Рет қаралды 15,688
Kesi dhidi ya aliyekuwa kongozi wa Mungiki Maina Njenga na washukiwa wengine 11 inaendelea kwa sasa katika mahakama ya Nakuru. Afisa Wa polisi Athmani Asmani ametoa ushahidi wake kuhusiana na madai kuwa Njenga na washukiwa hao ni wa kundi la Mungiki na kuwa walipatikana na bunduki wakifanya mikutano nyumbani kwa Njenga tarehe Kumi Na mbili mwezi Mei mwaka jana.