KCMC wafunguka wanavyohangaika kumtafuta muuguzi aliyetoweka

  Рет қаралды 6,015

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Ай бұрын

Muuguzi wa afya katika Hospitali ya KCMC, Lenga Masunga Ng'hajabu anadaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha baada ya kutoonekana kazini kwa siku 5 huku simu zake za mkononi zikiwa hazipatikani.
Ng'hajabu ambaye ni Muuguzi katika idara ya masikio, pua na koo katika hospitali hiyo, anadaiwa kutoonekana kazini tangu Julai 4, mwaka huu ambapo mpaka sasa hajulikani alipo.
Mwananchi digital leo ilifika katika hospitali hiyo na kuongea na Ofisa Uhusiano wa hospitali hiyo, Gabriel Chisseo akizungumzia juu ya tukio hilo afisa uhusiano wa hospitali hiyo amesema muuguzi huyo ametoweka tangu tarehe 3 mwezi julai mwaka huu na mpaka sasa hakuna taarifa inayotia matumaini huku simu zake zikiwa hazipatikani.
Mwananchi Digital haikushia hapo ilienda kutembelea makazi yake anapoishi na kuongea na mwenye nyumba, Robert Mwakalinga ambae Ng'ahabu alikuwa anaishi kama mpangaji amesema mara ya mwisho kumuona ni siku ya jumanne na hakutoka lakini asubuhi alikuta mlango upo wazi hali ambayo haikua ya kawaida.

Пікірлер: 13
@salomekense525
@salomekense525 Ай бұрын
Mungu wetu ni mwema atamrudisha Sama.
@Lanihsarumu
@Lanihsarumu 21 күн бұрын
Mungu mlindinde arudi salama
@user-xo4gl3we1t
@user-xo4gl3we1t 29 күн бұрын
jamani Mungu tunaomba ufanye muujiza kaka yetu awe mzima. Mahali alipo arudi
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 29 күн бұрын
Uko wap kaka mungu akuweke huko uliko salama 😢
@dismasmariananga4776
@dismasmariananga4776 29 күн бұрын
Mungu mulinde Usk na mchana arudi salama na awe na afya njema
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 29 күн бұрын
Mungu afanye wepesi
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt 29 күн бұрын
Kwani huyo mwanamke aliyekuwa anaishi naye yuko wapi wakati huu?
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt 29 күн бұрын
Mungu akulinde huko uliko mja wake
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 29 күн бұрын
Ee Mungu tunaomba umtunze mahali alipo.
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 29 күн бұрын
Atafutwe huyo mchumbaake. Mungu amlinde huko aliko
@ibrahimkasim922
@ibrahimkasim922 29 күн бұрын
Duuh😢
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 29 күн бұрын
Huyo msichana wake atafutwe
@DativaMbowe
@DativaMbowe 27 күн бұрын
Abananishwe uyo mchumba ake,
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 23 МЛН
🔴Taarifa ya Habari ya Asubuhi, .. Agosti 08, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 295
Mauaji yalivyofanyika Kanisani Njombe | Mtuhumiwa alivyomkatakata marehemu
11:16
History of Africa from the 16th to the 20th Century
3:39:03
Jabzy
Рет қаралды 9 МЛН