No video

Kijana (21) Aliyeoa Mwanamke wa Miaka 49 Atengwa ana Familia / Kafa Kaoza

  Рет қаралды 99,628

Mwendokasi Tv

Mwendokasi Tv

Күн бұрын

Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.
FOLLOW US
Follow on Instagram: / mwendokasitv
Follow on Facebook: / mwendokasimedia

Пікірлер: 576
@stephensikazwe7805
@stephensikazwe7805 2 жыл бұрын
Love is blind 💕, walisema wazungu be blessed guys 🇿🇲🇹🇿 together we can
@wamugimohammed3848
@wamugimohammed3848 2 жыл бұрын
Subuhana Allah! Kuna sehemu nime like ! Wallah sikujuwa kwamba amehasi2 ! Hii ni laana kumbwa sana kwa Allah ! Wallah umeasi dini kwa upumbavu hivi ! Subuhana Allah!
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 жыл бұрын
Anaekupa nguvu ya kuhukumu watu ni nani??
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
@@BigZhumbe ata mimi na mshangaa Yani waslm bwana wana ona kama wao washamaliza kila kitu dunia kumbe looooh 😂😂😂😂😂😂😂
@josephinechuwa6662
@josephinechuwa6662 2 жыл бұрын
@@faudhiasalum7279 Shangaa na wewe na unaweza ukakuta hao wanaosema vibaya matendo yao ndo usiseme
@nipamdingi9440
@nipamdingi9440 2 жыл бұрын
Wewe kijana wewe! Kuwa mwangalifu sana! Masikini hujui tu! Wasikilize wazazi wako , haà! Atakushinda tu! Mhenga huyo. Wewe mama unamdanganya mtoto, dah! Aibu! Mungu tusaidie🙏🙏🙏
@monicamwanjisi693
@monicamwanjisi693 2 жыл бұрын
Hiyo kijana ni lazima ajutie baadaye,tusidanganyane,huo umri in mkubwa sana,hatukatai kupishana umri lakini si kwa umri huo,hakuna mzazi atakayebariki ndoa hii mwenzie amesha wekeza ana watoto yeye anaangalia mapenzi tu.hiyo mama hana cha kupoteza,Ila huyo kijana anapotea na kupoteza future yake,tatizo vijana wengi hawataki kufanya kazi.wanawake wanaopenda vijana hawataki kuwa chini ya mtu.unakuwaje kichwa cha nyumba kwa hali hii
@irenemnemba5008
@irenemnemba5008 2 жыл бұрын
Acha wivu ww huyo yupo sahihi mapenzi hayachagui umri hata mie nina miaka 21 na mume wangu ana 50 na tunapendana kiukweli mtoto wa mume wangu wa kwanza ana miaka 25 mpooo muacheni kijana wa watu..... mtoto wa mume wangu wa pili ndio nipo nae sawa kwahiyo acheni maneno mingiii
@monicamwanjisi693
@monicamwanjisi693 2 жыл бұрын
Were ni mtoto was like kwako halina tatizo unaweza kuzaa kwa hiyo kijana hakuna familia hapo kuna tofauti sana kati ya mwanamume mkubwa na mwanamke mkubwa,Dada,mwanaume hazeeki ila mwanamke anazeeka
@moonaamli6835
@moonaamli6835 2 жыл бұрын
@@irenemnemba5008 Mwanaume kuwa mkubwa na mwanamke kuwa mdogo ni sawa Ila mwanamke kuwa mkubwa sana na mwanaume kuwa mdogo sana haipendezi Hata mm angekua mwanangu huyu nisingekubali amuoe Kwanza hata huyo mwanamke cjui analala nae vp mtoto kama huyo aaaaa
@annkim2690
@annkim2690 2 жыл бұрын
@@moonaamli6835 Mimi nashangaa hata nguo anazivuaje mbele ya mtoto Kama huyu
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 2 жыл бұрын
Kakawa watu mchakarikaji wamekutana tu ni Mungu
@tumainimatembo8688
@tumainimatembo8688 2 жыл бұрын
Kwani uwo umri ye anaubeba mgongoni acheni wakaishi ukooo mashallahhh
@roselugendo6943
@roselugendo6943 2 жыл бұрын
Huyu dada ni mzuri, wala haonyeshi kuwa na miaka 49. Wanaendana.
@sashahauke2032
@sashahauke2032 2 жыл бұрын
Hivi umevaa viatu vya wazazi wake kweli basi nakuombea na wako aoe bibi kam huyu dia
@yussouphluambo959
@yussouphluambo959 2 жыл бұрын
Yoooote sio mbaya ila pabaya ni hapoooooo uyo mama anapotaka kulitadi ilo ni tatizo kubwaaaaaaaaa
@lovehawa4758
@lovehawa4758 2 жыл бұрын
Kulitadi nd nn
@adorostakatikiro2247
@adorostakatikiro2247 2 жыл бұрын
Usipotubu utalipa kwakile ulichomfanyia Izee . Ukawapanga wasimamizi wenu wakasema huongo ukampanga mchungaji akakataa ulimchafua Sana kukomalia kwamba ulikuwa unamsaidia kiusanii . Zambi Sana Aisha
@aishaalbargi3709
@aishaalbargi3709 2 жыл бұрын
Yes waachwe waowane Jamani mapenzi hayanaumri
@kigamboni5038
@kigamboni5038 2 жыл бұрын
Hivi mwanamke ni mzuri sana km huyu,mwenye sauti nzuri ya mahaba unamwchaje kwa mfano!!...ndiyo maana kijana kajenga kibanda...swala la umri hakuna dhambi yoyote katika dini zote ukristo au uislamu..wanaume wanaoa hadi mimba kabla haijazaliwa hawaulizwi,wasomali wanaoa hadi miaka 8 kwao si ajabu..kwa mwanamke kuolewa na mwenye umri mdogo tunaona nongwa..tuache hizo..naona kijana naye ni hand some.
@mwajumaissa2358
@mwajumaissa2358 2 жыл бұрын
🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️Huwiii Mungu weee olewa lkn kwny kubadili dini mayo nene 🏃‍♀️🏃‍♀️kila lakher kwenu
@neemayusuph5323
@neemayusuph5323 2 жыл бұрын
Kijana mungu akubariki sana kwa maamuzi hayo baraka za mungu zikawafunike katika maisha yenu
@memoryngambi3758
@memoryngambi3758 2 жыл бұрын
Kwakaida imezoeleka kwamba mwanaume ndo awe mkubwa na mwanamke awe mdogo,tuseme tu ukweli ukiwa Kama mzazi inauma Sana,kijana Amelia mdogo Sana,wangepishana hata miaka miwili afadhali ,hata Kama mapenzi hayana umri inachanga kwa mtu mzima kumwambia mtoto ambae sawa na mtoto wake maswala ya mapenzi,inauma jamani,wanaosema mapenzi hayana umri me akiwa ni mtoto wako ameoa mtu mzima Kama huyo ,ni mitihani Sana yataka moyo.
@shabanimbenu2163
@shabanimbenu2163 2 жыл бұрын
Bi Aisha Kubadili dini kwaajili ya mapenzi siyo sahihi na MUNGU hapendezwi na watu vigeugeu katika dini ya KHAKI.
@pascalmagaba7255
@pascalmagaba7255 2 жыл бұрын
Aaaaaahh broo acha kuleta ubaguzi wa dini ktk mapenzi
@josephchiluka9357
@josephchiluka9357 2 жыл бұрын
Wewe umezaliwa din zote umezikuta broo kwahy baki kwenye iman yako tu kila mtu ana maamuzi yake kwenye maisha na yule ni mwanmke kubadili din ni sawa
@smp6451
@smp6451 2 жыл бұрын
DAH YAANY KUBADILI DINI TU NDO ALICHOKOSEA .... INNAAAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHY RAJIOUUNNN.... ALLAH TUJALIE KINAAA NA REZKY UNAZOTUPA
@user-gi4ls3bh3l
@user-gi4ls3bh3l 2 жыл бұрын
Hivi Aisha umeamua kuritadu muogope mungu we mwanamke mmh msiba mkubwa Sana huu
@kidotitv5527
@kidotitv5527 2 жыл бұрын
Si msiba ni Sunnah
@user-gi4ls3bh3l
@user-gi4ls3bh3l 2 жыл бұрын
@@kidotitv5527 Shuna nikitu kilicho fanywa na mtume haya mtume nani aliye ritadi
@sadabkari5532
@sadabkari5532 2 жыл бұрын
Inaniuma sana ila namuomba Allah akusameh hujui utendalo rabda atuepushe na ss
@khababuabdallah8078
@khababuabdallah8078 Жыл бұрын
Nyote nimewapenda Sana hakuna ajabu mungu awajalie kizazi chema
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
Yani huyu kijana ni mdogo angu khaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️, Mungu awaongoze, Hatali lkn sarama!!!!!
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 жыл бұрын
😅😅
@paulinastephano236
@paulinastephano236 2 жыл бұрын
We Kaka tulia kabisa nahuyo Dada ata Kakuzid umri ila anahekima sana huyo dada Sasa jichanganye ya makahaba wabongo watakua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 2 жыл бұрын
إنا لله وإنا إليه راجعون اللهم اجعلنا حسن الخاتمة 😭😭😭😭😢Yaan mtu awa he dini kwa sabab ya uchumba yarabbyyy amuongoze uyu mama😢😢😢ATUONGOZE na sote
@galary8688
@galary8688 2 жыл бұрын
Mtihan kabisa
@silverring3434
@silverring3434 2 жыл бұрын
Khasara kwa kweli Allah amuhidi mpk kurtad
@jescalaurent6242
@jescalaurent6242 2 жыл бұрын
Shida niuyo mama maana ndiye alieanza kumtongoza kijana
@magrethmsafiri8561
@magrethmsafiri8561 2 жыл бұрын
Mbona uyo kaka kama msani anaimba
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 жыл бұрын
Uislamu na Ukristo zote ni dini ambazo baba wa imani ni Ibrahim so apo katoka home kaenda home..... Waafrica tumelishwa fikra za kijinga kuhusu dini kila mtu anaona upande wake ndio sahihi.
@sallymwasi
@sallymwasi 2 жыл бұрын
I am so happy for this couple. Wishing you love, peace and happiness.❤❤
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
Sanaaaa unaposema kuendana sio umri na elimu na kipato tu kuna vitu muhimu sana watu hawavioni sababu mihemko yao imeegemea kwenye pesa na lika bc
@queenmilan2024
@queenmilan2024 2 жыл бұрын
Mwanamke mzuri na meno meupe mzuri. Sio kama Wolper na mapengo anashindwa hata kutengeneza jino. Jino moja ni million 2 na nusu tsh.
@halimakhamis2725
@halimakhamis2725 2 жыл бұрын
😀😀
@mwanajumasaid1983
@mwanajumasaid1983 2 жыл бұрын
Hahhhhhaaaa
@deboraezekiel784
@deboraezekiel784 2 жыл бұрын
Wolper ana mapengo sawa ila naye anawake hali kwako
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@sadabkari5532
@sadabkari5532 2 жыл бұрын
Harus kuolewa na mtu ulomzdi umri sio tatizo tatizo we we muislam kuritadi ni kosa kubwa mapezeyatakupeleka sehemu sio kabisa ila mm nkupa pole tu
@mandipmandip3743
@mandipmandip3743 2 жыл бұрын
Dada hapo umekula hasara hakuna kama dini ya kiislam
@christianpetro604
@christianpetro604 2 жыл бұрын
Hongereni umli NINAMBA tu kikubwa niheshima basi
@sashahauke2032
@sashahauke2032 2 жыл бұрын
Jamani we mama Mungu anakuona ujue unawaliza sana wazazi wa huyu kijana
@maryjonh311
@maryjonh311 2 жыл бұрын
tushachoka na hii habari tupeni habari za Maana bhana
@RasheedyKingsley
@RasheedyKingsley Жыл бұрын
@@maryjonh311 😀😀😀😀😀😀😀😀😀Umeonaaa eeeh! Jmaa kaamua Kulala na Mama Mtu Mzima wala hana habar ya kupata watoto.
@mariellerashidi4649
@mariellerashidi4649 2 жыл бұрын
Mimi nina 23 mumewangu ana 39 years lakini akikuwa mwanamke mnapanik Mungu kashawapangia
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
Inshu ktk kuzaa wanawake wana mwisho wanaume mbegu zao hazizeeki so usimtie ujinga mtt wa wenyewe
@magzakky2781
@magzakky2781 2 жыл бұрын
@@MohammedAli-rh5si kama issue Yako ni watoto unakosea maana Sasa tuko Kwa ulimwengu wa technology lol wanawake wenye umri zaidi WA yake wanazaa ...miaka Hadi sitini wanazaa upo nyonyo...hahaha labda naona uko nyuma so fanya utafiti ata miaka 80 anazaa yaani uko nyuma sana
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
@@magzakky2781 sio kwamba sijui ila gharama hata nchi nipo wanafanya sana hzo na mm ni muhudumu najua hata ww ukitaka nakuwezesha pesa yako tuu
@elijahm.muthini
@elijahm.muthini 2 жыл бұрын
Vitu zingine mkifanya fikirieni mbeleni itakuaje, ukifka miaka 39 ndio utakuwa unamuitaji zaidi mme wako hila hatakuwa hanaweza chochote na uo ndio utakuwa mwisho wa io doa
@donaldouma7225
@donaldouma7225 Жыл бұрын
So nice couples
@rehmaahmad1709
@rehmaahmad1709 2 жыл бұрын
Mashallah Mashallah Mashallah Yan sinalakusema zaid ya kuwaombea Mungu awalinge katikandoa yenu muish kwamaelewano namjaliwe kupata watoto sio mtoto in shaa Allah mwafurahisha ak Kwa ukarimuwenu nawapenda sanaaaaa nadua nawaombea namipia niombeen nijaliwe namtu atakaenipenda nakunijali pia mana Dunia yasasa ningumu kupata mtu muaminif namwenye moyokamahuo
@mussaseif4939
@mussaseif4939 2 жыл бұрын
Usibadil din wew nakuomba utaenda kuumbuka yan unasema bila uwoga duh wew usitudanganye wew sio muislam
@tumainimatembo8688
@tumainimatembo8688 2 жыл бұрын
Uyu mdada ni mzuri na ni mpole sanaaa
@liam8955
@liam8955 2 жыл бұрын
Mmmmh hebuuuu hukooo. Hata simba akitaka nyama anakua mpole anapo nyata
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 2 жыл бұрын
The age is just a number kama watu wameamua kupendana waache waoane Mungu awabariki na kufungua njia yenu katika safari ya ndoa
@marynyakundi8969
@marynyakundi8969 2 жыл бұрын
Amina
@janet7740
@janet7740 2 жыл бұрын
Which number
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 2 жыл бұрын
@@janet7740 any number
@sashahauke2032
@sashahauke2032 2 жыл бұрын
Nakuombea na wakwako aoe ajuza kama huyu mwaya
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 2 жыл бұрын
Katoka kwenye dini ya haki Astaghafirullah Mama Rudi kwa Mola ww 🤔
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 2 жыл бұрын
Wewe umekalia kukosoa dini badala ya kumuonea huruma huyo kijana mdogo anayepotea
@callebjoshua7117
@callebjoshua7117 2 жыл бұрын
Hongera sana ndugu.. na mm niko mbioni japo hatujapishana sana mimi nina 26 mwenzangu ana 37
@annkim2690
@annkim2690 2 жыл бұрын
Tafuteni rika zenu mwaua wazazi wenu na pressure
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 жыл бұрын
😆😆🙄🙄🙄🙄🙄
@kapilimaibra2540
@kapilimaibra2540 2 жыл бұрын
Kila la kheri Mungu awasimamie ktk kuliendea jamba hili la kher
@mdimimdimi4282
@mdimimdimi4282 2 жыл бұрын
Dogo ni senge xn wew,achana na mchungaji Wala shekh,baba na mama ndo kila kitu ktk maisha yako yote ya Duniani.hiyo ndoa yako Haina baraka ya wazazi xo utapata tabu xn dogo.utake usitake lazima utarudi kupiga goti kwa baba na mama yako.
@kaburachristella2682
@kaburachristella2682 2 жыл бұрын
Ukweri mtupu. Hata na bibilia inasema kuwa kabra ya kumuowa mwanamke upereke pesa mahari kama zawadi kwa wazazi sasa wakiowana bila ruhusa ya wazazi hata wakifunga ndoa haitakubarika kama ndoa bali watakuwa wanazini.
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 2 жыл бұрын
Hki
@evamlay8997
@evamlay8997 2 жыл бұрын
Hebu niwaulize dini inasemaje halafu anaishi na mama yake au baba mwacheni Babu mapezi hayana mwenyewe
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 2 жыл бұрын
Miaka 49 na 21 hapo ni mama na mtoto wake wa tatu kumzaa,lkn mapenz hayana umri,hvyo dogo upo sahihi kumuoa huyo mama TENA hao wamama wakubwa wakubwa ni watamu balaa jamani had nakuonea wivu dogo😂😂😂 sema kwenye watoto tu hakuzalii hata mmoja kazeeka huyu😂😂
@georgeigogo9259
@georgeigogo9259 2 жыл бұрын
Hata mm namwonea wivu PC kalisana
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 2 жыл бұрын
@@georgeigogo9259 yaah ni pisikala,ila atakuwa ni mtamu zaid km atakuwa ana kampododo kidogo(shepu)😂😂😂
@depaolo3461
@depaolo3461 2 жыл бұрын
@@wazirmlogi7532 😀😀😀😀
@mariellerashidi4649
@mariellerashidi4649 2 жыл бұрын
Umehongea ukweli huyo mama anahonekana nimtam😂😂😂😂😂
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 2 жыл бұрын
Ilaa kwa mungu akuna kubwa insha Allah athaa zaa kwa kudra zek manani...
@emilymideva8783
@emilymideva8783 2 жыл бұрын
Hata nami kumbea naumiza mwenye ananipenda ata ni mdogo ooh my God naomba msamaha nimeendea sasa hivi
@wardaheluwa734
@wardaheluwa734 2 жыл бұрын
Huyu kijana anaokena ni mpole sana
@shutop7321
@shutop7321 2 жыл бұрын
Yaani ni mdogo angu Ila upo cool Sana mim ndo mweu😀
@AshaAsha-ng1ug
@AshaAsha-ng1ug 2 жыл бұрын
Kwakwel huu ni mtihani tatizo umr nikama wa mtotoake wakwanza,,,lapili kubadil din nakutoka ktk uislam😭
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 2 жыл бұрын
Kubadili dini sio tatizo, kwani kutoka uislamu ni tatizo gani
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 2 жыл бұрын
Kubadili dini sio tatizo, kwani kutoka uislamu ni tatizo gani
@sadabkari5532
@sadabkari5532 2 жыл бұрын
@@sarahmichael7538 mmmh
@francismlembwa2733
@francismlembwa2733 2 жыл бұрын
Mbona mama diamond dangote na anko
@philosophyalen
@philosophyalen 2 жыл бұрын
Watanzania wengi ni wanafiki , moja wapo ya lengo la ndoa ni kutafuta watoto, wewe kijana kuwa makini usiwe na tamaa ya Pesa zinaisha tafuta hela kwa jasho lako, watanzania tusiwe wanafiki wakitokea vijana wa hivi tusiseme mapenz hayana umri, mapenz Yana formula physically, mentally and psychological, huyu mama Yuko menopause huyu kaka atafikia kipindi atake watoto
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 жыл бұрын
Kwani umesikia hazai?au wewe ndoo unaleta watoto unajua humpi?
@samuelmunatta5914
@samuelmunatta5914 2 жыл бұрын
Bore kukutana na YESU KRISTO yule ambaye atakuja kumwangamiza shetaaaaniiiiii. Mungu atukuzwe milele zote. Amina.
@makombomhangwa7880
@makombomhangwa7880 2 жыл бұрын
Duh!! Mie nawaunga na mguu maana mpo vzuri Tena mnapendeza sanaaaa pia mungu Hawabariki sana
@estherngowi8102
@estherngowi8102 2 жыл бұрын
Nawashangaa Sana ndugu zangu akina fulani, nasikia tu dini ya haki dini ya haki🙄🙄inamaana dini ya wenzenu siyo ya haki?? Wanamuabudu shetani au?? Hakuna dini ya haki hapa duniani wote ni wa Mungu,haki yapatikana kwake tu aliye mbinguni. Tupendane jamani tuache unafk wa kujifanyia tunahaki katika dini zetu,hizi dini tunaziacha tunarudi kwa Mola wetu jaman🤔🤐
@justaamos4679
@justaamos4679 2 жыл бұрын
Wanaboa KBS mbona Mimi nimebadilishwa dini kutoka Roma na sasa muislam mbona ndugu zangu hawakukashifu walibariki tu nachukia sana hii tabia
@sweetluc2660
@sweetluc2660 2 жыл бұрын
Acheni kujadili dini Hakuna dini inayompereka mtu mbinguni zaidi ya matendo yako mema unayoyatenda pia juweni Mungu ni mmoja Hakuna Mungu wa MKRISTO wala Mwislam kila mtu Ana uwamwuzi wake wa kufanya
@antonykomba6631
@antonykomba6631 2 жыл бұрын
Umeandika point kuliko watu wote humu
@shanimpenike7568
@shanimpenike7568 2 жыл бұрын
Tatizo ni baadae sio sasa ..ikifika baadae hapo ndo tutajua mnapendana kweli au laa...maana kwa haraka haraka tusishaur
@mwemasengo5349
@mwemasengo5349 2 жыл бұрын
Jaman hapa naona wanawake ndo wanachonga Sana mbona nyie wasichana mnatoka na vibabu jaman waachane na mapenz yao
@adorostakatikiro2247
@adorostakatikiro2247 2 жыл бұрын
Ivi bi Aisha ulikuwa unamzaririsha Izee kwamba ulikuwa unamfaziri kumbe mtoto wa watu ulimtongoza mwenyewe duuu!!!! Aisha tubu. Yote uliyomsema Izee wakati mmeachana unasema mlikuwa mnaigiza kumbe wewe mwongo sana
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 2 жыл бұрын
Ninachokupendea ww dada ni hekima yako tu wakati unavoongea
@sashahauke2032
@sashahauke2032 2 жыл бұрын
Si muhenga atakosaje hekma bwana
@mwanakombogodoro141
@mwanakombogodoro141 2 жыл бұрын
Bi Aisha mrembo mashaallah,
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 2 жыл бұрын
Mdada mzur mpaka Raha nimekupenda dada ghangu wewe mzur
@diomunyuku2533
@diomunyuku2533 2 жыл бұрын
ila angeaza kutongoza mwaname angetukanwa mpaka basi
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Ndy mzr khaa
@omarypetro2419
@omarypetro2419 2 жыл бұрын
Oya Mzee baba piga shoo tu mbona huyo mwanamke mwenyewe haja chakaa bado mi namuona mrembo tu, usisikilize maneno ya watu
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
@@omarypetro2419 kabsa ndo kwanza mbichi kabsa
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 2 жыл бұрын
Ilaa sawa but dada kwa mungu uko na kosa kubwaa
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 2 жыл бұрын
kosa kubwaa sanaa
@chawahirelmymashlalltaabar4949
@chawahirelmymashlalltaabar4949 2 жыл бұрын
Lakini shoga unabadili dini mtoto mdogo unaweza kumzaa huna haya duuh
@ramlaali4130
@ramlaali4130 2 жыл бұрын
Uislam ni amani, unahama ktk amani kwa mapenzi tu mh Allah atunusuru
@deboraezekiel784
@deboraezekiel784 2 жыл бұрын
Mungu akusaidie hujui kweli
@ramlaali4130
@ramlaali4130 2 жыл бұрын
@@deboraezekiel784 QADDARALLAH WAMAASHAALLAH FA'AL
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 2 жыл бұрын
Mola asitujaalie tuinge kwenye Ukafiri
@ramlaali4130
@ramlaali4130 2 жыл бұрын
@@munirashughuli7224 amyn
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 2 жыл бұрын
MMMMH VIJANA KUWENI MAKINI NA KULELEWA UKU
@fatumaali4275
@fatumaali4275 2 жыл бұрын
Mtoto majaaliwa Ila kubadili dini kujitakia my
@nasrafadhili8941
@nasrafadhili8941 2 жыл бұрын
Mapenzi bwn unakuta MTU unaolewa naolokuzidi umri matokea yk hkn amani vurugu tupu mwisho wasiku ndo hv wala simshangai maan kijana mkarimu anaonekana anampa furaha mama
@sukariyao6537
@sukariyao6537 2 жыл бұрын
🤔🤔 huyu jamani kafata pesa tuuh ana ata mapenzi kwa kweli ata kma mapenzi ni hivi bora nibaki msela 😏
@allybananga1262
@allybananga1262 2 жыл бұрын
Uwezo wao wakujieleza ni mkubwa, wanamtanguliza Mungu ktk kila jambo. Age ain't nothing but a number!
@catherinemasakhwemakokhama9117
@catherinemasakhwemakokhama9117 2 жыл бұрын
Lord jesus christ be in control for everything , God knows why, all the best there married 🙏🇰🇪
@OmanOman-mc2bl
@OmanOman-mc2bl 2 жыл бұрын
Kaundime kitwana mladi wenyewe wamependana mwanaume kamuona mwanamke mkubwa akampenda na pia mwanamke pia kamuona mwanaume kuwa mdogo kampenda wote wamependana kikubwa maisha tu
@monicamwanjisi693
@monicamwanjisi693 2 жыл бұрын
Kuna future tusidanganyane,Huyu kijana atahamia mahala pengine.vijana hawapendi kufanya kazi, mpishano ni mkubwa mno.kuna kujuta baadaye,hatukatai kupishana umri lakini si kwa namba hiyo
@emilyakuku313
@emilyakuku313 2 жыл бұрын
Gai mungu tu saidie 😭😭😭😭
@emilyakuku313
@emilyakuku313 2 жыл бұрын
Ww Mama umepanda mbengu
@kizungugabriel3942
@kizungugabriel3942 2 жыл бұрын
Mimi nialikeni nitakuwepo.hongera kwa ndoa yenu.
@eucabethnyagero9636
@eucabethnyagero9636 2 жыл бұрын
Wote ni wakalimu miaka haina shida bora kukaa na amani hongera sana na mungu awabariki zaidi
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 2 жыл бұрын
Kahaba hilo lililo kosa radh za wazadh wake nahako kajamaa nako kamefata mteremko kavivu kakutafuta maisha hako kapumbavu sana
@lucymtuka6393
@lucymtuka6393 2 жыл бұрын
Inshallah mi nimeipenda hii km wenyewe mnapendana na m/mungu anakataza kuzini nawaombea hery lkn km ni hazarani mi nikilikuwa napendelea mngeifanyia kariakoo
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 2 ай бұрын
HAPO MGANGA ATAKUWA KAFANYA KAZIYAKE KWA UFANIS MKUBWA😂😂😂
@zawadikingimali3362
@zawadikingimali3362 2 жыл бұрын
Wewe mwanamke mwenzangu umeamua Jambo zuli la ndoa I ila hujisikii aibu mbele ya mtoto wako wamama tunapotea hata Kama ndoa yako ya Kwanza imekuumiza sio vizur kumbaka mtoto wa mtoto wa mwsnamke mwenzio
@elizabethopere2784
@elizabethopere2784 2 жыл бұрын
Nmependa maswali yako kaka upo sawa sana
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 2 жыл бұрын
Hatimae saiv anakula majuto kijana
@ahmadmlima8155
@ahmadmlima8155 2 жыл бұрын
Kumbukeni Yule dada Alie olewa na mlemavu wakaitwa mpaka Bungeni hamkusema Hawa Wana wakera kitu Gani nafsi zote zili umbwa siku Moja tuu mengine ni matokeo na rehma.tuu akuna anae jua mwisho.wake.
@siatravel8823
@siatravel8823 2 жыл бұрын
Rais wa ufaranca je
@yusuphmwanza4405
@yusuphmwanza4405 2 жыл бұрын
Mwandishi uko vizuri blood Safi kwa interview nzur
@Sheba4651
@Sheba4651 2 жыл бұрын
Kijana uje utupe mrejesho tafadhali. .... Ukisikia Sunna si hawa wa kileo'leo, utaona.
@mwanakhatib5825
@mwanakhatib5825 2 жыл бұрын
Wewe Mana utalamiwa na jamii na mungu kwa kumkandamiza mtoto wa watu eti ni Kiki wee
@daniellema175
@daniellema175 2 жыл бұрын
Kazi kweli kweli! Dogo ametwekwa! Dada ni mzuri ila kwa huyo kijana hakuna compatibility yoyote!
@hfjfjhfjffj455
@hfjfjhfjffj455 2 жыл бұрын
Ww ulikuwa uko sahihi kama huyo awe mumeo umri sio tatizo kwavile ww muislam kwani hata Mtume alimuoa mke wake mmoja alikuwa amemzidi sana umri tena una jina la mke wa Mtume mashallah Lkn umeharibu tena umemkosea muumba wako hapo pa ww kutaka kubadilisha dini ww ungemlingania huyo mwanaume aingie kwenye uislamu ungepata barka na thawabu pia hapo pa kubadili dini umekosea sana
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 жыл бұрын
Huyu kijana amepata maisha rahisi.Wewe mama unalala na mwanao
@pendoyese4452
@pendoyese4452 2 жыл бұрын
Mbona wababa wanalala Hadi na wajukuu zao ?
@khadijasongoro9674
@khadijasongoro9674 2 жыл бұрын
Huyu kijana kataka kulelewa tu hakuna mapenzi hapo huyu mama inaonekana ni tabia yake
@janegeogre3234
@janegeogre3234 2 жыл бұрын
@@khadijasongoro9674 mtabeza sana tu ila mwenzenu ndo keshaolewa ivoooo...kama vp kanywe sumu ya panya ikiwa imekutach
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 2 жыл бұрын
@@janegeogre3234 sio sumu lakini mtoto wako akifanya kama hivi utamuelewa
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 2 жыл бұрын
Mind your own business
@fatumaali4275
@fatumaali4275 2 жыл бұрын
Aisha zingatia Sana dini itakucost baadae my
@ally1702
@ally1702 2 жыл бұрын
Mtihani wallah dah
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 2 жыл бұрын
Kweli
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 2 жыл бұрын
hiyari yake atajuta
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 2 жыл бұрын
Ila dada mzuri Na akitoa ilo tumbo ni mdogo tu wamehendana any way mim ni nani nijaji watu kam wako na furaha inshallah maana waweza kuwa na umri wako ukaomba ufe au ukachukia hiyo ndoa
@FakihiNapunda
@FakihiNapunda 2 жыл бұрын
Safi
@neemaelieza6958
@neemaelieza6958 2 жыл бұрын
Nimependa coment yako
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 2 жыл бұрын
@@neemaelieza6958 santeee❤️
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 2 жыл бұрын
Duh!" Ama kweli kijana hapo umepotea utapataje watoto kwa jimama hilo ,,angali yeye tiari ana watoto na umri wake kubeba mimba nivigumu
@kapendalubowa534
@kapendalubowa534 2 жыл бұрын
Mimi sioni tatizo kuoana au kupendana ninachoona tatizo Ni kwa kijana,Umri wake bado unaweza kumuacha huyo mama,matamanio ya ujana yanaweza kumsumbua,lakini Mungu akiweka mkono wake Kila Jambo laweza kuwa jema.
@jumajay8496
@jumajay8496 2 жыл бұрын
Yote sawa lkn kosa moja kubwa sana ambalo halina msamaha kwa mungu ni kwa Aisha kuritadi kutoka kwenye dini yake hilo tu ndio kosa mingine yote sawa.
@OmanOman-mc2bl
@OmanOman-mc2bl 2 жыл бұрын
Kaundime kitwana ni kweli kosa sana
@depaolo3461
@depaolo3461 2 жыл бұрын
Kwahyo kijana angeslim ingekuwa POA au siyo?
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@deboraezekiel784
@deboraezekiel784 2 жыл бұрын
Aise hilo so kosa bwana
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 2 жыл бұрын
@@depaolo3461 sio kosa ilaa kwa mtt wa kislm kuritad ndio kosa kubwa kwa Allah..
@shakiramshule342
@shakiramshule342 2 жыл бұрын
Monica mwanjisi,uko sawa kabisa uyo kijana ajielewi
@modestuskinunda2837
@modestuskinunda2837 2 жыл бұрын
Mbona watu mnajadili sana kubadili dini?dini ni njia tu ya kufika kwa mwenyezi.matendo yako ndio kila kitu ndugu
@saadaalhinai8126
@saadaalhinai8126 2 жыл бұрын
Dini ndio kila kitu unasema kawaida kwa kuwa na ww mwenyewe hujui dini
@thierrykambalemikundi7668
@thierrykambalemikundi7668 2 жыл бұрын
ni wa islamu tuuu ndooo wanaongeya mengi kuhusu dini ,Kuna Nini huko??????? jamahani
@shafiamustafa7856
@shafiamustafa7856 2 жыл бұрын
Waislamu huwa Wana ubaguzi wa dini utadhani ukristo sio dini
@noellamelchiory7460
@noellamelchiory7460 2 жыл бұрын
Mpigaji kama wapigaji wengine😁😁😁😁👌
@hassankangwa6573
@hassankangwa6573 2 жыл бұрын
Dogo kajichanganya sana anamuoa mama ake kuzidiwa miaka 28 mingi sana
@nipamdingi9440
@nipamdingi9440 2 жыл бұрын
Amekwisha!
@meryfrank5272
@meryfrank5272 2 жыл бұрын
Sasa mmmmhh hongereni lkb
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 2 жыл бұрын
Hongera mwnangu ndoa haina umry mpo sawa bora kuowa kuliko uzinifu
@dorcasawino2587
@dorcasawino2587 2 жыл бұрын
Mke angekua 21yrs mgenyanza kimya.
@witnesmwafute5448
@witnesmwafute5448 2 жыл бұрын
Nenda kudadeki. Wakakutye vitofali huingii ndani
@rajabutwalha6292
@rajabutwalha6292 2 жыл бұрын
As Salam alaykum warahmatu ALLAH wabarakatuh samahanini sana ndugu zanguni nitoe maoni yangu kuhusu jambo hili kwani hata mtume alimuoa bi khadija ana umri wa miaka arobaini na mtume ana miaka 25 kwa hiyo hakuna cha kushangaa hapo.
@liam8955
@liam8955 2 жыл бұрын
Hebu na wewe ondoka hapa. Tena Wala usi mtaje mtume hapa. Usimtukane mtume. Sababu umem sikia huyo kijana Anavyo Sema kua huyo mama yuko ready kuingia u kristo wakisha owana. Je Hilo ndilo alilo fundisha Mtume wetu? Kama huyo mtoto Ndio kamuanza huyo mama Ndio. Lakini huyo mama amkazanie mwana WA mwenzie mpaka amtir mikononi. Je mtajuaje kitu gani ka mfanyia mwana WA watu? Hapa msi mtaje Mtume. Sababu Mtume wetu haja Zini. Hiyo ni Zina kwa miaka miwili
@hermanjoseschreiber6557
@hermanjoseschreiber6557 2 жыл бұрын
Halo tatizo la kubadili dini naamini hajaitia himani ya kiislamu tangu utoto wake
@albertdoherty9394
@albertdoherty9394 2 жыл бұрын
Subhanallah anabadilisha dini makubwa
@rehemamwandu5384
@rehemamwandu5384 2 жыл бұрын
We Boya xnaaaaa dogo
@alfampinga5445
@alfampinga5445 2 жыл бұрын
Nimeipenda sana hiii
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 2 жыл бұрын
Kijana fanya angalisho siku utakaja kupigwa na mtoto wake wakiume njoo utaelewa nini maana ya kupendana na vimama vyenu uyo anataka umtumikiye anajuwa uzee unamkaribiya
@zurufahassan3522
@zurufahassan3522 2 жыл бұрын
No problems ata mtume alioa mke mkubwa
@ummyhoza4495
@ummyhoza4495 2 жыл бұрын
Pole sana kijana
@aminasanga2194
@aminasanga2194 2 жыл бұрын
Wamependeza sana
@rosemarynyombi8803
@rosemarynyombi8803 2 жыл бұрын
Mwenzio kamaliza sasa hivi anatafta fraha tu! Wewe kijana bado kbsa nakuonea huruma kk
@aishaissa2512
@aishaissa2512 2 жыл бұрын
Kijana kafata mpunga akiupata atachomoka2
@marywekesa732
@marywekesa732 2 жыл бұрын
Hongera.kila la heri katika ndoa yenu
@muhammadalaufi4313
@muhammadalaufi4313 2 жыл бұрын
Mm nawashaur Aisha baki na uislam wako na mume na ww baki na ukiristo wako kila mtu abaki na din yake
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 жыл бұрын
Mbona sasahivi wanaonekana hawajapishana sana wamesha fanana
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
BEST SDA SONGS
59:38
SDA SONGS & HYMNS
Рет қаралды 6 МЛН
GIDI NA GHOST ASUBUHI
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 438
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44