No video

KAYUMBA- MAMA ( OFFICIAL VIDEO)

  Рет қаралды 7,958,555

Kayumba

Kayumba

Күн бұрын

ITS ALL ABOUT LOVE TO MOTHERS. THIS IS DEDICATION TO ALL MOTHERS AROUND THE WORLD. I LOVE YOU MAMA( Hii ni Kwa ajili ya upendo mkubwa kwa Mama zetu, Kama unampenda Mama yako hii ni Kwa ajili yake) .Enjoy a Good Music From Kayumba.
#Kayumba#Mama#Goodmusic / kayumbaasosie

Пікірлер: 3 500
@Shayonezippy
@Shayonezippy 3 ай бұрын
😭😭 I'm here 2024 listening to this song huku machozi yananitoka😭😭nikikumbuka mama yangu jinzi amenyanyaswa na watu wa familia kisa tu sisi maskini😭😭😭but in all she has never left us alone 🫂mama wherever you are I love you so much 💓 and I pray to God anilinde uku Saudia Arabia nimalize contract vizuri na nitimize ndoto yangu ya wewe kuwa na furaha milele🙏🏼🙏🏼🙏🏼😇😭😭😭😭😭😭
@KaswitiKaswiti
@KaswitiKaswiti 2 ай бұрын
Same here 😢 but she always strong 🎉
@jezreel.jezreel.969
@jezreel.jezreel.969 2 ай бұрын
Yatapita tu.. 😢
@GreatestSwordsman
@GreatestSwordsman Ай бұрын
Mungu yu pamoja na ww my deer
@salhafarajaljabry5439
@salhafarajaljabry5439 13 күн бұрын
Pole
@Ruthmemei
@Ruthmemei 8 күн бұрын
Same🥹🥹😭😭 oh God make it for us🤲🙏🙏 it shall be well all
@user-jo1vj4ym8e
@user-jo1vj4ym8e Ай бұрын
Hakuna kama mama yeye ndo kila kitu kwenye maisha yetu nakupenda sana Mungu akubariki uwe na maisha marefu💯💕
@stellamatemu3103
@stellamatemu3103 3 ай бұрын
"Ulichana nguo ili unistiri mimi" ni maneno makubwa sana haya. Ukiyatafakari yanaliza kwa kweli. Tuwapende
@jumakassimu3633
@jumakassimu3633 2 ай бұрын
My mom pumzika kwa amani Usia wako ndio ngao yangu hakika kila nikikumbuka wosia wako napata fataja mnoo R. I. P my mom
@EdinaIsack
@EdinaIsack 3 ай бұрын
Leo nimekukumbuka sana mama yangu Natamani ungekuwepo uone mwanao nimefika wap na kumbuka sana Mungu akupumzishe kwa amani na kupenda sana mama daima utaishi kwenye moyo wangu sintakusahau kamwe 😭😭😭😭
@phiddeschacha3143
@phiddeschacha3143 3 ай бұрын
Ukanyage miiba mi nipite, nikiuangaliaga huu wimbo na kusikiliza huwa nalia sana😭😭😭nakumbuka mama yangu nilivyokuuguza hadi ukanifia mama😭. R.i.p mama yangu ni mwaka wa 11 sasa🙏🏾🙏🏾
@user-ph9en2wm5l
@user-ph9en2wm5l Ай бұрын
Ushinde njaa me nishibe respect kwa mama wote gonga like mwanang 2024
@jamilakangezi4640
@jamilakangezi4640 Ай бұрын
Nampenda sana mama angu😢mungu niwekee mama yangu milele na milele💕 Baba angu alimfukuza mama angu nikiwa na miezi kadhaa lakini mama angu hakuniacha aliangaika na mimi mpk hapa nilipo!! Nakupenda mama angu💕 mungu nipe pesa nyingi ipo siku nimuimbie mama angu hii nyimbo huku nikimtunza pesa na kumpa dhahabu!! Mungu nilindie mama angu💕
@EdinaIsack
@EdinaIsack 3 ай бұрын
Leo nimekukumbuka sana mama yangu Natamani ungekuwepo uone mwanao nimefika wap na kukumbuka sana Mama Mungu akupumzishe kwa amani na kupenda sana mama daima utaishi kwenye moyo wangu sintakusahau kamwe 😭😭😭😭
@NeemaKwingwa
@NeemaKwingwa 3 ай бұрын
Nami pia nimemmic sana natamani angekuwepo sasa napitia meng mazito sina wakumueleza,nakupenda mama angu punzika kwa aman
@irenejaphety3265
@irenejaphety3265 3 жыл бұрын
Waliondokewa na Mama Mungu awalaxe mahali pema peponi Amin na waliokua nao tuwapende na kuwaheshimu
@henrietteselemani7842
@henrietteselemani7842 Жыл бұрын
Wimbo Bora kuliko zote zimeimbwa kwajili ya mama ✌️✌️
@leahwanjiku5466
@leahwanjiku5466 Жыл бұрын
Kabisa tena ndo maana nikaifanya cover
@brianmunira2486
@brianmunira2486 10 ай бұрын
❤😊
@jacklinemugambi8689
@jacklinemugambi8689 7 ай бұрын
Huu wimbo naupenda huwa naimbia babangu kila siku yeye ndio mama yangu tena baba.....❤❤❤❤❤
@monicakerova4657
@monicakerova4657 7 ай бұрын
❤❤
@FiveStar-uc5ec
@FiveStar-uc5ec 2 ай бұрын
Sina mama lkn hii nyimbo nikizikiliza namkumbuka sana mama angu roho Ina niuma sana
@leylamark3193
@leylamark3193 2 жыл бұрын
Hii nyimbo mm nimeisikia leo kwenye harus .... daah!!! Nikaipenda bure!!!! Aise mama.n kitu kingine
@utambevilla9585
@utambevilla9585 4 жыл бұрын
Niushauri wangu wabule kwenu nyinyi mashabiki wenzangu wa kayumba, ifikie hatua msanii anapotoa nyimbo yenye kugusa maisha ya watu kamba hii tuchangishane humu humu mtandaoni ili tumpe kama zawadi kwakile kizur alichokifanya tusisubili mchango wetu uwe kile kingilio cha kwenye show yake, nawaomba wadau tumpe pongez kayumba kwakumchangia pesa uyo jamaa nyimbo zake zote zinagusa maisha ya kila mmoja wetu, ongera sana kayumba
@noelmtewele3165
@noelmtewele3165 3 жыл бұрын
Umeongea point xanaaaa duh anagux maixh halix xana
@samwelymbagira7343
@samwelymbagira7343 3 жыл бұрын
Dogo katoa ujumbe
@peninasese1157
@peninasese1157 3 жыл бұрын
Kweli kabisa...najitolea kupokea michango...
@trisamilob3652
@trisamilob3652 3 жыл бұрын
Haaaaaa
@marryjulias254
@marryjulias254 3 жыл бұрын
Kwel kabisa 👏👏
@chantalvumilia9779
@chantalvumilia9779 8 ай бұрын
Nasema tena asanti Mungu kwa kuwezesha wazazi wangu kunipa malezi ya kweli❤ na poleni kwa wote ambao mumewapoteza wazazi mapema Mungu awatie nguvu❤❤❤
@anethjohn6112
@anethjohn6112 Ай бұрын
Kama unampenda mama Yako weka like hapo
@mariachacha6927
@mariachacha6927 3 жыл бұрын
Jinsi ulivyo ni handle usiku hulali.... Ulale njaa mi nishibe... Ulichana nguo zako unistiri mwanao... Oooh i love u my mom Agness...Mungu azidi kukutunza na uishi miaka mingi mama
@danielmkinga4231
@danielmkinga4231 4 жыл бұрын
Ohhhhhhhhh!!!!!!!! my mom she has been there for me since nikiwa mdogo, Nakumbuka Amepika maandazi toka ninaanza shule hadi ninamaliza chuo, ili mimi nisome, pesa ya kwanza kuja anza chuo aliuza miti yake ambayo mwanzo wakati aliipanda nilikuwa namkatalia nikisema sio kitu cha kutegemea lkn ndiyo iliuzwa na nikapata hela ya kuja anza chuo. Nimemaliza chuo akanipa pesa ya kuanzia kwasababu sina pesa tena toka serikali, na nipesa aliyokuwa akiipata kwa kupika maandazi. Leo kama ataumwa mm nitakuwa sababu ya kuumwa kwake nimemfanya ateseke maisha yake. I love you mom, nothing can come to your worth, my mother, you are unique and God bless you to live many years and see the success of your son.
@johnmatiko2596
@johnmatiko2596 4 жыл бұрын
Wonderfull,That's great testimony
@danielmkinga4231
@danielmkinga4231 4 жыл бұрын
@@johnmatiko2596 yes thnks
@danielmkinga4231
@danielmkinga4231 4 жыл бұрын
@@geofreychengula7530 Thnks bro, thnk u so much.
@leoniafissoo5581
@leoniafissoo5581 4 жыл бұрын
Hongera bro coz umeutambua mchango wa mama ktk maish yk
@danielmkinga4231
@danielmkinga4231 4 жыл бұрын
@@leoniafissoo5581 for sure nimeutambua. Na najua mchango wake
@hemedytengu5718
@hemedytengu5718 4 жыл бұрын
Ewe mwenyezimungu nakuomba umjaalie mamayangu afya nyema na umuondoshee marazi na kesho ahera umuweke kwenye pepo yako aamin 🤲
@charityemmanuel9763
@charityemmanuel9763 2 жыл бұрын
Sijawahi sikiliza huu wimbo nikashindwa kulia ...mama angu tumepitia mengi Sana mama nakupenda sanaaa😢... Nashukuru hukuwai nikatia tamaa kutokana na maisha tuliyopitia mama angu...NAKUPENDA KULIKO CHOCHOTE KWENYE HII DUNIA KIPENZ MAMA ANGU😭😭😢
@sautikuu212
@sautikuu212 Жыл бұрын
Halafu ukioa eti mke wako anaanza kuweka bifu na mama yako eti ni mchawi, inakera sana hii.
@robertkipkoech008
@robertkipkoech008 Жыл бұрын
Your Email
@user-tv9md2vr6l
@user-tv9md2vr6l 10 ай бұрын
❤🎉
@ethelmarura5661
@ethelmarura5661 10 ай бұрын
Aki nimelia nimechoka. Pumzika kwa amani mamangu 😢
@user-uf1ok8bm3t
@user-uf1ok8bm3t Жыл бұрын
Mungu awape maisha maref mama zetu❤
@jimmymarwamatjr491
@jimmymarwamatjr491 4 жыл бұрын
Kuna jamaa jirani yangu anaipiga hii ngoma siku nzima bila kubadili... Nilikuwa sijui why but now nimegundua anavyo feel kwa mama yake... I love u mama.
@halimamchopa5090
@halimamchopa5090 3 жыл бұрын
Nzur sana
@jimmymarwamatjr491
@jimmymarwamatjr491 3 жыл бұрын
Yes kwa kweli ni nzuri sana
@cedrickfadhilinibigira3382
@cedrickfadhilinibigira3382 2 жыл бұрын
Nakupend sn mam yang
@denisminja8857
@denisminja8857 Жыл бұрын
We speak English only.. kirikuu wewe
@pilimiraji721
@pilimiraji721 3 жыл бұрын
Nyimbo yangu ya mwaka na miaka yoote ijayo mungu awaweke mama zetu awape maisha marefu. Na wale waloondokewa na wazazi mungu awape kauli thabit mungu awape mwanga wa milele
@liberatusterentiusrugumisa6711
@liberatusterentiusrugumisa6711 3 ай бұрын
amina
@lilianprosper9440
@lilianprosper9440 3 жыл бұрын
Ushinde njaa me nixhibe!!! Like kwa mama wote
@desiderias254
@desiderias254 11 ай бұрын
here after 3years huu wimbo unanifanya nisimsahaau mama ata kwa sekunde moja🎉🎉🎉
@maimamood7033
@maimamood7033 4 жыл бұрын
Allah akupumzishe kwa Aman, akuondolee adhabu ya kaburi, kabur yako iwe na nuru, mama nilikupenda sana lkn, Allah kakupenda zaid, akuna mfano wako mama, ungekuwa rafiki wangu waukwel, Allah akusamehe dhambi zako, Inshaallah:: Ameen:
@zawadigerald7619
@zawadigerald7619 4 жыл бұрын
Mama ni zaidi pumzika kwa amani mama yangu kipenzi
@iraqgirl2143
@iraqgirl2143 4 жыл бұрын
Pole sana dear.
@jescamwacha8635
@jescamwacha8635 4 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💔💔💔💔💔💔💔💔💔💓💓💓💓💓💓💕💕💕💕💕💕💖💖💖💖💖💖💞💞💞💞💞💘💘💘💘 love you my mom
@elvistv7601
@elvistv7601 4 жыл бұрын
Pole sana
@latiphaibrahimu6986
@latiphaibrahimu6986 4 жыл бұрын
Umenikumbusha mbali
@ellymusa5598
@ellymusa5598 4 жыл бұрын
Yaani ukitaka kunitibua umzarau mama yangu, duh hata kama nakupendaje Nina zima taaa ...I love u mamaa
@misagoenock8313
@misagoenock8313 4 жыл бұрын
Majaliwa good sanaa
@sefuabeid9742
@sefuabeid9742 3 жыл бұрын
Mpende sana mama yako kwa kukuweka tumboni miezi 9 na kuteseka na wewe usiku kucha mpaka umekuwa unajitambua!!.....upate baraka na maisha marefu!!...!!!
@jamesmmari7428
@jamesmmari7428 2 жыл бұрын
I love my mam
@michaelidamasi2057
@michaelidamasi2057 Жыл бұрын
Ndio wajibu wake kaka
@user-un1im8wc5t
@user-un1im8wc5t 2 ай бұрын
❤allah akupe maisha marefu mama yang nakupenda sana❤🎉🎉🎉
@raheemyusuph5694
@raheemyusuph5694 4 жыл бұрын
kama unampenda mama yako na unaamini kabisa mama ndo kila kitu kwako gonga like
@erikageorge5349
@erikageorge5349 3 жыл бұрын
%No One like Her " My Secret Matter ,, Yaan Mama Akuna Wakumufikia ,, IZ ONLY ONE 4r ever Je t'aime beaucoup Ma Mèré.
@kelvinlucasomoro309
@kelvinlucasomoro309 3 жыл бұрын
Kelvin t lucas
@ashuramussa5362
@ashuramussa5362 3 жыл бұрын
Mama Ni mama alhamdulilah kwa mama ujumbe mzuri Sana huyoo hapewe tuzo hiyo ndiyo miziki ya kusikia
@ashuramussa5362
@ashuramussa5362 3 жыл бұрын
Yaan kajikongoja ujumbe tosha kwa mama
@ashuramussa5362
@ashuramussa5362 3 жыл бұрын
🙏😭😭😭😭😭
@mpokisanga2502
@mpokisanga2502 4 жыл бұрын
Wangapi wanasikiliza song huku wanasoma coment gonga like nice song am lisen again
@immanueli9013
@immanueli9013 4 жыл бұрын
Nimekuelewa braza noma sana braza
@aminashembilu1549
@aminashembilu1549 4 жыл бұрын
Hakun km mam dunian
@hawaayoub9978
@hawaayoub9978 4 жыл бұрын
Nani kama
@marthamsafirimarthamsafiri1601
@marthamsafirimarthamsafiri1601 4 жыл бұрын
Mama nakupend sanaaa mungu akupe maisha marefu mama ang akuna kama wew
@knabeknabe822
@knabeknabe822 4 жыл бұрын
Rip mom
@liliankwamboka3094
@liliankwamboka3094 3 ай бұрын
and today is mama's day, happy mothers day 2024
@williamanaklet-xc2py
@williamanaklet-xc2py Жыл бұрын
Wale tulio ludia hili goma 2023 gonga like hapa zakutosha
@ramadhanisalum2121
@ramadhanisalum2121 4 жыл бұрын
Huruma ya mungu ikufikie maaangu huko kaburini ulipo mungu akupe kila la khery akujaalie pepo tukutane tena tukiwa na furaha ya huruma yako nilipo kua mdogo mama amin ... ahs kaka kayumba kwa wimbo mzur ulonitoa machozi nimeupenda sanaaa
@hiyginchuwa5133
@hiyginchuwa5133 4 жыл бұрын
Nyimbo itaishii miaka mingi sana yaaaaannn had machoziii yanitoka kam nawewe umelia kama mimi like hapo
@maguyesimion1340
@maguyesimion1340 Жыл бұрын
Ujumbe sahihi
@amosmoto6336
@amosmoto6336 Жыл бұрын
ilove you mama
@metrinevusaka-qt6zz
@metrinevusaka-qt6zz Ай бұрын
Nice song guys,,,kama umekuja after kuona challenge ya Akuku Danger na Sandra Dacha gonga like tukisonga❤
@juniourernest5571
@juniourernest5571 2 жыл бұрын
Nakupenda Sana mamaang mungu akupe maisha malefu🤱🙏🙏🙏🎻🎻
@ramadhanihassanindevu7294
@ramadhanihassanindevu7294 4 жыл бұрын
Kayumba katika watu ambao wanakufutilia mimi mmoja wapo ebu kama unamkubali kayumba kwa nyimbo yake inaitwa mama ebu weka like kwa kumsapoti msanii wetu wakitanzania
@rosesamweli1147
@rosesamweli1147 4 жыл бұрын
Hatari sana kayumba mama
@psalmistnehemiahkenya254
@psalmistnehemiahkenya254 4 жыл бұрын
Nisaidie na contact yake kama yeyote anayo...
@wardaomari4369
@wardaomari4369 4 жыл бұрын
Mama kayumba
@erastosolomon4554
@erastosolomon4554 4 жыл бұрын
So sad 😭😭😭 Kayumba umegusa true my life. I love you so much my Mama😘. mnao dislike ngoma hii nawashangaa saaana
@davidotieno762
@davidotieno762 4 жыл бұрын
this is my best song big ups to all mums😘😘😘😘
@frolajuma4343
@frolajuma4343 4 жыл бұрын
Asante sana
@sifasifa2217
@sifasifa2217 3 ай бұрын
This song touch my heart may Allah grant all mothers to paradise ❤
@anekituah7718
@anekituah7718 Жыл бұрын
kama na we umeusikiliza wimbo huu 2023 gonga like
@paulineviginia1209
@paulineviginia1209 4 жыл бұрын
nimechelewa bt like mojamoja itanitosha
@HassaniLubilo
@HassaniLubilo 5 ай бұрын
Umepiga baba
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 4 жыл бұрын
Jaman likes from Tanzania napenda music wenu muzuri sana.
@lidyamdimi4898
@lidyamdimi4898 4 жыл бұрын
Karibu
@sadajuma3909
@sadajuma3909 3 жыл бұрын
Love mom
@sadayusuph4111
@sadayusuph4111 3 жыл бұрын
kayumba apa umeinba mwanangu nimeupenda sana uumziki wa mama
@hafidhihafidhi5007
@hafidhihafidhi5007 5 ай бұрын
km umemic hii ngoma n umemkumbuka mamabppte ulipo gonga like ,mama wa thaman xana
@woldnewsjoseph7778
@woldnewsjoseph7778 3 жыл бұрын
Jama Jamani hu do go noma saaaana wapi like zenu Namibian huu wimbo una towaga machozi saaana kuwa sina mama tena
@mcabrahamomoding
@mcabrahamomoding 4 жыл бұрын
My song.........my best...wapi likes za MAMA...kama unafeel hii ngoma,... piga like
@ismailramadhani7884
@ismailramadhani7884 4 жыл бұрын
Abraham Nakhero mamaaaaaa
@ismailramadhani7884
@ismailramadhani7884 4 жыл бұрын
Abraham Nakhero no one like mumy
@philimonbenad2839
@philimonbenad2839 4 жыл бұрын
Asante san
@leylasuleiman9865
@leylasuleiman9865 4 жыл бұрын
Mama ndo kila kitu kwangu
@zuwenaabdallah5703
@zuwenaabdallah5703 4 жыл бұрын
Abraham Nakhero kayumba broo unatisha Kaka
@nestonesto1537
@nestonesto1537 4 жыл бұрын
Kayumba nyimbo zako zote kali san upo juu sanaa❤
@bazlamsaki3016
@bazlamsaki3016 4 жыл бұрын
I love u mama
@annaswila5065
@annaswila5065 4 жыл бұрын
Nakupenda mama
@alfredyremmy7360
@alfredyremmy7360 4 жыл бұрын
Pamoja sana
@salomesamson7133
@salomesamson7133 4 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mama angu
@christineochuchi7448
@christineochuchi7448 2 жыл бұрын
As long as your mother is alive - You have an extra reason to wake up and face the day ; Long live Mama , the name just below God.
@nickopalla374
@nickopalla374 6 ай бұрын
Huu wimbo umenikumbusha mamangu mpendwa, pumzika mama nakupenda sana ata unyeshewe na uchomwe na jua. I love you so much mum, may your soul rest in peace🙏
@samilakategile1113
@samilakategile1113 4 жыл бұрын
Nakumiss sn Mama 😭😭😭 maombi yng kwako kila siku Mama M,mungu akuweke mahali pema PEPONI. 3 years tk umetutoka Luv u an Miss u so much rest in peace MAMA😭😭😭😭
@haidarirumango8340
@haidarirumango8340 4 жыл бұрын
😭😭😭
@colethacharles548
@colethacharles548 3 жыл бұрын
Even me when i listen this song nalia kwa uchungu mkali,mama ungekuwepo ningekuimbia huku nakupa zawadi,mbaya zaidi ulitulea kwa shida Kali ulipambana kuhakikisha tunapata elimu na tunajitegemea,ulifurahi kutuona tuna raha siku zote,ulipokamilisha hayo ukatuacha oooh God siku zote namlilia mama yangu kipenzi,natamani mama unitokee Hata siku moja tuongee machache,two years past mama😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Hata ningekufanyiaje bado visingeendana na yote uliyotufanyia Pumzika mama yangu kipenzi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@aminajibu6709
@aminajibu6709 4 жыл бұрын
I love u mom I have nothing else to say about you mom I love ❤️. Gonga kama mama yako yupo na kwawale waliyo tanguliya mungu awapumzishe kwa Amani 🥰🥰🙏🙏🤍
@yusuphmlwati3848
@yusuphmlwati3848 4 жыл бұрын
Amina Jibu mamb
@dynakileo1587
@dynakileo1587 4 жыл бұрын
Aise hii nyimbo ik bomb san imenikumbuxh mbal xan 🎀 kayumb nakunakubal kwanyimb zak
@officialmusah4107
@officialmusah4107 4 жыл бұрын
🤗🤗
@dynakileo1587
@dynakileo1587 4 жыл бұрын
I love my wang
@dynakileo1587
@dynakileo1587 4 жыл бұрын
@@officialmusah4107 haha
@JosephineEghwa
@JosephineEghwa 6 күн бұрын
Mama nakupenda huu wimbo nimeusikia the whole day nikikumbuka mum kutengwa na ma shangazi after babangu kutangulia mbele za haki aky ulivumilia hadi sahii sijui nikufanyie nini mamangu...nakupenda mom❤❤❤❤
@mctarrusMzangala
@mctarrusMzangala 9 ай бұрын
1/12/2023 This is the best song ever . I sing it to my mum and everytime she breaks down I love her so much
@immatheboy5287
@immatheboy5287 4 жыл бұрын
Mama sna mengi love u mama ad Leo npo online 💝💝 kama ña ww upo online kwajil ya mama weka ❤️❤️❤️ like
@mgwenomweno755
@mgwenomweno755 4 жыл бұрын
Yaan
@mgwenomweno755
@mgwenomweno755 4 жыл бұрын
Very nice
@anandendossi1792
@anandendossi1792 4 жыл бұрын
Like sana mama
@geraldtitto6969
@geraldtitto6969 4 жыл бұрын
This is the best song mdogo wangu nimezisikia nyimbo nyingi zenye jina MAMA ila hii 💫 unajua sanaaa don't give up.....💪
@lukachriss8782
@lukachriss8782 4 жыл бұрын
I love u mamy
@hamzarashid7892
@hamzarashid7892 4 жыл бұрын
Hakuna kama mama jaman
@naynahkasmal1551
@naynahkasmal1551 3 жыл бұрын
Dah ingoma Kali
@deboramsangi4017
@deboramsangi4017 3 жыл бұрын
😍😍😍😍🤰🤱🙏🙏
@emmysharifu4566
@emmysharifu4566 3 жыл бұрын
Rip mumy
@AngelMassawe-nz9sk
@AngelMassawe-nz9sk Ай бұрын
ktk wanamuziki huyu na mpongeza ametoa ujumbe mzito sana kwa jamii kuhusu malezi yanapoanzia na kama mama unafeli kutelekeza ujitafakari je sifa hii inakuhusu au la Hasha
@hillaryludenyo3612
@hillaryludenyo3612 Жыл бұрын
Nakupenda sana mama yangu Millicent Mungu akulinde na akuongeze miaka mingi duniani we ni kila kitu kwa maisha yangu❤💯
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 жыл бұрын
Love u Mama, Allah atupe maisha marefu wote ili uje ufurahie uwepo wangu
@stunnaman5822
@stunnaman5822 4 жыл бұрын
Amina
@yunicylamecky2409
@yunicylamecky2409 4 жыл бұрын
AllH awalinde km unamlove like hp
@angelinnamkingi2219
@angelinnamkingi2219 4 жыл бұрын
Uko tayari udhalilike mama kwaajili yangu!! I love maaaa!!
@lailatuyusuf9131
@lailatuyusuf9131 25 күн бұрын
Uliweza III ndio nyimbo yangu ya miaka yote❤❤❤
@vivianmuchiti1249
@vivianmuchiti1249 3 жыл бұрын
Hata kama nikisema labda nkushkuru pesa na mavogi bado,hata nijenge nyumba mithili ya ikulu kufikia upendo wako bado🙏🙏🙏love you so much kunikuuza❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@annandaki6707
@annandaki6707 3 жыл бұрын
Women of my life.. kipenzchang MAMA. Pumzika MAMA àke mimi. Till we meet again.
@missshuu7133
@missshuu7133 3 жыл бұрын
Amina😢
@JosephineEghwa
@JosephineEghwa 6 күн бұрын
Kweli mama huruma yako ni ya kweli nakumbuka ulikuwa wanichapa ukiniona ninavyolia wahisi huruma wanibembeleza love you momaaa❤❤❤
@mohamedomary6853
@mohamedomary6853 2 жыл бұрын
Nilikupenda sana mama yangu kipnz nakumis sna mama, Mama nakuombea dua kila kukicha mungu akulaze mahali pema pepon.Kama wanisikia jua unaishi moyon mwangu daima.
@zakarianhonya9524
@zakarianhonya9524 4 жыл бұрын
Kamakwel umezariwa na mama hii nilazima ugonge like
@cellinenandos5327
@cellinenandos5327 25 күн бұрын
Namkumbuka sana marehemu mamaangu ❤ Mungu amlaze mahala pema peponi
@hildamkenda127
@hildamkenda127 3 жыл бұрын
For all mothers in heaven and in earth❤️
@franksunnyboy4969
@franksunnyboy4969 2 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/qdeqobaal6fJXYk.html Suvscribe for sunny boy gitaarist
@irenejustine1638
@irenejustine1638 Жыл бұрын
Yaani naumia. Maumivu hayaelezeki
@leahwanjiku5466
@leahwanjiku5466 Жыл бұрын
Sure
@nkizurimwinyipande8322
@nkizurimwinyipande8322 9 ай бұрын
Kabisa
@danielchonchorio5794
@danielchonchorio5794 8 ай бұрын
🙏😭
@chusse_2287
@chusse_2287 4 жыл бұрын
Mungu awatunze mama zetu nani kama mama like hapa kwa ajili ya mama zetu
@josephmoshi150
@josephmoshi150 4 жыл бұрын
Fundiii mtoto big up 👏👏👏👏👏👏👏👏
@maimunajerome-bw4sw
@maimunajerome-bw4sw 3 ай бұрын
Mamangu aliaga dunia nikiwa Mdogo nime pitia shida nyingi sana,nikisikiza huu wimbo hutokea na machozi sana.rip mamangu
@JosephMchomvu
@JosephMchomvu Ай бұрын
Mungu azidi kutufanyia wepesi sisi tuliopoteza mama zetu
@horestsawaya8384
@horestsawaya8384 4 жыл бұрын
My favorite song...it make me call my mom for no reason every moment after listen to it.... Ata nijenge nyumba misili ya ikulu kufikia upendo wako bado
@rahmayussuf8052
@rahmayussuf8052 4 жыл бұрын
Watuonyesha. Kazi nzuri kutoka BSS...kayumba juma.. support from Kenya 🇰🇪😘
@reginampigachai8537
@reginampigachai8537 3 жыл бұрын
Mama yangu mpendwa ubarikiwe kwa jina la Hellen John aliyopo geita kamena umenilea kwa wema mungu akupe afya njema mama angu kipenzi hakuna Kam mama duniani wakina mama hongereni🙏🙏🙏
@asinaibrahim6477
@asinaibrahim6477 3 жыл бұрын
Hakuna kama mama ndio mana popote utapoisikia nyimbo ya mama yani kunakitu kinakugusa moyoni nakupenda sana kipenzi mama yangu
@sssnipergirl17
@sssnipergirl17 Жыл бұрын
Am here again after understanding what mommy go through to raise me, I was a kid I didn't understand anything bt now am a mom I understand everything it's not easy to be a mom, thanks mom 😢❤❤🫂 much love from Ke 🇰🇪
@gideonnkhoma1433
@gideonnkhoma1433 2 ай бұрын
though i don't understand the entire song, but I'm sure that mom will forever be blessed❤
@magdalenalubaga6890
@magdalenalubaga6890 4 жыл бұрын
Kayumba wengine unatuliza hatuna mama,nyie wenye mama watunzeni na kuwaheshim sana😔R.i.p mama yangu😢
@captainmwakapuja1152
@captainmwakapuja1152 3 жыл бұрын
Pole sana dada angu umenifanya chozi litoke
@neemagadiye5031
@neemagadiye5031 3 жыл бұрын
Dah mama yangu jaman rip my mom nakumic sana kayumba umenilza so cri
@naynahkasmal1551
@naynahkasmal1551 3 жыл бұрын
Asant sn kwa ushaul wak
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 3 жыл бұрын
Daha kweli 😭😭
@irenemmasy79
@irenemmasy79 3 жыл бұрын
Pole kipenz
@denniswangila7954
@denniswangila7954 4 жыл бұрын
I love you Mama, ushinde na njaa mm nishibe ...... Wapi likes za kayumba MAMA
@emmanuelkiondo5780
@emmanuelkiondo5780 4 жыл бұрын
Thnx mam
@rosemathew4392
@rosemathew4392 3 жыл бұрын
Mama n mama nakupenda mama yangu pamoja na mama wengine
@victoriamwiliko3613
@victoriamwiliko3613 3 жыл бұрын
1
@sabrinamakata2751
@sabrinamakata2751 3 жыл бұрын
Usinikumbushe
@mathayokihwelo7390
@mathayokihwelo7390 Жыл бұрын
I came here then I found myself wiping away tears on my face .. I finally remembered my mom passed away in the end of December 2022 .. now I feel a lot of pain.. Oh My Goodness.. nothing hurts tha death in this world and don't ask it to happen to your side especially someone you love.. R.I.P MY MOM, may God help with my hurts😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@edithandunguru3405
@edithandunguru3405 8 ай бұрын
So sorry for your loss, dear
@mathayokihwelo7390
@mathayokihwelo7390 8 ай бұрын
@@edithandunguru3405 thanks
@fadhilakambwili8450
@fadhilakambwili8450 4 жыл бұрын
Wa kwanzaa leoo😘,r.i.p my mom😥😥😥😥,natamnii hataa ningewaii kuionaa suraa yakee😥🤐 nicje kukufuru🙏🏽🙏🏽
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 4 жыл бұрын
Pole dada
@fadhilakambwili8450
@fadhilakambwili8450 4 жыл бұрын
Santee love
@shaibuaminy5936
@shaibuaminy5936 4 жыл бұрын
mmmmmmmmmmmm pole mmmmmmmm poleeeeee
@sarahkanyana5099
@sarahkanyana5099 4 жыл бұрын
@@fadhilakambwili8450 pole dear 😥
@fadhilakambwili8450
@fadhilakambwili8450 4 жыл бұрын
@@sarahkanyana5099 santee mamy
@merymsigwa8438
@merymsigwa8438 4 жыл бұрын
Rest in peace my mama nataman ningekuwa nawe but kaz ya mungu haina makosa polen na wenzangu mliowapoteza mama zenu but tuwaaombee mwenyez mungu awarehem😢😢😢😢😢😢😧😧😧😧
@leilaleiya6663
@leilaleiya6663 3 жыл бұрын
Poleh kwa sote, ilobak tuwaombee
@januaryhhary9117
@januaryhhary9117 3 жыл бұрын
Pole sana ,Ni njia ya wote
@senkondo77
@senkondo77 3 жыл бұрын
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@khadijakijangwa8743
@khadijakijangwa8743 3 жыл бұрын
Nakupenda mama
@frankedwardingingo3397
@frankedwardingingo3397 3 жыл бұрын
Pole sana
@abdulmakangana3784
@abdulmakangana3784 3 жыл бұрын
Kama unaamin mama ndio Mungu wa dunia gonga like
@sautikuu212
@sautikuu212 Жыл бұрын
Sio kweli
@bahatikarume3203
@bahatikarume3203 Жыл бұрын
Like
@gracekijazi3463
@gracekijazi3463 4 жыл бұрын
Itaishi hata kama utaacha kazi ya muziki😍😍😍😍😍😍 Bonge la wimbo I LOVE U MAMA 😍😍
@teclanembuka156
@teclanembuka156 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@user-ry2ix2pv4q
@user-ry2ix2pv4q 4 ай бұрын
Ukanyage miba mm nipite! I love u mama! Endelea kupumzika kwa Aman!
@gracenyambura9753
@gracenyambura9753 9 ай бұрын
Long life mommy 💚💚 upendo wangu kwako mwanao auelezeki mamangu 💚💚🙏naomba mwenyezi mungu atujalie uzima na afya njema mamangu I gonna make you happier mommy 💚💚..ukanilea kwa taabu sana na sasahivi unanitunzia mwanangu mamangu 🫂🫂yaani kwa imani katika miangaiko yangu hapa gulf mamangu mungu anibariki kwa jili yenu I swear to God nitakutunza kam Queen...nakupenda sana mamangu zaidi ya sana huu upendo ipo siku nitakutolea kwa moyo wangu na zawadi nyingi za thamana mama❤️‍🩹❤️‍🩹 💚💚💚.. Asante KAYUMBA kwa huu wimbo jamani mungu akuzidishie 🙏🙏
@jeniphaphilipo3863
@jeniphaphilipo3863 4 жыл бұрын
Mama nakupenda sana asante kayumba 💜💜💜💜💜
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 жыл бұрын
Kayumba kumbe ww fundi✔🤗niliona ile UMENIWEZA NAYO NGOMA KALI.NICE SONG😋.ilove ma mom❤
@sudeismohamed6005
@sudeismohamed6005 4 жыл бұрын
I love mom very nice song
@AngelMassawe-nz9sk
@AngelMassawe-nz9sk Ай бұрын
Wote mliotelekezwa na Mama nawapa pole samehe tu wewe uanze kua Mama bora kunawamama ukichaa unapitiliza wasameheni tu ili naisha yaendelee kwa Amani na furaha
@entimaskithinji7848
@entimaskithinji7848 2 ай бұрын
I love you mamake enti thanks alot to everything ❤❤❤❤nakupenda sana A
@isabellebaraka3716
@isabellebaraka3716 4 жыл бұрын
Maman yangu nakupenda sana, nasikiya wimbo unanitowa machozi... nakupenda sana maman.
@johnkasongole6075
@johnkasongole6075 3 жыл бұрын
Mungu akupemiaka Ming
@richardnyoni9387
@richardnyoni9387 2 жыл бұрын
Keep it up kayumba nice song
@InesTabitha
@InesTabitha Жыл бұрын
@fazilimudekerezajacques3628
@fazilimudekerezajacques3628 5 ай бұрын
I'm such a fan of big brother Kanyumba, I have my heart with him, you were inspired by this beautiful song for me, really big thank you, this beautiful song gives me another power to live, at home my great hits the only one you know sung, come in Congo
@abibemedy2195
@abibemedy2195 4 жыл бұрын
😓😓😓 nimechukia watanzania wote uyu bado haja fikisha 1million views nyimbo nzuri Kama hii ila munazidi ku msapoti mondi kweli na zuchu eti anajua sio Kama uyu jamaa tuacheni unafki Mimi sio mtanzania ila Inaniuma sanaa ndo maana nyimbo za Tanzania haziezi fika mbali muna support team mmoja tuu sio saw kayumba courage bro Niko DRC kaka🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tunakupenda Sana kaka bonge la Toto wee mkali sana
@benadetaisidory2603
@benadetaisidory2603 4 жыл бұрын
Mama kisunte Nakupenda mwanangu kayumba tangu uko BSS sifa zimwendee Mungu kwa kukupa kipaji hiki na pia wazazi wako...
@benadetaisidory2603
@benadetaisidory2603 4 жыл бұрын
Ubarikiwe mwanangu kwa kumpenda mama yako..Nawapenda wote mnaojua maaana ya mama..
@valentinemuchunguzi2578
@valentinemuchunguzi2578 2 жыл бұрын
Mtu mzima nimelia kwa uchungu na furaha Mama anavohifadhi dhoruba chungu na tamu za mtoto. Mungu aendelee kukuhifadhi sehemu salama mama yangu kipenzi. Hongera wa mama wote duniani.
@evelynzighani1969
@evelynzighani1969 9 ай бұрын
Naandika hapa leo ata ka najua kuna possibility usiwah ona mamaangu.. nakupenda sana mamaa.. Allah akujaalie umri mamaangu na mama mke wangu. Nawapenda sana❤❤
@millicentjohn4743
@millicentjohn4743 4 жыл бұрын
Kama unaamini hakuna kama mama gonga like hapa
@elizabethkira3024
@elizabethkira3024 4 жыл бұрын
Mungu awarinde nakuwapa miaka mingi yakuishi
@jacklinmhagama9722
@jacklinmhagama9722 4 жыл бұрын
Mungu awape maisha 10000000 kama yote
@helenamtawa2001
@helenamtawa2001 3 жыл бұрын
Hakuna kama mama
@LilianAlfredShelughala-rl7ro
@LilianAlfredShelughala-rl7ro Ай бұрын
Nice one
@abeer4201
@abeer4201 4 жыл бұрын
😢😢Oooh mama yanguu uko wapii Sasa na ku miss Sana my mama kwa uruma yako tx bro kayumba kwa wimbo nzuri🙏🙏
@JosephMchomvu
@JosephMchomvu Ай бұрын
Pumzika kwa amani mama yangu mzazi, NINAKUKUMBUKA KILA LEO MAMA, SINA MTU WA KUMUAMBIA KINACHONISIBU KATIKA MAISHA YANGU NINABAKI KUUMIA NDANI YANGU MAMA MAMA MAMAAAAAAAAA 😭😭😭😭😭😭😭😭
@travelstartours
@travelstartours Ай бұрын
Mama rest well...I will miss you forever......If you love your mama nipe likes
@lightnessntaganyila8272
@lightnessntaganyila8272 4 жыл бұрын
Aisee kayumba nouma....eb weka like apo Kama tupo pamoja
@teopistajonas6969
@teopistajonas6969 4 жыл бұрын
Ambao tunafurahi Kwa sbb ya msaada Wa mama like apa👇👇👇👇
@amirinondo890
@amirinondo890 4 жыл бұрын
i lov u mom❤️❤️❤️😭😭😭❤️❤️❤️
@user-rd7jt1vi5x
@user-rd7jt1vi5x 4 жыл бұрын
Nipo hapa mimi namshukuru mama naomba mungu ampe maisha marefu aje aone wajukuu na vitukuu juu amina
@scholasticasamsoni9227
@scholasticasamsoni9227 4 жыл бұрын
Kaka upo vzr sana
@victorianyabiamali9938
@victorianyabiamali9938 4 жыл бұрын
Kwa mama
@JonathaniRobert
@JonathaniRobert 12 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
@rindanolenjeka7170
@rindanolenjeka7170 3 жыл бұрын
Hongera Sana mpendwa, imenigusa saana wengi tunajiuliza kuwa tuwarizisheje wazazi wetu ila kweli hakuna kinacho weza kulipa ni kuwaheshimu tuu na kuwa nao bega kwa bega kila mda 💣💥❤️❤️❤️
@patrickjuma1628
@patrickjuma1628 2 жыл бұрын
Thanks bro
@MariamaKalume
@MariamaKalume 21 күн бұрын
Mama Nitakupenda daima. I love so much
@aishamohamed4727
@aishamohamed4727 4 жыл бұрын
Wale mashabik sugu wakayumba tujuane hap......
@johnmpemba5698
@johnmpemba5698 3 жыл бұрын
kila siku kabla ya kulala lazima nisikilize nyimbo hii jamani nakupenda saaana mama angu,,,
KAYUMBA-CHUNGA  (OFFICIAL VIDEO)
3:44
Kayumba
Рет қаралды 4,7 МЛН
白天使选错惹黑天使生气。#天使 #小丑女
00:31
天使夫妇
Рет қаралды 14 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,4 МЛН
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН
白天使选错惹黑天使生气。#天使 #小丑女
00:31
天使夫妇
Рет қаралды 14 МЛН