Рет қаралды 101
Mbeya Adventist Primary School(MAPS) ni shule inayopatikana katika jiji la Mbeya. Kitaaluma imekuwa shule Bora katika halmashauri ya jiji la Mbeya kwa kushika nafasi ya kwanza kwa matokeo ya darasa la Saba 2021. mlete mwanao MAPS apate elimu Bora na malezi Bora pia.