Рет қаралды 6,980
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA JUMAPILI (YA KUSIFU NA KUABUDU) 07/ 07/ 2024
UJUMBE WA LEO: HII NI SAA YA WOKOVU
(GET READY FOR THE SHIFT)
Mathayo 21 : 5
Isaya 62 : 11
Mathayo 21 : 5
5 Mwambieni binti Sayuni Tazama, mfalme wako anakuja kwako, Mpole, naye amepanda punda, Na mwana-punda, mtoto wa punda.
Isaya 62 : 11
11 Tazama, Bwana ametangaza habari mpaka mwisho wa dunia, Mwambieni binti Sayuni, Tazama, wokovu wako unakuja; Tazama, thawabu yake i pamoja naye, Na malipo yake yako mbele zake.
Mhubiri: Mwl. Nicholas Mussa Mwakipesile
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
KZfaq: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe: Kijitonyamalutheran@gmail.com