Gavana Nassir apiga marufuku biashara ya muguka Mombasa

  Рет қаралды 68,098

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

24 күн бұрын

Gavana wa Mombasa Abdulsalam Shariff Nasir amepiga marufuku biashara ya muguka katika kaunti hiyo. Akizungumza katika hospitali ya portriez baada ya kutia saini agizo hilo amesema kuwa muguka ni zao linaloongoza kwa uraibu kisiwani Mombasa Na kuwa vijana wengi huenda wakaangamia iwapo hatua madhubuti hazitachukuliwa. Francis Mtalaki anaungana nasi mubashara kwa mengi zaidi kutoka Mombasa

Пікірлер: 355
@chustyahmed753
@chustyahmed753 23 күн бұрын
Very good move.Hakuna kurudi nyuma.Hata kwa Mungu ni baraka....
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 23 күн бұрын
Alhamdhulillah bado miraa pia bana mirungi iwe marufuku kma Tz dadazetu Kaka zetu wameathirika sanaaa👍
@KelvinNjuki-xz8hr
@KelvinNjuki-xz8hr 23 күн бұрын
Kwenda uko
@vickybrit87
@vickybrit87 23 күн бұрын
​@@KelvinNjuki-xz8hruzeni kwenu
@lameckondieki4756
@lameckondieki4756 21 күн бұрын
Wameathirika wewe unaingilia wapi mbwa koko.
@did3462
@did3462 23 күн бұрын
Good job gava wametuharibi watoto
@aminasaid9382
@aminasaid9382 23 күн бұрын
Al hamdulillah chapa kazi Grover mihadharati yote iondoke Allah akuhifadh kwa kila Shari
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw 22 күн бұрын
Next week muguka utakua waeda mombasa kama kawaida,awa npesa wanataka tu,bona miraa awajasema isiigie uko?
@lameckondieki4756
@lameckondieki4756 21 күн бұрын
Ni juu hukusoma mjinga wewe
@mohamedalhamid964
@mohamedalhamid964 23 күн бұрын
Simbaaaaaaaaaaaaaaaa TAKBIIIRRRR TAKBIIIRRRR TAKBIIIRRRR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR JAZAKA ALLAHU KHAYR
@RAJ-R64
@RAJ-R64 23 күн бұрын
takbir mkundu... mnajifanya na mmefunga kwasababu cocaine hainunuliwi... mafala sana waswahili
@Blackmuslimtiger3025
@Blackmuslimtiger3025 23 күн бұрын
​@@RAJ-R64kubabako hatutaki hio uchafu coast mzima
@RAJ-R64
@RAJ-R64 23 күн бұрын
@@Blackmuslimtiger3025 kumamako matako ya Mohammad wewe... c nyinyi ndio mnaharibu vijana na uteja wenyu...Mugukaa haifanyi mtu chizi..huo unga wenyu wakishoga ndio yafanya watu machizi... masenge sana waswahili
@Blackmuslimtiger3025
@Blackmuslimtiger3025 23 күн бұрын
@@RAJ-R64 kubabako m'bara mogoka kuleni kwenu makafiri nyinyi
@RAJ-R64
@RAJ-R64 23 күн бұрын
@@Blackmuslimtiger3025 makafiri nyinyi mwafuga majini... Masih Dejjal nyinyi... pelekeni uharabu wenyu huko... Africa sio ya waharabu ...mwatombwa sana...kuma ya Mohammad
@samillitoh
@samillitoh 23 күн бұрын
We need a sober country......mihadaratii iishe kenya not only mombasa
@user-ql7to3rm3p
@user-ql7to3rm3p 23 күн бұрын
Asate Gavana wangu nakuunga mikono miwili 👏👏👏👏
@fidelisokemwa4827
@fidelisokemwa4827 23 күн бұрын
Kudos Bwana governor, when you're a leader you've to make certain decisions however painfall in the interest of the people....we need to see other counties following suite.
@nahashongichine4877
@nahashongichine4877 22 күн бұрын
What about dawa za kulevya na bangi n zatumiwa openly hapa Mombasa
@kennedymasole5289
@kennedymasole5289 23 күн бұрын
Good job Governor I salute you
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw 22 күн бұрын
Kwan uhadhiri waislam tuu? Muguka inaliwa Kenya zima aijakua na shda,,wawache upuuzi,lazma muguka ikuliwe mombasa,wait and you will see
@lameckondieki4756
@lameckondieki4756 21 күн бұрын
​@@JacksonMutinda-jw5qwushaongea babu. Muguka wasiyoila inawawashia nini?
@ibrahimboru3098
@ibrahimboru3098 23 күн бұрын
Sio Mombasa tu, serikali inapaswa kuchukua hatua Kali kupiga marufuku Muguka kukuzwa,kuuzwa na kutafuna kwa Muguka.Hongera Governor wa Mombasa kwa hatua hiyo.
@malickwetiko-1465
@malickwetiko-1465 23 күн бұрын
Kuma mamako
@vincentayua9435
@vincentayua9435 23 күн бұрын
😂 😂 😂 😂 ​@@malickwetiko-1465
@mwanarusimusa3620
@mwanarusimusa3620 23 күн бұрын
Wacha kutusi watu uza mgoka huko kwenu.​@@malickwetiko-1465
@yusufsaid8911
@yusufsaid8911 23 күн бұрын
​@@malickwetiko-1465 KWANI MAMA YAKO HANA KUMA ULIZALIWA NA MKUNDUNI. UMBWA WEWE
@zawadipurity8578
@zawadipurity8578 23 күн бұрын
@@malickwetiko-1465 utaezana na matusi ya mobasa wewe ama unajua hlo moja
@StephenNgomo-xm5xo
@StephenNgomo-xm5xo 23 күн бұрын
Thumbs up..hata ukiongelesha mtu akitafuna hizo ujinga uwa inaudhi..sasa wakuje machakos county .mlolongo wameisha Wacha mombasa.wamama wanaikula kama chakula bana. Huko meru wangoe hio mmea wapande mahindi hii kitu imechàngia wizi .ikataliwe nchini kote na ibuniwe starehe nyingine kama kukunywa kahawa kwani
@user-kn5bv3qj8p
@user-kn5bv3qj8p 23 күн бұрын
Alhamdulillah,,Abduswamad ameweza,,hakika coast tunaambiwa hatuna Kura na kizazi kina didimia kila siku.
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw 22 күн бұрын
Shdwa na gavana wako,Kwan uhadhiri waislamu only? Poteleeni mbali nyinyi,lazma watu wakule muguka,,
@Mohammadbora-cd6jg
@Mohammadbora-cd6jg 23 күн бұрын
Hongera sana mzee wa mwisho kwa maoni yake next wanawake wanaojiuza na kutembea uchi pia hilo swala liangaziwe sana limeharibu hata heshma ya mji kma mji wa kiisilamu
@ZabadoOmar
@ZabadoOmar 23 күн бұрын
Congratulations well done Abdul swamad watoto hawafikirii kitu cho chote bora aw njaa bt mugukaa hakosi
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw 22 күн бұрын
Muguka itakua inakuja mombasa daily pls,nobody can stop muguka
@vincentndonye7989
@vincentndonye7989 23 күн бұрын
Ipigwe marufuku kabisa.....imeharibu vijana wetu
@True-Kenyan
@True-Kenyan 23 күн бұрын
Vijana wenu mmeharibu na unga tu,Mbona Meru ama Embu akuna vijana wameharibika,nyinyi ni maumbwa tu ya watu🤨🤨
@malickwetiko-1465
@malickwetiko-1465 23 күн бұрын
Kumamamako
@vincentndonye7989
@vincentndonye7989 23 күн бұрын
@@malickwetiko-1465 kwani mamako hana
@mauriceomolo4604
@mauriceomolo4604 23 күн бұрын
Wangesema Muguka na Miraa but they chose one item and left the other because that other is their stuff taken by moneyed men.
@vincentndonye7989
@vincentndonye7989 23 күн бұрын
@@mauriceomolo4604 kabisa.
@mallikgraphics5044
@mallikgraphics5044 23 күн бұрын
Miraa and Bang is a big disaster in our country. Congratulations Mr. Governor. Sakaja do the same here in Nairobi.
@gichuhijohn
@gichuhijohn 23 күн бұрын
kwani una nyesha
@mallikgraphics5044
@mallikgraphics5044 23 күн бұрын
@@gichuhijohn you seem to know more about kunyesha... Tell us more about it.
@rajubhai-zf8fh
@rajubhai-zf8fh 23 күн бұрын
@@mallikgraphics5044wewe unanyesha tulia
@dicksonmwandiki5106
@dicksonmwandiki5106 23 күн бұрын
how does miraa become a disaster seriously???? in meru miraa is only chewed by the rich
@mallikgraphics5044
@mallikgraphics5044 23 күн бұрын
@@dicksonmwandiki5106 they say if you call yourself rich, you are actually not. You should just keep it in Meru then.
@rosemarywanjiku8138
@rosemarywanjiku8138 23 күн бұрын
This Governor is doing a good job, you have set pace for the rest of our leaders in our country. Kudos and more of God's grace and wisdom
@timthegamer3516
@timthegamer3516 19 күн бұрын
Best English I have ever heard from any Kenyan leader. A very smart leader, he has the potential to be the president some day, thats why am in love with ODM. They always come up with good leaders
@abdisalat1579
@abdisalat1579 22 күн бұрын
Wakulima wa mugaka wanaweza kupanda mimea mingine na mungu akabariki
@esthermwikali5403
@esthermwikali5403 23 күн бұрын
Abduswamad ndio manake na kupenda kura yangu sii kutupa imepanya kasi laisesi ukafungusa mukuka umepika marufuku kweli wewe mungu ni mungu asante sana umetusaidia watoto wetu wamearipika
@user-vt2co1lo1y
@user-vt2co1lo1y 23 күн бұрын
Thanx for such a gud leader
@marthawangondu2950
@marthawangondu2950 23 күн бұрын
Very good Mr governor,Nairobi pia
@user-qo6qk4xk4v
@user-qo6qk4xk4v 23 күн бұрын
congratulations gave good job ivo ivò
@karayuone5623
@karayuone5623 23 күн бұрын
Thank you our "dhulqarnein" who use is power to stop evil 😈, i wish nadif of garissa and others will follow the suit
@mohammedganyuma3445
@mohammedganyuma3445 21 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉❤ very goooooood yani msimamo n huohuo,
@Abdilahitarabi79Tarabi
@Abdilahitarabi79Tarabi 23 күн бұрын
Very good
@abdjaromoludhiqa9409
@abdjaromoludhiqa9409 23 күн бұрын
Nice move gavana hyo ndo Ina faa
@frankaydeclassique6618
@frankaydeclassique6618 20 күн бұрын
Hongera sana kiongozi.Shikilia apo apo Allah azidi kkutia nguvu
@esthermwikali5403
@esthermwikali5403 23 күн бұрын
Ongera tuna shukuru sana watoto wetu wamealipika kabisa
@nuraabdulhakim5840
@nuraabdulhakim5840 19 күн бұрын
Good governer has always been a big support kwa elimu.tutampigia kura na mukituudhi watu wa msa tutapiga kura ya governor pekee .
@abdulali753
@abdulali753 23 күн бұрын
Nice 👍 Gavana Abdulswamad
@user-bw5yr3wd6y
@user-bw5yr3wd6y 22 күн бұрын
Homgela, mheshimiwa kwa kupigia biachara ya muguka marufuku,,pia serikari ipatie hao kazi ya kufanya.
@musembijoseph5560
@musembijoseph5560 23 күн бұрын
Sober man a good idea of all times
@sirlohkibs2737
@sirlohkibs2737 23 күн бұрын
That is a great move, I strongly support this decision.... na kama itauzwa tena basi packet moja iuzwe 500/= instead of 50/=
@user-nh1yc4nt4p
@user-nh1yc4nt4p 21 күн бұрын
Wakulima wakime nyanya na viazi hongera muheshimiwa
@user-bp7ry5ey1f
@user-bp7ry5ey1f 18 күн бұрын
🎉🎉 mashallh Gavana
@alextercisio
@alextercisio 23 күн бұрын
Ipigwe kabisa hizo takataka wenye wanauza wauzie watoi wao uko meru ata nyandarua county hatuitaki ikae nahuko imefanya vijana kuwa kama zombies
@MuktarMoge-oy2vw
@MuktarMoge-oy2vw 18 күн бұрын
Hongera bos
@yusufsaid8911
@yusufsaid8911 23 күн бұрын
KAMA GACHAGUA ANAPAMBANA NA POMBE MOUNT KENYA ATA MOMBASA WACHA WAPAMBANE NA MNGOKAA. WACHA WAUZE HUKO MERU KWA WATOTO WAO
@MahamudBay
@MahamudBay 23 күн бұрын
Alxamdulilah 🤲
@SHAGA-OAN.
@SHAGA-OAN. 23 күн бұрын
Hongera sana Gavana wa Mombasa.
@dennismunyua-ln1ol
@dennismunyua-ln1ol 23 күн бұрын
Mkikunywa ma cocaine mnaekelea muguka na hio ni kosa ata binguni,in Embu and Meru,do you mean there are no lernerd people.shame on this Governor
@gulftranspoters1762
@gulftranspoters1762 23 күн бұрын
Si mukulie huko kwenu ama mpeleke Somalia
@georgeodhiambo2118
@georgeodhiambo2118 23 күн бұрын
Si mkule pekee yenyu huko Meru na Embu😂😂😂😂😂
@alextercisio
@alextercisio 23 күн бұрын
Nani anauza cocaine?? Umewai kuona soko hiyo cocaine??
@gulftranspoters1762
@gulftranspoters1762 23 күн бұрын
@@alextercisio wenye wanauza muguka
@alextercisio
@alextercisio 23 күн бұрын
Uzeni hizo takataka uko kwenu ata nyandarua county hatutaki
@user-gj2mm3ko8m
@user-gj2mm3ko8m 23 күн бұрын
❤❤❤Hongera sana
@anndeya2783
@anndeya2783 23 күн бұрын
Best news ever
@AbdinasirBuncune-gv6gz
@AbdinasirBuncune-gv6gz 22 күн бұрын
Please citizen TV try to come up with kiswahili subtitled
@timaidarus4220
@timaidarus4220 22 күн бұрын
Pato kwa wauzaji HASARA kwa watumiaji .HATUTAKI.
@humphreydulo6098
@humphreydulo6098 23 күн бұрын
at times good news does not get the best reception but just think of the benefits on a larger scale; its not an after thought its a well strategized informed decision
@LowasaKivuyo-im7ty
@LowasaKivuyo-im7ty 19 күн бұрын
Kazi njema mp yake
@mulongowanini
@mulongowanini 19 күн бұрын
Hapo mama umesema sana ifungwe kweli ibaki meru
@kjvthegift7387
@kjvthegift7387 23 күн бұрын
Mt Kenya wafunge vyakula kuenda kisiwani.
@AjosElijah
@AjosElijah 23 күн бұрын
alafu hio chakula wapeleke wapi?
@dubabaxakatv2993
@dubabaxakatv2993 23 күн бұрын
Ww huna akili chakula inatoka tz..
@Subscribeformorefun.
@Subscribeformorefun. 23 күн бұрын
Alaf watoe pesa wapi.wenye wanauza muguka ni kando na wenye wanauza chakula
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 23 күн бұрын
Kwani kinakuja bure? Kwenda lala😂😂
@JoyzMichelles-eh8vs
@JoyzMichelles-eh8vs 23 күн бұрын
Watanunua Tanzania kwani mchele siku zote watoka wapi ata dizi nanyi m bakie na waru zenu
@abdallahibrahim280
@abdallahibrahim280 22 күн бұрын
Maashaa Allah Isiishie kwenye mugukaa tu hata miraa na cocein
@Dr.Salem-user-vq5jc1vj7x
@Dr.Salem-user-vq5jc1vj7x 23 күн бұрын
Good move...
@maishanisafari.7024
@maishanisafari.7024 23 күн бұрын
Kudos
@phillipsidhojapap1461
@phillipsidhojapap1461 18 күн бұрын
Hawa wamekosania contracts and tenders (biashara between governors nowadays) inaanza kusemekana muguka imekuwa mbaya. What about the other drugs very accessible in the county?
@Samuelkaris
@Samuelkaris 23 күн бұрын
Mombasa vijana wengi wameathirika na hard drugs sana huo ndo ukweli hamsemi na the government has failed uwezi compare side effects za unga na muguka siasa ikiingia kila mahali ni taabu sana
@sankofaman4112
@sankofaman4112 23 күн бұрын
Hakuna tofauti yoyote kati ya unga na mogokaa. They all make them soft. Two wrongs never make one right. usitake kutushawishi kuwa mogokaa unaleta afya.
@mourice1669
@mourice1669 23 күн бұрын
​@@sankofaman4112unacompare cocaine na muguka?😂😂😂
@sankofaman4112
@sankofaman4112 23 күн бұрын
@@mourice1669 hakuna difference hata sigara pia na pombe. The fact that a substance is legal does not make it any better than the illegal substance. I am a mental health practitioner and I am not talking on a layman's point of view like you do. Joseph Kaguthi alikua akisema hamkuskia sababu miraa yatoka kwenu. Dependency has many effects.
@jamessila3219
@jamessila3219 23 күн бұрын
Nyinyi mwapoteza njia, mihadarati zingine ziko hapo mbadala ya kupingana hizo dawa
@alicemwende9381
@alicemwende9381 23 күн бұрын
Our governor.. keep up
@SalgaaBusinessshop
@SalgaaBusinessshop 22 күн бұрын
Mi naskiza 2pac tu hapa,all eyez on me album.
@Fred-rx5xr
@Fred-rx5xr 22 күн бұрын
Very interesting, too many hypocrites and pretenders , nje nayo madawa na bangi na dizo zimenjaa huku, ama hazina mathara , let truth be told , and truth is always painful and hard to digest, madawa hawezi guza kwa sababu the dealers ndio wenye inchi
@zawadimasha5823
@zawadimasha5823 23 күн бұрын
Good job my Governor
@evansobewa7741
@evansobewa7741 23 күн бұрын
Nice move wakule chakula sio nyasi
@timaidarus4220
@timaidarus4220 22 күн бұрын
Hatutaki mogokaa wala merungi .watoto wa wauzaji wanasoma .wetu sisi hawasomi .wapeleke kwengine hayo majani yanapo hitajika.
@FaithSalama-tn1hm
@FaithSalama-tn1hm 23 күн бұрын
vizuri sana
@JoyzMichelles-eh8vs
@JoyzMichelles-eh8vs 23 күн бұрын
So sisi wa miraa ntwendereeee au sio na huyu lucy kweli alikua amesinywa na hii muguga anafaa kua muhubiri
@user-hh2iz8pq8q
@user-hh2iz8pq8q 23 күн бұрын
Congratution mr governor
@esthermwikali5403
@esthermwikali5403 23 күн бұрын
Mimi naunga mkono mnasema amtampatia kura tena kwani kura nzenu ndio sitampitisha mkuka umearibu watoto wetu kabisa nassiri ata pata kula nyingi sana asa sisi watu wa biashara alifungusa leseni mungu akuweke
@abdallaamani7620
@abdallaamani7620 23 күн бұрын
Well done
@davidwaithaka1567
@davidwaithaka1567 23 күн бұрын
Miraa,ilikataliwa UK,Somalia, Tanzania na kwingine,imebaki hapa Kenya tu na wale wengi ambayo hutumia Miraa,tumeona mwelekeo na tabia.
@mtanatvshow
@mtanatvshow 23 күн бұрын
Wacha sasa tuone mateja wakiisha mombasa ,siasa tu hii
@ahmedbadi5822
@ahmedbadi5822 23 күн бұрын
Aste Aste
@rajubhai-zf8fh
@rajubhai-zf8fh 23 күн бұрын
Mugukaa sio mbaya, kwani kabla ya mogokaa kuingia mombasa mateja hawakuwa???? Unga na bangi ndio mbaya
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 23 күн бұрын
Unga na bangii zitolewee kajamani
@habibaabdi4190
@habibaabdi4190 23 күн бұрын
Good job 0:46
@richardkarisa1949
@richardkarisa1949 21 күн бұрын
good job
@mauriceomolo4604
@mauriceomolo4604 23 күн бұрын
They will now sell MIRAA that has not been banned.
@JoyzMichelles-eh8vs
@JoyzMichelles-eh8vs 23 күн бұрын
It's very expensive na wengi wao hawajui kuila
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 23 күн бұрын
Nauliza iv miraa na muguka n same tree ama vitu viwili tofauti
@ascot.reception
@ascot.reception 23 күн бұрын
A good move
@farhiyajamaa7717
@farhiyajamaa7717 22 күн бұрын
Alxmuduliah Alxmuduliah
@josephinekilonzo9681
@josephinekilonzo9681 23 күн бұрын
Very good Governor 👍
@brothersmalagasy
@brothersmalagasy 23 күн бұрын
ukitaka kubadilisha policy za mihadarati , kuna mambo ambayo lazima yazingatiwe. miraa ina madhara yake lakini pia inachangia pakubwa katika uchumi wa Mombasa. na pia ukiondoa miraa, watu watataitafuta kwenye county jirani ama waanze kutumia aina zingine za vileo , kwa hivo kupiga miraa marufuku bila mikakati ya kusaidia walioadhirika haitasidia chochote.
@mwanarusimusa3620
@mwanarusimusa3620 23 күн бұрын
Mimi na shangaa.vitabu vyote vya neno vimekataza.leo watu wanaupigia debe.nyinyi walaji na wauzaji mko dini gani.hebu tujulisheni.
@YussufHassan-mj5bi
@YussufHassan-mj5bi 22 күн бұрын
Good job my governor
@ongoriogura331
@ongoriogura331 22 күн бұрын
Well done governor, waikuze na kuikula huko Central kwao
@rederatv
@rederatv 23 күн бұрын
Good move
@johnwanjala4311
@johnwanjala4311 23 күн бұрын
Beautiful move gvnr
@user-ch9ei7hp4c
@user-ch9ei7hp4c 23 күн бұрын
Muguka and Miraa sio shida ya Mombasa,we are not fools.
@salistineshilungu3519
@salistineshilungu3519 23 күн бұрын
👏🏼👏🏼
@MitchellErmina
@MitchellErmina 19 күн бұрын
Jamani mumefanya vinzuri sasa tunapaya wanaume wetu manyumbani niko na furaha sana mume wangu niko naye mapema karudi nyumba kweli niko na tabasamu mtoto ikiitisha kalamu anaulaza nipesa gapi leo do
@user-qy5vs6tl9p
@user-qy5vs6tl9p 21 күн бұрын
Bylaws don't supercede the Kenyan law, but should be in tandem with it
@YUSSUFSHEIKH-qv6gz
@YUSSUFSHEIKH-qv6gz 23 күн бұрын
Mukoka tupeleke Somalia 🇸🇴 kaa sivyo tufunge story
@user-hr2hw9fc9q
@user-hr2hw9fc9q 23 күн бұрын
Wewe hasidi mkubwa Sana wala haunasababu. SubhanaAllah. Msomali hapa.
@ahmedfeleb4877
@ahmedfeleb4877 23 күн бұрын
ipelekwa kwenu kumanyoko
@user-hr2hw9fc9q
@user-hr2hw9fc9q 23 күн бұрын
@@ahmedfeleb4877 Shoga mpevu !
@user-eb8pt3ru7b
@user-eb8pt3ru7b 23 күн бұрын
Kwale county governor arw you there
@user-lw3ne4zu3k
@user-lw3ne4zu3k 22 күн бұрын
Ndungu yangu akikua mtu mzuri ambaye alikua akifanya kazi yake lakini alipo ungana na chama cha mugoka akiki ikaruka akakaa kama mad man mpaka akafa ongera governor wetu naomba ata raisi ruto komesha huo mugoka wakitaka wakule wao wenyewe
@user-nh1yc4nt4p
@user-nh1yc4nt4p 21 күн бұрын
Allahu Akbar
@twinsstudiotv3681
@twinsstudiotv3681 23 күн бұрын
nairobi pia
@josephmachariamwangi7733
@josephmachariamwangi7733 23 күн бұрын
Hao vijana wakihamia taita taveta ama Nairobi????
@eddyrandu3127
@eddyrandu3127 20 күн бұрын
Sawa Wacha wahamie huko. Ama waende huko meru wachane wakotosheka warudi.
@yasirrhashi549
@yasirrhashi549 23 күн бұрын
Namatejaa piya wapingwe marufuku
@b.9811
@b.9811 23 күн бұрын
What is muguka ?? Is it canabis......the mirra
@samwelwaweru3201
@samwelwaweru3201 23 күн бұрын
More of canabis you hear of 20 leaves and you are in heaven
@dicksonmwandiki5106
@dicksonmwandiki5106 23 күн бұрын
muguka ni tofauti sana na miraa
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 23 күн бұрын
Nilikuwa natafuta hii comment ndo nijue utofauti...kwa yosio same tree product
@simondogtrainer7498
@simondogtrainer7498 23 күн бұрын
Governor bado pombe
@user-pt3fm1uq4j
@user-pt3fm1uq4j 23 күн бұрын
Serikari mtafutie vijana KAZI acheni kulaumu munguka
@rajubhai-zf8fh
@rajubhai-zf8fh 23 күн бұрын
The reason they have not banned Miraa is clear for a reasonable person, Miraa ni matajiri wa mombasa ndio wanakula, na wengi ni marafiki za huyo gavana na mca wa mbsa, na family kubwa kubwa haziwezi kuwa touched, so they go for the lesser people, KAMA KWELI WANASEMA WAKO KWENYE HAKI KUBAN MADAWA , kwanini hawaban miraa pia ilihali ni category moja, this is PURELY POLITICS.
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 23 күн бұрын
Mm ndo nauliza miraa na moguka n same tree product ama n miti tofauti
@mauriceomolo4604
@mauriceomolo4604 23 күн бұрын
Governor does not want IMAGINERY STORY TELLING folks caused buy chewing MUGUKA. This drug makes someone see big. ' I can not buy a car like Jimmy's I will by BMW if I get money soon' and this man does not have anything apart from Muguka in his mouth.😆😆😆😆😆😆
@malickwetiko-1465
@malickwetiko-1465 23 күн бұрын
Kumamamako
@user-hx9mz1qu7v
@user-hx9mz1qu7v 23 күн бұрын
Ata mkatusi iyo imeenda​@@malickwetiko-1465
@Msemaukwelikweli
@Msemaukwelikweli 23 күн бұрын
Utaona sasa Wakiuk vile watazusha n they go to court which like always will block the governor
@coastkheed
@coastkheed 23 күн бұрын
Rudisha jaba Mheshimiwa
What is the difference between muguka and miraa?
5:07
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 18 М.
Wahubiri watoa msimamo wao kuhusu marufuku ya muguka Mombasa
7:54
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 53 М.
ТАМАЕВ vs ВЕНГАЛБИ. Самая Быстрая BMW M5 vs CLS 63
1:15:39
Асхаб Тамаев
Рет қаралды 3,9 МЛН
They RUINED Everything! 😢
00:31
Carter Sharer
Рет қаралды 26 МЛН
Which one is the best? #katebrush #shorts
00:12
Kate Brush
Рет қаралды 21 МЛН
Gavana Abdulswamad azungumzia marufuku ya muguka Mombasa
11:49
Kundi la sungusungu ladaiwa kuuwa vijana watatu Mombasa
4:14
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 59 М.
Elewa Sheria: Marufuku ya Muguka
31:01
KTN News Kenya
Рет қаралды 15 М.
WAPWANI WAMEAMUA KIVOVOTE KUPINGA MUGUKAA
20:37
Ahmad Badawy Tv
Рет қаралды 33 М.
Waandamanaji wawasha moto katika barabara kuu jijini Mombasa
8:02
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 329 М.
ТАМАЕВ vs ВЕНГАЛБИ. Самая Быстрая BMW M5 vs CLS 63
1:15:39
Асхаб Тамаев
Рет қаралды 3,9 МЛН