Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@habarinamichezo64278 ай бұрын
Amen.
@user-en7hx2zy2n8 ай бұрын
Yesu shoga 2 kama mashoga wengine
@ashuramhandoashuramhando67988 ай бұрын
Mwamba huyu hapo 👆 💚💛 Salamu yetu ni hi🖐️
@senseiamani46848 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤yanga mabingwa wakandaji nyumbani na ugenini
@MasterG-dc1tx8 ай бұрын
Yanga mwananchiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tarehe 5 goli 5
@NizaKingongota8 ай бұрын
Nakukubal sana broo naTaman kila mechi uwaze kucheza
@mnondwaadinani82248 ай бұрын
Hongera sana mwananchi mwenzangu 💚💛💛💚
@ernestemmanuel50408 ай бұрын
Nimependa unavyomtanguliza Mungu.. ❤
@abrahmanifarouckissa56628 ай бұрын
Safi Sana mwanangu mungu ndo kila kituuuu
@user-nk3kt6rm5o8 ай бұрын
hongera kwa ushindi mnono yanga ni timu bora sana
@sagboison62978 ай бұрын
Hongeraaa mkude uongezewe mwaka mwingine bana
@user-xy8kl9wd2i8 ай бұрын
Hana nidhamu asipewe mkataba mwingine aende tu
@masturasudi73948 ай бұрын
@@user-xy8kl9wd2iweeee acha hizo bwana
@hamishamishamis98398 ай бұрын
@@user-xy8kl9wd2i shabik wa simba unateseka😂 sisi wanayanga tunampenda ivo ivo
@femidayahaya48828 ай бұрын
@@user-xy8kl9wd2i Hana nidhamu kwani kakuvua nguo..acha Wivu
@onekisstv84128 ай бұрын
Asante MUNGU Kwa ushindi huu
@user-Sam-Pozzeh8 ай бұрын
Cc YANGA SC tupewe ulinzi kla maali🎉
@user-de2ep1gx1m8 ай бұрын
Sisi ndo yangaaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-yp9vo4js9f8 ай бұрын
Weka kopa la kijani 💚au Jano💛au nyeusi 🖤
@LamerkWarwo-fz8hn8 ай бұрын
Wooh gud speak mkude young💚💚
@mussamlowe92728 ай бұрын
LAAAAAAAAAH 💚💚💚🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️😅😅😅😅😅😅
@user-po8hz7xw9j8 ай бұрын
Mkude umepiga mwingi kaka piga kazi
@PH107358 ай бұрын
Yangaaaaa aaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪
@ntanilanjema048 ай бұрын
Hongera kwa wachezaji wetu na benchi la ufundi daima mbele nyuma mwiko
@sweetbertrwiza59828 ай бұрын
Asante Mungu kwa kutupa ushindi
@matridamsambili70818 ай бұрын
Daima mbele, nyumba mwiko
@BuzaTV-sn2ft8 ай бұрын
WAkwaza mm Yanga 5 Kaww nishabiku ngusa
@SaidihusseinAthumani-dy9kw8 ай бұрын
mkudeeeee hongera
@evaristafrancis50258 ай бұрын
Daima mbele
@halimamnavi32088 ай бұрын
🖐️
@gooleserviceyoutubescandar34508 ай бұрын
Alhamdulillah.
@protamwenyegzaketv74088 ай бұрын
YANGA BINGWAAAA
@user-lg7um1fs5c8 ай бұрын
Waambie ao mikia Apo bado sana mpaka waseme leo 5 inayo Kuna 3 bila
@highvoltages41698 ай бұрын
Inayofuta tunawapiga 7G
@user-zz8qr9gn1f8 ай бұрын
Mkude una uwezo mkubwa ukiamua kufanya mazoezi ukiwa silias utatisha uwanjani dakika chache ulizocheza derby eonyesha Bado vizur tuko pamoja nawe
@HusseinNgendanyi8 ай бұрын
Ww unaweza kuuguza mgonjwa 😅😅😅 maana unajua sana kutoa faraja
@halimahassan51078 ай бұрын
Tabuleleeeeeeee laaaaaaaaa💚💛5
@hamtvonline72818 ай бұрын
Jamn uyu bacca mzanzibr kwel
@rukiakyaka18278 ай бұрын
Aamina Inshaallah
@femidayahaya48828 ай бұрын
Home Boy..Unajua kuongea point mno..mungu kwanza💚💛💚💛💚💛💚
@user-gs9wp8id2k8 ай бұрын
Naipenda yanga
@mahmoudaziz47178 ай бұрын
I love you younger Africans 💛💛💛
@user-wc7ug2wu4z8 ай бұрын
Dawa ya moto ni moto Yani ni fireeeee💥💥
@shaibusaady24208 ай бұрын
Allaah Akbar
@JussoVaizer-nu3ev8 ай бұрын
Mngu ibaliki yanga
@hdjdjdjdj86678 ай бұрын
Mashaallah
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA8 ай бұрын
Congrats
@RestitaKumpindi8 ай бұрын
Wananchiiiiii
@gervas588 ай бұрын
Maude ndio mchezaji wa Kwanza kushinda 5 goal kwa watani wa Jadi tofauti
@alfredbomani80478 ай бұрын
Naomba mwambieni BW. AL ZAHAF - AHMED ALLY ishata.ka ubora wa YANGA.IMETIMIA TUU.
@thehustlerafrica43688 ай бұрын
Huyu ndo kawauza simba kwa Engineer Hersi
@oscarmchina30878 ай бұрын
Yanga bingwa
@reginaphilimon7828 ай бұрын
hakikishen emoji mnazotumiawiki hii zisiwechini ya 5 🤣🤣🤣🤣🤣
@hidnakirungi65468 ай бұрын
Ii ni yanga bladha nkweli tuko pamoja ktk kla jambo "
@tawsi-yc3nk8 ай бұрын
💛💚💛💚
@rehemakudra8687 ай бұрын
Hongera mkude
@rezicky8 ай бұрын
Tabulele rahaaa💛💚💛💚💪
@MudathiriMahr-df2wg8 ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯
@crissimsigwa88798 ай бұрын
✊🏿✊🏿✊🏿
@sadikiakawafuliejeziwachez60078 ай бұрын
Mtangazaji ni yanga papasi we
@dayakaahtz8 ай бұрын
🎉
@Zaynab-ny6gr8 ай бұрын
💛💛💛💚💚💚💚💚
@honesttemba14858 ай бұрын
🤗
@amirihassan57538 ай бұрын
Nungu nungu
@molenicharles91078 ай бұрын
Babaika sn hayo ni ya mdomoni nasi ya moyoni
@lucaskomba-tw4tg8 ай бұрын
Wew ni zuzu kabisa mchezaji anasaka hela mapenzi ni ya mshabiki
@molenicharles91078 ай бұрын
@@lucaskomba-tw4tg Kuma la mama Ako ndye zuzu
@edrickniwamanya56658 ай бұрын
Oyooooooo
@kindulijumanne76328 ай бұрын
Mwamba mpira Bado upo Ila Hacha wenge utafika mbali
@MahegaGelard-bz1ub8 ай бұрын
Yangasss
@gervas588 ай бұрын
Mkude
@aimpaul72148 ай бұрын
Tabulelee
@fadhilfadhili2218 ай бұрын
Laaaaa
@barmoke36068 ай бұрын
Ss ndo yanga ilaa nataka niseme sikudu jamani wasimuweke benji
@magrethshishwa54818 ай бұрын
💚💛💚💛💚
@eliusnchimbi7168 ай бұрын
Namkubar sana
@user-by8zs7js3p8 ай бұрын
Jamani leo lobatinyo kafanywa nini
@kamdinindevu51858 ай бұрын
🎉🎉🎉
@AllykaundaZ-yh8gz8 ай бұрын
Inatisha
@shikumabula82198 ай бұрын
🔰🔰🔰🔰🔰🖐️
@magrethyeremia22798 ай бұрын
Nina raha saaan saaan sisi ndo yanga banaaa
@HASHIM-rt4mf8 ай бұрын
Hauna baya
@omaryamiri31758 ай бұрын
🔰🔰🔰🔰💚💚💚💚
@amanimustapha20898 ай бұрын
Nimeamini utopolo ni Wachawi sna
@sagboison62978 ай бұрын
5GB
@adellaidalyimo4378 ай бұрын
Hamsa💚💛🥳
@husseinmkwachu60718 ай бұрын
Hamna timu nyie kila mechi BEKI ZINAVUJA na isingekuwa kubebwa mechi yenu na Prison,Singida saa hizi mngekuwa wa 7 kwenye msimamo