Kijiweni kwa Dereva Bodaboda aliyeuawa "Binti alikuwa anakuja na aliyemuua DUKANI....."

  Рет қаралды 41,800

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

2 жыл бұрын

Kufuatia mauaji ya watu wawili Dereva Bodaboda aliyefahamika kwa jina la Dominick Kigula na Mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Ester Shiago waliouwawa eneo la Makulu jijini Dodoma Mwananchi Digital imfika kituo cha Bodaboda ambacho Dereva Bodaboda huyo alikuwa akipaki pikipiki yake ambacho kipo karibu na Duka alilokuwa akiuza Binti aliyeuawa na hapa Dereva wenzake na Dominick Dereva Bodaboda aliyeuawa alikuwa na haya ya kutueleza.

Пікірлер: 34
@seyfullahonlinetv
@seyfullahonlinetv Жыл бұрын
Dooh!! ndugu yetu anae hojiwa nae amefariki Leo kwa Ajali Dodoma makulu 21/02/2023
@hoseamagawa9088
@hoseamagawa9088 2 жыл бұрын
Aise kwa kwel Dominic namfaham tulsoma wote shule moja s/msing dodoma makulu alkuwa kanitangulia madarasa mawil na kwa tetes ninazo zpata muhusika nae nampata vzur tulsoma nae darasa moja na tulhtim nae mwaka mmoja mungu awapunguzie azabu ya kabur r.i.p Dominic au jongo
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 2 жыл бұрын
Kwa kweli hili ni janga la Kitaifa. Mauaji kila kona! Tujitafakari kama Taifa, kwa nini Shetani katushika pabaya hivi?
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 2 жыл бұрын
Inaonyesha umo ndani Kuna mtu alikuwa anawasiliana na muuaji.inamaana alipita wapi kuingia ndani walikuwa awakufunga mlango wa nje??
@mwanahamisbwanga1184
@mwanahamisbwanga1184 2 жыл бұрын
Mnyamwez wetuuu jaman bad mdg wamekuua😭😭😭😭😭
@chingawadunia3621
@chingawadunia3621 Жыл бұрын
Kaka umetuacha na huzui leo hii juma umetuacha tena kaka ulikuwa unalia kwaajili ya dominick leo ni wew kweli duniani tunapita mungu ailaze Mahali pema peponi aminaa imeniumiza sana kifo chako kama ya domick kwli kizr hakidumu dah
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 2 жыл бұрын
Muuaji inaonyexha alikuwa na mwenyeji humo ndani km hakuwa na mwenyeji humo ndani aliingiaje ndani alimfungulia nani mlango
@Hamy1109
@Hamy1109 2 жыл бұрын
Nyumba za uswahili huwa hazifungwi milango mkubwa. Maana kila mtu anaingia kwa muda wake. Ndani kuna vyumba sita na kila kimoja ni familia tofauti tofauti.
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 2 жыл бұрын
@@Hamy1109 huo mtihani Sasa mm Huwa nafunga Hadi nasogeza viti mtu akigonga km hataji jina sifungui
@aminaally8475
@aminaally8475 Жыл бұрын
@@Hamy1109 sawa mlango wa chumbni aliingiaj bila wao kuckia
@zuhuramhando3600
@zuhuramhando3600 2 жыл бұрын
Jamani hao wwpangaji wenzie vipi walishundwa hata kupiga cm kwa ofisi za serikali jamani nyumba kubwa kama hiyo au walimwagiwa dawa za usingizi
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 Жыл бұрын
Kuna umuhimu mkubwa kwa wanaohusika na ustawi wa jamii waanze kufundisha uadilifu na uaminifu zaidi ktk jamii kuliko kusubiri changamoto zitokee ndipo wazitatue.Enyi vijana acheni kuwa na moyo wa jeuri,mtafuteni na kuishi na Mungu daima atawapa mengi ya hekima na usahihi.
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 2 жыл бұрын
Duuu hatali sana m/mungu zilaze roho zamarehem mahali pema peponi pola kwa familiya
@chingawadunia3621
@chingawadunia3621 2 жыл бұрын
Dah poleni sana wanangu wa boda wote nimeumia sana dalal jobu kufanya hyo kitendo hata kama ni demu wake huwez kuwa katili kias hcho
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Kila siku mauwaji hayeshi wakati hatuna hofu yamungu
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 2 жыл бұрын
Mungu tusaidie 😭😭mauji yamekuwa mengi sana
@hoseamagawa9088
@hoseamagawa9088 2 жыл бұрын
Ila wanawake! Unajua kabsa unamahusiano na mtu wako Tena unaanzsha mahusiano na mwngne dawa ya Moto mi Moto
@neemaruhembe6360
@neemaruhembe6360 Жыл бұрын
Wadada au tubadirike wanawake na ukimuacha mtu usimdhalau yule mwingne wanawake wanazingua japo na mimi mwanamke aisee
@jacklinejerr2447
@jacklinejerr2447 2 жыл бұрын
masikitiko sana shetan anajiinua kwapamoja tumshinde shetan
@teddyhenry2579
@teddyhenry2579 2 жыл бұрын
Wasichana muache umalaya tu haya ndio madhara yake
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 Жыл бұрын
🙏
@zainabuabdul7852
@zainabuabdul7852 2 жыл бұрын
Itakua mwanaume wa huyu bint ndo kaua
@ombenilembao7204
@ombenilembao7204 2 жыл бұрын
Daaah
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
Mara nyingi watu wa namna hii ni wavuta bangi na wanywa pombe mtu wa akili ya kawaida sio rahisi kufanya kitendo kama hiko
@omarymbaraj8072
@omarymbaraj8072 Жыл бұрын
Hakika
@minaelnathanael1846
@minaelnathanael1846 Жыл бұрын
Kuna mafunzo hapa. Wasichana jitambueni
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 2 жыл бұрын
R.I.P WOTE
@masanjaabasi8970
@masanjaabasi8970 2 жыл бұрын
😭
@mamaahmad8615
@mamaahmad8615 Жыл бұрын
😭😭😭😭🙏🙏
@Hamy1109
@Hamy1109 2 жыл бұрын
Wanawake mjifunze kupitia hili tukio. Kuna masomo mengi sana hapo.
@teddyhenry2579
@teddyhenry2579 2 жыл бұрын
Yawezekana kuna siri ndani ya pazia kuchukuliana wanawake au waume za watu mwisho wake ndio unakuwa mbaya
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 Жыл бұрын
Kabisa.
@ggfffhii4706
@ggfffhii4706 Жыл бұрын
wāgogo wāŋāpęŋdā ķųųā
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 8 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 11 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 494 М.
BODA BODA AUWAWA RUVUMA
4:52
RUVUMA TV
Рет қаралды 22 М.
RC Dodoma awaonya bodaboda na bajaji kuacha uhuni
4:20
Mwananchi Digital
Рет қаралды 340
Sungusia asikitishwa mawakili kuuza maandazi
4:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 386
Dk Tulia amaliza mgogoro wa Skimu ya umwagiliaji, Bonde la Uyole
5:15
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 8 МЛН