KIJANA ALIYEMUUA MAMA YAKE NAKUTUPA MWILI WAKE CHOONI AFIKISHWA MAHAKAMANI

  Рет қаралды 162,550

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Пікірлер: 183
@jebellwallace3509
@jebellwallace3509 2 жыл бұрын
Tanzania inachosha,kila kesi upelelezi haujakamilika,ila ukimtukana kiongozi upelelezi unakamilika hapo hapo
@kebbymody5606
@kebbymody5606 2 жыл бұрын
Sijui upelelezi gani wakati wamesema mtuhumiwa alionyesha ushirikiano minachoka
@prettyh7509
@prettyh7509 2 жыл бұрын
😭😭shukuru Mungu Kwa ulichokikosa Kwan wanawake msiozaa au mliozaa watoto WA jinsia moja ,mshukuru msihangaike eti nipate WA kiume au wakike, Mungu hutupa anachoona ni Bora kwetu, ndug zangu Hadi wa dam wamenichunia bila sababu nilkuw naumia baadae kuona habar hiz nimefarika kwamba usinganganie undugu wala urafiki binadam utu umeisha kabisa tunathamini Sana Mali kuliko utu 😭😭 Mungu tusamehe
@magrethjulius740
@magrethjulius740 2 жыл бұрын
Hata mm pia sio ww ndugu ni lawama sana
@agriparose3942
@agriparose3942 2 жыл бұрын
Huyu mimi kabisa
@agriparose3942
@agriparose3942 2 жыл бұрын
Naishi duniani kama uyoga si ndugu wooote mpaka pacha angu wamenichunia Bora watu baki wallah niliyokutendewa na kuongelewa ba watu wa ndani ni msiba zaidi ya huyo aliemuua mama ake
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 2 жыл бұрын
@@agriparose3942 pole
@beatricekamenge7000
@beatricekamenge7000 2 жыл бұрын
@@agriparose3942 pole Sana
@agnellapius8142
@agnellapius8142 2 жыл бұрын
Sasa havi dunia inaenda mwisho tunaowazaa wanatuuwa tumuamini nani eeh mungu wangu tusamehe waja wako😭😭
@teychriss3248
@teychriss3248 2 жыл бұрын
Jamani! Sasa upelelezi gani Tena wakati katoa ushirikiano!! Hii upelelezi haujakamilika mwishoe jiiii!! Imeisha hiyo!!
@angelageofrey9756
@angelageofrey9756 2 жыл бұрын
Daa 😭
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 2 жыл бұрын
Mie nashangaa huo upelelezi, nahisi kiasi cha rushwa walicho taka hakijakamilika. Hiyo ndo tz.
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 жыл бұрын
Muda mwingine unaweza kuwa mgumba lakini kumbe umeepushwa na majanga makubwa zaidi ya kukosa mtoto ,tupende kumshukuru mungu kwa yotee ndugu zangu kwani yeye anajua kila kitu kuhusu sisi waja wake.
@ummiali8084
@ummiali8084 2 жыл бұрын
Kweli kabsaa
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 жыл бұрын
ummi asante my
@ummiali8084
@ummiali8084 2 жыл бұрын
@@BIGBOSS-hl3bu karbu
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 жыл бұрын
@ummi Ali ,Na wewe karibu
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 жыл бұрын
Ummi naona hujalala upo kwenye ibada my na ramadhani hii mashallah
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 2 жыл бұрын
Ivi ndio huyo anetizana camera kwa ujeuri. Pumbavu sana. Huko gerezani wamfumuwe marinda yote mpumbavu mkubwa huyu
@elizabethbusigara4568
@elizabethbusigara4568 2 жыл бұрын
😂😂😂
@kambugarakim4840
@kambugarakim4840 2 жыл бұрын
Mmmmmh ashuuuuu
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 2 жыл бұрын
😎😎😎kweli umevurugwa my.
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
kweli aisee
@zebrongondwe
@zebrongondwe 2 жыл бұрын
Mtoto akifika umri flani anatakiwaa atoke hapo nyumbani akapambane na maisha,ss unakuta mzaz anajifanya kumpenda sana ndo madhara yake km ya moshii pia kwa yule dada
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 жыл бұрын
Tunaweza kumlaumu mtoto bure kumbe inawezekana mzazi kuna vitu alivifanya kwa wengine yaani dhulma ,na dhulma huwa inarudi kwako kwa njia nyingi sana ,Mtoto kwenda mbali na wewe sio tatizo ,tatizo nikuwa umemuuandaa vip huyo mtoto kimaadili ?na jambo jingine baya zaidi unakuta mtoto anajihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya kwahiyo ni kazi bure kama anania mbaya atakuja tu kwako hata kama upo mbali ,na labda kapewa na mtaji mara kadhaa kashaa kula woteee.
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Mtangazaji uko vizuri una projo katika kazi zako ongera sana.
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 2 жыл бұрын
Afu anatembea kwa kuvimba na kujinenepea juuu hili hata bado halijutii kumuua mama yake . Ulaaniwe
@unknownsasha8383
@unknownsasha8383 2 жыл бұрын
Ata wasipomfunga mauti nihalali yake waheshimu baba na mama upate miaka mingi na heli duniani
@mamaahmad8615
@mamaahmad8615 2 жыл бұрын
Linyongwe tu sheetani mkubwa unamuuwa mama yako miezi tisa tumboni kakuzaa kakulea katafuta mali zake kwa jasho lake ww ibilisi mkubwa unamuuwa daaaaah unyongwe na unalaana ww kaka 😭😭😭
@magejuliani5293
@magejuliani5293 2 жыл бұрын
Kha kijana huyu angekumbuka hata moja tu alilofanya Mama yake ya kumfungia ndani ya tumbo lake miezi tisa asingefanya mauaji hata km aliudhika
@graceezra7105
@graceezra7105 2 жыл бұрын
Keshakosa mama keshakosa mali baas tu ngoja wakampe mali gerezani
@samweliandrea7802
@samweliandrea7802 2 жыл бұрын
Daaa mungu nisaidie mm kijana
@khadijajuma3887
@khadijajuma3887 2 жыл бұрын
Subhanallah innalilah wainnailayh rajiuun
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 2 жыл бұрын
Lilivyo baunsa sasa mwenye kamera kuwa makin akikukaba huchomoi na nimtoto mdg tu Mungu atusaidie na vzaz vyetu jmn ,hakuna alichokuwa anakosa kwa mama yake sasa kamuuwa nn amepata uwiiii😭😭😭😭
@saidhassan7779
@saidhassan7779 2 жыл бұрын
Naona Kila siku story ,muna haribu Mafuta tuu ya serekali kwa kwl
@sukariyao6537
@sukariyao6537 2 жыл бұрын
Na wao maaskari awana kazi za kufanya 😂😂😂 si walimalize tuuh nalo 😏
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 жыл бұрын
Kwakweli kuzaa siyo kupata. Pumzika mwanamke mwenzangu, mwendo umeumaliza. Mwenyezi Mungu akuepushe na adhabu zake.
@Fundi12345
@Fundi12345 2 жыл бұрын
Mbona munasema alimuua manake na kutupa choon so mutataka ushahidi upi kenge nyie mbona watu hamukuwagi kiakili kuna nini tz hiyo ni nafa ya wapelelezi kula pesa hakuna upelelezi hapo!
@maryjonh311
@maryjonh311 2 жыл бұрын
Hii ndo tanzania bhana upelelezi aujakamilika nachokaga
@janethmwanda357
@janethmwanda357 2 жыл бұрын
Yaan mom unamuua nyie watu wanatafuta mom jmn khaa
@hassanfarouq922
@hassanfarouq922 2 жыл бұрын
HV MTU KESHAUA KILAA SIKU POLISI KUFANYA NN SI AULIWE NA YY
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Sheria inakataza kuua
@lucynelsonmungure1719
@lucynelsonmungure1719 2 жыл бұрын
Unajua kuleta habari za maana Sana.. Unaga mambo ya udaku na umbea umbea unatuelimisha sana
@lifhonlee3427
@lifhonlee3427 2 жыл бұрын
Upelelez upi tena.acheni ushezi.malizaneni na case kama hizi mara moja do iwe fuzo kwa wegn.
@janemhango5884
@janemhango5884 2 жыл бұрын
Huyu ndo nilimuona mjinga maana watoto ni wawili yeye ndo wakwanza ndo angefaidika mengine naona ni bange
@yustinamartiny3224
@yustinamartiny3224 2 жыл бұрын
Nyie Ayo tv mbona habarii nyingi za Arusha kwan morogoro huwa hamfatilii
@aminaomaryaliy3226
@aminaomaryaliy3226 2 жыл бұрын
Uzazi tunaulilia lakin nikiona hivi sitaman yani watoto tunawaogopa wanaume tunawaogopa yani hamna Amani kabisa subuhannallah
@janemhango5884
@janemhango5884 2 жыл бұрын
Mtoto unamzaa ndo anaekuuwa 😭😭😭
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 2 жыл бұрын
sema tu shelia yabongo lusu kuuwa ngekuwa mimi ningekuwa mm shamuwa uyo NAMPELEKA makamani kufnaya mn shez uyo
@petronelakiozya5785
@petronelakiozya5785 2 жыл бұрын
Kaka unatangaza vizuri sana
@safiayussuf9308
@safiayussuf9308 Жыл бұрын
Kuzaa sikupata. Una muwa mamayko aliye kuzaa kwa tabuu😭mm naliya mpaka leo kumkosa mamayangu huyo tena ktk duniya hii. Allaha awarehemu wazee wetu Ameen
@rosehillary8742
@rosehillary8742 2 жыл бұрын
Kijana ni mnyama maana jasiri na hana Woga. Aisee hapana
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 2 жыл бұрын
Na yeye tupa chooni aone kama ni patamu.
@marthagabriel3417
@marthagabriel3417 2 жыл бұрын
Hana baba?hawa watt wakulea mwenyewe mwenyewe huenda ni tatizo
@tumainimwakyaka2775
@tumainimwakyaka2775 2 жыл бұрын
Dunia imeisha
@irenenyauhule6017
@irenenyauhule6017 2 жыл бұрын
Kweli kikulacho kinguoni mtoto namzaa mwenyewe Tena anakua adui! Mh
@sarahjohntindwa9999
@sarahjohntindwa9999 2 жыл бұрын
Sasa upelelezi wa nn?kwani si ameua mwenyewe na amekubali sasa wanapeleleza nn?yaani hii serkali kipengele hicho mm nakuwaga sielewi kabisaaaaaaaaaaaaa
@njuka3515
@njuka3515 2 жыл бұрын
Kumbe alikubali?
@azizamihungo9659
@azizamihungo9659 2 жыл бұрын
Mi kiukwel niwe na mawazo tofauti nahic Kama sio yeye alioua Kuna Siri nyuma ya pazia
@sabatosabibi8791
@sabatosabibi8791 Жыл бұрын
Hatari mtoto anaua mama mzazi pesa ibris kweli hapa bongo dingi wanaomba afariki ili walidhi mali
@saidachraf3445
@saidachraf3445 2 жыл бұрын
Subhanallah
@ellyitete938
@ellyitete938 2 жыл бұрын
Amenenepaje huko mahabusu
@fatytz585
@fatytz585 2 жыл бұрын
Na yeye afe tu
@victerkanje1697
@victerkanje1697 2 жыл бұрын
Yaan hii issue nilikuwa naisubiri kwl yaan.
@glorychristopher7283
@glorychristopher7283 2 жыл бұрын
Ila sithani kama ni yeye asingesema ila kama angefanya angetoroka KwA hyo kuweni makini
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 2 жыл бұрын
Ndo hivyo majitu yamezoea umalaya,kazi hayataki,wanaume wanakula kuondoka,bora mtu ujitahidi kufanya kazi.
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 2 жыл бұрын
Tanzania kweli ushamba mzingo Yan kijana ananyanyua vyuma alafu anatembea kwa malingo ngoja afike jera aokote sabuni na ku aegemee ukuta wa gereza 😂😂tuone Kama atatembea ivo
@mariammkwabi7101
@mariammkwabi7101 2 жыл бұрын
😂😂
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 жыл бұрын
Unapoona mtu anakosa mtoto usimcheke shukuru mungu kisha omba mungu akuongozee watoto wako laiti kama ni kweli basi kama angeulizwa na mungu tunakupa mtoto lakini ndie atakaekuja kukuua je? Unadhani angekubali? Napia tusisahau mara nyingine unavuna unachopanda.
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Жыл бұрын
Alikuwa ananyanyua vyuma kwajili yakukipanga kumuua mama yke.
@zakhianzuki9348
@zakhianzuki9348 2 жыл бұрын
Mmh,uyu atakua kamuuwa kweli mama yake sasa amepata nini zaidi ya kuishia jela.
@sadanahimana7193
@sadanahimana7193 2 жыл бұрын
zama za kiama hizo zikikurubia panajitokeza mengi Allahu taupe mwisho mwema wallah
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Subhannallah, Gentlemen, unamuua Mamako, mimi nalia kila siku kwa kumkosa Mamaangu 😢
@reginabeno1904
@reginabeno1904 2 жыл бұрын
Atakua alilogelezewa jaman nguvu za Giza sio nzuri atakua alimuua bila kujijua kwaakili za kawaida mtu hawezi kumuua mzazi wake
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 жыл бұрын
Gentlemen tena🙄
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 2 жыл бұрын
Jamn!
@asha.mwambamwamba1774
@asha.mwambamwamba1774 2 жыл бұрын
Kesi zaivo ziharakishwe
@verombwambo4683
@verombwambo4683 2 жыл бұрын
Upekelezi Gani Tena wakati muhusika alishakiri
@mercycharlesmsiagi1756
@mercycharlesmsiagi1756 2 жыл бұрын
Kikubwa n kuwa ombea watt wetu n kuwalea ktk misingi ya MUNGU ivyo mi nacho amini MUNGU ajaumba mtu muuwaji wal mwenye tabia mby wazazi tume ji sahau kuombea uzao wetu mpk w2 mn fikia atua y kukufuru ety un juta kuzaa mh
@salmahabibu3994
@salmahabibu3994 2 жыл бұрын
Mimi siamini kwamba kweli paric alimuua mamaake apana.
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 жыл бұрын
Ayoo jitathimi I uanakwenda kupoteza wafanyakazi wako watakupoteza hatukuelewi taarifa za vipande
@jacquelinosmond221
@jacquelinosmond221 2 жыл бұрын
Sasa kama kesi ndo imetajwa na kuairishwa ulitaka Ayo tv waongezee maneno yao kukurizisha? Yeye katoa kile kilichotokea, ulitaka aongeze nini, kama unacho hicho kilichobaki jiongezee acha lawama
@salumkilongoji5912
@salumkilongoji5912 2 жыл бұрын
Jaman kwani sikuzion ukojela wafilaji wametolewa.? Kama wap si wamfile huyu jamaa..
@salumkilongoji5912
@salumkilongoji5912 2 жыл бұрын
Kesi ya amza pale ambassador..mliipatiamajibu fast mkaendakupiga familia yake vibay sana. Ilakesii unajifany upelelezi haujakamilika...tena siajabu kikaiingilia kati hadi kilekijamaa cha hakizabinaadam.acheni mamboyenu.. miniliwapenda sana ware wanakijiji waliomchinja yule muuwaji..ivyondio lilipaswa ifanyike kwahuyujamaa hapa...
@fatmamamlo7882
@fatmamamlo7882 2 жыл бұрын
Mbon kanenep inamaana wanampa kula nyingi eee siwangemnyonga naeakatupwa mtaloni uchunguzi wa nini sasa Tz inafuga mijitu ya ovyo sana
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 2 жыл бұрын
Subhana'Allah nini jamani si binadam tume kumbwa na nini lakini!
@kadigatanzaniya4792
@kadigatanzaniya4792 2 жыл бұрын
Linazidi kunenepa tuu hilo uwaji siyo tuhuma kamuwaaa ndiyo
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Jamaa baunsa kavimba hatali
@salamaseif4183
@salamaseif4183 2 жыл бұрын
Inalilah lahaajuni
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 2 жыл бұрын
Hivi ni upelelezi gani unao fanywaga na ikiwa kilakitu kilikua wazi?
@Zaikadena
@Zaikadena 2 жыл бұрын
Mi siamin mtu amuue mama yake kwel afu ni mtoto wa kiume hua inakuaga kipenz cha mama
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
ITV AYO WOTE MUKO VIZURI JAMAN ONGERENI SANA.
@vesitinarevocatus7333
@vesitinarevocatus7333 2 жыл бұрын
Hivi huu upelelezi huwa niwaaje haliyakuwa amekiri kufanya tukio
@beatussagalani1397
@beatussagalani1397 2 жыл бұрын
Kakuzaa, kakulea kwa shida, kakusomesha kakupa hela ya matumizi, mtaji kajitafutia mwenyewe ili akulee, wewe unakuja kumuua kirahisisahisi ivo at!
@samwelijoab3425
@samwelijoab3425 2 жыл бұрын
Anyongwee tuu kifungo chamaisha hakimfai kabisa
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 2 жыл бұрын
Uyu ni mbwa.sasa amepata faida gani.
@mariasixmund7964
@mariasixmund7964 2 жыл бұрын
Mbna anaangalia kwa jeuri hivo
@leticiamapunda3324
@leticiamapunda3324 2 жыл бұрын
Analahana kuzaa siyo kupata yaduniani yanatisha
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 2 жыл бұрын
Yu mkini saa hizi anajuta Mungu amsamehe
@mohamedmanjanjagara645
@mohamedmanjanjagara645 2 жыл бұрын
Pamojaaaa
@ruqayaruqaya4283
@ruqayaruqaya4283 2 жыл бұрын
Kwa hiyo kakutwa na hatia mpaka kufikishwa mahakamani? Nch za kiarabu sasa hv kasha nyongwa tu
@najmaulaya8819
@najmaulaya8819 2 жыл бұрын
Sana tu
@joycedamiano5034
@joycedamiano5034 2 жыл бұрын
Mm kwaushauri wangu munge muua nayeye mumutupe kwenye shimo lachoo
@rinaldaoman7892
@rinaldaoman7892 2 жыл бұрын
Tutaifatilia hii kesi hadi tujue mbivu na mbichi. Haiwezekani MUWE mnastilii majambazi ya namna hii
@ashurahaji9115
@ashurahaji9115 2 жыл бұрын
Kama amemuua aliyemzaa askari jiangalieni atawang'ata meno
@glorychristopher7283
@glorychristopher7283 2 жыл бұрын
Poiisi fanyen kazi
@abubakarikisuju80
@abubakarikisuju80 2 жыл бұрын
Hadija kopa hajakosea kwamba kuna kuzaa na kunya")
@rinaldaoman7892
@rinaldaoman7892 2 жыл бұрын
Hee BAADA ya kukupigia keleke Mlikuwa mmefucha wapi. Hatujawaelewa.
@neema_mollel
@neema_mollel 2 жыл бұрын
Daah
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 жыл бұрын
Daaaa😭😭😭
@juliuspantaleo6068
@juliuspantaleo6068 2 жыл бұрын
Huwezi kumuua mzazi kisa Mali duh
@tuntufyemwakalukwa9081
@tuntufyemwakalukwa9081 2 жыл бұрын
Alafu inaonesha lina jeuri kwan askari habu liueni na nyie
@ashurahaji9115
@ashurahaji9115 2 жыл бұрын
Sasa Kuna raha gani happy mama umemkosa na kesi ndio hiyo Sasa huyu anaweza kumuua hata ndugu yake
@mwanaally3236
@mwanaally3236 2 жыл бұрын
Kuzaa si kupata
@ENEAHTV
@ENEAHTV 2 жыл бұрын
Huyu ndiye MTU wa kwanza kugundua na kupost video KZfaq 👇👇👇 m.kzfaq.info/get/bejne/i8eFeM5yltetiqc.html
@limymasele21
@limymasele21 2 жыл бұрын
Upelelezi wa nini mnataka kumwachia huru?
@sheriibrahim6753
@sheriibrahim6753 2 жыл бұрын
Mnaperereza Nini jaman mbona mnajaza makatas tuu toe hukumu
@renatusmisigaro6332
@renatusmisigaro6332 2 жыл бұрын
Yan lilibeba vyuma kuja kuua mama!!
@fabianndimanya2055
@fabianndimanya2055 2 жыл бұрын
Nilijua tu itakuwa Arusha au Moshi😭😭😭😭
@amyreenahmad1404
@amyreenahmad1404 2 жыл бұрын
kesi ya mapolisi mtwara kimya
@neemasazia-vg9sh
@neemasazia-vg9sh Жыл бұрын
Kuzaa kutoa malazi tuu maana!!
@jamesminja3273
@jamesminja3273 2 жыл бұрын
haya ndio matokeo ya kucheza game ukiwa na miaka zaidi ya 25 nyumbani kwa wazazi huku wanakuchekea chekea
@moonaamli6835
@moonaamli6835 2 жыл бұрын
Sasa upelelezi wa nn ? Na maiti mmeikuta na muuaji ndio huyo?
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 2 жыл бұрын
Hyuu na wa mosh yule win waoanee maan wote maezrael watoa roho
@user-gj7dn7vv5s
@user-gj7dn7vv5s 9 ай бұрын
moshi na arusha wanaongoza kwa kesi za namna hii
@tabiafataki6896
@tabiafataki6896 2 жыл бұрын
Ivi bdo ajaukumiwa anamaliza posho ya serikali
@kasimuibrahimu2315
@kasimuibrahimu2315 2 жыл бұрын
Miladyo ndo tunayoangalia cyo zingne bhana
@user-nn5sq8ol4g
@user-nn5sq8ol4g 2 жыл бұрын
😭😭
@zakiamajidi4636
@zakiamajidi4636 2 жыл бұрын
Msicha alimua mamayake
What Killed Mercy Mawia , The husband explaining
10:59
Stephen Kasolo Official
Рет қаралды 1,4 М.
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 84 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 42 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 25 МЛН
SIRI YA MAKONDA NA UONGOZI WAKE ARUSHA, SABABU YA WATU KUMTAKA
12:38
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 4,4 МЛН
YANGA WANAONGEA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU
36:34
Millard Ayo
Рет қаралды 15 М.