No video

KIKWETE AKIMUONGELEA MKAPA MSIBANI "HAKUPENDA KUSIFIWA, BADO UCHUMI ALIOTAKA HATUJAFIKA"

  Рет қаралды 57,629

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 69
@rexmwegelo8490
@rexmwegelo8490 4 жыл бұрын
Kikwete Mara nyingi akipata nafasi ya kuongea anaijihami Sana.. Tanzania imepaa Sana Enzi za magufuli hata iweje ukweli ni kwamba magufuli jembe.. Enzi za uongozi wenu watumishi walijua kuiba tu namhukujali.. RIP big Ben
@tanzanianewstn1677
@tanzanianewstn1677 4 жыл бұрын
KWA hi hotuba ya kikwete magufu Rais wangu bado kunakazi ya kufanya ila hongera Kama ningekuwa katibu wako muheshimiwa nazani hapo ninge kwambia hakuna neno unapaswa kuliacha kwa maslahi ya mchi yetu Asante kikwete
@SuperCamle
@SuperCamle 4 жыл бұрын
Hotuba nzuri inayoonyesha mipango ya maendeleo ya Taifa na utekelezwaji wa kimkakati wa awamu mbalimbali.Asante sana Kikwete...mzee wetu!
@mathayowilson1525
@mathayowilson1525 4 жыл бұрын
HEKIMA na busara zimemjaa huyu Baba na uvumilivu mkubwa anao....I love you always...Kikwete WETU,.... lovely person who never loose his tast
@alexngowo2757
@alexngowo2757 4 жыл бұрын
Kikwete hakawahi kutoa hotuba ya ovyo hata siku moja. Mzee JK napenda nikuhakikishie kwamba tupo tunaojifunza busara kutoka kwako.
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Kaka ni kweli kabisa,,,,huyu jamaa sijawahi kuchoka kumsikiliza!!!
@noelbryson7840
@noelbryson7840 4 жыл бұрын
Me namkubali sana huyu Mzee. He was my favorite president and he will..
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 жыл бұрын
Kikwete is very wise..i do admire his stance and his oration in this. i agree Alhaj Mwinyi had a tough time when he took the reigns of this high post from our father of the nation Mzee Nyerere. socialism to open door policy that Mwinyi had to articulate and present it to wananchi and the Region as a whole..i applaud you Mzee Mwinyi u did an excellent job. kuddos to u sir
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 4 жыл бұрын
Mheshimiwa kikwete, Nakupenda sana, the way unapoeleza, ule utulivu na kutawala hadhira, lugha, lafudhi na matuo. Hayo yote, personality yako huwa nzuri sana. Hongera sana kwa uongozi wako na vile ambavyo, BWANA anakuwezesha, hata sasa, kiafya, kijamii na kiustawi, kwa ujumla wake. BWANA akubariki sana.
@phdmedia9517
@phdmedia9517 4 жыл бұрын
Yuko vema
@noelbryson7840
@noelbryson7840 4 жыл бұрын
Me namkubali sana huyu mzee. Anabusara sana mzee wetu huyu..
@liliansamson674
@liliansamson674 4 жыл бұрын
Hata mpango wa kuhamia Dodoma ulifanywa na Nyerere ila mpango si matumizi, mie naangalia anaefanya kwa vitendo sio malengo tu.
@maximilianjoseph5417
@maximilianjoseph5417 4 жыл бұрын
JK yuko vizuri sana Mungu aendelee kumlinda. Hizi plann zitimie siku mmoja, R.I.P Mkapa an Intellectual man Mungu akurehemu huko uliko akupunguzie adhabu
@mako331
@mako331 4 жыл бұрын
Kikwete amenikumbusha jambo, nafikiri Magufuli ataliweza hili tubadilishe katiba mawaziri wasiwe wabunge ili wabunge washuhulikie majimbo tu
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
Hiyo Ni kuweka Mambo sawa tu ...... Ila JPM atabaki kuwa tofauti na wote haki ....🙄🙄🙄
@billgussy6099
@billgussy6099 4 жыл бұрын
Ndio ni tofauti sana hasa kwa kuminya demokrasia na haki za kikatiba za wananchi.
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Ingekuwa suala la kurudia linaruhusiwa, tungewashindanisha JK na JPM ktk ulingo wa siasa halafu ndio ungejua JK ni nani ktk siasa za nchi hii
@adilikivyiro1880
@adilikivyiro1880 4 жыл бұрын
w
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 3 жыл бұрын
Huwezi kulinganisha mtu wa uchumi na mchanganya madawa viwandani
@davidlaizerleyan5259
@davidlaizerleyan5259 4 жыл бұрын
Ahaa kumbe suala la uchumi wa kati liliasisiwa na hayati B Mkapa
@tawfiqmbagwa9407
@tawfiqmbagwa9407 4 жыл бұрын
Mzee Kikwete uko vzr ingekuwa katiba inuruhusu kugombea natamani ungerudi madarakani
@ashrafgeorge9384
@ashrafgeorge9384 4 жыл бұрын
Huyu mzee anajua kuishi na watu.
@mosepaul6770
@mosepaul6770 4 жыл бұрын
Agombee tu tena maana hawa wa saiv sifa kibao
@andrewmussa9367
@andrewmussa9367 4 жыл бұрын
We ulikuwa vzr ,na unapendwa bado,jakaya
@Nedjadist
@Nedjadist 4 жыл бұрын
Kutokea dola 1 1080 mpaka kufikia dola 3000, twadaiwa 1920 tu, si 2920!
@agthawitgar4167
@agthawitgar4167 4 жыл бұрын
Polen kwa family. Pole sana mzee kikwete
@phdmedia9517
@phdmedia9517 4 жыл бұрын
Hawa wazee wana maono ya mbali sana. Tuwaombe kwa Mungu na tuwape ushirikiano. Tanzania ya viwanda inaisha hino November mwaka huu, tunaingia Tanzania ya biashara.....
@priscaoscar9263
@priscaoscar9263 4 жыл бұрын
Raisi wetu kikwete (HEKIMA NA BUSARA ULIONAYO YAPENDEZA ) Umeongea mambo mazuri kwa upole sana na tumekuelewa safi sana Baba yetu mpendwa Benjamin mkapa R, I, P Amen
@e.j.starelia5672
@e.j.starelia5672 4 жыл бұрын
Magufuli ndiyo kila kitu we kikwete we muage mkapa yaishe
@elizabethmlokozi5842
@elizabethmlokozi5842 4 жыл бұрын
Hilo in LA kweli wakati wa Mkapa ndio maisha ya watanzania yalibadika sana
@simbamwinyi
@simbamwinyi 4 жыл бұрын
Kasema, hii ndio gharama ya kumshtukiza. He is speaking reality.
@eidmaumba4482
@eidmaumba4482 4 жыл бұрын
Maelezo yake kampiga madongo maghufuli ya kufanya kuwa anayojitambia sio yake isipokuwa nimpangilio wa kupokezana vijiti kwakizi mipango ya kila Hawamu,kwahyo vyote vilikuwa kwenye plan
@kajungumturi7414
@kajungumturi7414 4 жыл бұрын
Magufuli hajawahi kusema maendeleo yanayofanyika sasa bila kutaja awamu zolizo pita. Tofauti na ndege ambazo hakuna anayebisha haikuwa kwenye plan kwa wachache waliopita. Acha kupayuka!
@saimonjulius1319
@saimonjulius1319 4 жыл бұрын
Plan ya ndege ipo kwenye ilani ya mwaka 2015- 2020 ccm, hivyo isomeni ilani, kinachowekwa kwenye ilani hiyo ni plan ilikuwepo, hata reli na umeme vilikuwepo kwenye ilani.
@tomchiwalala8507
@tomchiwalala8507 4 жыл бұрын
Brother Simon Julius Ilan huwa zinaandikwa kila term swala ni utekelezaji... ndio Dr Magufuli anapowashinda wenzake
@eidmaumba4482
@eidmaumba4482 4 жыл бұрын
@@tomchiwalala8507 true
@bennojoely3433
@bennojoely3433 4 жыл бұрын
Mzee Kikwete nmekuelewa sana Una hekima sana
@elizabethmlokozi5842
@elizabethmlokozi5842 4 жыл бұрын
Tanzania tuko vizuri tusiwapishe upinzani kutuvuruga
@joelrugano6517
@joelrugano6517 4 жыл бұрын
Well said JK ufafanuzi Mwinyi amapokea nchi ikiwa katika hali ngumu. Tuwaenzi Sokoine na Kombe ambao walifanya kazi kubwa kumshauri Mwl. Nyerere akubali nchi niruhusu " soko huria" na akakubali na ninadhani falsafa yake ya kutogeuka nguzo ya chumvi ikabidi ang'atuke ili kumpa mwanya rais ajaye atekeleze uchumi huo. Tukaanza kuhama toka usoshalisiti asilia. Hivyo kwa historia hiyo ya Kikwete aliyoitoa inaonyesha ni jinsi gani waheshimiwa hawa wanavyopokezana vijiti. Jambo tu ambalo linatushinda wakati mwingine tunaenzi na kumwaga sifa lukuki kwa marehemu yeye mwenyewe akiwa hai hatumsifii. Labda hapo tubadilike tumsifu asikie akiondoka tuandike historia " kwangu binafsi kama mtu hakunisifu nikiwa hai, kuisifia maiti yangu haina tija sana maana hiyo inabakia ni story tu".
@luxfordmmasa774
@luxfordmmasa774 4 жыл бұрын
Tatizo kubwa watanzania sio wafwatiliaji, ndio maana tunajikuta tunashangilia kelele badala ya nn kimefanywa kwa mstakabali wa miaka mingi, Mkapa alijenga msingi wa nchi hii kwa mstakabali wa miaka mingi. R I P jemedali mkapa
@mashirimathias6006
@mashirimathias6006 4 жыл бұрын
Watu husifia wenyewe hata anko Magu husifiwa na watu wenyewe hawaambii watu wamsifie ila ni kwa vitendo sio michakato siku zote..
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 4 жыл бұрын
Mawaziri wanateseka kuwa Wabunge ili Nchi ipege hatua Wabunge wasimame vema maendeleo majimboni mwao na Mawaziri wapige kazi zao badala ya kuhangaikia kura Majimboni hapo tutatoka tulipo sasa
@masoudsalum9514
@masoudsalum9514 4 жыл бұрын
Hii hutuba ya kikwete ni msumari kwa magu sio kweli kama uchumi umekuwa ni uleule au apinge hapo
@mudigames5479
@mudigames5479 4 жыл бұрын
Duh! Hii hotuba!!!
@conasmalale1073
@conasmalale1073 4 жыл бұрын
Nguli wa siasa za Africa
@frankdaniel3506
@frankdaniel3506 4 жыл бұрын
Uchumi wenyewe wa kati kumbe ni 1080??kelelenyingi kumbe bado kama book mbili...
@christophermwanilwa7074
@christophermwanilwa7074 4 жыл бұрын
Kaka kufikia hapo si kazi ndogo. Jiulize toka 1961 mpaka leo na theluthi moja ya nchi duniani hazifika hiyo 1080
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 4 жыл бұрын
Brainless
@johnsonkiwia6577
@johnsonkiwia6577 4 жыл бұрын
@@gabrielmoses6860 kubali kuto kukubalina na wazo la mwenzio sio lugha hiyo. Toa hoja yako kwa kumwambia kwanini ni sawa au sio sawa...
@amanielmdee2642
@amanielmdee2642 4 жыл бұрын
R.i.p mkapa
@ramadhanimbulu6716
@ramadhanimbulu6716 4 жыл бұрын
Mzee wa msoga hazeeki bhana! Pole Tanzania!
@goodlackriwa6728
@goodlackriwa6728 4 жыл бұрын
Mungu amjajilie maisha marefu na afya njema rais wetu mstaafu Jk.upendo wake na ukimya wake tujifunze mengi kwake.
@HaleluyaTv
@HaleluyaTv 4 жыл бұрын
KARIBU KUSIKILIZA NENO LA MTUMISHI WA MUNGU NABII - SS ROLINGA LINK HII HAPA @bzlw
@ngaegelaamadi1044
@ngaegelaamadi1044 4 жыл бұрын
Anaeongea kikwete picha ya jpm imekujaje hpo
@frankdaniel3506
@frankdaniel3506 4 жыл бұрын
Kwa hiyo JPM uchumi wetu upo chini ya asilimia 7...
@dismaskimaro3823
@dismaskimaro3823 4 жыл бұрын
Hadi wewe Millard ayo umeikata hotuba ya JK kwani shida nini???
@ramadhanirashid7798
@ramadhanirashid7798 4 жыл бұрын
Jpm forever
@michaelsiweya6500
@michaelsiweya6500 4 жыл бұрын
Maajabu tunayaona katika kipindi chake.. JpM anaitikisa Afrika na majirani zetu
@davidlaizerleyan5259
@davidlaizerleyan5259 4 жыл бұрын
R.I.P
@nicethamanonga5855
@nicethamanonga5855 4 жыл бұрын
Wote hamjamkuta magu mengi yamefanyika .
@bundukitv1322
@bundukitv1322 4 жыл бұрын
Tazamaa simulizi ya YUSUF, jamaa aliyepitia magumu baada ya kujiingiza katika madawa ya kulevya. Hiki ni kipindi maalum cha "MAISHA SAFARI" kzfaq.info/get/bejne/bLh0atKDvtfeY5c.html
@ndarogamba191
@ndarogamba191 4 жыл бұрын
Mnatuudhi kutuchomekea maujinga yasiyoendana na kinachotolewa na kama mnaogopa kulipia matangazo tutawambia TRA waje huku mitandaoni💪💪💉
@frankmakomba378
@frankmakomba378 4 жыл бұрын
Nakubaliana na wewe
@pauldaniel5685
@pauldaniel5685 4 жыл бұрын
🙄
@jmnafaka9451
@jmnafaka9451 4 жыл бұрын
WHOZU AFUNGUKA KUHUSU KUMFUMANIA TUNDA 💥💥🔥 LINK Hii hapa 👇👇 kzfaq.info/get/bejne/o59haK2D2pq8c6c.html
@hktztv6519
@hktztv6519 4 жыл бұрын
Harmonize ashindwa kujizuia kulia angalia 👇👇👇👇👇 kzfaq.info/get/bejne/j8mHecWg3bWZhmw.html
@davidlaizerleyan5259
@davidlaizerleyan5259 4 жыл бұрын
Ahaa kumbe suala la uchumi wa kati liliasisiwa na hayati B Mkapa
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 26 МЛН
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 49 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 9 МЛН
Jk Comedian alivyokutana kwa mara ya kwanza na Rais mstaafu Kikwete
9:57
'Uliskia wapi?': Mbunge Seleman Bungara (Bwege) funny compilation
3:00
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 26 МЛН