл бұрын
Imani yangu itaniponya asante kwa mawazo
@barutiabuu294
@barutiabuu294 5 жыл бұрын
Mmechelewa sana poleni 😁😁 nafkir akili zenu wanazibeba wao hiv binaadam mwenzenu mnamuabud mnamuacha mung kwel sio wote wenye mawazo yakutafakar
@jenambarikiwa4554
@jenambarikiwa4554 5 жыл бұрын
Jina la Yesu ningome imara wote walio mukimbilia wako salama
@zahaljamal4520
@zahaljamal4520 5 жыл бұрын
STAY STRONG SAINTS
@upendorobert7298
@upendorobert7298 5 жыл бұрын
Ajirekodi ili iweje, na ajipost ili iweje, kwa umri huu Gwajima ni mgeni na mapenzi?
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 5 жыл бұрын
Upendo Robert atakuwa alirekodi kwa ajili ya kumbukimbu zake pia, Kwani yeye no msafi sana si binadamu kmaa wewe tu na unaweza kufanya hayo pia, cha msingi ni kutubu na si kumsafisha Kwani Mungu amemuona.
@janemwakapesa5569
@janemwakapesa5569 5 жыл бұрын
Sema wangu nimekuoenda kwa ulimbukeni gani ajirekodi, wamechemka waliotengeneza NA wasubiri kipigo kutoka Kwa Bwana
@upendorobert7298
@upendorobert7298 5 жыл бұрын
Jane Mwakapesa haswa
@farajaluvanda1242
@farajaluvanda1242 5 жыл бұрын
Mtumishi alikuwa anamtoa mapepo binti mrembo. Maana siku hizi watu wanalishwa mpaka chumvi na ndizi ili mapepo yatoke.
@sofiayusufu7762
@sofiayusufu7762 5 жыл бұрын
Faraja Luvanda gwajima ana miuno feni 😀😀😀😀😀😀
@farajaluvanda1242
@farajaluvanda1242 5 жыл бұрын
@@sofiayusufu7762 ahahaaa yaani shoga angu we acha tu.
@zullaicamatola3431
@zullaicamatola3431 5 жыл бұрын
Aliyefanya ule mchezo kachemka ,hajamharibia bado,akajipange upya
@antidiusgrevase5485
@antidiusgrevase5485 5 жыл бұрын
mungu anakuja mwanzo mwixho ko aliyektengenezea huo uchafu atahukumiwa na mkono wa YESU
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 5 жыл бұрын
Amemsafisha makonda safi
@wolframchikomo8873
@wolframchikomo8873 5 жыл бұрын
Au mnataka kutuondoa kwenye AJENDA kuwa Simba anabebwa Ligi Kuu ya TPL? HATULALI, bali tunayaona bado yanayoendelea Kwenye Soka letu
@japhetdaud3781
@japhetdaud3781 5 жыл бұрын
Hiyo biashara ya mafarakano imeshakufaa-na wapigweee!😱😱😱😱😷😭😭😭🙋🙌🙋🙌🙌🙌💪💪💪👏👏👏
@agnesmkanga5009
@agnesmkanga5009 5 жыл бұрын
Wapigweeeeee!
@jackisonmdenye3169
@jackisonmdenye3169 5 жыл бұрын
kazikazi
@limolimo4701
@limolimo4701 5 жыл бұрын
mh ashakula mzigo kisha kawweka ist mchungaji gani huyo
@naamanfigo2607
@naamanfigo2607 5 жыл бұрын
Mashekh waliokondani nakumbushia msipuuze!
@aladinho1352
@aladinho1352 5 жыл бұрын
Naaman Figo waache kwanza maana waliyokuwa wanayafanya ni zaidi ya hatar ukiyajua uwaonei huruma tena
@goldmansun5859
@goldmansun5859 5 жыл бұрын
Gwajima hajaleta fujo, hao jamaa wameleta fujo, wamelipua kanisa arusha wakaua padre na waumin, wamechoma makanisa, wameua wachungaj,wanatokaje jela?,wanahubir chuk na kupractice wanachokisema, wanaencourage jihad vita nchin, waache wavune walichokipanda
@nipolive..2745
@nipolive..2745 5 жыл бұрын
Gwajima anatumia nguvu kubwa kujisafisha. Wandishi wa habari walio wengi wamelipwa kumsafisha.
@goldmansun5859
@goldmansun5859 5 жыл бұрын
Nafikir Wengi mmelipwa kumchafua, jiongeze kidogo we mtu mzma
@daudipaulomatanga6479
@daudipaulomatanga6479 5 жыл бұрын
nipita tu kuona wanafiki Wakubwa😂😂💃
@ramadhanmasiku2848
@ramadhanmasiku2848 5 жыл бұрын
Islam is my religion
@henrymatebe1492
@henrymatebe1492 5 жыл бұрын
Kaa huko huko hajakulazimisha mtu uwe mkristo Mbona nyie ndo wafusika kabisa hatusemi? Tena mna haribu vitoto vidogo vikiwa bado madrasa havijui chochote mnaviingilia
@davidndaha9607
@davidndaha9607 5 жыл бұрын
Kweri God lives with as
@kagamejulius1446
@kagamejulius1446 5 жыл бұрын
Mungu awapariki kama niuwongo itabakikua uwongo sasa kwanini anaenda kwakakobe wakati niuwongo
@popekatalango9409
@popekatalango9409 5 жыл бұрын
huyu alishapoteza mvvuto na hasikiki anavamia kama ni kweli au si kweli waachie wenyewe wanaweza kujisemea gwajima anaweza na makonda anaweza kujisemea tuache hii movie kwa wahusika tusidandie issues za watu ili kutafuta kiki
@allyanthony3489
@allyanthony3489 5 жыл бұрын
Mungu awabarki sana
@fibimshongo4758
@fibimshongo4758 5 жыл бұрын
Duuu watu wote hao shetani angewameza kama mngetetereka
@godfreybigeyo9105
@godfreybigeyo9105 5 жыл бұрын
Endeleni kumdhiaki mungu,endeleni kujificha kwenye macho ya wanadamu wa dhaifu
@bambois-haka4689
@bambois-haka4689 5 жыл бұрын
Wew Kakobe na Gwajima wote ni mawakala wa Shetani kwahyo lazma mteteane, lakin asaila ya Bwana haitawaacha salama
@rogathekowero9847
@rogathekowero9847 5 жыл бұрын
Umeongea point lakin sikuamin wew ni walewale.
@davidchungu2701
@davidchungu2701 5 жыл бұрын
UNASEMA KAKOBE NI WALEWALE UNAMAANISHA NINI? YAANI WATOTO WA IBILISI KILA MTUMISHI MNAMKATAA. MTAISHIA KUPINGA NA MWISHO WA SIKU MTAISHIA JEHANAMU,
@charleserasto3749
@charleserasto3749 5 жыл бұрын
kamanda sema
@alexchungu8823
@alexchungu8823 5 жыл бұрын
Shida sana
@maombimimi9014
@maombimimi9014 5 жыл бұрын
Mnamuhusisha makonda na ishu zingine ambazo hata hazimuhusu aiseee yaan watu watongozane wenyewe nakwenda kufanyana huko nakuchukuana video nakusambaza wenyewe mwisho wa siku makonda ndio kahusika??!!!!!
@mariammichael9773
@mariammichael9773 5 жыл бұрын
Ovyooooo, muone kwanza hahahaha uwiiiiii, umetumwa kuja kusafisha uchafu wa mwezako wakat nyie wote ndio Chama kimoja.. acheni kumsingizia Makonda wakat mtoto wa watu hata hajui chochote. .....
@mbwanamungia9921
@mbwanamungia9921 5 жыл бұрын
Kakobe mjinga tu ungelijua habari tulizo nazo za jamaa yako huyo usingeshangaa hiyo video nayeye sie aliye ituma aaingeweza kufanya hvo lkn niyeye huyo tuna habari zake nyingine kuliko hizo
@mgangamangee1938
@mgangamangee1938 5 жыл бұрын
na wewe tuma uliyonayo kama ni kweli
@davidchungu2701
@davidchungu2701 5 жыл бұрын
WEWE UNASEMA KAKOBE NI MJINGA AMEKUKOSEANINI?!! KAMAWEWE UNAJUA HABARI MBAYA ZA GWAJIMA INAHUSIANANINI NA UJINGA WA KAKOBE? ACHA UNAFIKI MBONA HATAWEWE UNAMADHAMBI? AU WEWE NI MTAKATIFUSAAANA? MNAFIKAWEWE ACHA UOVUWAKOKWANZA NDOUSEME MABAYA YA GWAJIMA,
@jumahili8121
@jumahili8121 5 жыл бұрын
kwa nini tusingoje TCRA na uchunguzi wa kitaalamu. kuendelea kujitetea kunaleta mashaka. kwa mambo yote usikatae kwa haraka au kukubali kwa haraka.
@afredyohana356
@afredyohana356 5 жыл бұрын
Baba unaongea ruga hiyo hawo unaongea nao wanajua iyo luga
@pastorvincent9851
@pastorvincent9851 5 жыл бұрын
Gwajima Mungu akubariki na kukutia nguvu, na kitendo hiki cha kumleta Askofu Kakobe ni ukomavu mkubwa sana. Wasioelewa hawaelewi tu. Ni wakati tu nao utapita.
@AkwinoMsombe-FundiUmeme-
@AkwinoMsombe-FundiUmeme- 5 жыл бұрын
ushabiki haufai.
@wlkmwlkm8486
@wlkmwlkm8486 5 жыл бұрын
Wachen ujinga. Madir muache uzinifu
@wanaumemantanace7482
@wanaumemantanace7482 5 жыл бұрын
WATUMISHI wa MUNGU MABILIONEA hao!,je yawezekana NGAMIA kupenya kwenye TUNDU la SINDANO !?🤔🤔🤔.
@AdAhmed-cy7ii
@AdAhmed-cy7ii 5 жыл бұрын
Ndo nn sasa naona zongo tu kweli
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 5 жыл бұрын
Fedha mali dhahabu ni mali ya bwana so mungu akutuleta dunian kua masikini kila mtu Mungu kamwandikia baraka zake kbl atujazaliwa tukiwa tumboni kwa mama zetu sisi wotee ni matajiri bali atujitambui. Inatakiwa tumtafute Mungu na utajiri utapata maana yesu kasema tuombe kwa jina lake chochote. Wengi wetu mizimu maagano ya famly laana za famly. Miungu vita vya kiroho vifungo vya maadui ivi ndivyo vyanzo vya umasikini tunaamini utajiri upo kwa waganga kumbe amna kitu utajili upo kwa mungu tuu ukimuomba anakupa anafanya njia pasipo njia
@michaelmwakasaba6552
@michaelmwakasaba6552 5 жыл бұрын
ubingwa Tpl niwa simba tu hayomengine ni ziadatu msijisahaulishe na habali za uongo hizo
@peterphilips270
@peterphilips270 5 жыл бұрын
wapumbavu niwale waaminio kila linalo wafika bila kuhoji kivipi kwa namna gani kwa lengo gani.wenye akili ndogo ndio wanao umimia bila kujijua.vudeo fake ninyingi duniani watengenezaji ni wengi sisi wenye elimu ya it tunaelewa hilo.hivyo jifunzeni kuhoji na sikuamini kila likufikalo.napita tuu
@pilottv6336
@pilottv6336 5 жыл бұрын
Bro nimekuelewa Sana,umesoma na unajua kuchambua
@Dukelenzo
@Dukelenzo 5 жыл бұрын
Suleiman Raphael eem toa fact wewe...usikute hata Adobe huujui...vdeo haijaeditiwa ile mzee...IT gan usieweza kulinganisha quality ya vdeo iliyoeditiwa na isio editiwa??tena camera ya sim
@nipolive..2745
@nipolive..2745 5 жыл бұрын
Unatetea upumbavu
@Dukelenzo
@Dukelenzo 5 жыл бұрын
Suleiman Raphael toa fact mzee ...usifate bendera kama upepo...
@aiyaavibes7610
@aiyaavibes7610 5 жыл бұрын
Suleiman....use wisdom brother.... don't talk talk without any wisdom..... always the light will win over the darkness
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 5 жыл бұрын
TCRA mbona wamekuwa kimya juu ya hii video? Kule si wana wataalamu juu ya video na wanaweza kujua aliyerusha, na ilitengenezwa nafikiri tusubiri jibu lao la kiuchunguzi ndo mje kuimba ni sala ma rohoni mwangu, Mnaimba mnajisikia mwenyewe Mungu hawasikii Kwani gwajima ametenda dhambi ya uzinzi, kujidanganya mwenyewe ni mbaya sana ila anajua amemkosea Mungu lakini hataki kukiri na kutubu. Mungu amshamuona ! ! ! Mbona hamjataka kushirikisha wakristo waombe ili kuziharibu hizo kazi za shetani? Ina maana mnajua ni kweli amezini sasa mnaendaje kuomba dhidi ya hayo mashambilizi kama mnavyodai, Vila kutubu? Hapo ndo mnapowazia sasa
@panasoniccall4012
@panasoniccall4012 5 жыл бұрын
Safi sana viongozi wetu Wa imani
@josephatmhulula573
@josephatmhulula573 5 жыл бұрын
kazi ya Mungu iendeleee
@surtanmilizal282
@surtanmilizal282 5 жыл бұрын
Uelewa wako mdogo lazima ushabikie ujinga na kushukuru
@phayphay8471
@phayphay8471 5 жыл бұрын
Sina la kusema life iendeleee
@Papa2thaE
@Papa2thaE 5 жыл бұрын
Na ni mzinzi
@saidpacheko9198
@saidpacheko9198 5 жыл бұрын
Mungu atabaki kuwa mungu roho ya uovu haitafanikiwa kwa jina la yesu
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 5 жыл бұрын
Dada njoo uwaambie kuwa ile haikuwa feki bali ni ukweli,
@davycm9750
@davycm9750 5 жыл бұрын
Build the faith to find ALMIGHTY God ,Not the faith to the bishops but the faith to the lord,worship God not the bishops for they are also human,build a channel to find the lord by abiding to his rules and principles ,you will definitely find him,why do you guys give trust to bishops more than the lord,majority you are possessed by their evil spirits,I WANT ALL THE PEOPLE TO KNOW THAT THEY ARE ALMIGHTY GOD, ONLY ONE GOD THEY ARE NOW WAY TO REACH THROUGH HIM BUT THROUGH JESUS CHRIST OUR LORD THROUGH ACKNOWLEGING HIM TO BE THE TRUE AND LIGHT AND LIVING THROUGH HIS COMMANDMENTS AND TEACHING,EVERY ONE IS GRANTED AN OPPORTUNITY TO ENTER THE KINGDOM OF HEAVEN BY LIVING A PURE LIFE OUT OF SIN NOT THROUGH TRUSTING THE BISHOPS AND GIVING THEM YOUR HEARTS,YOU ARE WASTING ALOT OF TIME AND ENERGY SAVING THEM ,ENRICHING THEM,YOU ARE SLAVED TO THEM,YOU THINK YOU PROBLEMS WILL BE SOLVED THROUGH THEM BUT YOU DONT KNOW THROUGH WHAT MECHANISMS BUT BECOUSE YOU SEE AND BELIEVE WHAT THE DO INFRONT YOU,NOW YOU GIVE THEM YOUR HEART ,YOU MONEY AND YOUR TIME,BECOUSE YOUR PROBLEMS ARE SOLVED NOW YOU BELIEVE THROUGH THEM AND YOU SAY ITS GOD BUT YOU DONT KNOW ITS THROUGH WHAT MECHANISMS,THE DEVI HAS THE SAME POWER . GO BACK HOME KAKOBE AND REST YOU HAVE MADE ENOUGH.
@watwegopnina6480
@watwegopnina6480 5 жыл бұрын
🙄
@babaanisha2104
@babaanisha2104 5 жыл бұрын
namshukuru Allah kwa kuzaliwa muislam maana dini isiokuwa na shaka ndani yake
@anordadolf4182
@anordadolf4182 5 жыл бұрын
Kwamaana yako ukristo unashaka ndani yake sio???
@sarahwanjala6601
@sarahwanjala6601 5 жыл бұрын
Ukweli nikwamba Wafuwasi wa YESU wanapigwa vita sana kwakuwa wapo sahii katika imani waisilam hamuna kitu wala kweli haimo ndani yenu ila kila mtu atasimama mbele za Mungu so wakisto tutapigwa vita ila tutavishinda
@epimackoscar25
@epimackoscar25 5 жыл бұрын
Baba anisha usisahau kuwa mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe , Wapo kondoo wa kweli katika ukristo na Mungu anawatambua .
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 5 жыл бұрын
jamaa kala kondoo wake mnamsafisha wa nini yule kondoo alikuwa amenona sana
@teddykassinde4608
@teddykassinde4608 5 жыл бұрын
😂😂😂
@hashimuhehwa3780
@hashimuhehwa3780 5 жыл бұрын
Hahahaaa KWA hiyo Kakobe alikuwa anajua uwiii mi staki huu utoto mwee!!
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 5 жыл бұрын
Kitu kilekile wanateteana maana wote makahaba. Wajinga waendelee kuwapa hela wao watajirike, mtoaji abaki maskini.
@MrEve1975
@MrEve1975 5 жыл бұрын
Sielewi ata wanaongea nn yaani inaonyesha kabisaaaaaa kuwa ni kweli
@goldmansun5859
@goldmansun5859 5 жыл бұрын
Everlin lucumay hata ikiwa kwel, Daud alifanya dhambi kubwa alitubu na haikumuondolea nafas yak kama rafik wa Mungu, madam alitub, kanisa haliteterek kamwe, wakitushambulia ndo tunakuwa strong na kumtafuta Mungu wetu kwa bidii kuliko mwanzo, na hatutengan tena
@teychriss3248
@teychriss3248 5 жыл бұрын
Makonda kaingiaje hapo? Ndo alomtuma Gwajima ajirekodi? Kama mnatetea dhambi kuna haja gani ya kushawishi watu watubu? Na kwann mnatumia nguvu nyingi sana kujisafisha? Ama kweli andiko lilisema watuwangu wanaangamia kwa kukosa maarifa! Mnaacha kukemea alichofanya mnaongeza dhambo ya uongo?
@billgussy6099
@billgussy6099 5 жыл бұрын
Tinnah una akili sana kunywa soda hapo nakuja kulipa
@apostlemelkizedeckmsechu6274
@apostlemelkizedeckmsechu6274 5 жыл бұрын
Hakuna Mtu ametetea Dhambi hapo.. Sisi ni viungo katika mwili wa Kristo.. Kiungo kimoja kikipata shida ni mwili wote. Ninyi mnaojifanya kumhukumu Gwajima hichunguzeni.. Amesema sio yeye ninyi mnalazimisha ni yeye.. That's not Christianity.. Mnatumika ninyi kuchafua kanisa la Mungu. Hata kama Amekosea! Unataka aje atubu kwako?? Yeye asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga Gwajima Mawe!
@teychriss3248
@teychriss3248 5 жыл бұрын
@@apostlemelkizedeckmsechu6274na je ktk hiyohiyo bible kuna mstari unaonyesha kuwa yule kahaba akijitetea zaidi ya kulia akionyesha kuwa anatubu? Na je kuna mahali Yesu alisema uongo ili kuficha madhambi ya huyo kahaba ?
@billgussy6099
@billgussy6099 5 жыл бұрын
@@apostlemelkizedeckmsechu6274 kaka hakuna anae muhukumu ila angekaa kimya tu. Huku kujitetea ndo kunakoleta ukakasi ukizingatia nafasi yake katika kanisa na jamii. Kumbuka hapa tunaongelea mtu anae jiiita askofu .
@issasalum274
@issasalum274 5 жыл бұрын
Kakobe naye Kwishaaa!!
@elicegelard5026
@elicegelard5026 5 жыл бұрын
Hamna kitu hapo.
@sharifachacha978
@sharifachacha978 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂kweli!????
@valeriananziku3561
@valeriananziku3561 5 жыл бұрын
Wenye akili tulijua toka siku ile video inarushwa mitandaoni kuwa ni Fake wenye akili za kuungaunga kama mishikaki wanasema ni kweli
@valeriananziku3561
@valeriananziku3561 5 жыл бұрын
@@surtanmilizal282 Misiii na mene
@bundalamadili8112
@bundalamadili8112 5 жыл бұрын
Huwa sina muda hata dk moja yakujadili dini ila Mungu sawa madini ni uchumi wa watu kwahiyo wanachokifanya nikutetea mapato yao yasipotee ila kitendo kile si kibaya ubaya nivideo ambayo inatufanya tuone wanacho kifanya hadharan ila Gwajima linda mapato yako usitapoteze
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 5 жыл бұрын
Acha URONGO
@jamilahusein5045
@jamilahusein5045 5 жыл бұрын
Mwenye imani ndugu yake mwenye iman!wasiyo na imani ndo hao wanaoamini ile video kwamba ni ya gwajima
@timothngassa9237
@timothngassa9237 5 жыл бұрын
Umelewa imani.
@allyabeid4188
@allyabeid4188 5 жыл бұрын
jamila husein hata shetani anaimani na anawenzie katika imaniyake ko imani sio hoja bali hoja niipi hiyo imani unaipimaje imanihiyo Nani mwenye tamko lamwisho juu yaukweli waimanihiyo wapo watu wanakula Mali kwabatili kwakigezo chaimani sembuse dudu tena yamlembo kamayule wagwajima
@farajaluvanda1242
@farajaluvanda1242 5 жыл бұрын
Hata zile video za akina amber rutty na wema sepetu mimi bado siamini zitakuwa ni editing tu sio kweli.
@gracekazi5492
@gracekazi5492 5 жыл бұрын
@@farajaluvanda1242 hahahaaaaa
@farajaluvanda1242
@farajaluvanda1242 5 жыл бұрын
@@gracekazi5492 sasa tusemeje shoga angu wapuuzi sana hawa
@farajaluvanda1242
@farajaluvanda1242 5 жыл бұрын
Samahani jamani hivi hamna fundi wa kuedit humu ndani au yule aliye edit ile ya gwajiboy tuwasiliane maana na mimi nataka niedit video yangu moja namkatia mauno kagere wa simba.
@Majengojr
@Majengojr 5 жыл бұрын
Duu
@josephbonday8510
@josephbonday8510 5 жыл бұрын
Faraja unateseka na Yanga yako aisee... 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@farajaluvanda1242
@farajaluvanda1242 5 жыл бұрын
@@josephbonday8510 yaani nyie acheni tu nampenda yule kaka mwee.
@Majengojr
@Majengojr 5 жыл бұрын
@@farajaluvanda1242 Nn kinakuvutia kwake?
@farajaluvanda1242
@farajaluvanda1242 5 жыл бұрын
@@Majengojr yaani yule kaka anafunga mabao matamu jamani
@uwingeneyeshadia7697
@uwingeneyeshadia7697 5 жыл бұрын
Karne zamwisho kiyama kinakaribia
@morefireministrychurch177
@morefireministrychurch177 5 жыл бұрын
Sasa hivi kanisa kuna wanafiki tu wamejaa huko na nikila maali mm mkiristo na nimesema mnafabishara uchochezi kanisani uzizi kanisani wake za watu kanisani nani kawaloga sasa Mzee kama afai kuchochea kusema makonda kwani makonda ata faidi nn gwanjima akisalilika
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 5 жыл бұрын
kakobe umenenepa sn Fanya diaty.
@elizamsilikasi1952
@elizamsilikasi1952 5 жыл бұрын
Mbarikiwa Mbarikiwa 😂😂😂😂
@alexchungu8823
@alexchungu8823 5 жыл бұрын
Sadaka hizo
@karimathuman9363
@karimathuman9363 5 жыл бұрын
ivi mbona we kakobe uzushiwi inawezekana anausika
@davidkatunge2835
@davidkatunge2835 5 жыл бұрын
Tunakuomba uzungumzie na tuhuma za zinazohusiana na Emmanuel Mbasha alimtuhuma kuzaa na Flora Mbasha kuwa Gwajima alizaa na Flora Mbasha akiwa bado kwenye ndoa na Emmanuel Mbasha Wala siwezi kukuelwa kabisa juu ya hili unachofamya ni kumtetea mtumishi mwenzako lkn ujue unaiangamiza jamii kwa kutosema ukweli
@johnwoshi3459
@johnwoshi3459 5 жыл бұрын
kama mwili sio wake si avue shirt abaki kifua wazi maake haiwezekani afanane mwili mzima kama ni edit itaonekana hata kaupele au kakovu kuliko kutumia maneno mengi bila kudhibitisha
@apostlemelkizedeckmsechu6274
@apostlemelkizedeckmsechu6274 5 жыл бұрын
Akuthibitishie wewe ni Mungu?.. Nonsense!
@yussuphkazumar6229
@yussuphkazumar6229 5 жыл бұрын
dah hii din bhna vchekesho m2pu
@emmynkuu1533
@emmynkuu1533 5 жыл бұрын
Nafuu yakufuga majini et eeh
@anordadolf4182
@anordadolf4182 5 жыл бұрын
Ebu kwenda zenu ndo maana huwa hamjielewi nyie kazi kupigana tu ndo mnachokiwazaga tu
@yussuphkazumar6229
@yussuphkazumar6229 5 жыл бұрын
Emmy Nkuu kabxaaaa yaan
@apostlemelkizedeckmsechu6274
@apostlemelkizedeckmsechu6274 5 жыл бұрын
@@yussuphkazumar6229 Dini yenu ya mapepo na majini ndiyo ya maana
@priscasiame9179
@priscasiame9179 5 жыл бұрын
Huyu kakobe ushirikina umemjaa mno namkumbuka vzr utawala wa mh kikwete aliwapiga hela sana raia..wengne wapo mtaan uku wanaokota makopo
@surtanmilizal282
@surtanmilizal282 5 жыл бұрын
Unaakili sana kumbuka ali wavua sana kondoo wake vidani vya dhaabu na akakimbia Congo
@popekatalango9409
@popekatalango9409 5 жыл бұрын
kamera zikimuelekea gwajima unaona jinsi anavyohangaika, anashindwa hata kutazama kamera sio gwajima yule naemfaham,ashakula zigo huyooo , gwajimmmmaaaaa ana kiuno feni
@gracerosi6179
@gracerosi6179 5 жыл бұрын
Mlisha waona hao hao mnaongea nakuwachukulia hela zao kilais mnaziangaikia kwajasho mnawapelekea wenzenu wananemeka et sadaka pelekeen wasio jiweza
@mako331
@mako331 5 жыл бұрын
Hawa jamaa wanajuana lazima walindane hujui ya kesho, nafikiri ingekuwa busara tu wanyamaze
@emmynkuu1533
@emmynkuu1533 5 жыл бұрын
Sema wew basii
@nyerere1259
@nyerere1259 5 жыл бұрын
Kakobe na gwajiboy wanakubalika hadi na FREEMASONS tuwaaminini jaman
@adammbena9632
@adammbena9632 5 жыл бұрын
daaaaah aisee shame on you
@simpeponestory7637
@simpeponestory7637 5 жыл бұрын
Kuna mazwazwa toka kwa mama yao beki3 a.k.a bi mdogo wanakoment utumbo wangali ukweli wanaujua hahahahaa ,,,poleni sana nawashauri wapambane na mfungo wao waendelee kuyasujudia mapepo yao ambayo mtume wao aliyapokelea pangoni baada ya kulewa bangi
@mohdomar109
@mohdomar109 5 жыл бұрын
Haya ww msjuduie binadamu akimaliza akupumulie hahahah kheir ya pepo hujaliona unaweza sema may be this or that nyinyi mnaibiwa mnaon kabixa kama apo mliibiwa na rwakatalee weee kachoka saiv anawaibia gwajima ww ni kondoo subir ifike zamu yako gwajima akushuulikie....pwiipwiii tit for tat wakiristo marinda hamna nyoteee
@simpeponestory7637
@simpeponestory7637 5 жыл бұрын
Hahahaha mbona povu mtoto Wa mama Wa kambo tuliaaa
@stickodidy8519
@stickodidy8519 5 жыл бұрын
Hakuna kilichotengenezwa apo nyinyi hakunaga editing ya vile ya kukata kichwa na kuweka cha mtu mwengne hakuna na ndio maana hata R.Kelly alipokutwa na tuhuma za uzalilishaji ilipoletwa ushahid ya video hakuweza kukataa nakusema editing ingewezekana kuedit uko ulaya sio bongo asitufanye wtatanzania mazumbukuku kias kwamba atujui kuona kwa macho kutafautisha kua uyu ndio au sio au kujua editing achen uongo nyinyi yeye binadam kama binadam mwengine tu akubal amekosema aombe radh tu sio anatumia msuli mkubwa kuwaita watu wamsafishe na uyo mke wake anatetea ugar wake maana anasura ngumu we unadhan akisema kwel ndo mumewe amefanya ive ataenda wap nan atamstir mzee kama kile kwa akil tu ya karibu we unataka kuniambia mzee baba atakaa na kikongwe kile kitaweza kumalizia haja zake maana sura tu imeshakataa ache vichenchede amekua nan mzee baba mwisho wasiku mnaumbuka kama iv kwaajir ya kula sadaka za maskin nakuwaonga madem zenu magar na majumba acha awaumbui mungu wa kwel mmoja tu Laa Ilaha ilalah Mohammad Lasululah
@lalasalama6720
@lalasalama6720 5 жыл бұрын
Kila kitu wanashangiria bila kujua maana
@machasuzan770
@machasuzan770 5 жыл бұрын
Siku za mwishooo tutaonaa mengiii ee Mungu tusaidiee
@helmanikomba576
@helmanikomba576 5 жыл бұрын
😹😹😹Haya bhana na kolabo lenu , ila ni yeyetu atamufanyaje!!🙈😹🙈😹🙈💩💩💩💩
@imeldabamba3779
@imeldabamba3779 5 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@rashidmavumba2261
@rashidmavumba2261 5 жыл бұрын
Naowaona manabii WA uongo wakishikishika watu masikio, ila sio powa kuwateka wajinga WA watu hivyo
@gaykazimoto1419
@gaykazimoto1419 5 жыл бұрын
Nyie Wana Chama wa lusfa acheni kumshilikisha bashite Kwenye Hili gwaji Kwenye picha anaonekana anakula mate nayoyametengenezwa ata umuoshe wa tz sio wajinga
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 7 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 21 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 10 МЛН
Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya
13:52
Wolfram Physics Project Launch
3:50:19
Wolfram
Рет қаралды 1,7 МЛН
MUSUKUMA Amvaa Tena LISSU  "Anacheza Sinema Tu"
8:08
Global TV Online
Рет қаралды 431 М.
Revival Ministry in Korea with Bishop Zachary Kakobe
1:00:17
Bishop Zachary Kakobe
Рет қаралды 18 М.
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 7 МЛН