PADRE KITIMA ASHINDWA KUJIZUIA AELEZA MAZITO KUHUSU MAZURI YA ASKOFU RUWA'ICHI KUANZIA SAUT,SALA N.K

  Рет қаралды 20,881

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

2 ай бұрын

Karibuni sana katika Channeli hii inayomilikiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}ikiwa ni moja ya chombo cha Uinjilishaji kwa njia ya Sauti na Video.Pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii kama ifuatavyo.
INSTAGRAM: / kanisa_katolikitz
FACEBOOK: / barazamaaskofukatolikitz
Whatsup: 0738 916 628...KANISA KATOLIKI TANZANIA
Usisahau Kusubscribe,like na kushare maudhui yetu...

Пікірлер: 25
@ChristerKoku
@ChristerKoku 2 ай бұрын
Wananchi wa Mwanza waliumia sana kuondoka kwake.mungu akutunze baba.
@aristideskilawe5024
@aristideskilawe5024 2 ай бұрын
Sote tunajua gharama ya ukweli Baba Ruwaichi ❤ songa mbele na uniombee na mimi Baba. Na mimi naendelea kukuombea katika utume wako mtumishi wa Mungu.
@dassustephen731
@dassustephen731 2 ай бұрын
Dr Kitima ameeleza Kwa ufasaha Sana.Hawa wazee walikuwa na maono makubwa Sana.Mungu awabariki Sana maaskofu wetu.
@EmiliaLyimo
@EmiliaLyimo 2 ай бұрын
Hongera kwa utumishi wa miaka 25 ya utume Baba Askofu..Mungu akutunze uendelee kulichunga vema kundi la kondoo wa Bwana.
@benswai8099
@benswai8099 2 ай бұрын
Asante sana Padre Kitima kwa kuusemea vizuri utu na utume wa kuhani mkuu, Yudathadedeus. Anastahili. Mungu amsaidie zaidi, ili alisaidie kanisa la Mungu. Kanisa hili ni la Kristo. Wao ni mahalifa. Yuda ni halifa. Anatusaidia kumshuhudia Kristo Kwa watu. Kabla wakatoliki tulikuwa wanyonge kumshuhudia kristo maana baadhi kwa nafasi yake walikosa hizo sifa. Baba Yuda kuhani wetu kazana. Tunaoujua ukristo na ukatoliki tunaona. Mungu akubariki.
@francisriziki1954
@francisriziki1954 2 ай бұрын
Asante baba kitima umeongea vizuri sana kuhusu baba yetu Ruwaichi ,,nawe nakupongeza na kazi yako ya ukatibu mkuu ,,hongera baba
@user-om5li6de1e
@user-om5li6de1e 2 ай бұрын
Umenena vema fr. Kitima.. Kweli kabisa, ulionena yote fr. Hongera mno Baba Askof Ruwai'chi. Mungu amukutunze na kumubariki katika kazi zake zote, Amujalie afya njema ya mwili na Roho, na kila Neema na baraka anazohitaji katika maisha yake ya kichungaji, na ushirikiano bora kwa wale wote mnaofanya kazi pamoja, na Mungu awaimarishe katika Upendo na Umoja....
@josephmasenga3517
@josephmasenga3517 2 ай бұрын
Hongera sana Baba Kitima kutushirikisha ❤Mungu amtie nguvu aendelee kulitumikia kanisa la Kristu.
@aristideskilawe5024
@aristideskilawe5024 2 ай бұрын
PADRI Kitima nakubaliana na Wewe kabisa kuhusu Baba ASKOFU Ruwaichi. Sijawahi kufanya naye kazi lakini mimi ni msomi wa master degree. Nimemwangalia kwa saikolojia yangu. Anapenda sana kusimamia ukweli huyu Baba. Undumila kuwili siyo jambo zuri kwa kiongozi. Ni watu wachache wanaosema ukweli kwa viongozi wao lakini huyu ni msema ukweli hasa kipindi cha covid 19.
@eugenvem1818
@eugenvem1818 2 ай бұрын
Padre kitima uko sahihi juu yake........askof ruwaichi kwakweli mungu akutunze sasa na milele......... ana hofu ya mungu kweli na ndio maana mungu anaendelea kumpa kibali
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 2 ай бұрын
Katoliki big up
@andrewshirima6332
@andrewshirima6332 2 ай бұрын
Hongereni Fr. Kitima,Bishop Lwaichi na TEC, nashauri mfanye uwekezaji serious elimu ya ufundi maboresho vyuo maarifa ya nyumbani kadiri mahitaji ya dunia.Mungu Baba awabariki daima kwa maono kwa taifa la Mungu.
@emilylyimo4838
@emilylyimo4838 2 ай бұрын
Surely
@fatumamaila6233
@fatumamaila6233 2 ай бұрын
Baba RUWAICHI beba msalaba wako kwa ajili ya kanisa🎉🎉🎉
@patricksoko1279
@patricksoko1279 2 ай бұрын
Ikiwa kwaajili ya Kristo itakuwa sawaaa mnooo
@mayikuelias8640
@mayikuelias8640 2 ай бұрын
​_
@user-jd8nr1ub7o
@user-jd8nr1ub7o 2 ай бұрын
@@patricksoko1279Kanisa ni la Kristo!
@danielmandari4253
@danielmandari4253 2 ай бұрын
😊
@frimatuslupimo2031
@frimatuslupimo2031 2 ай бұрын
The other side vp Fr
@user-gx4jx4gv9l
@user-gx4jx4gv9l 2 ай бұрын
Namtakia kila laheli katika utume wake baba askofu luaichi.
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 2 ай бұрын
Kwani Nini Kimetokea Kwa Askofu Rwaichi
@desderipatrick8392
@desderipatrick8392 2 ай бұрын
Anaadhimisha jubilee ya miaka 25 ya Uaskofu leo.
@malifezajrdealf8982
@malifezajrdealf8982 2 ай бұрын
Anaazimisha miaka 25 ya uaskofu. Hii huambatana na homilia pamoja na historia ya uaskofu wako kwa kanisa maharia..nini umefanya ktk utume wako kwa kanisa.
@stevenghambi3471
@stevenghambi3471 2 ай бұрын
Kutimiza miaka 25
@sr.elizabethmbuligwe5540
@sr.elizabethmbuligwe5540 2 ай бұрын
Alikuwa na jubilei ya miaka 25 ya kiaskofu
TOP 12 SHULE ZA KANISA KATOLIKI ZILIZOFANYA VIZURI MATOKEO YA FROM 6 2024
8:11
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 9 М.
WAZIRI MWANAFUNZI WA FR.KITIMA ASIMULIA KISA CHA KUSISIMUA MBELE YA WAAMINI NA MAASKOFU
5:16
ТЫ С ДРУГОМ В ДЕТСТВЕ😂#shorts
01:00
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 3,8 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 28 МЛН
Live # Misa Takatifu ya Daraja Takatifu la Upadre,Jimbo Katoliki la Mafinga
JIMBO KATOLIKI IRINGA ONLINE TV
Рет қаралды 14
MFAHAMU ASKOFU MTEULE MWASEKAGA WA JIMBO KUU MBEYA ATAKAYEWEKWA WAKFU MEI 25
15:36
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 15 М.